Hahahaha😄😄😄😄😄 eti mzee mwinyi alilala mwalimu akaamka Waziri ... Na yule mwenzangu alilala ndani adubuhi akaamkia chooni akaomba uhamisho wamtoe kijijini .... Hii kali kwelikweli
@@victoriabayo7704 alitutesa kweli wewe ni mtoto mdogo huwezi kujuwa Nyerere ndiye msababishaji wa madhila yote nchini nyerere anaondoka madarakani tanzania ilishafirisika kutokana na vita vya kagera ambavyo havikuwa na sababu youote bali alitaka kumrudisha rafiki yake Obote madarakani
Edgar umenikumbusha mbali sana kuhusu nguo za viraka na wakati wa kwenda kula unachwa na wenzako ulo shinda nao kucheka na kuitana ndio bala kama hutashika mitaa utasikia bro mama anatoka ama bro kabati latala kubwebwa hatari sana😢😢😢 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Licha ya ukweli mwingi, umasikini wa kutupwa haukuanza mwaka 1967 (baada ya Azimio la Arusha,), bali baada ya Vita ya kumuondoa Iddi Amin Dada (1979/80). Kumbuka msemo wa kufunga mikanda.miezi 18.
Jmn nimecheka Sana yote niyakweli nakupendaje my Brother 🙏😂 Daah watu wametoka mbali my Broo Denis yote tumeyakuta mengine tumeyasikia wazazi wetu wametuambia
Uongo mzito mnoooooo! Achana na story Za vijiweni my brother. Hasa hili suala la kwenda msikitini bila walinzi yani achana kabisa kusikiliza mambo ya vijiweni.
Dhambi kubwa ni yenye kuangamiza kivipi nafikiri ziko 7 kama sikosei na ya pili ni kukatili nafsi mwenye kuuwa Mungu kamtaja kuwa ni mwenye kuangamia siku ya hukumu ila atapofanya toba ya kweli na kuna amali nzuri Mungu hukulipa kabisa hapa duniani bila hesabu Mungu tulinde na adhabu zako tusiwe miongoni mwa siri ya sifuri.
Uko vizur katika kusimulia ila unaondoka nje ya point kwa muda mrefu sana.....unamuongelea Mwinyi ila dakika ya kumi sasa upo nje ya main story, punguza......
Enzihizo irikuabaraa wengine awajui hayo nyerere arituachia njaa sana uyu mzee acha arijitaidi sana sito msahau aritukomboa tv ariangaria nyerere kesho akiamka ana kwambia ariota
Nilimkataa marehemu mama angu kwenye foleni ya sukari kwenye duka la Ushirika ili tupate japo Sukari japo nusu kwa watu wawili yani mimi robo mama robo nilijikausha mpaka nilipewa mana mama alikua keshapewa sasa watu wanaijua family yetu ulikua mzozo wanguvu nililia kwa huzuni mgambo wenyewe wakasema mpeni uyo mtoto sukari aondoke dah hali ilikua mbayaa
#المهدي_المنتظر هو من سيقود #الملاحم الكبرى في آخر الزمان ومنها أكبر معركة في تاريخ البشرية كلها ضد المسيح الدجال ، فالإمام المهدي المنتظر هو عدوه وخصمه والمنقذ للبشرية من فتنته التي ستحدث قريبا في عصرنا وجيلنا هذا والتي يعد لها ويشحد القوة والجيوش منذ عصر آدم عليه السلام، ولولا فضل الله على الناس ورحمته ببعث خليفته الأخير الإمام المهدي لاتبع كل البشر الشيطان إلا قليلا بسبب أن المسيح الدجال هو نفسه إبليس الشيطان الرجيم الذي طلب من الله أن يُنظرَه في جنة الفتنة بعد خروج آدم منها، وليست جنة المأوى عند سدرة المنتهى، بل جنة لله من تحت الثرى في أرضنا التي نعيش عليها في الأرض المجوفة على شكل نفق ممتد داخل الأرض من القطب الشمالي إلى القطب الجنوبي وفي وسطه يوجد سد ذي القرنين، فالشيطان هو الذي كان حاضرا في جميع عصور الانبياء والمرسلين وما من نبي إلا وحذر قومه منه من فتنته، فهو واوليائه من المنافقين من يحرف جميع الكتب السماوية السابقة، فلما وجد القرآن الكريم محفوظا من التحريف حرف الروايات ونسبوا للرسول صلى الله عليه وسلم وصحابته كثيرا من الأكاذيب حتى اصبح المسلمين يصدقون أن #المسيح_الدجال أعور وأنه مكتوب على جبينه كافر وأنه يحيي ميتا ويتحكم في السماء ويأمرها فتمطر ويأمر الأرض فتنبت وأنها تأتمِر بأمره رغم أنه سيدعي الربوبية! رغم أن الله لا يمكن أن يؤيده بمعجزاته كما يؤيد أنبياءه ورسله ممن يَدعون للحق، فقد تحدى أهل الباطل جميعا أن يعيدوا روحا واحدة فقط لميت بعدما تبلغ الحلقوم إن كانوا صادقين في دعوتهم الباطلة!! وإنما سيستغل أحداثا عظيمة ستحصل في عصره ومنها البعث الأول الذي سيكون حصريا لمن يشاء الله من الكافرين من الأمم الأولى عسى ربهم أن يرحمهم ويهديهم بالمهدي المنتظر بعدما ذاقوا وبال أمرهم في كوكب العذاب جهنم التي سيعرضها الله للكافرين عرضا فتمر من فوق الأرض فيمطر عليها حجارة من سجيل ويظهر وينصر بها خليفته المهدي على كافة دول العالمين، فلولا بعث المهدي المنتظر لاتبع أغلب المسلمين #الدجال بسبب أنهم لن يجدوا أغلب ما يفتي به الشيوخ والعلماء من فتاوي مبنية على الظن والروايات المكذوبة في المسيح الدجال عند خروجه ..... ندعوكم للتدبر وقراءة البيانات المفصلة بتركيز والإطلاع عليها في الروابط أسفله بهذا الخصوص : ⬅️ سـرّ الأرض المجوفة والمسيح الدجال وياجوج وماجوج والمـاسونية و #ذي_القرنين وما إسمه وقصته المفصلة ومكان تواجد السّد الذي بناه ومن هما #هاروت_وماروت وكشف حقيقة ما يسمى بالمخلوقات الفضائية والأطباق الطائرة التي هي من أسلحة ومَركبات الدجال وجنوده :www.mahdialumma.com/showthread.php?20333 ⬅️ بيانات مفصلة عن الكوكب العاشر #الطارق النجم الثاقب كوكب العذاب النار سجيل سقر اللواحة للبشر nibiru planet x #نيبيرو بلانيت إكس:www.mahdialumma.com/forumdisplay.php?f=5 ⬅️ البيان المفصل عن #البعث_الأول في عصر المهدي المنتظر وخروج المسيح الدجال و #ياجوج_وماجوج والذي يسبق ويكون قبل البعث الثاني والشامل يوم يقوم الناس لرب العالمين:www.mahdialumma.com/showthread.php?t=1302 ________________ 🛑 حقيقة مثلث بمرمودا والأرض المجوفة: assafeena1.blogspot.com/2015/02/blog-post.html?m=1
.....✍ ILA ALOJIBU HOJA YA ZANZIBAR KUTAK SEREKALI NGAPI DODOMA. ALIKUWA RAMADHAN HAJI FAKI. ALOKUWA WAZIR KIONGOZ WA MWANZ ZANZIBAR. KATIK UTAWALA WA JUMBE. KAM SIKOSEI. NA WOTE WAKAPOTEZ VIBARUWA HAPO.
Kweli kabisa hata mke wake MAMA siti wanaroho nzuri ni baraa👍👍👍🙏🙏❤❤❤❤❤nawapenda sana .Pamoja na Mpangaze good good.
Allah Akujalie Mwisho Mwema Denis Mpagaze Na Annanias Edgar 35:42
Asante sana my brother from another mother
Hongera xn ananias Edgar kwa kutufaidisha kwa historian za viongozi ❤
You are best in narration 💪💪💪🎉🎉🎉
Kama unaangalia hii baada ya Mzee kufariki Dunia tujuane basi!!
Nipo hapa
Innalillahi waina ileyhi rajiun may Allah grant him janatul firdows
Ubarikiwe Sana. Na Mungu. Denis mpagaze
Best narrator ever keep up 💪🏾🔥
Allahumma IGHFIR-LAHU wa-RAHMHU wa-DIKHILHU FIL-JANNAT
Mzee historian ya Tanzania itakukumbuka kwa wema wako na kuwajali watu wanyonge kwa vitendo, Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu.
Yaani unavyoisimulia simulizi unaofafanua vizuri sana , that's why sipitwi na stori zako Ananias Edgar
Hongera ndugu Ananias, jinsi unavyo tangaza kwa umakini.
Kazi nzuri sana, Nakuhakikishia utafika mbali sana endelea kumuomba Mungu.
Nice ctor ,,unafanya kazi Bora Sana
Ananias we ni mnoma sanaaa. Tanzania umefika mbali sanaaa
Asante Kwa makala Haya ❤️🇰🇪🙌🏾🙏🏾
Respect kabisa unaweza sana kwa simulizi zako niko nchini burundi
Shukran
Ongera na Safi sana Mpangaze uko vizuri tuletee na mambo mengine tutayajue jaman.
Dah unafurahisha katika makala zako Ananias edger
ila Ananias Edgers akuna anaweza kufanishwa na wewe kwenye kusimulia na Sauti tuh🎉
Best narrator of all the time good job my brother 👏👏👏
Sauti tu😊😊🙌🙌Edgar weeee
Tanzani bora kwa lugha,hongera kaka
Ni kweli huyu mzee mimi nampenda sana.Mzuri sana
Nyerere aliharibu nchi
Saana na alimwachia Mwinyi mzigo mzito sana, hadi akairudisha kwenye neema zake..
Hahahaha😄😄😄😄😄 eti mzee mwinyi alilala mwalimu akaamka Waziri ... Na yule mwenzangu alilala ndani adubuhi akaamkia chooni akaomba uhamisho wamtoe kijijini .... Hii kali kwelikweli
Nyerere alitutesa sana ,mimi mmojawapo wa kupata kipande cha sabuni Mwinyi ongera sana na mungu akulinde sana kuingia kwako tukaanza kuvaa mawingu.
Nyerere hajatutesa ila uhaba wa vitu muhimu ulitokana kwa sababu ya vita ya Iddi Amini dada
@@victoriabayo7704 hhh
Nyerere hajatutesa hata kidogo ilikuwa ni uhaba vitu muhimu uliosababishwa vita vya Tz na ug
Yes mamii
@@victoriabayo7704 alitutesa kweli wewe ni mtoto mdogo huwezi kujuwa Nyerere ndiye msababishaji wa madhila yote nchini nyerere anaondoka madarakani tanzania ilishafirisika kutokana na vita vya kagera ambavyo havikuwa na sababu youote bali alitaka kumrudisha rafiki yake Obote madarakani
Asante sana mpagaze
Unaweza
Ngoja nisikilize kwa Makini Mana sijawah jutia bando langu kusikiliza nondo za hawa bwana
Wow..nipenda sana..naweza je kupata vitabu ?
Innalillahy wa innaillahy rajiun 😢😢😢 ( I came here after his death 😢 )
Huyu jamaa anasauti nzuri ya kusimulia Mungu amubariki
Asante
Yasemwayo ni kweli tupu, nimeyashuhudia, MUNGU akubariki Mpagaze
Edgar umenikumbusha mbali sana kuhusu nguo za viraka na wakati wa kwenda kula unachwa na wenzako ulo shinda nao kucheka na kuitana ndio bala kama hutashika mitaa utasikia bro mama anatoka ama bro kabati latala kubwebwa hatari sana😢😢😢
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nani bdo anasikiliza 2024 may Allah grant him janatul firdows from 🇰🇪
The best narrator ever Kudos!
mungu amlaze mahali pema
Nimekubali chama kinajali uezo na Nyota
Umenifuraisha san
Rest in power president aliongoza kwa wema 😢
Swadakta tuliyashudia hayo ya miezi 18 tufunge mikanda.
Licha ya ukweli mwingi, umasikini wa kutupwa haukuanza mwaka 1967 (baada ya Azimio la Arusha,), bali baada ya Vita ya kumuondoa Iddi Amin Dada (1979/80). Kumbuka msemo wa kufunga mikanda.miezi 18.
Jmn nimecheka Sana yote niyakweli nakupendaje my Brother 🙏😂 Daah watu wametoka mbali my Broo Denis yote tumeyakuta mengine tumeyasikia wazazi wetu wametuambia
Hali ilikua si hali tuacheni bwana .maisha yalikuwa balaa
Kabisa mzee rukhsa alitukomboa
Mimi nimezaliwa uongoz wa Mr Benjamin kwakwel hayo maisha sijayashuhudia
Mzee mwinyi ALIKUWA akienda miskitin bila ya walinzi pia ALIKUWA Imamu siku Za Ramadhani pale mba I moja Daresalaam
Acha uongo
Uongo mzito mnoooooo! Achana na story Za vijiweni my brother.
Hasa hili suala la kwenda msikitini bila walinzi yani achana kabisa kusikiliza mambo ya vijiweni.
Dhambi kubwa ni yenye kuangamiza kivipi nafikiri ziko 7 kama sikosei na ya pili ni kukatili nafsi mwenye kuuwa Mungu kamtaja kuwa ni mwenye kuangamia siku ya hukumu ila atapofanya toba ya kweli na kuna amali nzuri Mungu hukulipa kabisa hapa duniani bila hesabu Mungu tulinde na adhabu zako tusiwe miongoni mwa siri ya sifuri.
Nmeelewa bro
Halafu amejaliwa kuwa na nywere nyingi mzee wa ruksaa
Hongera mwinyi
Kujiudhuru? We mtangazaki huna matamshi mazuri
Duh kweli Tumetoka mbali aisee
Mhh course za kukaanga mboga🦸🦸🦸🦸
Good Good Mtunzi na Msomaji
Nice
Durham.... London???
Tuletee kisa cha mzee jumbe kuvuliwa uongozi na urais
Denis shukran uliyoyasema ni sadakta
something translition hidden inside through this word ukitaka kula lazima uliwe.this is The real transilation.GOD IS GOOD ALL THE TIME.
Kicheka na Watoto.....
Mpagaze Una upuuzi sana🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂sema nimekuelewa.. Ukimfanya Yesu wa dharula lazima akufanye wa subiri kufa😅😅😅😅😅😅😅😅uwiiiiiiih
Aliempiga kibao mwinyi alishatngulia mbele za haki alikufa
nashukuru kuna watu hawajui tulikotoka
Uko vizur katika kusimulia ila unaondoka nje ya point kwa muda mrefu sana.....unamuongelea Mwinyi ila dakika ya kumi sasa upo nje ya main story, punguza......
Asante sana kwaushauri mzuri. Tutaufanyia kazi.
I love you so much Ananias edigar
Asante sana.
Enzihizo irikuabaraa wengine awajui hayo nyerere arituachia njaa sana uyu mzee acha arijitaidi sana sito msahau aritukomboa tv ariangaria nyerere kesho akiamka ana kwambia ariota
Baba yetu aliyebaki Mungu ukubariki Mzee Ruksa
Allah ampe swihha njema na umri mrefu
Gunzi la mhindi au pembe ya ukuta ukweli mtupu 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
Historia imekuwa nzuri sana hii
Bro nawe kupata namba yako please
Nakukubali mwamba
R I P Babu yetu mpendwa
Deep
Si KUJIUDHURU..NI KUJIUZULU.....Kswahili kigumu!
Nawe pia upo wrong. Ni kujihuzuru
Kama mnataka Mimi kuendelea kuwafuatulia napenda sana wewe Ananias Edga kureport
Gongole brother
Sijafahamu Tz na Znz kwenye ufahamu anielezee
Tuliyaona uliyoyaongeya miyaka hiyo
halafu Leo unakuta kuna wajinga wanampa Nyerere sifa asizostahili,ametesa sana watz
Hawwjui historia hao ya Tanzania, ila wanaolewa tunajua hii nchi huyu Mzee Mwinyi ndio aliiokoa maana ilikua inaelekea kua Jahannam ya duniani..
Apelekwa Zanzibar akitokea wapi
Mkuranga
Nilimkataa marehemu mama angu kwenye foleni ya sukari kwenye duka la Ushirika ili tupate japo Sukari japo nusu kwa watu wawili yani mimi robo mama robo nilijikausha mpaka nilipewa mana mama alikua keshapewa sasa watu wanaijua family yetu ulikua mzozo wanguvu nililia kwa huzuni mgambo wenyewe wakasema mpeni uyo mtoto sukari aondoke dah hali ilikua mbayaa
Yaani hujaweka uongo hata kidogo ndivyo hali ilivokuwa mwendo wa kuruka mbele kwa mbele.
😂😂😂😂😂
Kaka nakutakiya heli yamwaka mumpya
Sana qaq naqkubal San kaz zak ananias
Nyerere watu waripanga ugawaji kiraduka gari zaugawaji zirikua zinafanana sasa ikaja gari kamaiyo sema irikua sio tunayojua kwaire iribeba jeneza watu warikibiria yani wee acha
DENIS MWISHO HII STORY NIMECHEKA SANA ULIYAONGEA MWISH YOTE KITU NA BOX 😂😂 WATOTO AWAJAYAONA😂
KAKA MNABUSARA KIASI TUNAFIKIRIA KUKUCHAGYA WAKATI UJAO
Hapo kwenye gunzi na kona ya ukuta hapo haaahaaaahaaa
no fear, usiwe na wasiwasi hahaha
Sasa mpagaze hapo maisha ni ya mwinyi au watanzania kkkkkkkkkkkk
Asam Oil oyeeee❤
Nasikia babu mwingi alipata civics 100% na hajawahi tokea mtu kupata ivo mpk hivi leo 🤣🤣🤣🤣🤣 ni hatar
😅😅
Du nayakumbuka sana haya yote
A
#المهدي_المنتظر هو من سيقود #الملاحم الكبرى في آخر الزمان ومنها أكبر معركة في تاريخ البشرية كلها ضد المسيح الدجال ، فالإمام المهدي المنتظر هو عدوه وخصمه والمنقذ للبشرية من فتنته التي ستحدث قريبا في عصرنا وجيلنا هذا والتي يعد لها ويشحد القوة والجيوش منذ عصر آدم عليه السلام، ولولا فضل الله على الناس ورحمته ببعث خليفته الأخير الإمام المهدي لاتبع كل البشر الشيطان إلا قليلا بسبب أن المسيح الدجال هو نفسه إبليس الشيطان الرجيم الذي طلب من الله أن يُنظرَه في جنة الفتنة بعد خروج آدم منها، وليست جنة المأوى عند سدرة المنتهى، بل جنة لله من تحت الثرى في أرضنا التي نعيش عليها في الأرض المجوفة على شكل نفق ممتد داخل الأرض من القطب الشمالي إلى القطب الجنوبي وفي وسطه يوجد سد ذي القرنين، فالشيطان هو الذي كان حاضرا في جميع عصور الانبياء والمرسلين وما من نبي إلا وحذر قومه منه من فتنته، فهو واوليائه من المنافقين من يحرف جميع الكتب السماوية السابقة، فلما وجد القرآن الكريم محفوظا من التحريف حرف الروايات ونسبوا للرسول صلى الله عليه وسلم وصحابته كثيرا من الأكاذيب حتى اصبح المسلمين يصدقون أن #المسيح_الدجال أعور وأنه مكتوب على جبينه كافر وأنه يحيي ميتا ويتحكم في السماء ويأمرها فتمطر ويأمر الأرض فتنبت وأنها تأتمِر بأمره رغم أنه سيدعي الربوبية! رغم أن الله لا يمكن أن يؤيده بمعجزاته كما يؤيد أنبياءه ورسله ممن يَدعون للحق، فقد تحدى أهل الباطل جميعا أن يعيدوا روحا واحدة فقط لميت بعدما تبلغ الحلقوم إن كانوا صادقين في دعوتهم الباطلة!! وإنما سيستغل أحداثا عظيمة ستحصل في عصره ومنها البعث الأول الذي سيكون حصريا لمن يشاء الله من الكافرين من الأمم الأولى عسى ربهم أن يرحمهم ويهديهم بالمهدي المنتظر بعدما ذاقوا وبال أمرهم في كوكب العذاب جهنم التي سيعرضها الله للكافرين عرضا فتمر من فوق الأرض فيمطر عليها حجارة من سجيل ويظهر وينصر بها خليفته المهدي على كافة دول العالمين، فلولا بعث المهدي المنتظر لاتبع أغلب المسلمين #الدجال بسبب أنهم لن يجدوا أغلب ما يفتي به الشيوخ والعلماء من فتاوي مبنية على الظن والروايات المكذوبة في المسيح الدجال عند خروجه ..... ندعوكم للتدبر وقراءة البيانات المفصلة بتركيز والإطلاع عليها في الروابط أسفله بهذا الخصوص :
⬅️ سـرّ الأرض المجوفة والمسيح الدجال وياجوج وماجوج والمـاسونية و #ذي_القرنين وما إسمه وقصته المفصلة ومكان تواجد السّد الذي بناه ومن هما #هاروت_وماروت وكشف حقيقة ما يسمى بالمخلوقات الفضائية والأطباق الطائرة التي هي من أسلحة ومَركبات الدجال وجنوده :www.mahdialumma.com/showthread.php?20333
⬅️ بيانات مفصلة عن الكوكب العاشر #الطارق النجم الثاقب كوكب العذاب النار سجيل سقر اللواحة للبشر nibiru planet x #نيبيرو بلانيت إكس:www.mahdialumma.com/forumdisplay.php?f=5
⬅️ البيان المفصل عن #البعث_الأول في عصر المهدي المنتظر وخروج المسيح الدجال و #ياجوج_وماجوج والذي يسبق ويكون قبل البعث الثاني والشامل يوم يقوم الناس لرب العالمين:www.mahdialumma.com/showthread.php?t=1302
________________
🛑 حقيقة مثلث بمرمودا والأرض المجوفة: assafeena1.blogspot.com/2015/02/blog-post.html?m=1
Maduka yaushirika kupanga foleni
Alijiuzuru mwaka 1976! hapa Denis Mpagazi umekosea!! sababu ilikuwa mauji ya mahabusu huko Mwanza!!
Yalikua mauji ya vikongwe huko shinyanga.
.....✍ ILA ALOJIBU HOJA YA ZANZIBAR KUTAK SEREKALI NGAPI DODOMA. ALIKUWA RAMADHAN HAJI FAKI. ALOKUWA WAZIR KIONGOZ WA MWANZ ZANZIBAR. KATIK UTAWALA WA JUMBE. KAM SIKOSEI. NA WOTE WAKAPOTEZ VIBARUWA HAPO.
Ha ha ha haaaaa, Denis MUNGU anakuona, kona ya ukuta au gunzi.
Hahahhaa