Everything about being a Catholic is just right. Asanteni waimbaji kwa kutangaza Injili ya Bwana kwa sauti nzuri na maneno matamu. Awabariki Mungu mwenyezi Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Ray Ufunguo hongera kwa utunzi mzuri wa wimbo wa Ekaristi unaotukumbusha utukufu na ukuu ulioka katika fumbo hilo takatifu,na pia hongereni sana waimbaji ,mcheza kinanda Swai F.T pamoja na Rajo production kwa uandaaji mzuri mlioufanya Mungu aendelee kuinuliwa na kutukuzwa milele
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html

I discovered this song today.And ave listened to it for almost 100times on high rotation.i feel the holy spirit soothing me.I just cant have enough of it.
Wimbo mzuri saaana.....! Hongereni sana waimbaji, mtunzi na RAJO PRODUCTIONS kwa kutusaidia kumkaribisha Bwana Yesu mioyoni mwetu kwa njia ya uimbaji mtakatifu. Mungu awabariki sana

Kwa hali hii nani anaweza kunihamisha dini? ? Hakika najivunia kuwa mkatoriki ni dini ambayo huwa haifananishwi na madhehebu mengine iwe kwenye nyimbo hata kwenye biblia, Mungu awabariki sana.
Unaweza ukabaki kwenye dini na dhehebu lako unalolipenda ila uombe kwa Jina la Yesu tu, sio kuwaomba marehemu watakatifu ..... Watuombee! Tumepewa Jina la Yesu tu linatosha. Hivyo unakua mwanafunzi wa siri Wa Yesu kwa kuomba na kuamini Jina la Yesu tu.
@@healingsschool4630 Unaweza kuthibitisha kuwa watakatifu hawawezi kumuombea mtu? Usiingilie majukumu yasiyokuhusu anayeweza kuthibitisha ni Mungu na anayeomba. Usihukumu usije ukahukumiwa.
Huo ni upagani mkubwa, tunajivunia ukristo... Dini ni mpango WA mwanadamu kumtafuta Mungu Bali wokovu ni mpango WA Mungu kumtafuta mwanadamu.... Soma biblia ndugu
Mungu ujitwalie Utukufu katika uimbaji wetu...Sisi ni vyombo tuu umetupa neema yakukutumika katika kukuimbia ..Pokea sifa yote. Tunza mioyo yetu tukumbuke thamani ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu tukukaribishe kwa moyo safi.
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
kwangu mimi huu ndio wimbo bora wa mwaka. kama mimi binadamu nimebarikiwa hivi kwa wimbo huu, je vipi huyu anayeimbiwa (Mungu). hongereni sana wote mliohusika, ubunifu, sauti, vyombo, mavazi na mandhari ya video ni nzuri sana. Naamini mmebarikiwa sio ninyi tuu bali hadi vizazi vyenu.
Mwimbo huu una ujumbe kamili wa fumbo la utatu mtakatifu na juu ya uwepo wa Mungu. Hakuna dhehebu lo lote la Kikiristo ambapo Utatu mtakatifu unafafanuliwa vizuri kama katika Ukatoliki. Uwepo wa Mungu haufananishi na cho chote. Well done!

Aisee aisee kumbe imekuwa hivi tena...hongera sana Mr rajo big up bro aisee nakuvulia kofia ur the best my bro...mnyonge mnyongen haki yake mpeni.. Hongeren sana sombetin Mungu awabariki sana jaman
Wimbo mtamu!!! weeee!!!! Exellent work,,, am just enjoying everything,,,from harmony to the sweet sound from the organ!!! Hongera waimbaji, mchezaji kinanda uko sawa kabisa!
Wimbo mzuri sana......unapaswa kuimbwa dkk mbili kabla ya kwenda kukomunika ili kila mmoja atafakari kisha tujongee mezani. Keep it up Ray. Mungu azidi kukutumia utuinjilishe zaidi.
So encouraging, good voice uniformity, simple, very standardized, good musical beats, good musical tone, so inspiring and meditative. God deserves all these beauties ❤!
This is great. Mtakatifu Augustino alisema "Aimbae vizuri husali mara mbili." Kwa hakika hii kwaya imebarikiwa. Mavazi nadhifu na uimbaji mzuri sana. Hongera na Mungu azidi kuwabariki
Usijivunie tu dhehebu endelea kutenda mema I'll siku ifkapo jina lakoliwe limeandikwa ktk kitabu Cha uzima madhehebu na mengine hayatatupeleka mbinguni tukeshe na kuomba
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
Thunk you very good
Qwqq
@@jeanlumbu3434 0
Amn
@@jeanlumbu3434😊😊😊😊
Hakika najivunia kuzaliwa mkatoliki.
Napenda huu wimbo
Naupenda sana huu wimbo
GOD IS REAL
Kazi yenu sio BURE MBELE ZA MUNGU
Wimbo huu unanifariji sana
Everything about being a Catholic is just right. Asanteni waimbaji kwa kutangaza Injili ya Bwana kwa sauti nzuri na maneno matamu. Awabariki Mungu mwenyezi Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Amina Sana👍🏼
Amina
Amen 🙏
Amina
Amen .
Je suis fière de ma religion catholique .
Anyone watching this song in 2024? .It is so touching.
Jesus welcome to my heart and stay with me always🙏
I'm here in oct 2🎉🎉❤❤❤❤
I recently joined catholic church , and I've started receiving the holy eaucharist and I don't think anything will ever take me away from This church
You are most welcome to Christ in the Eucharist. This is is home. God bless you.
Jiishi Nyumbani.
Welcome home
Most welcome dear❤❤❤❤🎉
Your most welcome to the Holy church❤️🙏@@DesmondMusoba
Ray Ufunguo hongera kwa utunzi mzuri wa wimbo wa Ekaristi unaotukumbusha utukufu na ukuu ulioka katika fumbo hilo takatifu,na pia hongereni sana waimbaji ,mcheza kinanda Swai F.T pamoja na Rajo production kwa uandaaji mzuri mlioufanya Mungu aendelee kuinuliwa na kutukuzwa milele
Asante sana Rafiki yetu, John Mtui. Uzidi kubarikiwa sana
Huu wimbo uniguza sana, Asante waimbaji utunzi mzuri zaidi. Neema neema mnapoendelea kutumkia mwili wa kristo.
Nafarijika sana naposikia nyimbo kama izi kweri ni baraka
Bless sanah 🎉🎉🎉
Ee, mungu ahsante Kwa uinjilishaji huu uliomzuri sanaaaa. Kanisa moja takatifu katoliki
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Hongera waimbaji mko vizuri
Kazi nzuri sana Muemdelee kbarikiwa
Kazi nzuri sana Muendelee kubarikiwa
Safi sana
Napenda kuisikiliza sana hii nyimbo najiona mwenye fahari kuwa mkatorik mmeinjilisha vyema
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Sichokagi kusikiliza wimbo mzuri sana💟💓
Kibao saafi...Mungu awabariki
Hongereni sana waimbaji
hongera sana kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na shahidi, Parokia MoYo Mt wa Yesu. Mbarikiwe sana tunawapata vyema hapa Uganda
Wimbo mzuri sanaa
I discovered this song today.And ave listened to it for almost 100times on high rotation.i feel the holy spirit soothing me.I just cant have enough of it.
Happy and ablessed lent
Wimbo mzuri saaana.....! Hongereni sana waimbaji, mtunzi na RAJO PRODUCTIONS kwa kutusaidia kumkaribisha Bwana Yesu mioyoni mwetu kwa njia ya uimbaji mtakatifu. Mungu awabariki sana
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Hii ni wimbo nzuri sana
Raha sanaaa kuimba
Barikiwa saana waimbaji
Kwa hali hii nani anaweza kunihamisha dini? ? Hakika najivunia kuwa mkatoriki ni dini ambayo huwa haifananishwi na madhehebu mengine iwe kwenye nyimbo hata kwenye biblia, Mungu awabariki sana.
Yesu hakuleta dini wala dhehebu, Yesu alikuja ili tuokoke tu.
Unaweza ukabaki kwenye dini na dhehebu lako unalolipenda ila uombe kwa Jina la Yesu tu, sio kuwaomba marehemu watakatifu ..... Watuombee!
Tumepewa Jina la Yesu tu linatosha.
Hivyo unakua mwanafunzi wa siri Wa Yesu kwa kuomba na kuamini Jina la Yesu tu.
Mawazo yako kama yangu
@@healingsschool4630 Unaweza kuthibitisha kuwa watakatifu hawawezi kumuombea mtu? Usiingilie majukumu yasiyokuhusu anayeweza kuthibitisha ni Mungu na anayeomba. Usihukumu usije ukahukumiwa.
Huo ni upagani mkubwa, tunajivunia ukristo... Dini ni mpango WA mwanadamu kumtafuta Mungu Bali wokovu ni mpango WA Mungu kumtafuta mwanadamu.... Soma biblia ndugu
Nafurahi kuwa mkristo nasikiliza hiii nyimbo npo Congo kwa Sasa
Nyimbo nzuri sana
Mungu ujitwalie Utukufu katika uimbaji wetu...Sisi ni vyombo tuu umetupa neema yakukutumika katika kukuimbia ..Pokea sifa yote. Tunza mioyo yetu tukumbuke thamani ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu tukukaribishe kwa moyo safi.
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Asanteni sana. Wimbo safi sana
Swafi sana Rey Kwa utunzi kuntu na upigaji wa Swaiba wangu Huyo jamaaaaa aiseeeeee pongezi Rajo production
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Safi Sana kamanda
Sichoki kusikiliza honger sana...
kwangu mimi huu ndio wimbo bora wa mwaka. kama mimi binadamu nimebarikiwa hivi kwa wimbo huu, je vipi huyu anayeimbiwa (Mungu). hongereni sana wote mliohusika, ubunifu, sauti, vyombo, mavazi na mandhari ya video ni nzuri sana. Naamini mmebarikiwa sio ninyi tuu bali hadi vizazi vyenu.
Amen, Ubarikiwe zaidi Titus
Safi Sana wapendwa
Bonface hapa kutoka Kenya. Mimi husikiza huu wimbo kila siku kitu cha kwanza nikiingia ofisini. Kazi safi sana.
Nyimbo Tami sana
Mwimbo huu una ujumbe kamili wa fumbo la utatu mtakatifu na juu ya uwepo wa Mungu. Hakuna dhehebu lo lote la Kikiristo ambapo Utatu mtakatifu unafafanuliwa vizuri kama katika Ukatoliki. Uwepo wa Mungu haufananishi na cho chote. Well done!
Yesu karbu moyoni mwangu unishibishe
Wow so nice
My morning dose
Mmepungukiwa uwokovu tu, kwa mavazi mmenibaliki saaaana.
Unamaanisha nini wamepungukiwa wokovu?
Wooooo awesome song
Mbarikiwe sana kwa utume
Hasante kwa utume
kazi nzuri sana jamani. Hongereni wanakwaya. Hongera RAJO kwa kazi zilizotukuka.
Nimeupenda sana huu wimbo
Utukufu kwa Mungu
Hongera sanaa kwa wanakwaya ya Mt Boniface. Kazi nzuri sana.. nawamis sana nakuzidi kuwaombea baraka tele
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Najivunia kuwa mkatoliki
Nyce song
Safi Sana!!
well done song. Hongera
Sombetini to the world 💥wimbo mzuri,mavazi mazuri,sauti nzuri, nabarikiwa sana
Ubarikiwe sana Anneh....
Aisee aisee kumbe imekuwa hivi tena...hongera sana Mr rajo big up bro aisee nakuvulia kofia ur the best my bro...mnyonge mnyongen haki yake mpeni..
Hongeren sana sombetin Mungu awabariki sana jaman
Tumshukuru Mungu. Ubarikiwe sana Lawrence.
@@rajopro safi sana...mmeweka subtitle lkn maandishi hayaonekani vizuri...bold pls...asante RAJO
Nice song keep it up
High quality video safi sane
Nakukaribisha
Wimbo mtamu!!! weeee!!!! Exellent work,,, am just enjoying everything,,,from harmony to the sweet sound from the organ!!! Hongera waimbaji, mchezaji kinanda uko sawa kabisa!
Hongereni waimbaji Mungu azidi kuwaongoza vemaa
@@restipaul4286 KABISAA!!
@@CAMTECHCOMMUNICATION amina
Oduor you’re here too
@@akinyimildred9851 yes Mildred.
This video ooooh!!! The quality is something else!!! Waaaaaah!!! If PERFECTION and PROFESSIONALISM was a person!
Mungu awatangulie kwa kumtukuza mwenyezi mungu
Hongereeni sana sana kwa uinjilishaji mwema
Wimbo mzuri sana......unapaswa kuimbwa dkk mbili kabla ya kwenda kukomunika ili kila mmoja atafakari kisha tujongee mezani.
Keep it up Ray. Mungu azidi kukutumia utuinjilishe zaidi.
Kama kawaida yako Rajooooooo sasa si mchezo na utunzi niwako mwenyewe. Hongera Sana mkuu
Tunamshukuru sana Mungu. Ubarikkwe sana rafiki yangu Fridolinus.
Sichoki kuusikiliza hongereni sana na Mungu atukuzwe Milele
Ni mzuri Sana ambao una ujumbe pia unabirudisha ukiwa unauimba hata pia KWa kuusikiliza, nmependa sana
Very nice..God bless you
Wimbo Bora mno... Hongereni jamani
Hongera mtunzi hongera waimbaji
Hakika weimba vizuri. Mungu awabariki
Hongereni
Such a Beautiful song!!!!! na bado kuna watu wanadislike! Kweli kuna watu na viatu duniani!
Amina....Yesu yu pamoja nasi
Wimbo mzuri sana sana sana. Video safi sana. Hongera sana
Some songs have a way of calming and uplifting one's spirit almost instantly. This right here is one of them. Pongezi
Awesomeness
99
@@naomyopapa9130 pppp l
Waooo ncye one
@@lucychege9250 Thanks Lucy 👍🙏
Nyimbo nzuri sana hongereni
KAZI NZURI SANA SANA SANA KUANZIA UTUNZI MPK UKAMILISHO WAKE.... HONGERENI MNO NA MUNGU ABARIKI SANA MAJITOLEO YENU
So encouraging, good voice uniformity, simple, very standardized, good musical beats, good musical tone, so inspiring and meditative. God deserves all these beauties ❤!
Hongera Sana mkuu wangu kazi nzur kwa mungu imebarikiwa hongera pia organist huwa namkubali Sna Swayi
This is great. Mtakatifu Augustino alisema "Aimbae vizuri husali mara mbili." Kwa hakika hii kwaya imebarikiwa. Mavazi nadhifu na uimbaji mzuri sana. Hongera na Mungu azidi kuwabariki
mwenyez mungu wajazie hazina zako hapa dunian na huko mbinguni mt boniphace kwakuitangaza injili kwa njia ya uimbaji asanteni sana nyimbo nzuri
\
Awesome... Mungu azidi kukusimamia Mwl. Ray Ufunguo na Rajo Production kwa kuzidi kumtukuza kwa Kwaya Safi...
Ubarikiwe sana Arnold.
Kuimba ni kusali mara mbili a choir member forever
Hellenkwamboka Kenya najienjoy nikwa Saudia wimbo mtamu kama mimi mkatholic nafuraha ndani ya moyo wangu
Kuimba ni kuomba twice.....wimbo mzuri be Blessed.
Kama Kuna mtu anabarikiwa na huu wimbo adi kutokwa na machozi kama mimi Like hapa tujuane
Mungu nakushukuru kwa kuwa mkatoliki najivunia Sana dhehebu langu tuzidi kutupigania mwenyezi!!! Mungu
Usijivunie tu dhehebu endelea kutenda mema I'll siku ifkapo jina lakoliwe limeandikwa ktk kitabu Cha uzima madhehebu na mengine hayatatupeleka mbinguni tukeshe na kuomba
Kaz nzur wanasombetin
Naupeda sana huu wimbo.barikiweni
I am a proud catholic.
Ninakukaribisha yesu moyoni mwangu ukae Nami daima Amina.najivunia kuwa mkatoriki sana
I have no more words than to say #RAJO PRODUCTIONS and all singers stay blessed
Thank you Anthony
Tunabarikiwa Sana na hii wimbo mzuri uliopangiliwa
Catholic in blood
Ningeomba mtuzi wa wimbo huu nimjue
Anaitwa Ray Ufunguo
MUNGU ni mwema! Utukufu wake unadhihilika happ!
Mpaka kumoyo
So sweet amazing song
ongereni kwa ujumbe mzuri
Huu wimbo unafanya naona kristu. ..hongera kwa uimbaji nzuri...this is so nice