Sikiliza quality ya Audio, Mziki umepangiliwa, kila ala inasikika, sauti za waimbaji zimechambuka vilivyo, Ubunifu uliopo kwenye video ni viwango vya juu mno. Quality ya video ndio usiseme. Ni kiwango cha juu kabisa. Tuseme Tu kwamba Hii Kwaya wamefanya Kazi kubwa mno. Mungu awainue Sana. RAJO PRODUCTIONS, you are the best Kwa kazi hizi. Ulizaliwa kutimiza haya na Kwa Africa huenda huna mpinzani. Kudos..
@@alximam5944 This song is about the vineyard of the Lord. The chorus is from Isaiah 5:7, the first verse from Psalm 80:8, the second verse from Psalm 80:11, the third verse from Psalm 80:13. I hope I've tried to help you, but I'm not very good at English.🙏🙏
Wimbo kama huu uliimbwa na wanakwaya wa kanisa Katoliki kigango cha Nyakimwe-Kigoma siku ya mazishi ya Mwanangu Abel mwezi November 2023..wimbo huu ulitufariji sana wafiwa.Mungu awabariki sana.
Alfajiri nikiamka, mchana nikiwa kazini na jioni nikirudi nyumbani, huwa ninabarikiwa na huu wimbo aiseee, MUNGU hunimiminia Baraka tele kupitia wimbo huu, ninawasifu wote walioshiriki kwenye wimbo huu...
Ahsanteni sana waimbaji... Hilo sauti ya tatu na nne vile wanatamka..." NDILO NYUMBA"...sauti ya pili na ya Kwanza vile wanatamka.. NYUMBA YA ISRAELI Mtunzi wa huu wimbo Hongera. Wanakwaya wote Hoye. Kwa kweli nimefarijika. Mcheza Kinanda..Dole kwenu. Quality Production.
Ukisikia Ng'ombe hazeeki maini ndo hii sasa RAJO PRODUCTION mnatoaga video zenye quality bora sana. Big up to you brother. Great thanks also to the singers may the almighty God bless you 🙏
Rajo nakumbuka tuliwa kuonana mbeya wakati ulipokuja kwaajili ya kazi ya JMC, I appreciated you, and I had a gift for you, unfortunately hatukuweza kuonana. But you are best video producer and director currently wa gospel songs. Nakukubali Sana mwamba. Endelea kutupa mzuki mzuri always na Mungu atukuzwe na akubariki kila wakati.
Haya, naenda kula sasa, nimeshasema nitausikiliza kila siku. Comments zangu nimeshaandika zaidi ya 4, duh, Mtunzi, waimbaji, kamati ya ufundi, mpiga kinanda, mavazi ya kitanzania... Bip up sana to you all
Waimbaji wapendwa hongera sana kwa kazi njema,tuna jengwa sana na mafundisho tenu kwa nyimbo zenu.sasa nawaomba muni saidiye ni pâte samary ya yimbo hiyi(texte).Mimi ni muimbaji wa kwaya ya mtakatifu Yusufu kutoka DR congo
Duh, jamani yaani sijui nisemeje. Sauti zote zinasikika moja baada ya nyingine, hongera kwa mpiga kinanda na zana za kiutamaduni zilizotumika na mavazi ya Ki bantu. Big up sana kwa Mtunzi
Huu wimbo nitakuwa naandika comments kila nikiusikiliza, naomba msinichoke. Huyu Mtunzi basi apewe tuzo inayostahili, waimbaji, kamani ya ufundi, mpiga kinanda na designer wa mavazi. Big up wooote
Sikiliza quality ya Audio, Mziki umepangiliwa, kila ala inasikika, sauti za waimbaji zimechambuka vilivyo, Ubunifu uliopo kwenye video ni viwango vya juu mno. Quality ya video ndio usiseme. Ni kiwango cha juu kabisa.
Tuseme Tu kwamba Hii Kwaya wamefanya Kazi kubwa mno. Mungu awainue Sana. RAJO PRODUCTIONS, you are the best Kwa kazi hizi. Ulizaliwa kutimiza haya na Kwa Africa huenda huna mpinzani. Kudos..
Amina sana. Mungu awabariki watu wake..
help me with the words. thanks
Natamani kuingia choir
@@alximam5944 This song is about the vineyard of the Lord.
The chorus is from Isaiah 5:7, the first verse from Psalm 80:8, the second verse from Psalm 80:11, the third verse from Psalm 80:13.
I hope I've tried to help you, but I'm not very good at English.🙏🙏
Nimetii
Wimbo kama huu uliimbwa na wanakwaya wa kanisa Katoliki kigango cha Nyakimwe-Kigoma siku ya mazishi ya Mwanangu Abel mwezi November 2023..wimbo huu ulitufariji sana wafiwa.Mungu awabariki sana.
A nice piece and one of favourites. God bless you abundantly
Kazi safi👏👏👏👏
Dingii and team 💪💪
Thank you Catherine.. Ubarikiwe sana
Penda sana, hongereni , mnatuheshimisha wakristo wakatoliki Hadi raha.
Kazi safi kama kawaida Dingii😃💥👏
Asante sana Dingii. Naisubiri kazi yenu...
@@rajopro dingii tuko ready kabisa!
@@rajopro I can't get enough of it pamoja na wimbo wa ndivyo alivyo.....nipee link ya kudownload audio
Asanteeeeni🙏🙏🙏
Hii wimbo haijidownload na naipenda sana
Dingii kazi safii sana ...May God bless the work of your hands💥💥💥 pongezi wanakwaya pia....##rajo milele
Thank you Kipchunba
Hongera mtunzi, wanakwaya na studio na walezi wa kwaya.Ole wetu sisi tusiotoa sauti yetu kumwimbia Bwana wa majeshi aketiye juu!
Yan nyie mtabarikiwa mpaka vizazi vyenu
Hongera kwa Wanakwaya, mcheza kinanda na Production team. Kazi safi ✅ 💯. 🇰🇪 🇹🇿
Asante sana my Friend David Sinange.. Ubarikiwe
Asante sana my Friend David Sinange.. Ubarikiwe
We plead the Blood of Jesus to cancel All the powers of Darkness in our lives
Kazi tamu sana🔥❤️...hongera kwa mtunzi, wanakwaya na RAJO productions
Ubarikiwe sana Linet Sidi.. Kazi yenu ikifika tutafanya wonders...
@@rajopro tunaingoja sana. Naamini itakua zaidi ya amazing
Moto saaana 😍😍😘😘😘
Kazi amazing 💥💥👏👏👏🥳
Asante sana
Keep up the good work. 🥰🥰 Kazi safi kabisa. 🔥🔥❤️
Asane Hildah. Mungu akubariki
Kazi nzuri hongera mwalim Thomas mungu akubariki kwa wimbo mtamu awabariki na waaimbaji
Asante sana
Napenda nyimbo za choir za Tanzania kazi safi Ila mimi Ni mkenya
Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥🔥nimeipenda sana🥰🥰🥰inabariki na inachangamsha Mungu azidi kuwainua kwa kazi yake 🙏
Mungu abariki kazi yenu ya uunjilishaji Kwa nyimbo.
Mbarikiwe Mungu azidi kuwaongezea nguvu na neema ktk kuhubiri kwa njia nyimbo 🎓🎓
Ubarikiwe pia. Mungu akuinue zaidi na zaidi.
Kazi Safi Ray😍 ubarikiwe
Asante sana Dingii ..
kanzi nzuri big up
Hongera sana kwa nyimbo nzur
Alfajiri nikiamka, mchana nikiwa kazini na jioni nikirudi nyumbani, huwa ninabarikiwa na huu wimbo aiseee, MUNGU hunimiminia Baraka tele kupitia wimbo huu, ninawasifu wote walioshiriki kwenye wimbo huu...
Kazi safi iliyoandaliwa na watu safi!!! Safi sana Ray na wote walioshiriki kutengeneza huu wimbo👏👏🙏🙏
Uzidi kubarikiwa sana John
Ray mungu mwenye nguvu na azidi kujifungulia katika biblia takatifu kutunga nyimbo.karibu kisii Kenya st. Ann town parish
Shamba la mizabibu nyimbo nzurii mpka sare beat la nyimbo na mdundo ndo balaaa very blessing ❤️♥️❤️♥️♥️♥️❤️❤️❤️
Shukrani sana Rose
Wamenibariki kweli.Wanaimba vizuri sana
bet ya mwisho inanivutia sana sauti nzuri sana
Napenda hapo base wanaposema nyumba + their impressions 🔥 🔥
Hapo ni ukweli kabisa
🥰🥰I should get someone already from this choir we be singing together 😸
always nmekuwa mshabiki wa RAJO PRODUCTIONS,Mungu mwema azidi kukulinda kaka Ray Ufunguo na akutumie vema kupitia karama aliyokujalia💖💖💖
Tunashukuru sana Faustina kwa kuzipenda kazi zetu. Mungu akubariki sana.
@@rajopro Amina, nanyi Mungu awabariki🙏🙏
Joseph
Hongeren viongoz na wana kwaya kwa ujumla kwa kaz nzur hakika mmeweza Mungu awa bariki
Shukrani sana Alkado
Hahahaha!nyimbo tamu saan hii saaf saan kwa mtunzi mwalim Thomas,.
Baraka ziwe Juu yako Cosmas
Natabasamu kila nikiutazama wimbo huu.❤🎉Audio & video are of high quality. Keep it up Bwana Ray Ufunguo. Hongereni sana waimbaji
Ray ufunguo wewe ni matamanio yangu kwa uimbaji
Nyimbo Zako zanifariji nilipo mjini Kenya barikiwa.
Oooh. Asante sana Teresia.. Wasalimu sana Kenya.
Father please we come Boldly to your throne of Grace Mercy and Grace to help in this time of Need
Rajo productions,that's a good one!Congrats sanaaa.Mbarikiwe sana mpaka mshangae!!!
Mungu bariki wana wako wakutumikie kwa moyo wa Upendo siku zote
Asante sana Getrude
ubarikiwe sana kaka Ray kamwe hujawahi kukosea kaka mungu akuzidishie kaka
Asante sana Anthony
Ahsanteni sana waimbaji...
Hilo sauti ya tatu na nne vile wanatamka..." NDILO NYUMBA"...sauti ya pili na ya Kwanza vile wanatamka.. NYUMBA YA ISRAELI
Mtunzi wa huu wimbo Hongera.
Wanakwaya wote Hoye.
Kwa kweli nimefarijika.
Mcheza Kinanda..Dole kwenu.
Quality Production.
Asante sana Maltis. Uzidi kubarikiwa
Kazi nzuri sana hii imefanywa. Hongera kwa Mwalimu mtunzi na mfundishaji, wanakwaya na sana sana kwa RAJO kwa quality nzuri.
Asante kwa maneno mazuri Yustino.
This is my 2021 song of the year 🧡💓💯 much love from +254
Wimbo mzuri sana..umepangwa vizuri sana.mungu hawabariki sana..from 🇰🇪
Asante sana. Wasalimu sana Kenya
Art and Quality! Creativity at its best! Keep it up Ray!!👏👏🎉🎉🥰🥰🥰. Hongereni sana; kwako wewe na timu nzima!! ❤️❤️❤️❤️
Ooh Asante sana Anastacia.. Najua unapenda Mziki. Sina shaka na sikio lako. Ubarikiwe sana friend
Hakika Mungu mwema. Awatumie watu wake vema katika kulitangaza neno lake Takatifu
Hongera sana kijana mungu akubariki katika uimbaji wako🤝
Kazi nzuri 🔥🔥🔥❤️.....Hongereni
Ubarikiwe sana Kelvin
SHAMBA LA MIZABIBU SHAMBA LA BWANA. AISEE MMETISHA SANAAA MAKIRIKIRI STYLE IMENIKOSHA MNO SANA SICHOKI KUSIKILIZA HII NYIMBO
Wimbo mzuri sana umenibariki sana mungu awabariki sana waimbaji na mtunzi hongeren sana👏 4:35
Wapi like za Rajo Product❤❤❤❤
Ukisikia Ng'ombe hazeeki maini ndo hii sasa RAJO PRODUCTION mnatoaga video zenye quality bora sana. Big up to you brother. Great thanks also to the singers may the almighty God bless you 🙏
Thank You Anthony
I like this song unafurahisha moyo wangu
Vigelegele teleleleleleee mbarikiwe sana
Father please Grant Us wisdom Love and Release from Bondage to strong holds of the enemy
Safi sana Dingii
Thank you my friend. Ubarikiwe
The guy who played that piano is supertalented.
Sublime way of singing.
The Catholic music at its finest 🎉🎉😊
Rajo nakumbuka tuliwa kuonana mbeya wakati ulipokuja kwaajili ya kazi ya JMC, I appreciated you, and I had a gift for you, unfortunately hatukuweza kuonana.
But you are best video producer and director currently wa gospel songs. Nakukubali Sana mwamba. Endelea kutupa mzuki mzuri always na Mungu atukuzwe na akubariki kila wakati.
❤❤❤❤ unaburudisha sana
Wakathorick wote nawapa hi
Kazi Safi Ray👏👏👏🎹🎙️❣️
Asante Andrew
Nyimbo nzuri sana,mpaka nimesikia msisimko wa ajabu,mungu abariki kazi ya kumtukuza yeye❤
Waoo. Karibu sana na Asante sana Vick
RAJO PRODUCTIONS 💪💪💪Great job.
Asante mno. Mungu akubariki
Mmejipanga vizuri sana, hongera kwaya nzuri. Mdogo wangu Anna uko vizuri sana👌🤙🙏🏻🙏🏻
Amen
Binafsi nimebarikiwa sana na uimbaji wa wimbo huu sichoki kuusikiliza , Mungu awabariki wahusika pamoja na RAJO PRODUCTION
Ubarikiwe pia Emmanuel
Kazi safi Ray
Thank you Kiptoo
Aki c mbarikiwe, my all time choir 💕💕❤️💖
Big up kazi nzuri sana. Ray kama kawaida yako, safiii
Asante Edga
Hongera sana kwa RAJO PRODUCTS, KAZI NZURI SANA, NIMEWAKUBALI
Asante sana Maria. Ubarikiwe
Amina
Wimbo mzuri sana mbarikiwe mungu aendelee kuwatia nguvu
My best song....bravo job well done
My favorite songs congratulations
Je n'ai jamais compris la langue mais façon je danse vos chansons
Haya, naenda kula sasa, nimeshasema nitausikiliza kila siku. Comments zangu nimeshaandika zaidi ya 4, duh, Mtunzi, waimbaji, kamati ya ufundi, mpiga kinanda, mavazi ya kitanzania... Bip up sana to you all
Be blessed ray jamoniiii 🎉nyimbo zako nzuri uko smart ad kcheza kwako
Beautiful artwork accompanying beautiful melodies. Asanteni na hongereni sana kwa wimbo huu mtamu mbarikiwe. Kutoka Nairobi kenya
Thank you Evelyn.. Ubarikiwe
@@rajopro
Why
@@rajopro
Utawependa Kwa mamna yao ya uinjilishaji! Amen
Napenda sana wimbo huu jamani, hongereni Kwa kazi nzuri Kwa wote mliyo shiriki ktk uandaji wa kazi hii,🙏🙏🤔
Nice one 🎉
Waimbaji wapendwa hongera sana kwa kazi njema,tuna jengwa sana na mafundisho tenu kwa nyimbo zenu.sasa nawaomba muni saidiye ni pâte samary ya yimbo hiyi(texte).Mimi ni muimbaji wa kwaya ya mtakatifu Yusufu kutoka DR congo
Sweet song! Mmeimba vzr sana sana mbarikiwe na bwana na aliyetunga mungu amzidishie baraka
Beautiful voices, can't get enough of this, indeed ndilo nyumba la Israeli 😍
Hatari sana tuwekeen sana nyimbo za catholic tunazihitaji. Mbarikiwe
Ubarikiwe pia
Napenda sana nyimbo zenu , mungu awabariki sana
Amazing kabisa ❤️
Asante sana Phylis
Oh Guard our lives father and deliver Us Not be put to shame for we take Refuge in you please protect us
Wimbo mtamu,mbarikiwe sana
Namna hiyo
Ni mwendo wa Upako
quality and good work always
be blessed the whole team
Thank you Haldry. Ubarikiwe sana
I am South African, I don't even understand a single word but I so love the song.
don't worry you'll get it someday.it is a good song indeed as you said.
it would be better with eng subs i tkink
Kazi nzuri hongereni Sana wanakwaya
Asante Rose. Barikiwa sana
Raha tupu,natamani sana niwe organist
Bonge la wimbo,kmk wamepata mpinzani
Jamani Mungu awe pamoja nanyi,awatoe nguvu
Hongera Wanatanzania....be blessed 🙏
Kutoka Kenya
Very nice video creativity at its best
Mbarikiwe sana nyimbo nzuri hataree
Asante sana Josephine
Napenda huu wimbo jamanii unanibariki sana hongereni wanakwaya kwa kazi nzuri na mtunzi mungu azidi kumuongezea maarifa
Duh, jamani yaani sijui nisemeje. Sauti zote zinasikika moja baada ya nyingine, hongera kwa mpiga kinanda na zana za kiutamaduni zilizotumika na mavazi ya Ki bantu. Big up sana kwa Mtunzi
Asante sana Maria. Ubarikiwe sana
Amina RAJO PRODUCTS
Kazi nzuriiiii
Ilike this song so so much ifeel happy when listening to it. Mostly the pianist may God continue to bless my Brother. Keep it up 👍👍
Iyi ngoma kali saana kila siku naifafa mara 1000
Huu wimbo nitakuwa naandika comments kila nikiusikiliza, naomba msinichoke. Huyu Mtunzi basi apewe tuzo inayostahili, waimbaji, kamani ya ufundi, mpiga kinanda na designer wa mavazi. Big up wooote
Asante sana Maria kwa pongezi na kututia Moyo!Hakika kazi ya Mungu itaendea mbele daima
Aminaaa, mbarikiwe sana kwa majitoleo yenu
Rajo production mnafanya vzur
Utukufu wa Mungu unashuka ukisikiliza wimbo huu amina san😅
Aisee hili ni shamba kweli kweli, kwa hapa mmetisha sana pongezi kwa director pamoja wanakwaya kwa ubunifu
Asante sana kwa pongezi. Tunamshukuru Mungu
This is a hit song 😍😍😍😍😍 much love from Kenya
Thank you Christine...