Of course ndugu MUNGU wetu alie tuumba ni mmoja tu lkn tume tofautiana katika ibada nyie mna muabudu yesu mnasema yeye ndio MUNGU wenu na kwetu sisi yesu ni mtume wa MUNGU na Kuna wanao abudu ng'ombe na masanamu na Kuna wengine wanasema MUNGU ana mtoto. na sisi MUNGU wetu ametukataza kuamini kama ana mwana au mama.
Uislamu ndio dini ya haqi acha kudanganywa na soma kwanza kisha utaujuwa ukweli.... haitambulika dini yoyote ao kuhesabiwa matendo kwa yoyote kama hajaaamini kwenye Mungu mmoja ambae hakuza wala hakuzaliwa na asie fananishwi na chochote wala kuwa na mshirika kwenye utukufu wake.....
Elimu ya dini wataipata wapi Kwa muisilamu kamili anajua mungu hafananishwi na chochote yeye aliuwambia Uma kwamba mungu anawezekana kuwa --- Mimi siwezi kurudia.msishangae kwenda kanisani.hana Imani ya dini hata kidogo.angebadilsha na jina lake tukajua moja
Hila wewe nae unakosea unajua dini lkn ulikuwa ungangania malaika ... mwenye dini anachagua mke bora ..mungu apunguze madhaifu yako momo mana sifa za ndugu yako kisa tajiri daimond usitie udhaifu wa kujua dini ..mshukuru mungu unajua dini .kujuq dini raha usifanye wala kujioneaha
Usiingize dini kwenye mambo yenu ya kifirauni...kabla ya kutaja huu uchafu wa mmakonde wewe na huyo boss wako diamond mmeshafanya ufirauni wa kupitiliza!
Yaani harmo kafanya uchafu nwingi alionekana ana dini lakini kaingia kanisani kaonekana ametenda dhambi kha hiyo dini aliyonayo hakemewi akifanya matendo mabaya ni dini gani? Ndugu zangu acheni udini basi angekuwa ni wa kwetu kaja kwenu msingetusikia tukimbwabwaja
Momo aongeree lkn diamond Tena misalaba ya bei n tattoo...wote harmonize n diamond ni watu ata siwawlew kidini..Hila momo we baki kwenye dini n usiadaike kwakuwa ndugu yako diamond ln diamond nae mtu ambye aeleweki ..me nawaonea huruma dhambi zao wao wamezidisha
Hamuendi mbinguni nyie mnaemyabudu yesu Binaadamu mwenzenu mukifa roho zenu zinaelea hazifiki mbinguni Mungu wa haki anazikataa anazipokea za waislam tuwanaemuabudu endeleezi tu yesu Mungu kahareni uko
Of course Waislam tuna MUNGU wetu ambae hajagawanyika mara3. Yeye ni mmoja tu hajazaa Wala haja zaliwa Wala hana anae fanana nae hata mmoja lkn nyie mwezi wa12 MUNGU wenu anazaliwa au ana zaa 😢
Huenda anaambiwa lkn SI unajua Tena Hawa wasanii hawatakagi kuambiwa ukweli diamond alianza kuvaa vijisalaba vidogovidogo alipoona watu Wana msema akaanza kuvaa rozar.alipoona pia watu wanasema sana akaanza kuvaa mijisalaba mikubwaa anafikiri Kuna mtu anamkomoa kumbe anakomoa nafsi yake mwenyewe wangebadili tu dini mana mioyo yao ipo huko hakuna mtu atawajliza
Lakini nauliza kuna ubaya gani mtu akitaka kufanya uamuzi wake ? Sababu sio fake hataki kudanganya moyoni kwake really harmo moyo wake upo kanisani lakini mwili ndio muislam so mwacheni wala msidanganye awafurahishae. Na dini ni.matendo sio tu sababu mkristo au muislam
Angeatangaza tu jamani ee mm mpaka Sasa sio mtu wa Imani Fulani Tena fahyma alitangaza kua yy amebadili dini hakuna mtu alimuuliza kuliko anachofanya yule juha kalulu
Mashaallah umeongea vyema...ALLAH atuhifadh ..
MaAshallah Allah akuongoze zaid katika ufahamu na akupe mwisho ulio mwema
Ukimaliza ya harmonize....utuadisie naya mdogo wako diamond misalaba klkuvaa pia naye kanisani kasha ingia sana 😊😊😊
😂😂😂😂
Sio misalaba yote ni ya kanisani mingine ni mapambo tu ya kidunia
Yn harmonize kiukweli sijawahi kumuelewa kwanza kumuita mungu mwanamke pia kuingia kanisani na kuombewa na ni muislam kweli anatakiwa amuogope mungu 😢
JAMAN TUSIPANGIANE MAISHA .
KILA MTU AISHI MAISHA ANAYOTAKA LABDA TUSHIRIKISHANE KWENYE PESA TU MENGINE TUSIFUATILIANE
@@kakore_jr weeeeh nyamaza buna uchungu wa dini
@@KhalifaMwinyikwani mungu ni muislam sio
@@sundaymsuya1433Ati hawa mabwege Mungu ni wao peke yao. Wengine wote nje. 😊
@@kakore_jr kwa wewe utasema ivyo manaki uislam unasheria zke
Momo, kuanzia leo umekua rafiki , Allah akuzidishie kheri
Maashallah, tunashukuru kwa mawaidha
Uyo harmoniez ana sifa aachiwe maisha alio jichagulia si vya kuumiza vichwa iv vitu anavo fanya
Sheh momo upewe kibla tu uko sawa sana
Mbona huongei kwa daimondi kuvaha misalaba
Na bado wote mtakuja
@@maureenlilykiwia1515atokuja hana dini kama hao walokuja
Yani umeongea pointi sana umeongea bila kumuacha mtu tena kiustaarabu bila kupendelea mtu
Acheni ujinga MTU apangiwi Imani isitoshe kila MTU atasimama kwenye kwenye hukumu peke take na Mungu
Na diamond anavaa mapambo ya kikee na mungu kasema analaaniwa mwanaume mwenye kuvaa mapambo ya kike mbona humuambii misalaba herenii cheni
mimi ni tim MOND ila nae kuvaa misalama ana nibowaga vip nae hujamuona
hebu some tena iyo sura mm naongeza sauti
Mungu ni mmoja so imani na matendo yako ndio yatakupeleka peponi ila hizi dini ni za ki dunia tuu momo
Of course ndugu MUNGU wetu alie tuumba ni mmoja tu lkn tume tofautiana katika ibada nyie mna muabudu yesu mnasema yeye ndio MUNGU wenu na kwetu sisi yesu ni mtume wa MUNGU na Kuna wanao abudu ng'ombe na masanamu na Kuna wengine wanasema MUNGU ana mtoto. na sisi MUNGU wetu ametukataza kuamini kama ana mwana au mama.
@Bahati47 okay kma umejua kma Mungu wetu mmoja then hayo mengine achana nayo
@@joesplatnumzwaislam mungu wao si yesu.
Usitetee upuudh
Uislamu ndio dini ya haqi acha kudanganywa na soma kwanza kisha utaujuwa ukweli.... haitambulika dini yoyote ao kuhesabiwa matendo kwa yoyote kama hajaaamini kwenye Mungu mmoja ambae hakuza wala hakuzaliwa na asie fananishwi na chochote wala kuwa na mshirika kwenye utukufu wake.....
Elimu ya dini wataipata wapi Kwa muisilamu kamili anajua mungu hafananishwi na chochote yeye aliuwambia Uma kwamba mungu anawezekana kuwa --- Mimi siwezi kurudia.msishangae kwenda kanisani.hana Imani ya dini hata kidogo.angebadilsha na jina lake tukajua moja
Mnachekesha sasa hiyo Sura Alkafirun vipi umeisoma!!!mnachosha,haya basi huyo ndio anaijua dini 😂😂😂😂
Hila wewe nae unakosea unajua dini lkn ulikuwa ungangania malaika ... mwenye dini anachagua mke bora ..mungu apunguze madhaifu yako momo mana sifa za ndugu yako kisa tajiri daimond usitie udhaifu wa kujua dini ..mshukuru mungu unajua dini .kujuq dini raha usifanye wala kujioneaha
Ukimaliza mfate Diamond na Malaika mana km unavyosema uislamu sio jina tu matendo pia
Sio kila mtu anaweza kuizungumzia dini hebu waacheni wenye elimu wafanye hiyo kazi.
Na mama samia nae na doctor lwenda kanisani Tusemeje hapa Ila midomo hii jamani
Huyu hana elimu, na hana imaani,
Umeongea kweli
Wewe ni muumini ama muislamu kama ni muumini mkataze mdogo wako kuzini,kuvaa misalaba,hereni na vipuri.
Endeleeni na dini huku mkipotosha watu na hivyo vinyimbo vyenu na kupotosha uma.
Dini ya chuki duniani haiwezi kuwa ya MUNGU hata siku moja.
Anekwenda kuchanganyikiwa chiz uyo alaf cjui lina laana gan duu
Likadomomo ni mtu wa busara sana
Wachague dini moja yakuabudu diamond na Harmoniz hawaeleweki wakowapi😂
Kanisa kwenda na kuva msalaba kuna tofauti ngani?
Kwani ukiingia kanisani nikosa
Ama mkiristo kuingia msikitini nikosa
Usiingize dini kwenye mambo yenu ya kifirauni...kabla ya kutaja huu uchafu wa mmakonde wewe na huyo boss wako diamond mmeshafanya ufirauni wa kupitiliza!
majini mnayoabudu sisi tunayakemea
Kwa hiyo mtangazaji huyu jamaa ndo ana uelewa mzuri wa dini
Rekadomomo UMEVAA MAMENO KAMA YA MONDI HAPO HAFU UNAWACHAMBUA WENZAKO wanaikosea dini duuuu
Yaani harmo kafanya uchafu nwingi alionekana ana dini lakini kaingia kanisani kaonekana ametenda dhambi kha hiyo dini aliyonayo hakemewi akifanya matendo mabaya ni dini gani? Ndugu zangu acheni udini basi angekuwa ni wa kwetu kaja kwenu msingetusikia tukimbwabwaja
We alikwambia nana yesu ni mungu MBNA unatetea upuudh
Kweli harmonize siko tena fans wako imbwa ile
Momo aongeree lkn diamond Tena misalaba ya bei n tattoo...wote harmonize n diamond ni watu ata siwawlew kidini..Hila momo we baki kwenye dini n usiadaike kwakuwa ndugu yako diamond ln diamond nae mtu ambye aeleweki ..me nawaonea huruma dhambi zao wao wamezidisha
Huendi Mbinguni ETI kwa kuwa wewe ni Mkristo, Muislamu au sijui Mbudha.!
Ni Utakatifu na Kumcha Mungu tu kwa kumwamini Yesu ndio tutaingia Mbinguni
Kwn Yesu n Nan
@@sulleymernmannarah7930 Yesu ni Mwokozi wa Ulimwengu kwa Kila Mtu amuaminiye, awe mristo, muislamu, mpagani
Hamuendi mbinguni nyie mnaemyabudu yesu Binaadamu mwenzenu mukifa roho zenu zinaelea hazifiki mbinguni Mungu wa haki anazikataa anazipokea za waislam tuwanaemuabudu endeleezi tu yesu Mungu kahareni uko
Kwani Diamond anayevaa msalaba na huyo mmakonde aliyekwenda kuombewa kanisani wanatofauti gani?
Hamo kachemka razima tuwe na mipaka
Momo anza na ndugu yako mond ndo kafil no zote achen uzindk
Acheni upumbavu nyie Miungu watu, ameenda nyumba ya ibada mnapiga kelele. Akienda club hamsemi chochote. Ila Harmonize 😅😅
waislam mna ubinafs ety dini haitaki ushirika😂😂 sa mnafany nin uku taften Dunia yenu mkae wenyew..uku mtakuf na kihoro
Kiuno chako kubabako
@@hamisinassor😂😂,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@hamisinassor😂😂pole mkiwa uku mtapanik sana nd maan nmeshaur mtafte sehem yenu cheki unavonipanikia tafta maji unywe..
Waislamu wanavaha misalaba au?
Hapana
Mungu wa waislamu hataki ushirika? Kwa hiyo Momo anataka kutuaminisha kuwa Waislamu wanaye Mungu wao??
Ndio hapo labda Mungu wao ni tofauti
Sisi mungu wetu sio sanamu wala sio yesu mungu wetu ni mungu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anaefanana nae
@@fatmafatu1128 nikuulize ushawahi kumuona Mungu?ama ni imani ndio inakufanya ujue kuna Mungu?
Of course Waislam tuna MUNGU wetu ambae hajagawanyika mara3. Yeye ni mmoja tu hajazaa Wala haja zaliwa Wala hana anae fanana nae hata mmoja lkn nyie mwezi wa12 MUNGU wenu anazaliwa au ana zaa 😢
Wamesahau kuwa wanaishi duniani hawa viumbe ni shida tupu
Huna lolote, ulichoongea ni sawa. Lakini unaleta unafiki sbb ndugu yako anavaa misalaba, umeshamnasihi?
Diamond pia ashakua na watu wa kikristo hukusema hio time kina Christina shusho na pia kavaa chain ya msalaba so huyo bro wako tumueleweje?
Yani mtoto wa akili amesikia kabisa Allah akuongezee hekma sheikh wangu
Huenda anaambiwa lkn SI unajua Tena Hawa wasanii hawatakagi kuambiwa ukweli diamond alianza kuvaa vijisalaba vidogovidogo alipoona watu Wana msema akaanza kuvaa rozar.alipoona pia watu wanasema sana akaanza kuvaa mijisalaba mikubwaa anafikiri Kuna mtu anamkomoa kumbe anakomoa nafsi yake mwenyewe wangebadili tu dini mana mioyo yao ipo huko hakuna mtu atawajliza
@@Bahati47 kweli kabisaaa
Yanatia huruma lkn tusichoke kuwakumbusha wenda kwa uwezo wake ALLAH wakajitanbua kama walivyo jitambua wengine waliokua kama wao
Wafuga mashetani wanahamgaika...mbona wewe mzinzi na mshirikina
Na diamond kuvaa msalaba Nae katoa wapi Elimu shida yenu ni Ujinga na Ujamaa ndo kikwazo
Hivi vitu vinatakiwa Waulizwe Masheikh, Sio hawa..
Kwasababu wote ndo hawahawa.. Hakuna nilichokielewa, kwasababu Huyu na familia yake ndo walewale tu
Lakini nauliza kuna ubaya gani mtu akitaka kufanya uamuzi wake ? Sababu sio fake hataki kudanganya moyoni kwake really harmo moyo wake upo kanisani lakini mwili ndio muislam so mwacheni wala msidanganye awafurahishae. Na dini ni.matendo sio tu sababu mkristo au muislam
Atangaze t kama katoka kwenye uisilamu
Kanisani kuna utapeli hamna maajabu dini pekee ni uislam zingine usanii ndio maana nae kaenda huko akili zikimrudi atatubu adharani
Angeatangaza tu jamani ee mm mpaka Sasa sio mtu wa Imani Fulani Tena fahyma alitangaza kua yy amebadili dini hakuna mtu alimuuliza kuliko anachofanya yule juha kalulu
@@fatmafatu1128 dini haikupeleki peponi ni imani na matendo yako tuu ndio hesabu utaenda pewa cku zako zikifika
@@Bahati47fahyma alikuwa dini gani na sasa dini gani
Hilo ni lijinga tu halina akili linalana ya kajala
Mshamba wewe