Aliitwa mzee rukhsa kwasababu wakati wa Mwalimu Nyerere mahitaji mengi muhimu ya kimsingi kama chakula, sabuni na mahitaji mengineyo yalikuwa aidha kwa mgao au ni tabu sana kwa watu wa kipato cha chini kufaidika. Watu hawakuwa huru kuingiza na kununua mahitaji mengi hapo ndipo mzee Mwinyi alitoa rukhsa ya wananchi kuingiza na kununua chakula bila kikomo. Kila mwenye uwezo rukha hapo ndipo jina halisi la mzee Mwinyi lilizaliwa.
Mbona tunambiwa masultani wa zanzibar walikuwa hawasomeshi watoto wa kiafrika , tunaona mzee mwinyi amesomeshwa mpaka kumaliza ya juu chini utawala kisultani wa kiarabu wa zanzibar , jamani tumuogopeni ALLAH , tutakuja kulizwa kesho mbele ya ALLAH , uwongo na kueneza chuki
Huyu jamaa aende akasome tena historia bado haelewi kitu asivamie tuu mambo Ivi Abdu Jumbe alijiunzulu wapi? Abdu Jumbe aliondolewa na Nyerere alitoka Zanzibar kuelekea Dodoma akiwa raisi lakini chaajabu hakurudi tena Zanzibar bali alipelekwa kifungoni hadi kufa ndio akarejeshwa Zanzibar akiwa maiti Kama hujui ulikua ujue hilo pia sio kusema kua kajiunzulu
Me nilikua nikifanya kaz kwa mwinyi na mzee alikua akija ofisin kwangu siku moja moja najia anaishi mikochen kwa mwinyi labda kam alihama lakin tuendelee kusikiliza
Ali Hasan Mwinyi au Mzasa ni miongoni mwa mamluki wa Kitanganyika waliokosa radhi na walezi wao Zanzibar. Mzee Mzasa akishirikiana na waloewezi wenzako wa Kitanganyika chini ya maelekezo ya baba yao Nyerere kwa kutumia Muungano feki na mtutu wa bunduki ndio wanayoikalia Zanzibar bila aibu,wakiwaachia Wazanzibari wakiteseka kwa unyonge na umaskini .Bila aibu mzee huyu sasa yumo katika mchakato wa kumpelelka mwanawe akaimalize Zanzibar kwa ubaya alio nao dhidi ya nchi ya watu.Mzee Mwinyi ulikotoka ni mbili lakini unakokwenda ni karibu tena huko alitangulia Mungu wako Nyerere unaye mtii ,jitayarishe na majibu kwa Allah juu ya dhulma munaowafanyia Wazanzibari katika nchi yao.
...kali sana kama unamubali davista gonga like apo
Aliitwa mzee rukhsa kwasababu wakati wa Mwalimu Nyerere mahitaji mengi muhimu ya kimsingi kama chakula, sabuni na mahitaji mengineyo yalikuwa aidha kwa mgao au ni tabu sana kwa watu wa kipato cha chini kufaidika. Watu hawakuwa huru kuingiza na kununua mahitaji mengi hapo ndipo mzee Mwinyi alitoa rukhsa ya wananchi kuingiza na kununua chakula bila kikomo. Kila mwenye uwezo rukha hapo ndipo jina halisi la mzee Mwinyi lilizaliwa.
Poleni sana kama mnatutania
Mbona tunambiwa masultani wa zanzibar walikuwa hawasomeshi watoto wa kiafrika , tunaona mzee mwinyi amesomeshwa mpaka kumaliza ya juu chini utawala kisultani wa kiarabu wa zanzibar , jamani tumuogopeni ALLAH , tutakuja kulizwa kesho mbele ya ALLAH , uwongo na kueneza chuki
Pole sn mwinyi sio mzanzibar bali ni mtanganyika ni mtu wa mkowa wa bwani dar kulekea bagamoyo soma hitoria yke
Namkubali mzee Wang ana shida mzee ruksa
Bro una usauti ya kusimulia nzr salute
DAVIS Niliwahi kukwamb awali jinsi unavyo simulia yani dah upovizuri sana.
Tuwekee story ya kanali Allmahafoudh
Nzuri hiyo
Braza gambosh saangapi
🤭🤭🤭🤭🤭
Safi
Kuhusu kuzaliwa hapo umetudanganya kabisa hakuzaliwa bara bhn ni visiwan kisiwa cha UNGUJA ZANZIBAR
Amezaliwa bara
Usitupandikizie alikozaliwa ni tanganyika usiufiche ukweli
Hapana dogo ni mtu wa bala
Gambosh saangapi
Naomba historia ya Kenneth kaunda raisi wa zamani wa zambia
Asili ya wazazi wake ni wamalawi waliohamia Zambia ambapo huko Zambia ndipo alipozaliwa na kukulia mzee Keneth Kaunda
KING MATA AGAIN
Huyu jamaa aende akasome tena historia bado haelewi kitu asivamie tuu mambo
Ivi Abdu Jumbe alijiunzulu wapi?
Abdu Jumbe aliondolewa na Nyerere alitoka Zanzibar kuelekea Dodoma akiwa raisi lakini chaajabu hakurudi tena Zanzibar bali alipelekwa kifungoni hadi kufa ndio akarejeshwa Zanzibar akiwa maiti
Kama hujui ulikua ujue hilo pia sio kusema kua kajiunzulu
Mwinyi anaishi mikocheni.tena kunae kituo kinaitwa kwa mwinyi
Mambo. Acha uhongo wewe mwanamke
Ni kweli nilikua nikiishi nae jirani
Me nilikua nikifanya kaz kwa mwinyi na mzee alikua akija ofisin kwangu siku moja moja najia anaishi mikochen kwa mwinyi labda kam alihama lakin tuendelee kusikiliza
Kwanini aliitwa mzee wa ruksa.
Ali Hasan Mwinyi au Mzasa ni miongoni mwa mamluki wa Kitanganyika waliokosa radhi na walezi wao Zanzibar. Mzee Mzasa akishirikiana na waloewezi wenzako wa Kitanganyika chini ya maelekezo ya baba yao Nyerere kwa kutumia Muungano feki na mtutu wa bunduki ndio wanayoikalia Zanzibar bila aibu,wakiwaachia Wazanzibari wakiteseka kwa unyonge na umaskini .Bila aibu mzee huyu sasa yumo katika mchakato wa kumpelelka mwanawe akaimalize Zanzibar kwa ubaya alio nao dhidi ya nchi ya watu.Mzee Mwinyi ulikotoka ni mbili lakini unakokwenda ni karibu tena huko alitangulia Mungu wako Nyerere unaye mtii ,jitayarishe na majibu kwa Allah juu ya dhulma munaowafanyia Wazanzibari katika nchi yao.
Kweli kabisa
Hamna kitu kama icho, anaemchukia mwinyj ujue ana shobo na warabu, mwinyi mtu mwema wala hana shida yoyote,
@@mbaroukhmza2892 kweli kabisa anashobo na waarabu lakini ss kama wa zanzibar tunamuunga mkono
Wewe mpumbavu kama Una shobo na waarabu mjinga wewe mkubwa
C katika mafundisho ya kiislam kumuhukumu mtu yote ayajuaye Mwenyenzi Mungu
Ilikauje mzee mwinyi kaziliwa Tanganyika akaenda kuwa rais wa Zanzibar
Jiulize pia kuhusu asili ya wazazi wake
Man unakera unavyotangaza
Mataaaaaaaa