Sheikh wela wazi Huyo Hana dalili hâta moja ya l'islam 1.muimba muziki muziki ni Haram. 2.ni mvuta Bangui 3.alisema mungu ni mwanamke. 4.ni mzinifu(wanawake anao kimbizana nao mitandaoni ni makafiri) 5.huyo kijana hatupo katika w'islam
Ndo maana mwenzimungu katuwekea swala tano tukamuabudu na kumuomba msamaha Kwa sisi waislamu dini yetu inataratibu zake ukienda kinyume basi umejivua mwenyewe
Shee ujielewi mungu anafanya kile achotataka yeye kama mungu wenu awezi kua na mtoto ad awe namke uyo siyo mungu tunawaachien. Mungu wa kweri anatumia neno nainakua
Huyo hamonaiz km hajakatwa kichwa hawezi kuheshim dini wala mashekhe wadini,anaganya makosa makubwa makubwa ktk uislam halafu mnamjadili tu ktk mitandao,anastahik akatwe kichwa,au aombewe dua afe mara mungu ni mwanamke,mara amebatizwa mara vile saiz mashekhe mnazembea sana ktk dini na munachukulia siasa sana mambo ya dini mnajua pesa tu skuiz na uganga wakiuwongo.😢😢😢😢
Nikweli kabisa,lakin wajuwe adhabu ya Allah haimkopeshi mtu maana Allah ndio msanii wa wasanii km wameegemea kua dhambi zote zinasameheka wataomba maghfira halafu wakifanya sifa dhahih wele wao.
Biblia. Yakobo 1:27 [27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.
Kiukweli binadamu usimdhanie chochote, madhabahuni kwa Mh. Nabii mkuu Dr. Geordavie waislamu wengi na wasanii wengi kina amorapa, mpilipili nr pimbi nk. Ba hata mtumishi huyu hachagui, opening tu kuwa mungu akikuhitaji utaenda tu.
Uwongo huo mbona waislam wengi waenda kuombewa kwa mwamposa.Nb:wakati wa mabomu Gongo la mboto wakristo waliingia msikitini na kuomba na mbona hawakufukuzwa swala la Ibada ni ni kwaajili ya uhusiano na Mungu
Me mwenyew Nina shida lkn Kila nikiona makongamano ya kikirsto nataman kwa shida zangu Hila nikikumbuka mungu wangu nashindwa kbisa kumzaririsha mana naona km yy atakuwa ameshindwa kunisaidia..Hila kukaa na wakrosto sio jambo baya lkn sio kuombewa kbisa
Kwani kuzika ndo nini bhana ata ukizikwa sehemu yoyote kwamba ukizikwa na dini ndo utaingia mbinguni matendo yako ndio yatakuingiza mbinguni ebu wislamu niacheni acha kujihesabia haki mwenye haki ni Mungu na nyie mambo mnayoyafanya sirini au dhambi zunu mnazozifanya sirini niacheni mnanitia asila😢 jamni sitaki kumkosea Mungu
Mimi nashanga Sana Kwa nini mashehe wengi wanakuja kumuongelea HARMONIZE kuingia KANISANI. Hivi mbona amsemi wale wasanii WA kiislamu wanaovaa MSALABA.
yaani nyie mashekhe hamna mnachokijua ,mnamkubalia kufanya muziki,kuxheza kamali ,umalaya nk.ila kiingia kanisani ni ubaya saaana.eti mshamba kwenda kanisani ni usahamba,au kuitwa Rajabu ni tatizo.muacheni uamuzi ni wake.
Naomba hawa masheikhe wetu wakiongozwa na mufti watoke hadharani wawaambie wasanii wote wa kiislam wakiongozwa na daymondi nasibu ali kiba hamonaiz zuchu nk kua waache mziki ni haramu
Dini yenyewe inasemaje mana sikwa kelele hizo kwanza hamonize he is a Gangster dude kamare tattoo vipuli mpaka puani hilo hamulioni mnaona kanisani twaaa moko na wasi 😂😂😂
Huyu sheikh ananichekesha ushaona mtu asipo zikwa ameleta kesi dunia hii.hata ikatrendi kuhusu watu wamekataa kumzika niheshima kabla dini kufika afrika watu walikuwa hawazikwi tusidanganyane ni kuinjoiyana tuu
Sheikh wew ndo ukafanya kosa kuongelea Hormonaz kwan ivi kwel wasani kosa kubwa wanalifanya ndani ya dini yetu nzuri nikuingia tu kanisan ?Mtu akisha kua tu mwana mziki na mzinif bas yatosha kua sio muislam
kwani sheria inakataza tiba ya uganga? acheni chuki na ushabiki usiokuwa na tija yoyote, au nyinyi ndiyo mnajiona mmekamilika? au mshabashiriwa pepo? unapataje ujasiri wa kumtoa mtu kwenye dini ya allah umetumia vigezo gani vya kisheria?
Shehe kweli apewe maua yake sababu Harmonize haeleweki moto au baridi. Juu hayupo wala huku hayupo. Achague moja. Shehe nimekukubali. Sio wengine wana Kashif imani zingine km wanaosema kaenda kwa kafili hayo matusi sio sawa dini ni imani.
We jidanganye tu nadunia nani kasema dini kakuletea binaadamu wewe umeletwa duniani kuja kumuabudu Allah basi akuna kingine ndgu kwaiyo usijidanganye shekhe upo sahihi kbsaa Allah akuzidishie
Ndugu yangu sheikh Diwani hajui dini na majibu alokupea ni potovu zaidi ya harmonize, ukitaka jibu sahihi ya alofanya harmonize basi tafuta mashehe ya sunnah kama kishki, kama Mohamed bachu, kama sheikh kasim mafuta na wengine. Huyu Sufi atapoteza ummah zaidi
Ushabiki wako ni ujinga soma baadae utoe coment kwani kishky na huyo bachu na mafuta ni waislam waliobaki ni makufari msiba wewe sawa na kipofu mjinga mpumbavu
@saidalhinai1131 ukinitusi napata amali yako mema na unachukua dhambi yangu, alhamdulillah. Zidi kunitusi kaka, lakini ukweli ni kuwa sheikh Diwani hana elimu ya kujibu maswali kama hayo na wale nimewataja mashallah wamesoma vizuri na wako na kiwango mzuri ya elimu ya kujibu maswali kama hayo
alokwambuya mungu hana dini nani kwani alosema lakumdini kumuali ya dini maana yake nyinyi mnadini yenu na mimi nna diniyangu mubgu kasema ivyo kama hujuwi
Wakhristo tungekua na roho kama ya hawa waislamu sizani kama tungeishi kwa amani mana kutwa ku2zungumzia vibaya na kujifanya wajuwaji sana kuliko wezawo.......
shehe tabu zote za nini, au sababu harmonize ni maarufu, waislamu kibao wanakwenda kwa mwamposa, hamjasema kitu chochote, ndugu yangu usiwe na wivu, yeye ameamua kwenda huko, ameona kitu mwache aende, hakuna na kumshangaa
Shida yenu masheikh ni wanafki sana wanapenda camera ili waonekane wanaujua uislamu, ila kwa mtu mwenye akili anajua hawa ni wanafki tu. Mimi niulize swali 1. Muziki unaruhusiwa ktk uislamu? Kama hauruhusiwi mbona hawajawahi kuwaita wasanii mbele ya camera wa kiislamu wakawambia waachane muziki ni dhambi, ila wanasubiri matukio kama haya ndio waite camera na kuwaonya, au ukiwa mwanamuziki unabaki kuwa muislam tu na wala sio dhambi ila ukifanya mengine umeuacha uislam inabidi uslimu upya 🤔 Yani maisha ya hawa wanamuziki ni umalaya, wanavuta mabangi hadharani, wanakunywa mapombe hadharani hii kwa masheikh sio ishu na wanakuwa kimya na bado wanawahesabia ni waislam ila ikitokea ishu nyingine basi tatizo 😂 dah huu ni msiba mzito, masheikh wanapenda kiki sana. 2. Mbona Mama Samia anaingiaga kanisani kwenye ibada na anasali na wakristo, kama nyie mnaujua uislamu sana na sio wanafki mbona hamjawahi kukemea? 😂 tena yeye ndio huwa anaenda mara kwa mara na michango ya kujenga makanisa anatoa na huku akijua kila kitu kuhusu ukristo, kwa nini iwe kwa watu wengine tu au huwa hayo mengine hamuoni? Haya mtasema Rais ni wa kila mtu ila msisahau harmonize mashabiki zake ni wa dini tofauti pia, narudia tena acheni unafki, halafu mnavyopiga biti sasa utasema nyie ndio mlipewa hati milki ya uislamu wakati uliletwa tu na waarabu, yani wewe unawezaje kumpiga mkwala mtu wakati yupo huru kufanya anachoona kwake ni sahihi ilimradi hakina madhara ktk jamii? Acheni unafki tena nyie ndio mnachochea utengano kwa watu mmefanya watu wanashindwa kushirikiana kufanya mambo ya maana kisa kutizama huyu ni dini gani, wanafki wakubwa nyie. Yani mnavyovaa makanzu mnajiona mshatoboa mbinguni, halafu badae ndio mnamkuta harmonize yupo mbinguni nyie jehanamu sijui itakuwaje,endeleeni kuhukumu tu bwana nyie si ndio miungu wadogo basi sawa.
Nyinyi mnakosea huyu anatafuta kiki kiki inakuja kws kusemwa sana but huyu mtu anatafuta pesa.haiwezekani mvuta bangi na bear.haya hamuyaoni uislam unaruhusu kuvuta bangi na pombe mbona sijaona masheikh wakikosowa bangi zake na pombe pia nyinyi sioni kama mnaukweli mna tenga dini tuu.
Kila mtu ahubiri dini yake mwisho wa siku watu wata chagua kile wanachokiona kua ni cha kweli kwa swala la Harmonize kwenda kanisani ni swala binafsi halipaswi kuzua mijadala kwani kuna dini inamiliki nafsi za watu bana kila mtu an uhuru wa kuifuata dini ya au imani anayoiona kua sawia so stop this Mijadala
Mungu hana dini dini ni wanadamu waliazisha alafu msijisahau na hizi dini tuliletewa na wageni Kwaiyo waafrika tusigombane kisa dini muache mtu aamini anavyo jua yeye
Dini wameleta wageni 😮ivi kweli we muislam?au mkristo?mungu hana dini ana nini?kwahio ww unamuabudu nani?acha bangi zako izo bro km hunalakuongea bora ukaye kimya hakuna haja ya kukomenti.
Shekh uko sahihi Allah akufanyie uwepesi uendelee kuelimisha umma
MaShallah sheikh umetowa elimu nzuri
Msimlaumu kwenda kuombewatu muambieni maisha anayoishisiyo kuvaa vipuri haramu mziki haramu zinaa haramu tunamuusia amrudie Allah
Huyo hamonize hajielewi aombewe dua sana maana haya maisha yanamzuzua sana . Hapo nyuma alimfananisha mungu na mwanamke.
Sheikh nakuelewa sana, ifike mahali tuwe na mipaka, sio kwa ubaya.
Sheikh wela wazi
Huyo Hana dalili hâta moja ya l'islam
1.muimba muziki muziki ni Haram.
2.ni mvuta Bangui
3.alisema mungu ni mwanamke.
4.ni mzinifu(wanawake anao kimbizana nao mitandaoni ni makafiri)
5.huyo kijana hatupo katika w'islam
Hongela sana kwa Rajabu, kama alikosa ma cheikhs wakumuombeya dua? Ni maksudi tu yake île. Harmonize muogope Mungu.
Hakuna aliye mkamilifu ile Mwenyizi Mungu ......Na Mungu ndiye hata tuhukumu ...
Ndo maana mwenzimungu katuwekea swala tano tukamuabudu na kumuomba msamaha Kwa sisi waislamu dini yetu inataratibu zake ukienda kinyume basi umejivua mwenyewe
Ina lilah waina ilahi rajiun dunia imeisha
Kweli nimshamba sana Tena Ana imani za kiyahudi
Hivi bado mnamchukulia kuwa ni muislaamu mtu aliyemfananisha mungu na mwanamke!!!! Na usishangae wakajitokeza mashehe wa kumtetea
Mashk wa tz achakuwakumbatia wasani
sisi sote waja wa Mungu hakuna mkamilifu lakin ikifikia mambo ya kuhukumu mtu Allah pekeake ndie anauwezo wakuhuku kiumbe chochote kile
Shee ujielewi mungu anafanya kile achotataka yeye kama mungu wenu awezi kua na mtoto ad awe namke uyo siyo mungu tunawaachien. Mungu wa kweri anatumia neno nainakua
Anaona sifa sana harmonize ndio maana kakoseswa kimo kistuli😂😂😂
Mashehe hamna kazi,mnajadili mashoga
Mimwenyewe nawashangaa hao wana diniyao ndiomana aliwatoa wazaziwake kwenye dini nakuwakabizi kwashetan hao njaa imewaponza wanajikuta wanasain vitu wasivyovijua na havina matarajio walesio waislam nadiniyao inaluhusu wajiingile kikubwa wanahini vijana wakiislam
Huyo hamonaiz km hajakatwa kichwa hawezi kuheshim dini wala mashekhe wadini,anaganya makosa makubwa makubwa ktk uislam halafu mnamjadili tu ktk mitandao,anastahik akatwe kichwa,au aombewe dua afe mara mungu ni mwanamke,mara amebatizwa mara vile saiz mashekhe mnazembea sana ktk dini na munachukulia siasa sana mambo ya dini mnajua pesa tu skuiz na uganga wakiuwongo.😢😢😢😢
Yale ndo matokeo ya jmat na sheh alhadi nyi chunguzeni tu, na wataingia sana makanisani
Harmo anacheza sana na dini anajuwa mashekhe wenyewe wasanii
Nikweli kabisa,lakin wajuwe adhabu ya Allah haimkopeshi mtu maana Allah ndio msanii wa wasanii km wameegemea kua dhambi zote zinasameheka wataomba maghfira halafu wakifanya sifa dhahih wele wao.
Yaani huyu diwani mganga wa kienyeji mpuuzi tu yeye na hamonize sawa sawa
una chuki binafsi kosa lake nn au yeye kuwa mganga ni haramu?
Biblia. Yakobo 1:27
[27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.
Alafu uyo harmonize anamzalilisha sana baba yake uku kijijini yani Mzee wake hana madrasa ni sheikh mkubwa na imamu pia
Walahi bilahi talahi harmonize Kama hajafilisika ndani ya week 3 basi Mimi siyo mslam mtaona wenyewe
😂aya
Mmmh sheikh soma dini vizuri uelewe
Kiukweli binadamu usimdhanie chochote, madhabahuni kwa Mh. Nabii mkuu Dr. Geordavie waislamu wengi na wasanii wengi kina amorapa, mpilipili nr pimbi nk. Ba hata mtumishi huyu hachagui, opening tu kuwa mungu akikuhitaji utaenda tu.
Uwongo huo mbona waislam wengi waenda kuombewa kwa mwamposa.Nb:wakati wa mabomu Gongo la mboto wakristo waliingia msikitini na kuomba na mbona hawakufukuzwa swala la Ibada ni ni kwaajili ya uhusiano na Mungu
Me mwenyew Nina shida lkn Kila nikiona makongamano ya kikirsto nataman kwa shida zangu Hila nikikumbuka mungu wangu nashindwa kbisa kumzaririsha mana naona km yy atakuwa ameshindwa kunisaidia..Hila kukaa na wakrosto sio jambo baya lkn sio kuombewa kbisa
Musanii Hana Dini
Kwadini yetu hairuhusu kupinga kagoti kanisani huyu anamchezea mungu IPO siku mungu atamuhukumu anaifanya dini ya kiisilamu niyamchezo
Kwani kuzika ndo nini bhana ata ukizikwa sehemu yoyote kwamba ukizikwa na dini ndo utaingia mbinguni matendo yako ndio yatakuingiza mbinguni ebu wislamu niacheni acha kujihesabia haki mwenye haki ni Mungu na nyie mambo mnayoyafanya sirini au dhambi zunu mnazozifanya sirini niacheni mnanitia asila😢 jamni sitaki kumkosea Mungu
Uislaamu hauwahitaji watu bali watu ndio wanauhitaji uislaamu
Mimi nashanga Sana Kwa nini mashehe wengi wanakuja kumuongelea HARMONIZE kuingia KANISANI.
Hivi mbona amsemi wale wasanii WA kiislamu wanaovaa MSALABA.
yaani nyie mashekhe hamna mnachokijua ,mnamkubalia kufanya muziki,kuxheza kamali ,umalaya nk.ila kiingia kanisani ni ubaya saaana.eti mshamba kwenda kanisani ni usahamba,au kuitwa Rajabu ni tatizo.muacheni uamuzi ni wake.
Wewe unaejua tufundishe
Kweli huyu nimshamba tena
Mungu hana dini duhhh yaani nimsiba
Sisi sote niwa toto wamungu tuache hayo nia dunia
Itakua hamo kuombewa,wakati mashee wengui Wanafuga majinih.
Hapo sasa
Pengine nimashaliti yauchawi
Upande mwengine ungekua na chuki kama zenu sijui kama duniani angepatikana mtu. Somalia ni watu wenye Imani 1 ila kila siku wanauwana kama wanyama
Sasa shekhe wangu pindi amonice analewa na kubadili wanawake hadharani na mwengine hukumsema la leo ndoumeona kubwa?
Konde ata alivyokua na blech la kikongo alikua akienda Mpka kanisani....anazengua xna konde....😅😅😅
Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa yesu ni mwana wa MUNGU
Huyu ndo usani wake kisha atangaze tu msimamo wake kama ni kafiri tujuwe ashane na weslam
SHEHE WACHA WAMCHUKUE TU WALA ISIWE MKOPO 😢😢😢😢😢😢PERMANENT ASIRUDI HUKU
Naomba hawa masheikhe wetu wakiongozwa na mufti watoke hadharani wawaambie wasanii wote wa kiislam wakiongozwa na daymondi nasibu ali kiba hamonaiz zuchu nk kua waache mziki ni haramu
Nyie wakrito mnao mlaumu shekhe tatizo lenu sio waelewa mueleweni anacho sema acheni ujinga walawama bila kuelewa kinacho ongelewa
Mziki alamu aimbe ostadh mklisto muisalam msiwakueakumbati
Dini yenyewe inasemaje mana sikwa kelele hizo kwanza hamonize he is a Gangster dude kamare tattoo vipuli mpaka puani hilo hamulioni mnaona kanisani twaaa moko na wasi 😂😂😂
Ivi kwanini mashk wetu mnawatungumzia watu walio potea kama hao wafuasi wa ibilis
Huyu sheikh ananichekesha ushaona mtu asipo zikwa ameleta kesi dunia hii.hata ikatrendi kuhusu watu wamekataa kumzika niheshima kabla dini kufika afrika watu walikuwa hawazikwi tusidanganyane ni kuinjoiyana tuu
Ukaffir tu
Ata wakristo wenye dini utangaza msimamo na akawe mkristo tu sioo mguu ndani mguu nje
Sihaba leo umejitahid
Amonaizi, Unachezesha kwata.
Msipanuki nduguzetu anachosema shekh nusawa sawa wewe kama mkiristo unaweza kuungia msikitini kuombewa dini yetu haipo ivyo
Sheikh wew ndo ukafanya kosa kuongelea Hormonaz kwan ivi kwel wasani kosa kubwa wanalifanya ndani ya dini yetu nzuri nikuingia tu kanisan ?Mtu akisha kua tu mwana mziki na mzinif bas yatosha kua sio muislam
Uislamu haukubaki kuwa Uislamu wowote
Sheh
Mushrik huchukui ilimu kwake.huyu ni mganga kwa kusingizia dini...Mganga Diwani
kwani sheria inakataza tiba ya uganga? acheni chuki na ushabiki usiokuwa na tija yoyote, au nyinyi ndiyo mnajiona mmekamilika? au mshabashiriwa pepo? unapataje ujasiri wa kumtoa mtu kwenye dini ya allah umetumia vigezo gani vya kisheria?
Hahaha mwaumwa Sana,jama kashaamua,alafu kuna watu wakubwa kwenye hio dini nalihama wakaja upande huu wetu
ote tunamuamini mungu
Hujakibu bado
Mimi nitakujibu huyo ametoka katika uislam.kunavitu ukivifanya unatoka katika uislam.
Laana tu llah Hana akili
Shehe kweli apewe maua yake sababu Harmonize haeleweki moto au baridi. Juu hayupo wala huku hayupo. Achague moja. Shehe nimekukubali. Sio wengine wana Kashif imani zingine km wanaosema kaenda kwa kafili hayo matusi sio sawa dini ni imani.
Kiukweli harmonize ni mshamba sana na limbumeni wa mademu kawapata ukubwani
Harmonize mchamba kweli.
Sheikh suwali.huyu harmonize. macheni anayo vaa na herini na kuchora tatu mwilini je ina juzu
We jidanganye tu nadunia nani kasema dini kakuletea binaadamu wewe umeletwa duniani kuja kumuabudu Allah basi akuna kingine ndgu kwaiyo usijidanganye shekhe upo sahihi kbsaa Allah akuzidishie
Huyu diwani ni maslahi akiongea utaona nikama anahekima na anajuwa dini ila la hajui chochote
Yani tuna ba mungu bangapi 🤣🤣🤣 ? mungu ni mmoja tu harmo haliamini mungu mmoja
Kweli kabisa maalim kaongea kweli n .mshamba huyu dogo atafuta kiki na njia za kuchezea dini ya kiislam
Hachana na ushirikina hakuna mwema hapa nchini duniani
Amen
Ndugu yangu sheikh Diwani hajui dini na majibu alokupea ni potovu zaidi ya harmonize, ukitaka jibu sahihi ya alofanya harmonize basi tafuta mashehe ya sunnah kama kishki, kama Mohamed bachu, kama sheikh kasim mafuta na wengine. Huyu Sufi atapoteza ummah zaidi
Wewe ety pia mesema kiburu kweli
Ushabiki wako ni ujinga soma baadae utoe coment kwani kishky na huyo bachu na mafuta ni waislam waliobaki ni makufari msiba wewe sawa na kipofu mjinga mpumbavu
Labda wewe unamashekhe wako na uislam wako
@saidalhinai1131 ukinitusi napata amali yako mema na unachukua dhambi yangu, alhamdulillah. Zidi kunitusi kaka, lakini ukweli ni kuwa sheikh Diwani hana elimu ya kujibu maswali kama hayo na wale nimewataja mashallah wamesoma vizuri na wako na kiwango mzuri ya elimu ya kujibu maswali kama hayo
@EmmaTembo-l7o ukweli unauma, lakini shehe wetu Diwani kiwango yake ya elimu ni kidogo sana kujibu maswali kama hayo
Kila mtu na dini yake muislamu abaki ktk uislamu na Mkiristo abaki ktk ukiristo ila kama anataka ukweli basi afuate utaratibu mzuri uliowekwa.
Free masons huyo
Huyu ni mushamba tu
Harmonize ushamba unamsumbuaa na ulimbukeni na elimu muhimu musisikie
alokwambuya mungu hana dini nani kwani alosema lakumdini kumuali ya dini maana yake nyinyi mnadini yenu na mimi nna diniyangu mubgu kasema ivyo kama hujuwi
Huyu kijana kesha potea tafauti na baba yake
Wakhristo tungekua na roho kama ya hawa waislamu sizani kama tungeishi kwa amani mana kutwa ku2zungumzia vibaya na kujifanya wajuwaji sana kuliko wezawo.......
Nyie mnadini yenu na sisi tuna dini yetu
@HakimuRamadhani bs mtuache na dini ye2 acheni ku2zungumzia kila siku mbona cc hatuwazungumzii
@@HakimuRamadhani mbona sisi wa Kristo hatuongeleagi Dini yenu hata mkristo aki slimu ss hatuna shida bora amepata mahali moyo wake umeridhia .
@@victoriadaizy5277 unajua maana ya kuslimu ?
@@HakimuRamadhani same question to you do you know the morning of Christianity?
sheikh mavi na wewe hii TH-cam unayoitumia kupiga pesa online ni ya wakristo marekani😂😂mbwa we
Ameweka dunia mbele kuliko akhera anatafuta nini haswa huko na dini ya uislamu imekamilika haina shaka ndani yake
Apeleke ushamba wk huko Allah hanashida na mpuuzi km huyu
shehe tabu zote za nini, au sababu harmonize ni maarufu, waislamu kibao wanakwenda kwa mwamposa, hamjasema kitu chochote, ndugu yangu usiwe na wivu, yeye ameamua kwenda huko, ameona kitu mwache aende, hakuna na kumshangaa
Toka
Homonize moyo wake upo ukristoni, hata wewe unae soma comment hii njoo kwa yesu utaona utamu wa kuwa mkristo
Shida yenu masheikh ni wanafki sana wanapenda camera ili waonekane wanaujua uislamu, ila kwa mtu mwenye akili anajua hawa ni wanafki tu.
Mimi niulize swali
1. Muziki unaruhusiwa ktk uislamu? Kama hauruhusiwi mbona hawajawahi kuwaita wasanii mbele ya camera wa kiislamu wakawambia waachane muziki ni dhambi, ila wanasubiri matukio kama haya ndio waite camera na kuwaonya, au ukiwa mwanamuziki unabaki kuwa muislam tu na wala sio dhambi ila ukifanya mengine umeuacha uislam inabidi uslimu upya 🤔 Yani maisha ya hawa wanamuziki ni umalaya, wanavuta mabangi hadharani, wanakunywa mapombe hadharani hii kwa masheikh sio ishu na wanakuwa kimya na bado wanawahesabia ni waislam ila ikitokea ishu nyingine basi tatizo 😂 dah huu ni msiba mzito, masheikh wanapenda kiki sana.
2. Mbona Mama Samia anaingiaga kanisani kwenye ibada na anasali na wakristo, kama nyie mnaujua uislamu sana na sio wanafki mbona hamjawahi kukemea? 😂 tena yeye ndio huwa anaenda mara kwa mara na michango ya kujenga makanisa anatoa na huku akijua kila kitu kuhusu ukristo, kwa nini iwe kwa watu wengine tu au huwa hayo mengine hamuoni? Haya mtasema Rais ni wa kila mtu ila msisahau harmonize mashabiki zake ni wa dini tofauti pia, narudia tena acheni unafki, halafu mnavyopiga biti sasa utasema nyie ndio mlipewa hati milki ya uislamu wakati uliletwa tu na waarabu, yani wewe unawezaje kumpiga mkwala mtu wakati yupo huru kufanya anachoona kwake ni sahihi ilimradi hakina madhara ktk jamii? Acheni unafki tena nyie ndio mnachochea utengano kwa watu mmefanya watu wanashindwa kushirikiana kufanya mambo ya maana kisa kutizama huyu ni dini gani, wanafki wakubwa nyie. Yani mnavyovaa makanzu mnajiona mshatoboa mbinguni, halafu badae ndio mnamkuta harmonize yupo mbinguni nyie jehanamu sijui itakuwaje,endeleeni kuhukumu tu bwana nyie si ndio miungu wadogo basi sawa.
Huyu harmonize kila siku anazusha mambo tafauti nadini kabisa huyu nikiumbe kuelewa kwako nishida hajui dini hana tabia njrma huyu nijeshi la shetani
Nyinyi mnakosea huyu anatafuta kiki kiki inakuja kws kusemwa sana but huyu mtu anatafuta pesa.haiwezekani mvuta bangi na bear.haya hamuyaoni uislam unaruhusu kuvuta bangi na pombe mbona sijaona masheikh wakikosowa bangi zake na pombe pia nyinyi sioni kama mnaukweli mna tenga dini tuu.
ivi kwann yeyetu ninani huyu amesha kuful tokea alip Sema mungu ni mwanamke mshenz huy akajifanya kuomba msamaha anafanya makusud sasa anamchokoz mwenyez mungu tuachie mwenyewe mwenyez mungu atahkum mwenyewe die
Wakristo wanamwona msikitini ilihali wao hawaend huko?au waislam walimwonaje kanisani wakat hawaingii kanisani?
😂harmonies hana akili zakutosha , ni kafiri sana
Harmonize badilika rudi kwa Allah wewe kila kukicha wazidi kuangamia hujachelewa wacha ujinga na upuzi unaofanya tumia akili wacha kutumia makamasi
Kila mtu ahubiri dini yake mwisho wa siku watu wata chagua kile wanachokiona kua ni cha kweli kwa swala la Harmonize kwenda kanisani ni swala binafsi halipaswi kuzua mijadala kwani kuna dini inamiliki nafsi za watu bana kila mtu an uhuru wa kuifuata dini ya au imani anayoiona kua sawia so stop this Mijadala
Uislamu inakataa kabisa hayo wewe nimrongo sana hapo hakuna kuamiliana nimakosa kufanya hayo
Jaman sisi wa tz tuna upungufuu sanna konde alicho kifanya nikuonyesha upendo wa uoande wote
Hakuna upendo katika ibada baina ya Waislamu na makafiri
@@Hamis-ks1sywewe mwenyewe unatawaliwa na shetani 😂😂😂,😊jamani stop judging people only God knows it's not about me Islam Christian no
@GenerousAzard-fq1ym hakuna ushirikiano kati ya muslim na Kafir katika ibada mwisho wa kunukuu.
Hapana sio makafili mm pia ni muisilam lakini mambo mengine tuyaacheni kama yalivyoo
@@ramadhanialhaji-y9m angalia jina lako na maneno unaoandika? Hazilingani, mungu akuongoze
Mungu hana dini dini ni wanadamu waliazisha alafu msijisahau na hizi dini tuliletewa na wageni Kwaiyo waafrika tusigombane kisa dini muache mtu aamini anavyo jua yeye
Dini wameleta wageni 😮ivi kweli we muislam?au mkristo?mungu hana dini ana nini?kwahio ww unamuabudu nani?acha bangi zako izo bro km hunalakuongea bora ukaye kimya hakuna haja ya kukomenti.
Kasome ndio utajua mungu kaongea nn
Wewe hujui nini maana ya dini ndo maana unaongea usicho kijua
Dini iliyo letwa na wageni ni ukrito tu usichanganye dini zote
Wewe sio mungu unayo dini
Uyu harmonize ni mpumbavu na ni mshenzi.
Wewe SHEKH neno ushamba maana yake nini?
Hivi wewe na harmonize nani mshamba?
Ukiongea jenga hoja sio hisia zako za chuki dhidi yake