Ukiwa na Ilmu,ukakosa Maarifa,unazuka kuwa Jahil kikamilifu...Mungu akupambe kwa Shani yake,akupe mahitaji ya Moyo wako Duniani na kesho Akhera Sheikh Walid.Hii ndo ile anayoisema Allah"Fafaahamnaha Suleimana wa kulan aatainahu Hukman wa Ilman"......🙏🙏🙏Hii ndo sifa ya kiongozi,Mfano wa uongozi na ukweli wa moyo katika mazingatio
Sheikh Walidi na wanaotekwa na kuuwawa hujawaongelea ama hawa huwezi ulizwa mbele ya Allah maana nao wapo kwenye mji wako pia Tunakuomba japo ukemee inshaaAllah
Hilo ni funzo ili kujua maisha halisi ya mtu alipo tokea..mbona maswahaba walikua makafiri na history zao zinazungumzwa je kosa lipo wap?omba mwisho mwema sio mwanzo mwema.. Allah atuongoze njia iliyonyooka
Kweli wabomoaji hivi sasa ni wengi huku mbagala chamazi kuna watariano wamefungua kituo cha kufundisha watoto tuition na chekechea ila kiukweli wanachowafundisha watoto ni ushoga na usagaji
Ameshajibu alikuwa anamtafutia wasaa wa ili amlinganie na mwisho wa siku umeona kilichotokea baada ya yeye mwenyewe kujishtukia kuwa hali hiyo ya kujiuza anayoifanya siyo sahihi!! Laiti angekurupuka kwa jazba si ajabu asingeelewa nini kilochomsibu mpaka akaingia kwenye maasi hayo na pia ingekuwa ngumu kumlingania kwa sababu angemchukulia kama adui badala ya rafiki.
KASHAJIBU SHEKH. KUWAA MWENYE KUFANYA DHAMBI HATUPWI. WALA USIMUHUKUMU. NENDA NAEE KWA NIABA YA KUMUOKOWA KWA KUMUULIZA KWANINI ANAFANYA HIVYO. LAPILII NI KUMJUWA SHIDA ZAKE ILI UMUOKOWE KWENYE SHIDA HIZO NA KUMUOKOWA KWENYE ZAMBI HIZO AUU HUKUMSIKILIZA KWA MAKINII
Kwani wote waliokuwa wakifanya Maaswi Wakti wa Mtume Swalallahu aleyh wasalam, Mtume alikiwakaripia?!Elewa uskariri,HIKMA na ILMU ni vitu vyenye kutangamana na havitengani.Ndiyo Shani yake Mungu kwa Mitume na wenye kujifananisha nao.
Walid watu hufichaga waliyeyakosea na Allah anakustiri sio bora kutangaza uliyeyakosea nyuma maana kumpakia mwanamke bila Magharim wako hivyo ficha hii aibu na ungekuwa unajuwa dini usengesema uliyeyekosea nyuma.
@@zuberhamza7852 haaa haaaaa bwege lazma atatoa tu kidole hata ukimficha kwa chupa ya soda kama wewe vile mtu anaeleza ujinga alieifanya au ujahili na badala aanze kujistiri mwenyewe na Allah amsitiri anajisifia ujahi aliyekuwa anaufanya, au Baba mdogo wako walid nini maan tunamjuwa sisi mgonjwa
Aaah shekh Walid wallah huwezi choka msikiliza Allah amjaze kheri ampe umri mrefu wenye manufaa
Kweli
Hakika umesema kweli
Aaaamin yaa rabb
@@solomonOsam-d1tkweli
Naam
Mashaallah tabarakaah ❤
Shukran Sheikh wetu
Napendaga mawaiza yako
Mungu akupe pepo inshaallah ❤
ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR.SHEIKHE WEWE MKWELI ALLAH AKUPE PEPO NA AFYA KAKAANGU AAMIIN
Mashahalla shekh nafasi ya shekh wa tz ileee inakunyemelea kiukweli unamaneno matamu sana shekh mtu awezi choka kukusikiliza
Masha ALLAH. ALLAH akuhifadh sheikh wetu kipenz ❤🎉
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Allah akujarie moyo uho uho wa kuyapambania aya mambo ya kijamii
Shekhe nakupenda kwaajili Allah
Mashallah tabaraka Allah kwa elimu hiyo jaza yako iko kwa Allah ❤❤❤❤❤
Shekh ana madini mengi sana MashaAllah.🙏🙏
Mashallah mm nakukubali sana insh uwe adii mufti ww waukweli
Ukiwa na Ilmu,ukakosa Maarifa,unazuka kuwa Jahil kikamilifu...Mungu akupambe kwa Shani yake,akupe mahitaji ya Moyo wako Duniani na kesho Akhera Sheikh Walid.Hii ndo ile anayoisema Allah"Fafaahamnaha Suleimana wa kulan aatainahu Hukman wa Ilman"......🙏🙏🙏Hii ndo sifa ya kiongozi,Mfano wa uongozi na ukweli wa moyo katika mazingatio
Mashaallah Allah kuongoze zaidi akuhifadhi uzidi kuitendea haki amana uliopewa nakupenda kwa ajili ya Allah
Allah akupe maisha marefu
Insh allah
Amyn
Tulichelewa kwakweli kumpa iyo nafasi ..wllh
Allah akujaze khery na hidaya, InshaAllah
Mashaalah ,Allah akulipe kher ktk hii dunia na Akher, Na Allah ajalie uache vijana ambao watakuwa mfano wako, tupate kizazi chema .
Shekhe Waalid Nakuoenda mno kwa ajili ya Allah mno
Naam
MashaAllah.
🙏🙏🙏 alhamdulli llaah
Mashaallah shekhe walidi mungu akupe umri marefu❤
Mashaallaah.allaah akupe umri.mrefu.ishaallaah
Shekhe mkuu Maalim ..
Am proud of you
Mungu akulinde sana shee walidi
Ukiwaona wasio na ndoa pia shekh uwashar ❤
ALLAH akuhifadhi shkh wetu tuendelee kufaidika.
Allah akuhifadhi sheikh wangu
Maashaallah, Allah Bariq 🙏🏼🙏🏼
Shekh Allah akulipe kwahilo naazidi kupambana nimashekh wachache wenyekujitambuwa
Mashaallah
jazaaaka llahu khaira
Mashallah ❤ hivi ndio vitu🎉 tunavo vitaka
Tabaraka Allah Rabury Aramini
Swadakta sheikh 💚💚💚
Maashaallah
allah akulipe kheri
SubhanaAllahYallah😭😭😭😭😭
Mashaallah 🎉
Sheikh Walidi na wanaotekwa na kuuwawa hujawaongelea ama hawa huwezi ulizwa mbele ya Allah maana nao wapo kwenye mji wako pia
Tunakuomba japo ukemee inshaaAllah
Wenye mamlaka wakikemea inatosha
Tukiyafanya haya tutafaulu sana. MUNGU Atutie nguvu ktk Lu-implement haya
Mashaallab
Yani shekhe alhamdulillah wengi tunafurahika kwa mawaidha Yako ... Nakupenda kwa ajili ya allah
Allah andika kwa herufi kubwa Shukran
Asalam aleykum warahmatulah wabarakatuh, je vipi naweza kuipata number ya shekh walid please
Ukifanikiwa husemi na kazi zako nyingine
Shee usizungumzie maasi uliokua unayafanya mwalim sio sheria ,Allah akuswaamehe na unapambana sana ktk din nshallah
Hilo ni funzo ili kujua maisha halisi ya mtu alipo tokea..mbona maswahaba walikua makafiri na history zao zinazungumzwa je kosa lipo wap?omba mwisho mwema sio mwanzo mwema.. Allah atuongoze njia iliyonyooka
Haina shida ni funzo kwa waumini
Hahahahaha apo kwenye mashekhe uchwala wa mitandaoni umepiga kwenye mshono yule jamaa tusubili atajibu nn😂
hakika huyu ni shekhe aisee kiongozi anaeona jambo baya akajua ataulizwa ni wachache mno!!!!!!!
Ila Abdallah Yani yeye kawaza kumchungulia kwa kioo😅😅
unatia aibu Kiongozi wa dini unabeba Malaya na Unajisifu subhana Allah omba toba hufai kuwa kiongozi na Hadi unahadhithia
SAMIA MUST GO,SAMIA LAZIMA AENDE
Akienda kitabadilisha nini
@@jitukorofi9517 Ujinga wako
Hhho😂😂😂
❤❤❤
Kweli wabomoaji hivi sasa ni wengi huku mbagala chamazi kuna watariano wamefungua kituo cha kufundisha watoto tuition na chekechea ila kiukweli wanachowafundisha watoto ni ushoga na usagaji
Kwann msiwashtak
Sasa mshawajua mmechukua hatua gani?
Nendeni kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa mkamshitaki, kama kahongwa nendeni kwa diwani wenu na pia polisi washughulikiwe.
@@sports007tv4wanakibali
Msiyafumbie macho hayo mambo km yapo mnayaona
Kwani uliisha jua anafanya madhambi kwa nini uliendelea kumsaidia kufanya madhambi...??
Hikma ndugu hikma acha jazba
Ameshajibu alikuwa anamtafutia wasaa wa ili amlinganie na mwisho wa siku umeona kilichotokea baada ya yeye mwenyewe kujishtukia kuwa hali hiyo ya kujiuza anayoifanya siyo sahihi!! Laiti angekurupuka kwa jazba si ajabu asingeelewa nini kilochomsibu mpaka akaingia kwenye maasi hayo na pia ingekuwa ngumu kumlingania kwa sababu angemchukulia kama adui badala ya rafiki.
sasa yeye kosa lake lilikuwa lipi? yeye anafanya biashara achague wateja?
KASHAJIBU SHEKH. KUWAA MWENYE KUFANYA DHAMBI HATUPWI. WALA USIMUHUKUMU. NENDA NAEE KWA NIABA YA KUMUOKOWA KWA KUMUULIZA KWANINI ANAFANYA HIVYO. LAPILII NI KUMJUWA SHIDA ZAKE ILI UMUOKOWE KWENYE SHIDA HIZO NA KUMUOKOWA KWENYE ZAMBI HIZO AUU HUKUMSIKILIZA KWA MAKINII
Kwani wote waliokuwa wakifanya Maaswi Wakti wa Mtume Swalallahu aleyh wasalam, Mtume alikiwakaripia?!Elewa uskariri,HIKMA na ILMU ni vitu vyenye kutangamana na havitengani.Ndiyo Shani yake Mungu kwa Mitume na wenye kujifananisha nao.
Hata nasaha ukumpa
Wewe matatizo yako una zungumza urongo mwingi ndungu yangu.
Ila shehe hukujiongeza kwa muda huo wa usiku kama huyu malaya?hujaonja mzigo?
Muogope mungu
Afathali ukae kimya kulikoku comment kwa matusi
Lengo lake nikumlingania, nia ndio jambo la msingi
Ndio maana ukaitwa Ubuyu😅
Shekh warid bhn😂
Walid watu hufichaga waliyeyakosea na Allah anakustiri sio bora kutangaza uliyeyakosea nyuma maana kumpakia mwanamke bila Magharim wako hivyo ficha hii aibu na ungekuwa unajuwa dini usengesema uliyeyekosea nyuma.
Unamuita jina unaonesha huna nidham na uliyoo yandika
@@beccakhalfa5636 Kwao inaonekana hakufunzwa Adabu
Wewe unaojiona unaijua dini hata roboyake humfikii shekh Walid
@@zuberhamza7852 haaa haaaaa bwege lazma atatoa tu kidole hata ukimficha kwa chupa ya soda kama wewe vile mtu anaeleza ujinga alieifanya au ujahili na badala aanze kujistiri mwenyewe na Allah amsitiri anajisifia ujahi aliyekuwa anaufanya, au Baba mdogo wako walid nini maan tunamjuwa sisi mgonjwa
Mgonjwa kwenye madira sasa sema baba mdogo au shemeji usie julikana rasmi?
Mashallah ❤
❤❤❤❤
Mashaallah