SIMULIZI FUPI: BINTI LISA Part 1, By Anko Jay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @SkolaHamissi
    @SkolaHamissi 7 หลายเดือนก่อน +5

    Amazing story❤ thank u anko j tunakupendaga sanaaa🎉🎉🎉🎉

  • @Rummy4871
    @Rummy4871 8 หลายเดือนก่อน +3

    Second time naisikiliza hii story it's very interesting story ❤❤❤

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we ปีที่แล้ว +8

    Heshima kwako ANKO JAY kwa kuzidi kutupa elima mbali mbali za maisha na mapenz nk mungu akupe kila kher katika maisha yako❤

  • @moseskipili3123
    @moseskipili3123 10 หลายเดือนก่อน +4

    Waooooo simuliz nzuli ank j

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Lkn funzo lizingatiwe,kwa vijana michanganyo sio poa

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +11

    Lissa mwalla ww mbn hivyo bandika bandua unajua kutupa mavituzzzzzzz wewe mdada ila nikuombe kitu kipnz story zako awe anasimulia anko jay wetu saw dada angu mzr fanya hivyo darling ake 🙏🥰

  • @jescalaurenti4970
    @jescalaurenti4970 ปีที่แล้ว +5

    Big up sana Lissa mwalla, ireal wish nikuone jmn 😍 Hata kwa picha tuu.. I'm really enjoying listening to your story 👌 plus anko Jay voice jmn you're so talented 👏. Asanteen sana sana🙏

  • @SheilaDoto-jo7jc
    @SheilaDoto-jo7jc ปีที่แล้ว +4

    Asante anko kwa simulizi nzur sana zinazotufundisha sana

  • @judithkithukaj3753
    @judithkithukaj3753 ปีที่แล้ว +11

    What is a day without simulizi tupo ndani kabsaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @FotunathaNdamira-tf1mo
    @FotunathaNdamira-tf1mo ปีที่แล้ว +3

    Asanteee kwa simulizi nimejjfunza mengi

  • @aboubapro3776
    @aboubapro3776 ปีที่แล้ว +7

    Anko jay tuna kupenda Sana😘😘

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +4

    Lissa mwala dd uko juu unatisha xaan daaah we ni mkali ✌️🔥🥰anko j wetu ww unatupa Radha kila cku hujawah kukosea kabisa uko juu kk km obama😂🙌🔥🥰❤️

  • @RebeccaErasto-d3z
    @RebeccaErasto-d3z 9 หลายเดือนก่อน +2

    Anko Jay simulizi Zako zinatukosha sana

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amenzing Ankojay ❤❤🎉🎉from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +7

    Thanks Anko for sweet simulizi...you've made my life easier in arab country....i only need head set and im good to go...i love your voice jay...much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so Much 😍

  • @khadijaaliissa1205
    @khadijaaliissa1205 ปีที่แล้ว +9

    Thnk u anko j napenda san kaz zako 😍 nainjoy sana😘❤️

  • @TatuMakia
    @TatuMakia ปีที่แล้ว +6

    Ako jay msimulizi awe mmoja t ambaye ni anko jay hao wengine wanasimuliwa kama wana mafua

  • @alinaswemuziya876
    @alinaswemuziya876 ปีที่แล้ว +4

    Napenda simulizi zako anko jay

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +8

    BACK TO BACK FROM OUR GREATEST STORY TELLER ANKO JAY MAPESA 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏

  • @SaidaRashid-kk3vz
    @SaidaRashid-kk3vz ปีที่แล้ว +4

    Congratulations anko Jay for nice sounds

  • @NasraAbdulwahab-fc2no
    @NasraAbdulwahab-fc2no 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani anko jay napenda sana unavuosimulia simulizi zako zinafanya siku yangu iwe nzurii ninaposikilizaa simulizi zako👌👌❤️

  • @SaidaRashid-kk3vz
    @SaidaRashid-kk3vz ปีที่แล้ว +2

    Thanks Lissa and anko Jay for good story,

  • @MwajumaHasani-k5m
    @MwajumaHasani-k5m 7 หลายเดือนก่อน

    Asante anko jay kwa sitory nzuri❤❤ uwa nazipenda sana hongera kwako

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri nashukuru

  • @aminakea9172
    @aminakea9172 ปีที่แล้ว +2

    Nimetulia tu naenjoy simulizi Asante sana anko j❤❤❤❤

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +19

    Anko jay wewe tupo kwenye swaum jamani lakini tunainjoi tuu waraabu na swaum hii nainjoi tuu na simulizi tamuuu🥰🥰🥰🥰 RAMADHAN KAREEM🌙🌙🌙🥰🤲

    • @Mwanasiti-xd3lv
      @Mwanasiti-xd3lv 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂🎉🎉

    • @juniorYB
      @juniorYB 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤🎉🎉🎉

    • @REHEMASHEMWETA
      @REHEMASHEMWETA 3 หลายเดือนก่อน

      No​

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +3

    Hi Anko Jay nimejifuza kweli simulizi hii nitam 🙌🙏 happy Holi _Holi dunguzangu🌙🌙

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 ปีที่แล้ว +2

    Ghaiiii nmependa sana thanks so much

  • @jenipherisaya684
    @jenipherisaya684 ปีที่แล้ว +2

    Ila anko j uko vizuri sana jamani sauti yako yani sichomi kusikiliza jamani asnteni simulizi mix na mtunzi lissa mwalla❤️❤️❤️

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 4 หลายเดือนก่อน

    Ancojey napenda sana unavyo simulia nisem asant🎉

  • @maryoommaryoom
    @maryoommaryoom ปีที่แล้ว +2

    Asante ankoj tuna kupensa sana ❤❤❤ Allah akuhifadhi na nakila baya

  • @rosiehaggrey9378
    @rosiehaggrey9378 ปีที่แล้ว +5

    Anko oooooo Jay na Lissa Mwalla tena ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @everlynesafari1527
    @everlynesafari1527 ปีที่แล้ว +3

    Ila anko jay 😂😂😂😂😂😂 unasifa sana ❤❤❤❤❤❤

  • @TatuMakia
    @TatuMakia ปีที่แล้ว +5

    Yaani simulizi ikiwa sio ya sauti yako tu atoaa maana hawajui kabisaa

  • @latifaalfa1034
    @latifaalfa1034 ปีที่แล้ว +2

    Saut nzuriii jmn w kaka

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 ปีที่แล้ว +1

    Wow shukrn san anko j pamoj tunasonga mbele😊na lissa Kipenzi 😘💓

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana simulizi mix pamoja

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana Mwandishi wetu kipenzi Lissa Mwalla, msimulizi Anko Jay na crew nzima ya Simulizi Mix hongereni sana

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 ปีที่แล้ว

    Woow acha nisonge nayo lakin kafupi Sana shukran lissa mwalla bila kumsahau mapesa anko Jay mungu awabariki

  • @MaryBosibori-iw1yo
    @MaryBosibori-iw1yo 9 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anko Jay unaniua jamani

  • @luizerndayanse6214
    @luizerndayanse6214 ปีที่แล้ว +6

    Nmecheka kwa kelele ivi anko J hivi vituko vyako 🤣🤣🤣😂😂

  • @DayanaWillfred-cn4hw
    @DayanaWillfred-cn4hw ปีที่แล้ว +2

    😊napenda simulizi zako anko jay

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 ปีที่แล้ว +1

    Nko zangu na enjoy anko hapa n earphones uku job ya ramadan familia yangu imelala mm na enjoy sauti ya jay ❤❤❤❤❤❤

  • @Rouhy-m3t
    @Rouhy-m3t 10 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉❤❤thank anko jay

  • @NuruGerad
    @NuruGerad 11 หลายเดือนก่อน +4

    Lisa alianza umalaya mapema sana

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ thanks Anko mapesa 🎉🎉🎉

  • @luizerndayanse6214
    @luizerndayanse6214 ปีที่แล้ว +3

    Nasikia raha unavyosimulia 😃

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 ปีที่แล้ว +1

    Binti lisa acha ni enjoy ntarudi kutoa maoni 😂 one love 💙❤💚 wana simulizi mix.

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +4

    Asante 💞💞💞💞

  • @FatmaKhatib-j7w
    @FatmaKhatib-j7w วันที่ผ่านมา

    😭😭maskn kweli hatuna saman

  • @HidayaChina
    @HidayaChina 11 หลายเดือนก่อน +2

    This voice

  • @emanuelsarara6383
    @emanuelsarara6383 ปีที่แล้ว +6

    Nikiona tu story ya Lissa Mwalla halafu kasimulia anko jay naisoma chap maana najua tu ni kali sana

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua ปีที่แล้ว +1

      Kabisa anko jay yuko juu

    • @IbrahimNyawaOmar
      @IbrahimNyawaOmar ปีที่แล้ว +1

      Tko pamoja mi pia huwa naipempenda sana

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Kama kawaida yake kaz zao hazina mbaaambaaa

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n ปีที่แล้ว

    Jamn cmliz nzur san ❤❤❤❤ kaz nzur❤❤

  • @LydiahGatitu
    @LydiahGatitu 15 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 Hapo kwa mnyaduano nimecheka na niko pekee yangu

  • @GodeliveRamazani
    @GodeliveRamazani 9 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉

  • @hawasaid2670
    @hawasaid2670 ปีที่แล้ว +2

    love you anko🥰🥰

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

    Daaaah,kijana mshenz wa tabia huyo

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Max kama max 😂😂😂😂😂😂🤣Ankojay wewe, unatutia nyege jamaniiii

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅umeonaereeeee

  • @Walid-gk8hl
    @Walid-gk8hl ปีที่แล้ว +1

    Kazi kweli

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +1

    Good anko jay

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +2

    Leo mm wa tatu,,haya wacha nisikilize lissa mwala😂😂ooo nimekosea kumbe sio mtunzi wetu lissa mwala 😅😅.❤❤

  • @madreedsulaiman401
    @madreedsulaiman401 ปีที่แล้ว +2

    Good job

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 ปีที่แล้ว +3

    To be continued

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 ปีที่แล้ว +3

    Ramadan Karem wapenzi wa simulizi jamani Lisa please usimutaje max 😁

  • @TatuMakia
    @TatuMakia ปีที่แล้ว +2

    Yaani wanaboooa😅😂😂😂😂😂😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +1

    Love you anko

  • @latifaally2429
    @latifaally2429 ปีที่แล้ว +1

    Mbona back ground cy zuri anko

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 ปีที่แล้ว +4

    Yaani sina shaka nikiona simulizi ya Lissa Mwalla naamini nitafurahi, lakini amenifanya nikisikiliza simulizi zingine naona bado sipati utamu.pia ana kipaji mno msimuliaji wake Anko Jei,sasa Lissa Mwalla mbona naona hii imekuwa fupi, naomba tuwekee ndefuuu mtu ajipimie mwenyewe, ili bando lisikatike kabla.Lissa najikuta kama hujatoa simulizi mpya narudia tena zilizopita na bado hazichoshi, ukweli Lissa Mwalla huna mpinzani,loo msimuliaji sasa hee anajua, ana kipaji, ana sauti nzurii, yaani ananifanya nione kihalisi wausika katika simulizi*★duu bado sijaanza kuisikiliza lakini sina shaka ni UTAMU HASWAA

    • @lissamwalla501
      @lissamwalla501 ปีที่แล้ว

      Asante sana dia, maneno haya yanafanya tuzidi kupata moyo wa kuleta simulizi nzuri zaidi. Barikiwa sana asnte sana dear, mazur yaja my lov

    • @sabinamasangwa293
      @sabinamasangwa293 ปีที่แล้ว

      Lissa na anko nawapendaaa❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +2

    Ukipimwa ukutikane na mimba sema ulikunywa kwa chai maana umesema hukuwai fanya mapenzi eheee nicheke mie 😂😂😂😂 mimba ni kitu ya kuficha kweli mmmhh

  • @rehemacharles4290
    @rehemacharles4290 ปีที่แล้ว +2

    Nmekua11 jamani humu watu mnawahi haya Lisa Naona anatutendea haki sikuizi twende kazi

  • @NasraAbdulwahab-fc2no
    @NasraAbdulwahab-fc2no 5 หลายเดือนก่อน

    Endelea kutupa rahaa jamani anko jay

  • @LydiahGatitu
    @LydiahGatitu 16 วันที่ผ่านมา

    Wale hukusuma mjengo kwa waiguru na hizi silulizi za anko j gather hear

  • @glorymagrethchaula5076
    @glorymagrethchaula5076 ปีที่แล้ว +1

    Anko j tupia basi Ile simlizi ya kina Lili

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Inaitwaje.?

    • @glorymagrethchaula5076
      @glorymagrethchaula5076 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ apo ndo tatizo linapo anzia nimesha kina nachokumbuka kulikua na Lili Leila latifa na lusy na bint wa nne mmoja mchumba ake aliendaga kusoma nje ya nchi ndonakumbuka ilikua nzuli sana yani

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NashpaiFocus
    @NashpaiFocus 11 วันที่ผ่านมา

    Lisa mwambaaaaa

  • @RealmeC11-ld1ht
    @RealmeC11-ld1ht ปีที่แล้ว +1

    Hmmm jamni Kuna wanawke wngine wanajirahisisha kwa wanaume 🤔🤔Lisa duuuh

  • @guyosalimguyo
    @guyosalimguyo ปีที่แล้ว +3

    TUNANGOJA HIO SEHEMU YA PILI🎉🎉🎉

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

    Aliyempa mimba Lisa ni mas john toka zambia khaaaa

  • @saudalwelo4437
    @saudalwelo4437 ปีที่แล้ว +3

    Ulipo tupo

  • @slyla2565
    @slyla2565 ปีที่แล้ว +3

    Siku zote epuka kumwambia rafiki Mambo yako ya ndani

  • @JNW1234
    @JNW1234 ปีที่แล้ว +2

    Anko jay, I need to see you face to face ili nione uhandsome wako.

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ankojay_mkaribishe kwako

    • @OdreyeIrakoze
      @OdreyeIrakoze 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @youngjaywinfrey9854
    @youngjaywinfrey9854 ปีที่แล้ว +1

    Mko wa sazi eti na Uchafu wake wote uwo😂

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Mapenz ya wanafunz wajihadhar yana madhara sana,ukifuatilia mmojawapo lazima aangukie pua

  • @ElaineAkimana
    @ElaineAkimana 8 หลายเดือนก่อน

    Hasaaante

  • @saleheneyo9433
    @saleheneyo9433 2 หลายเดือนก่อน

    anko j malizia

  • @MariaMashiku
    @MariaMashiku 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani jaman

  • @loisebasilica7506
    @loisebasilica7506 ปีที่แล้ว +4

    Leo mm niwakwanza ku comment

    • @kevin2806
      @kevin2806 ปีที่แล้ว

      Wowuuuu simulizi zuli hiyi😘 Anko usikawiy na part 2

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +1

    Ramadhan kareem tuishi kwaimani

  • @AsdAsd-d7f
    @AsdAsd-d7f 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +1

    Acha tuendelea Na sehemu yapili Na Saumu yetu

  • @RahimRahim-x3d
    @RahimRahim-x3d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hyo bite ni km mie hafai hta kdo

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman lisa ameapa hajawahi kufanya mapenzi tangu kuzaliwa🥸🥸🥸🥸

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Binti zani hoyee umetajwa kwenye simulizi makubwa

  • @moseskipili3123
    @moseskipili3123 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @hadijambaule7366
    @hadijambaule7366 ปีที่แล้ว

    I like ❤

  • @ScholasticaShadrack
    @ScholasticaShadrack 9 หลายเดือนก่อน +2

    Napnda San simulizi zako znankoxha aisee😂😂

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 7 หลายเดือนก่อน

    Jmn nyie mm nko hoi 😅😅😅😅😅 😮

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua ปีที่แล้ว +1

    Anko mauwa yako chukua bwana

  • @angelantinda1009
    @angelantinda1009 ปีที่แล้ว

    Acha nijivinjali mie na anko j

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 ปีที่แล้ว

    Tunaomba muendelezo msitucheleweshe jamen

  • @angelantinda1009
    @angelantinda1009 ปีที่แล้ว

    Jamnii. Itakuwaje sasa uwiii max atarudi kwa lissa kwelii

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 11 หลายเดือนก่อน

    Team strong tunao pimiwa wifi tunasave vpi ili tuskize bdae, nmejarbu save ila bila net haifanyi