CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2018
- CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
• CHID BENZ DUDUBAYA ALI...
KWA NGUO KALI USIACHE KUAGIZA KWENYE DUKA LA ONLINE LINAITWA JUMIA LINK HII INGIA SASA :- c.jumia.io/?a=125217&c=595&p=r...
Stay connected na Kaskazinimix Mahala pekee unapopata Habari za Uhakika Usisepee
/ kaskazinimix
/ kaskazinimix
/ kaskazinimix
#DUDUBAYA #CHIDBENZI #TIGOFIESTA #DIAMONDPLATNUMZ #WASAFIFESTIVAL - บันเทิง
Dudu baya alimzuru nice alikuwa km penseli na dudu alikuwa km compac
Dah huyu jamaa ni genius sana...
Kama unamkubali Gonga like hapa
Nimemuelewa sana huyu chidi benz kama umemuelewa piga LIKE yako hapo. Miminiko ulaya bu hua nawafatilia sana nyinyi wa MBONGO. Haki.
Kweli
mtulivu Boy mwana mimi mtafutaji kaka, nipe mbinu nije Tafuta maisha uku mikazo iko mingi naitaji jaribu badili upepo nione ikoje
mtulivu Boy 😄😄😄
Chidi ana pointi.
good
unajielewa sana chid
Chid ana akili nyingi sana, respect bro!
umeongea True Chidy
Dah! Aisee Ila hapa Chid amebonga ukweli kinyama. Kumbe hata madawa wakati mwingine unamuweka mtu katika Hali ya kumjua mungu. Dah! Big up Chid Ila usije ukarudia Tena kuvuta huo uchafu ma broo
Nimekuelewa sana brother welcome back we miss tunasubiria ngoma mpya
hi by
Sure mwana..waongea perfect sana chidi
Nimekuelewa chid Benz uko sawa kabisa
Dar, DSM, Dar es Salaam! Watu tupo toka enzi za kina omario na Mandwa. Ilala na Ashanti game ya mwaka 1982. Wagumu tupo sometimes tu nakula kalamu . Nani mchizi kuliko muulize esamisoo ndanda na kosovo refarii Mandemla. Jumamensa, ....
chid benz mziki wako uko juu sana. acha kuongea habari za dudu baya. uwezo wako uko juu sana... madawa tu brother, Mungu awe nawe, pia unajua kujibu hoja vizuri
Jamani napenda muwe mnamfinyia chidy intavew kila Mara maana nikiwa nimeboleka nikiingia humu tu nacheka mpaka basi
Upo sawa brother nimekuelewa sana
dudu msenge tuu safi sana jembe la Ilala
Bado we chid benz na utaendelea kua chid benzi tu respect brother
From UAE
Big up chid
Achana na mtu kutoka porini fala yule
#kinkog Chuma much love brother nakukukubali Sana
Huyu jamaa ni mwanaume na anajua kujieleza
Chid B Chuma, big up brother
😁😁😁 kakojolea gar la fiesta, haya n majanga
Uyu jamaaa Ana Akili nyingi sana
Mamae alivom,uuliza mtangazaji ww si unajua nimekaa jela au . Jamaa kataka kutupa maik 😀😀😀😀😀😀😀
Dah haki nimecheka sana, eti Mungu kama alisahau kuwaadhibu unamkumbusha awaadhibu,dah wew chid noma sana!
nimkumbushe tu chidi Allah halali wala hasahau.
Fahad10 hahaha wew unafikiri kuna mtu hapo, hamna mtu hpo, wala hilo jalijuwi na wala hatak kujiuliza, kama Mungu angekuwa anasahau bas watu, wangeuwa, wangeiba, wangefany vitu vyao kwa siri san, hivyo huyu jamaa hajitambui!
Broo chid Benz ( Kingkong) Nakuelewa sana mkuu mungu akufanyie wepesi
Chidi inawezekana akawa anazungumza bila kutua lakini ukimsikiliza vizuri ana ukweli.
Huyu jamaa kichwa sana anapoint anapendeza kuwa mkuu WA mkoa wa Dar
Fredreck Mwakalinga cyo mkoa wa dar! Anafaa kuwa mkoa wa Tukuyu huko kwenu.
😂😂😂
Fredreck Mwakalinga hee mkuu wa mkoa
Edson Ndogoro acha dharau dogo
Fredreck Mwakalinga Duh
DAR STAND UP chid nimekuelewa sana mwana
Nimekuelewa Chid Benz
THIS GUY I MEET HIM IN MOMBASA TEMBO DISCO 2009,HE WAS REALLY GUD.
King kong chuma.. Ilala mabegani..
Mohammed Ally chuma hakili unga Bro
Wallah nikimsikiliza chid na enjoy sna
hahahaha..mwenzio anaumia lakini ujue..haha
Hehee wafurai na leap
wasafi festival ikisha konki atarudi kushikwa matako 😀😀😀😀🙈🙈🙈🙈
nakukubari sana mzee dudu ni kuma
Siku zote msema kweli anachukiwa the best rapa in tz king Kong..💪
Kuusu mistari dudubaya ni mchanga sanaaa kwa chid Benz
Daaah.....Broo Umeongea Point Sanaa Respect #Cheed
one love benz umeongea kweli bro
Kweli kabisa uwezi kumuongelea mtu ambaye alishakufa kwa mabaya dudu baya alitakiwa kuwaombea dua na siyo kuwasema kwa ubaya kuvuta unga siyo tija kuna watu wana mambo mabaya katika jamii zetu au zaoo lakini pia aina neno lakini watu huishi nao (usijari chid Benz kuna watu hufanya mabaya lakini pia uchukuliwa mifano kwa mabaya yao wew ni bora mbele za Allah na popote ulipo nae yupo anakuangalia wakati wako waja
Nicr
Manyembe tena ina elekea best zako ni mateja
Dudu bayA acha ukorofi na wasanii chid b ameongeya live
Kwa madem chidi.uko juu.ilaala stand up
😆😆😆😆😆
Achana na dudu jamaa hana akili yule
God bless u chidi
😂😂😂😂Nakupenda chid unatoa checheee uwiiiiii🤣🤣🤣
daaah we mkali sana nazipenda nyimbo zako zote pls lud bado twakuitaji sana kaska chdbzzz mwaaaash
Gonga like kama umemskia huyo mtangazaji boya akisema kitu "kinakuinspirate" 😁😁
Sijui ndo kitendo gani hicho
Fala uyu
😂😂😂😂
Hakuna interview niliyo ielewa kama hii respect my brother
Mungu amkomboe kiumbe chidi......hapo hapo anakula ugolo
😂😂😂😂😂😂😂 eti Mr Nice alikua kama pencil daaah! 😂😂😂😂
Huyu ndio chidi Benz yani anaongea kweli na kiakili
chidi benz uko sasahihii sanaa na bado upo sawaa
Yani interview za chidy sichokagi kusikiliza yani mwanzo mwisho
Mm pia
jamaa anaongeaga kweli sana
TRENDS VIDEOS ata mimi
Respect chiddi ... CHUMA CHA RELI
Asee we ni mkali sana
🤣 🤣 🤣 🤣 oya chid funga geti dudu baya asiingie dar
Chid Benz wewe ni kichwa hip hop hakuna wa kukufananisha
Kabisa kaka akuna wanao mfikia chidbenzi ata mmoja namuombea kwa hallah uruditena kwenye gem mungu yupo pamojanawe uckate tama chidbenzi 🙏🙏🙏
UME CHAPA NDIPO
Chid boy upo juu unatishaaaaaaaaaaaa!
Ndiyo chid banz kuomba kazi c kosa
dah big up man
Eti nimempiga machine moja fala huyu ahahahahahah
Chidi Benz Chuma I respect you sana +254 twende sawa
Nilisubiria mtangazaji aulize next question😁😁Ila chid benz unaongea iasee
Wewe ongea maisha yako wachana na konki konki konki Master wivu mbaya.
Dar es salaam stand up!!!!kama unamwelewa Chiddy wa kitaa.
sana
Chid ulimkaza Dudu baya noma sana malinda yamekatwa
DUDU BAYA YUPO PABAYA. ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV. UONE NA USIKILIZE
Chidi amekua Bonge la komediam akina duryvan, jmond joti wakasome ..nmechka sana
Aseh upo kama mimi hahahahahahahahahahahahaga eti aijui maana ya konk
ipo sahihi brother
Jamaa swala tano saana
srt brother
Chid anakula ugolo
hapan ni vitu vyote vizuri kwa kweli
Dah sijawai kukoment lakini uyujamaaa kaongeaaaaa point mpaka nimelia alie muelewa kama mimi like
Chid Benz...is so conscious....hamna mwanamuziki wa Tanzania, ambae anamfikia kwa kujeleza hata kwa nukta...
namfungia pale ubungo, mbagala pale funga geti, kwenye jiji ambalo office zinapatikana! welcome back chid.... you real got back to your senses man. Big up,
Huyu jamaa alifwetu kitambo,bangi na unga ni mbaya kweli,interview nzima amejiongelesha.....Kenya tunampa saport Konki!,Konki!,Konki!!!! Master
chid ni msanii pekee ambaye atafanya interview hata masaa 3 bila ya kubonga... yuko poa sana
gonga like km umeipenda
Mdomo kama sinia. Pua kama ngumi.dudu hawezi kukuta .asantee sana chidi
CHID HIS INTELIGENT AND MATURED ENOUGH.
Story nying chid tulia jpange upya
una aakiri sana mwamba
Wewe top drugs naumujuwe mugu
The mam talks with no pause.kkkkkkkkk
Tumepoteza msanii mzuriiii sanaaa ila daimondiii rudishaaa nyota ya uyuu jamaaa badoo tunampendaaa
Da noma chid
MJOMBA ETI MUNGU ALIKUWA AMEWASAHAU . KUWAPA KHAZABU ... Dudu baya Anamkumbusha Mungu. ( Muombe Mungu Akusamehe Ulimi Umekuteleza SEMA InshaAllah). Vijana tufanye Kazi kwa Bidii za Alali Mungu Atazibariki InshaAllah.
Chidi benz nimemuelewa
umetisha Sana boy
Real and true solja chid benzino
Atari chidy me nakupenda bule
Big up sana broo chidy...
Nimemuelewa chid big up
Daah CHILD BENZI Unaongea kwa huruma kweli ila tulia Tamasha halijaisha watakuchukua ukapige kazi
jamani chiz wanaokuona chizi niwapumbavu yani me napenda unavoongea Jamani Allah akusimamie uweze kua strong
Swali moja unamaliza kipindi
Chid unafaa sana kuwa jaji wa kisutu au mkuu wa tume ya uchaguzi 2020
Chidi binadamu tunakosea nawe ulikosea,, lakini bado unamawazo na akili nyingi... Fact fact fact x 99,999,999 + 1 .... Asee keep it up japo huna pesa mungu atakuongoza. Kataaa madawa... Chid benz machine..
Pole mwaya Mungu akulipe
Acha ubabe upendwe dudu
respect #chuma #kingkon'g, umetema fact
Chid alilala na Dudu kwahyo Dudu baya hana Malinda chid kauwa