🔴 KANUNI MUHIMU - HODARI NA USHUJAA | PR. DAVID MMBAGA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- Karibu kufuatilia Ibada ya kutoka Michenzani Mall, katika MINI - Retreat ya ATAPE ECT ZANZIBAR 2024, Mhubiri mkuu akiwa ni Pr. DAVID MMBAGA na Neno kuu likiwa UWE HODARI
#ATAPE #MIN RETREAT #Sabbath Live #IbadaLIVE #SabatoLive #mahubiritv
Pastor mafundisho yako yanajenga sana. Mungu azidi kukulinda na kukubariki katika huduma yako. Najitahidi kukufuatilia kila iitwapo leo.
Niko Congo katika mji wa Kisangani, Ninashukuru sana kwa maana somo la leo limekuwa lakwangu.❤
Mungu azidi kukubariki Pr. Mmbaga
Merci pasteur de nous avoir béni par la prédication
Thank you Pastor Mmbaga for this nice teaching. GOD bless you so much.
Mungu nipe roho ya ushujaa kama Daudi.
Barikiwa Sana my spiritual father
God bless you pastor
Pastor Mungu akubariki
Good sermon be blessed pastor
Asante mchungaji mahuburi ya nanijenga sana
Mungu nipe roho hiyo ya daudi
Amen