Huyu kijana ni gifted namwombea kwa Mwenyezi Mungu aachane na madawa arudi ktk fani yake. Siyo kumsifia diomond ana mahela wkt yy mwenyewe pia ana uwezo wa kuingiza hayo mahela lkn aachane na hayo madudu mabaya kwanza Amin
Chid Benz buaana "etii demu wangu mwenye anapenda kuimbaga "Utamskia Michezo ya Amber rutty eeeeh basi namwambiaga vp unataka tucheze au? A a mi nimeimba tu😂😂😂😂 chidi benz wewe nouma
Ahaaahaaaa walahi tena micezo yambaruti at a Mimi nimepata kapesa kupitiya akokawimbo
Huyu kijana ni gifted namwombea kwa Mwenyezi Mungu aachane na madawa arudi ktk fani yake. Siyo kumsifia diomond ana mahela wkt yy mwenyewe pia ana uwezo wa kuingiza hayo mahela lkn aachane na hayo madudu mabaya kwanza Amin
Kweli kbx chd
Chid na gig nikionaga mahojiano nayo huwa naondoa stres za wiki nzima yani na refresh kabisaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chid Benz nilikuwa nasikia tu jina lako jana na leo nimesikiliza sanaa interview zako....Duuuuu yaan una fundisha sanaa jamii asantee
😂😂😂😂😂😂chid bhana,masihara sana chid
Umenifurahisha chid na umeongea bonge point bro kuhusu umber ruty
mecheka noumaaa khaa chid kawa kituko
Huyu Chidy afanye comedy 😀😀😀
Hahaaa eti amber rutty hana kosa , kosa lake kubwa ni kutia watu nyege haaaa kama,nyimbo ya diamond , chidi ww ni hatari sana ilike it.
Nimecheka balaa ila chid umeongea kweli
th-cam.com/video/iDANHgLtEXs/w-d-xo.html Hi I'm Baisa Mhela
Asking for your support to grow my channel subscribe and I will subscribe to urs too
Pamoja sana chd
Bonge ladude aaaaahhh
Chidi umetishaaaaaa kamanda
MTU safi chidi Benz ww unaakili sana
Hahahahahahahhaa chid benzinooo umetishaaa apewegali askilize micjezoyake kwa gali lake hahahahhaha
Daaah akili za huyu mtu noma sana 😂😂😂nimejikuta nacheka peke yangu kwa sauti kubwa duuh.
He keeps straight on, mmtamuwelewa tu! kumamake
Hahahahahahahaa naondoka kesho hahahaha njoo mbna unaondoka
Ringo mchukueni chid hyu ni comed tosha
😬😬😬😬😬kesho diamond anampa gari ambaruty😬😬😬😬
Michezo ya umberuty chidii
Kwer
Duh broh chid upo good xana kaka interview zako zinakuwa Kar uwa azipoih hata kidogo
DUDU BAYA YUPO PABAYA ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV
Kweli huyo dada anahitaji msaada wa kimawazo,maombi, na kuwezwshwa kiuchumi, well said CHID
Ase hidi fanya mpango utupe wimbo jaman nakukubali sana mashabiki tumemisi sana
Iko pouwa sana
🤣🤣🤣🤣🤣 chid nomaaa..ile nyege nyege😂
Ugoro ugoro ugoro
😂😂😂😂😂😂😂 Jmn chidy Benz noma kweli yani uwii umenivunja mbavu
comedy sana chid
Chidy acha kuchekesha bhana
Bagi nyigi
Duuh Chidy Mpaka Kichwa kitulie Kunakazi
ha! ha! ha!
Hussein Gwanone yani limekuwa chizi kalogwa tena
Leo umenifirahisha
Dah jamaa anazungumza kama machine.
dish limeyumba hasa chid 😂😂😂
😀😀😀😀😀😀🏃🏃🏃🏃
Chidy muhuni
Daah bang za ulay kaliii
Hehehehe chidi anadata na akilizake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣chid bwana
Ha ha ha ha ha 😂😂😂😂kweli chid comedy
Hahaha iyo ngoma na mimi ikifikia kweny micezo ya mbaruti inanifuraisha kinoma...toa zawadi simba ya pole kwa Ambaruti
yani maumivu yangu ya kufungwa na Tp leo imepoa kukusikia chid
Hii channel vp mbona hawafichi matusi
kumbe chid benzi meshakua chizi
Chid Benz buaana "etii demu wangu mwenye anapenda kuimbaga "Utamskia Michezo ya Amber rutty eeeeh basi namwambiaga vp unataka tucheze au? A a mi nimeimba tu😂😂😂😂 chidi benz wewe nouma
..
Nae ana demu kumbe
@@schipholathen9215 😂😂😂
Uko jela uraiani huyu jamaa safi
Unga noma daah.
Chiddy leo umenimaliza
Gonga like kama ulionaga tigo nyeti ya amber rutty !
Huyu jamaa comedy sn😂😂😂
Kweli chidy unaongea point
Hahahahah cbid benz interview zake huwaga burudan sana
😀😀😀😀Vituko ase....
uyu jamaa amedata
so funny chid kwel ni inteterner
Michezo ya amber ruty ndani ya gari 😁😁😁😁😁
Jamaa Anajua Kufanya Interview Anajua Kujieleza Hadi Raha Rudi Kwenye Game Chidi Bana Tunaumia Mashabiki Zako Tunakupenda Bwana
Huyo representer mbona kakomaa kakutana na bangi sio akili
Ahaha kichwa nyaya zimekatika
😂😂😂 Chidi bana
Chid anamfunika ad joti skuiz Hahaha
😂 😂 😂 😂 bro kwa heri hapo haluna kilichobaki
Mkimwita Chidi Benz mnakosea. Huyu sasa ni CHIZI BENZ
Chidi umeongea point eti afungue kiwanja chake au kampuni ya mchezo Wa amba ruty serikali itakubsliana nae wamsajili hhhhhhhh
Chidi Benz hapa puuuu Haaaa...
Huyu ndo yule rais wa ilala cyo,,, duh,,
Akili zako sio nzur
Jamaa kaishaa sanaa kabaki fuvuu 💀😭
Chid rudi kwenye gem achana namambo mengine
Ww chidi 😁😁😁😁😁
chidi benzi ananifrahisha saana
😁😁😁😁😁
😂😂😂😂 chid bwanaaa
balaaa
Eee Mungu 😂😂😂
😀😀😀😀😀😀😀
Ahahaha chide kweli unahitaji wiring mpyaaa ktk head yako
Gongeshaa kijiko kwenye kikombe
chid me nakuelewa hahaha
Hahahahahaaaa...... Baaabiku, chidi mtamboooooooo
😂😂😂
H
😂😂😂
Hakuna mtu rahisi kumuhoji kama Chid, unamuuliza swali moja tu anajibu yote, kazi yako inayobakia ni kufunga interview tu basi😁😁😁
Kwarty ndogo munamuumbua chid
akili zingine bana
Ana akili zake huyu watu wanamchukulia powa
Noma sana!!🎤
Media inamtumia vibaya Chid Benz. Badala ya kumpeleka hospitali atibiwe uma mfwata fwata na interviews
Ubarikiwe sana beeenz
Huyu jamaa anauaga interview kinohma , eti mke wake anaimbaga michezo ya ambaluti
Chidi bhna🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mcheshi sana chumaa
Chid unavyo muabudu dimound
Nyie mlio karb na Chid em mfanyien kipnd cha commedy show bana apate hela ya jasho lake mwenyewe huyu jamaa.....
Labda reality show yanakua mastory yake itakua hatar
Inakua ft mzee kigogo
Michezo ya Amber lut
Nanukuu (nimesikia yule mbunge anataka ahalalishe ndumu) duh akili zake anazijua chd
Chidy anako elekea anamshinda anko zumo
Omary Ommy umeonaeee 😀😀😀😀michezo ya amberruty
#97 on comments
Asiyejikuta anacheka kwahii interview anidai MB yake.. 😂😂😂
Loo
hatujaweka MB ili kuangalia matangazo yenu
Yaaani inaonekana kabisa huyu chiz tayari
Chid awe kalibu na doct wake akiwa ktk interview anacho kiongea cc makonk hatumuelewi kabisa ila tunamuombea kuacha na kulud ktk hali yake ya zaman