Mwimbieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wake,tukuzeni sifa zake Mungu mkuu......matendo yako yanatisha kama niniiiiiiiii tukuzeni sifa zake Mungu Mkuu.Nyimbi hii ukiimbwa kanisani,kanisa lote linalipuka kwa shangwee hasa watu wazima wa miaka ya nyuma lazima waimbe.Naziomba kwaya zijaribu kuimba nyimbo zinazoweza kuibwa na kanisa lote.Mubarikiwe wanakwaya kwa wimbo huu
Mimi ni msabato naufurahia saana uimbaji huu maana unanibariki na kunifanya ni focus kwenye ujumbe zaidi. Mungu wa mbinguni akawabariki na kuwainua mpaka mshangae 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Sauti zote zinasikika Grab your earphone , thank me later 🤗 Mtukuzeni sifa zake Mungu mkuuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hivi kwa nyimbo kama hizi, nzuri namna hii, hivi bado utaniambia shetani bado yupo, kweli? Atakuwa amekimbilia mbali mno hata hataki kuzisikia hizi sauti. Hakika Mungu ametamalaki. Mr.Tumaini, hai Meku, hongera kwa Kinanda murua.
I remember attending Mass at St. John the Evangelist Church, Langa'ta Nairobi as a young seminarian. Even in the next life I will still proud to be a Catholic, and a Catholic priest for that matter. God bless your beautiful voices.
Ninayoweza sema kwa sasa, mungu nimekuona,nimeuona mkono wako. Mama Maria, asante kwa kuniombea. Nimeiona miujiza. Mungu matendo yako yanatisha,Asante,ndio ipo tu moyoni mwangu.Mungu assante.
TYK Wimbo huu nimeanza kuusikia mwaka 1996 you can imagine nikiwa mdogo sana lakini hadi leo sichoki kuusikiliza...Hakika Mungu wetu ni mkuu na matendo yake yanatisha.
awwww ❤️ ❤️ 💕 🙌👏 Zaburi 66:1-8 [1]Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, [2]Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake. [3]Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako. [4]Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako. [5]Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu; [6]Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko mlikomfurahia. [7]Atawala kwa uweza wake milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao. [8]Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu, Itangazeni sauti ya sifa zake;
Mko juu sana kwaya ya mt boniface sombetini, mungu azidi kuwainua kwenye uimbaji wenu, namwona Hugo akidunda big up, mwambieni Mungu matendo yake yanatisha km nn, Rajo ni production ni noma big up
Rajo Mungu aendelee kukutumia kueneza injili yake.Ina bariki sana kuona kazi ya mungu inapambwa na kutengenezwa kwa ujuzi mkubwa,hongereni pia familia ya mt. Boniface kwa kazi nzuri hakika mmefanya vizuri mungu awabariki nyote.
Safi sana kuziweka nyimbo za zamani kwenye digital platforms. Nyimbo zote zirudiwe jamani, kuna hazina kubwa sana ya hitsongs za kikatoliki hazipo kwenye mtandao. Nimefurahi sana kuuona huu wimbo ukiwa umeimbwa bila kuharibu origin yake 👏👏👏🙏
Hii ndio nyimbo na sauti sisi wakatoliki tumezizoea sio yule mukasa anaharibu nyimbo za Katoliki kwa kuimbia kooni. Hongereni sana, Such an amazing Song God bless you all
Wakatoriki wote tumsifu yesu kristo
Pumzika kwa amani mtunzi wa wimbo huu Felician Nyundo,umeendelea kutuinjilisha japo haupo ktk uso wa dunia.
Wimbo bora kabisa
May his soul continue resting in peace
I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds me of this beautiful song
😂❤❤
Unyenyekevu100%
Utulivu100%
Mavazi100%
Najivunia kuwa Catholic
Kazi nzuri, ujumbe mzuri nabarikiwa Sana🙏🙏🙏
Asante sana ubarikiwe
@@juniorchilongola2191 Asante pia
Thank you🙏
@@juniorchilongola2191 %
Amina
Mwimbieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wake,tukuzeni sifa zake Mungu mkuu......matendo yako yanatisha kama niniiiiiiiii tukuzeni sifa zake Mungu Mkuu.Nyimbi hii ukiimbwa kanisani,kanisa lote linalipuka kwa shangwee hasa watu wazima wa miaka ya nyuma lazima waimbe.Naziomba kwaya zijaribu kuimba nyimbo zinazoweza kuibwa na kanisa lote.Mubarikiwe wanakwaya kwa wimbo huu
Aminaa sana
2024 bado tunasikia?
Mimi hapa
Naipenda dini yangu Roman Catholic Jimbo la Arusha,parokia ya sombetini😘😘😘
Mimi piaa najivunia kuwa mkatoliki. Representing 254
Barikiwa
Amen God is greater
Anaye sema catholic hatuna Prise and worship aendelee kujidanganya hivyohivyo nafsi yake
Likes za Kuwakilisha Kenya zije...
Hakika matendo yake yanatisha
BG and ytnbvn are you ng
Tuko ndani
Mit maratari
From Kisumu,,,,ndaaaani
Mimi ni murundi .Nabarikiwa sana nanyimbo nzuri kama hizi .Hongereni sana waTanzania.Tumsifu Yesu Kristu
Milele Amina
Milele Amina Nzambimana
Nyimbo nzuri
I had never get tired listening to this song... Sometimes I even shed tears, Matendo ya Mungu Ni makuu daima... Mbarikiwe Sana sana
Weee nindakuona
Jkii
Your blessed
Mimi ni msabato naufurahia saana uimbaji huu maana unanibariki na kunifanya ni focus kwenye ujumbe zaidi. Mungu wa mbinguni akawabariki na kuwainua mpaka mshangae 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Sauti zote zinasikika
Grab your earphone , thank me later 🤗
Mtukuzeni sifa zake Mungu mkuuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
Amen
Mungu akubariki pia
amen
Amina
Hivi kwa nyimbo kama hizi, nzuri namna hii, hivi bado utaniambia shetani bado yupo, kweli? Atakuwa amekimbilia mbali mno hata hataki kuzisikia hizi sauti. Hakika Mungu ametamalaki. Mr.Tumaini, hai Meku, hongera kwa Kinanda murua.
Piga kelele Mwambieni Mungu Matendo Yako yanatisha kama nini Mbarikiwe sana sna kwa kazi nzuri
I remember attending Mass at St. John the Evangelist Church, Langa'ta Nairobi as a young seminarian. Even in the next life I will still proud to be a Catholic, and a Catholic priest for that matter. God bless your beautiful voices.
Be blessed Fr🙏
@@happymichael3821 thanks. Be blessed too
Amen,🙏🏼❤️
p
Alikba
Utunzi wake Felician Nyundo
SIYO NYIMBO ZA MASEBENE, MAJASHO, HIZI NDIZO NYIMBO ZA IBADA BE BLESSED SAAAANA
Asante Kwa wimbo mzuri👍👍❤❤
Ninayoweza sema kwa sasa, mungu nimekuona,nimeuona mkono wako. Mama Maria, asante kwa kuniombea. Nimeiona miujiza. Mungu matendo yako yanatisha,Asante,ndio ipo tu moyoni mwangu.Mungu assante.
Utukufu wako Mungu n mkuu ,tukuzeni sifa zake Mungu mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Inanibariki sana hii nyimbo najikuta namtukuza Mungu na ukuu wake ni MKUU.🥰🙏
Sauti tamu mafazi nzuri unyenyekevu ...utaratibu mzuri.. MUNGU azindi kuwabariki
kila ninapousikia huu wimbo mwili unanisisimka, Mungu amrehemu mtunzi mwalimu F.A NYUNDO
Waooooo,matendo ya mungu yanatisha kama nini
Hongereni sana wanakwaya mmeutendea haki na mmependeza sana ❤
Kazi nzuri waimmbajii wazuri hakii najivunia ukatoliki wangu💥💥💥💥
Najivunia kuwa mkatholic nawapenda sana waimbaji mko vizuri utulivu asilimia Mia, Mungu awabariki
TYK Wimbo huu nimeanza kuusikia mwaka 1996 you can imagine nikiwa mdogo sana lakini hadi leo sichoki kuusikiliza...Hakika Mungu wetu ni mkuu na matendo yake yanatisha.
🎉
May God Bless everyone who listens to this beautiful song.Amen🙏
awwww ❤️ ❤️ 💕 🙌👏
Zaburi 66:1-8
[1]Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
[2]Imbeni utukufu wa jina lake,
Tukuzeni sifa zake.
[3]Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini!
Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako,
Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
[4]Nchi yote itakusujudia na kukuimbia,
Naam, italiimbia jina lako.
[5]Njoni yatazameni matendo ya Mungu;
Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
[6]Aligeuza bahari ikawa nchi kavu;
Katika mto walivuka kwa miguu;
Huko ndiko mlikomfurahia.
[7]Atawala kwa uweza wake milele;
Macho yake yanaangalia mataifa;
Waasio wasijitukuze nafsi zao.
[8]Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu,
Itangazeni sauti ya sifa zake;
Was reading the Bible n found out this song is from psalms 66 (zaburi 66) no wonder i love it so much 😇
Amen
jamani kwa kweli mmeimbaaaaa,atukuzwe mungu milele na milele matendo yake yanatisha kama nini hakika ni mkuu
Hujawahi Fanya makosa Rajo hongera broo
Asante sana....
KAKA RAJO NAOMBA NAMBA YAKO 0713060003 NAPATIKANA MOSHI ASNTE PLZ
@@gettoboytz4879 0758988827
Wimbo mzuri, kuna haja pia ya kurudia nyimbo nyingine za zamani
Mko juu sana kwaya ya mt boniface sombetini, mungu azidi kuwainua kwenye uimbaji wenu, namwona Hugo akidunda big up, mwambieni Mungu matendo yake yanatisha km nn,
Rajo ni production ni noma big up
Hatimae nimeupata huu wimbo baada ya kuutafuta kwa mda mrefu!!!
Rajo Mungu aendelee kukutumia kueneza injili yake.Ina bariki sana kuona kazi ya mungu inapambwa na kutengenezwa kwa ujuzi mkubwa,hongereni pia familia ya mt. Boniface kwa kazi nzuri hakika mmefanya vizuri mungu awabariki nyote.
KAZI NZURI
Mko vizuri sana
Kwakweli wimbo mmeutendea haki, Roho wa Mungu awe nanyi daima, na mdumu katika UTUME. Barikiwa nyote
Maneno matamu sana na wimbo unabariki sana
Mungu akubariki sana watumishi wako hawa kwa kulitanganza jina lako kwa nyimbo mama bikira maria yesu kristor wangu uwa simamie katika imani
Hongeren wana Boniface mpo juu sanaaaa
Huu wimbo hakika unahifadhi amani katika nyoyo zetu.pongezi Sana.
Thank you for leading us in kumwimbia Bwana kelele za shangwe 😍😍🇰🇪🇰🇪
Hongereni sana kwautume wenu mwenyezi mungu awabariki sana
hongereni sana watoto wangu kazi nzuri mmno Mungu azidi kuwaimarisha siku hadi siku ili injili yake isonge mbele
Hakika kazi nzur hongeren sombetin marafik zangu...hongera rajo production wimbo ni mzur na unanikumbusha mbal sana
Kweli ukifikiria matendo ya Mungu yanatisha sana!
Hongereni sanaaaaa, huu wimbo nimeutafuta mda mrefu sana hatimae nimeupata , asanteni mbarikwe
Matendo yako yanatisha kama nini Mungu mkuu! Halleluhya
Radhaa ya mzikiiii kaz nzurii utume wa uimbaji hata mbinguni.
Wimbo wa karne zote.....Hauchuji hata kidogo, pongezi sana Wanakwaya wetu mmeimba vizuri sana....Mbarikiwe kwa kazi njema ya uinjilishaji.👍👍
Moja ya nyimbo nilizowahi kuzipenda na imedumu kwa muda sana
Dah, nimeishiwa maneno ya kusema, ila hongereni mno. Organist kunywa soda nakuja kulipa.
Tunamshukuru Mungu... Asante kwa comment yako Ndugu yetu Melkiory Marandu.
Rajo mbarikiwe sana kwa kazi zenu zuri sana
Mungu mnae mtumikia awape nguvu muitangaze injili yake kwa bidii
Jamani huu wimbo ni wa motooo!! Kila mtu amefanya sehemu impasayo kwa uzuri. Wimbo unagusa sana huu, Mungu awabariki sana.
Mungu awabariki 🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️
Sifa kwa Yesu Kristo. Hongereni nyote,
Hongereni sana kwa kuyatumia vizur maarifa mlio pewa na MNGU ujumbe mzir sana MNGU awazidishie zaid najivunia kuwa mkatorc
Wimbo mzuri,Sauti tamu na zakupendeza sana.
Katika mto walivuka kwa miguu, AMEN.
Nami nitatangaza aliyonitenda ahimidiwe mungu mkuu
Nimebalikiwa sana nawimbo huu,wakatoriki tupende vyakwetu nivitamu sana
Ee mungu wangu. Nibariki nawimbo huu mtakatifu. Proud to be catholic
Mungu awabariki kwa wimbo huu nzuri na wenye kumsifu mungu.salamu ziwafikie mlipo.from congo Kinshasa.
Hakika kweli mungu ni mkuu,kazi nzuri sana na nawapenda wote mlioshiriki kwa moyo🥰🥰🥰🥰🥰
nostalgic inanirudisha Kanisa la Bikira Mama wa shime Makupa.....naskia harufu tamu ya ubani
Woooww nyimbo nzur sana mbarikiwe wanakwaya wa Mt bonifance sombetin
Hakina kupitia huu wimbo nilipata namna nzuri yakuendelea kutukuza ukuu wa Mungu kwa anayonitendea😊
T. Swai kinanda safi kabisa!
Safi sana kuziweka nyimbo za zamani kwenye digital platforms. Nyimbo zote zirudiwe jamani, kuna hazina kubwa sana ya hitsongs za kikatoliki hazipo kwenye mtandao. Nimefurahi sana kuuona huu wimbo ukiwa umeimbwa bila kuharibu origin yake 👏👏👏🙏
Wimbo mtamu ajabu... Studio nazo mnajua mnachofanya Kongole!
Wimbo huu alikuwa akiupenda marehemu baba yangu
Wimbo mtamu, sauti nyororo hakika
Mbarikiwe kwa kazi nzuri munayoifanya🙏🙏
Raymond hongera sana kwa utendaji wenu hapo RAJO Production,
Asante sana Saimon
Hakika matendo yake Mungu yanatishaa! Hongereni mnooo kwa uimbaji mzuri.Mwalimu Nyundo Mungu akutunze.
Asante
Hii ndio nyimbo na sauti sisi wakatoliki tumezizoea sio yule mukasa anaharibu nyimbo za Katoliki kwa kuimbia kooni.
Hongereni sana, Such an amazing Song God bless you all
Kumbuka sisi sote tumepewa karama tofauti, sauti zote zamsifu mungu!. Leta yako na kwa hakika tutakushangilia
Da safi sana kaka! rajo unatisha mzeeeee!
Hivi hao wanaosubutu kudslike wimbo mzuri kama huu wanatumwa au hawajui kutofatisha hawa ndo wale tunaambiwa kura zao zimeharibika sio bure
They are trying to download
Hakika Mungu aendeleee kuwabariki ktk kazi ya kumtukuza yeye daima
Njooni tazameni , matendo ya Mungu.......tukuzeni sifa zake Mungu Mkuu! This choir is one of God's own miracles, wonderful song!
Mbarikiwe Sana kwa uinjilishaji najivunia kuwa mkatoliki pia
Matendo yako kwel yanatisha Mungu. Utukuzwe Mungu mkuu♥️ amina
Tuliimba 1985 alipopata katika misa ya Upadirisho bado hauchijiii. Mbarikiwe wana wa Mungu kwa kumwimbia Bwana.
Hakika matendo yako yanatisha kama nini... Tutakutukuza daima Mungu mkuu..
Asanteee sana kaka Ray Ufunguo..
Salaam kutoka Berlin Ujerumani....
Safi Sanaaa
Nawapata vizuri toka Ngusero, Mungu awabariki
Yaani nikiamka lazima niusikilize mmejitahidi sana kuimba na mmeutendea haki wimbo mpiga kinanda ndo kafanya vizuri pia
Asanten kwa kutukumbusha enzi zileeeeee pongez pia kwa injinia Mpiga Kinanda namkubali kinoumaaaaaa sana
Saluti Rajo production
Matendo ya mungu yanatisha kweli akisma amesema mungu awabariki sana
🙏Mwambieni Mungu matendo yake yanatisha Kama nini
Hongera sana kwa utume ulio tukuka. Nimependa sana wimbo wenu umebeba tafakati. Nzito. Mungu endelea kutunza vijana Hawa.
Hongeren sanaaaa mmeutendea haki
Mimi sio wa dunia hii .... I like this song deadly
Tamu sana naipenda mno hongereni sana jamani watumishi wa mungu
Nitaziimba milele na kutukuza sifa zake Mungu. Amina
Very nice,be blessed dearly wimbo mzuri mavazi mazuri sauti nzuri mko ..mmebarikiwa sana
Matendo Yake yatisha sana..
I felt the presence of the Holy Spirit when listening to this annointed song..Utukuzwe na Uhimidiwe ee Mungu🙏🏼🙏🏼
Amen!
Sauti za malaika wanaotangaza ufalme wa Mungu, hongera kazi njema
Daah... Nimeirudia mara kibao sijachoka kuitazama,,,,mungu awabariki sana!!
Napenda huu wimbo sana. Bwana Mungu atukuzwe na azidi kupewa sifa kila siku ya maisha yetu.
Mungu awaongezeye vipaji waimbaji wazuri sana
Wimbo mtamuu sana zaidi ya yote ujumbe wake amiinaa