Tabu inakuja kwangu Jamani, utunzi wa Lissa Mwalla umetufanya tukifungua simulizi za watunzi wengine baadhi yao tofauti ni kubwa sana sana , zina mapungufu mengi hazina uhalisia kabisa, yani unakuta huelewi mtunzi anafikisha nini kwa wasikilizaji, unapeleka mbele usikilize nini kifuaatacho, sababu inachosha sana kwahiyo unaenda mbele angalau ujue hatima ni nini,mwishowe unaachana nazo, na bando huteketea.Lissa wewe una AKILI nyingi, KIPAJI KIKUBWA MNO si mchezo hukurupuki , natamani watunzi wengine kabla hawajaleta simulizi humu,wakuombe uwasaidie kuboresha, lakini sio free, angalau wakutoe, utunzi kipaji Jamani, huyu msimuliaji Anko Jay ni shida ana sauti nzuri hachoshi,kwa sauti tu MUNGU FUNDI.BARIKIWENI SANA MTUNZI NA MSIMULIAJI
Kweli kabisa ,mim mwenyew nasikiliza za wengine naishia robo tu,lisa mwala na jomba wajo kwa kweli huishiwi hamu,msimuliaji wetu matata sana ndio kiungo kikubwa cha kukoleza simuliz zetu hingera sana kwao
Asanten kwa smlz nzury yenye mafunzo Mungu azd kuwabarik na kaz yenu nawapenda sana LISA MWALA nakupa ongera kwa smlz zako tamu na zilipata msimulizi ambae nae nAnko J ❤❤❤
Ndani ya hii simulizi nimejifunza vingi mno ila kikubwa sana kumtanguliza mungu kwa kila jambo..na kingine kuwasikiliza wazaz wawili mana wao ndio nguzo yetu..ahsante sana anko j mungu akupe umri mrefu Amin..🙏
Mungu akubariki zaidi na zaidi ufanikiwe popote uwendapo na lolote ufanyanyo lizidi kubarikiwa maishani mwakwo amini twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤
Hii team ya mtu mbili inajua kunipa raha nawapenda adi nawaota nikijaliwa kuzaa mwanangu wakike na mpa ankojay wakiume anachukua jiko bidada lissa mwalla🌹🙏🏼🇧🇮
Kazi nzuri sana kutoka kwenye mafunzo mengi na burudan ya kutosha,asante kwa sauti nzuur kuliko dhahabu unayotuburudisha vilivyo,anko j weka hata kakopa tu
Hiii kubwa sana hiii.🙏🙏🙏 ❤❤❤❤subirini mengi mazur yaja toka kwangu mm n anko Jay 👊👊endeleeni kuitana kuskiliza na kusubscribe ❤❤❤mahaba nilionayo kwenu wasikilizaji wa ankojay simulizi ni mazito Acha tulete vitu..
Aisee anko j hii simuliz kuna vipande nimepitia ila huyu mwanaume ni muuaji ila Mungu hukuinilia watu wamsaada wakukuvusha kwenye jaribu ila hawa viumbe wanyakiusa wanatabia ya kuharibu ndoa za watu sana dada pole
Kweli hakuna ungonjwa nafuu ila ukimwi apana 🙌🙌🙌 I say big noo bora nipate ukilema wa maisha If km huyu ni nurse mzoefu na ndo huyu na ukiwakuta hoc wakishauri mtu utafikiri wao ni wajasiri wee acheni tu
Yani dada lissa story zako kuna muda zinaboa kusikiliza uyu kemmy mbona mbumbavu sana kemmy huku mwishoni amezidisha upumbavu khaaa mana mwanzo alikuwa mpumbavu sasa mwisho kazidisha upumbavu kama nimtoe humo kwenye simulizi nimpe kichapo
Thank you so much Ankojay for the last part 3, MY BEST FRIEND . We enjoyed part 1,2 was very good and also sad and all is life thanks now we're waiting
This simulizi remind me of my bestie.nilie msaidia kutafuta kazi ndani ya kampuni.alikua amehangika hadi nikamhurumia.nilimshughulikia na nikafanikiwa.baada ya mda akaza kujuana na watu...alinidhalilisha na akaongea mabaya kunihusu..kampuni ilikua ya ujezi wa barabara kwa hivo kazi iliisha mkoa huo na kuhamishiwa kwingine.rafiki huyo alikua wa kazi alikua mfanyakazi wa mkono kwa hivo hakuhama na kampuni.mimi nilikua dereva wa excavator nikahama...kazi ilipoisha ilimbidi kurudi kijijini na kuanza kazi za kulimia watu mashamba.mara apate mara asipate.but since that day niliapa afadhali nimsaidie mtu hata hanijui kuliko rafiki
Usiseme bila malipo wakati tunatumia bando hapa dear bila bando ungesikiliza kweli😂😂😂tuwe wakweli sisi elimu tunaipata ndyo na tunashukuru Ila syo buree😂😂😂

Ahsante kwa ujumbe mzuri saana 🤝 nakiahidi hapa Ankojay Simulizi... Mtapata vitu moto moto 🔥🔥 simulizi nzuri za kuvutia... Zenye ujumbe na mafunzo
Mie siskilizii ahasa mpka niskie saut ya Ankojay ananifurahisha sana Allah ampe maisha marefu❤❤
❤
Yaani mimi nimeshindwa kabisa kusikiliza simulis ya mtu mwingine kabisa
Kweli kabisa ,mim mwenyew nasikiliza za wengine naishia robo tu,lisa mwala na jomba wajo kwa kweli huishiwi hamu,msimuliaji wetu matata sana ndio kiungo kikubwa cha kukoleza simuliz zetu hingera sana kwao
Elimu unayotupatia LISSA MWALLA kwa kweli tunajifunza vingi sana kwa hizi simulizi ankojay tunajua vingi na tunajifunza vingi pia🥰🥰🥰🥰
😍😍😘😘
Lissa umetujengar sana ankojo mungu akubariki kwa simulizi nzuri sana yenye mafuzo mazuri
Nimeumia as if is me..Anko J simuliz Ni mafunzo tosha katk maisha😌Mungu akubariki Anko J na Aunty Lissa❤️🥰...
😊😊big up LISSAH NWALA n ANKO JAY
Kufikia hapo nasema hongereni sana na Mungu azidi kua pamoja nanyi
yani anko j bila kujisifia utoboi 😅😅😅😅
Hongera best friend kemmy
Mashallah dada lisa Allah akupe maisha marefu nariziki pia kwakutuelimisha
❤❤❤❤Asante anko j kwa simuliz tamu yenye mafunzo
Asanten kwa smlz nzury yenye mafunzo Mungu azd kuwabarik na kaz yenu nawapenda sana LISA MWALA nakupa ongera kwa smlz zako tamu na zilipata msimulizi ambae nae nAnko J ❤❤❤
Story nzuri inatufundisha sana juu ya maisha❤❤❤
😢😢😢jmn
Jaman Camy kama utamuumiza seju sijui kama utapona dunian na mbingun kweli
Wadau. Kwa. Kweli. Ankojei. Simulizi. Zake. Zinafundisha. Haswaaa. Asante. Sana. Ankojei. Wetu🎉🎉🎉❤🙏🤝🥰🇮🇹❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍒🍒🍒
Ndani ya hii simulizi nimejifunza vingi mno ila kikubwa sana kumtanguliza mungu kwa kila jambo..na kingine kuwasikiliza wazaz wawili mana wao ndio nguzo yetu..ahsante sana anko j mungu akupe umri mrefu Amin..🙏
Hii simulizi imenifunza mengi ❤asanteni sana lissa mwala na anko j maisha marefu kwenu nawapenda sana ❤❤
Nakupenda. Kerme. Ukiamua. Kumpenda. Mtuu. Umempenda. 🎉🎉ukokama. Ankojei. . Sejio. Ndio. Wako. Amekutoa. Mbali❤🎉
Asante Ankojay mafundisho tumepata ila Wadada tuwe na msimamo tuwe wa kweli. Uongo uongo ndio unatufikisha ahera!!!!
Nashukuru mungu kwa simulizi tamu Dada siko zote tangulizi mungu mbele hutaona mema
Amazing story nasikiliza nikiwa India
Enjoy 😍😍
Mungu akubariki zaidi na zaidi ufanikiwe popote uwendapo na lolote ufanyanyo lizidi kubarikiwa maishani mwakwo amini twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤
Anko Asant sana Allah akuongoze na kipaji ulichonacho nakupenda Sanaa
Unatunyooshaaa❤
Nzuri sana asante Lissa na Anko J lna mafunzo mengi.
Anko j na Lisa mwala mungu awabaliki kwa kila hatua zenu
Hii team ya mtu mbili inajua kunipa raha nawapenda adi nawaota nikijaliwa kuzaa mwanangu wakike na mpa ankojay wakiume anachukua jiko bidada lissa mwalla🌹🙏🏼🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂😂 dhaaaa
Hatimae nimeimaliza kwa siku moja zote tatu
Nikiasi. Cha. Kumshukuru. Allah. Ken unabahati. Sana. Akojei🎉🎉 Asante. Sana❤❤❤
Kazi nzuri sana kutoka kwenye mafunzo mengi na burudan ya kutosha,asante kwa sauti nzuur kuliko dhahabu unayotuburudisha vilivyo,anko j weka hata kakopa tu
Fundisho zuri sana asante kwa simulizi nzuri Anko J
Anko j mungu akubariki Kwa kila Kazi ufanyayo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
Asante sana kwa simulizi murua kabisa yenye mafundisho mengi na mazuri sana kwa maisha ya kila siku, Ankojay na Lissa,mbarikiwe hadi mshangae
W8ing eagerly 😍,,
Hiii kubwa sana hiii.🙏🙏🙏 ❤❤❤❤subirini mengi mazur yaja toka kwangu mm n anko Jay 👊👊endeleeni kuitana kuskiliza na kusubscribe ❤❤❤mahaba nilionayo kwenu wasikilizaji wa ankojay simulizi ni mazito Acha tulete vitu..
Hongeteni sana ww na anko jay ❤❤❤❤
👏👏👏 I see u at the top...pokea maua 🌹🌹yako 😊
Lisa we jua tyuuu ukitung story zako mmpe anko jay wet tyuuu sàwa my wng
Thanks ❤❤❤
I love you so much lissa
Story zinamafunzo mazuri sana
Daah ni mejifunz mengi san 😍😍
Anko jay na sis Lissa nawapenda sanaa😘😘😘😘😘
Asante. Anko jy. Kwautamu. Wasitorr. Namafudzo. Mbona. Aifunguki
Aisee anko j hii simuliz kuna vipande nimepitia ila huyu mwanaume ni muuaji ila Mungu hukuinilia watu wamsaada wakukuvusha kwenye jaribu ila hawa viumbe wanyakiusa wanatabia ya kuharibu ndoa za watu sana dada pole
😊
Loooo Anko jmn unapenda kujisifia sana 🥰
Asate sana ako j hakika ww unanifaya nijifunze mengi 🙏🙏
Asante sana Anko jay mungu abariki kazi ya mikono yako
Ahsante sana
@@ankojay_inatufundisha sana
❤❤❤❤Asante xn ankoj nimejifunza mengi mno
Asante anko jay barikiwe❤❤❤❤
Hongeraaaaaaa Ankooooooooooooo ❤️❤️❤️💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Cameron ananiudhi sana, anabebwa ufala Sana kila aambiwalo yes , okay
Shukuruna Ankojay😍😍😍😍
Aki Anko j asante nimeenjoi basi tuletee mtoto wa Doctor 🙏 🙏
Asante anko Jay mungu akupe maisha marefu tuzidi kuinjoi kkangu
Wacha niendelee kusikiza ila pongezi Anko j na sister Lissa mwalla ❤❤❤❤
Kweli hakuna ungonjwa nafuu ila ukimwi apana 🙌🙌🙌 I say big noo bora nipate ukilema wa maisha If km huyu ni nurse mzoefu na ndo huyu na ukiwakuta hoc wakishauri mtu utafikiri wao ni wajasiri wee acheni tu
Ankojay wewe 😂😂😂😂 kiboko mda ckukuskia kujisifia ahsante kwa kutufunza mengi lissa apewe maua yake ❤❤❤❤❤
Asante Sana anko pamoja na Lisa kwa mafundisho mazuri
Nyie anko jay pia ni don
Asante anko j mungu hakupe maisha marefu jmn
😂😂😂haloo sasa dd ulijifunza
Mhmm,Marioooo😮😮😮😮😮😮😮
Mungu awabariki 🎉
😂😂😂Anko Jey Sergio😂😂. Kweli maisha ni safari na kuna watu na viatu. Shukran sana Anko J pamoja na mwandishi.
Yani dada lissa story zako kuna muda zinaboa kusikiliza uyu kemmy mbona mbumbavu sana kemmy huku mwishoni amezidisha upumbavu khaaa mana mwanzo alikuwa mpumbavu sasa mwisho kazidisha upumbavu kama nimtoe humo kwenye simulizi nimpe kichapo
Ahsante sana anko jey kwa kutuletea pat 3
Achana nae uyo c mume dda 🖐
Asnteee lissa mwala nakupnd bure we dada
Thank you so much Ankojay for the last part 3, MY BEST FRIEND . We enjoyed part 1,2 was very good and also sad and all is life thanks now we're waiting
Asantesana ankojay
😂😂😂Ivan kiboko😂😂😂😂 ana pesa lakini akili hata tone hana,na mama yake naye ni wale wale,anadhani fedha ni kila kitu,😂😂
Asante tamu sana
Pole. Doctar. Marwa. Ubaya. Ubwela😂😂😂😂😂😂😂 ukitenda. Ubaya. Utalipwa. Ubaya😊😊
❤❤❤❤😊😊😊😊
Finally we endup well thenxs madam Lissa n mr Jay be blessed always 🙏🙏🙏 big up we really appreciate you
Ahsante anko Jay ❤❤
Asante sana anko Jay
Asante sana ankojay ❤❤❤
Thank u so much Anko J and God bless the work of your hands 👐 ❤
Daaaa,inauma lakin,maumivu ya kujitakia jaman,mahaba yaua kweli kweliiiii
Jamani Yani tunasubiria kama pesa vile
Asante sana anko jay na lissa
Nzuri sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ asante anko j mwaaa❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Anko Jay nakupenda sana ata mama Cameroon anakujua eti
😄😄😄😄
😂😂😂😂 Umeona eeh
Thank anko jay. naisubili ifunguke
Tumejifunza mengi kaka endelea na kibali chako
Asante sana ankojay
Asante madame Lissa Kwa funzo jamani wanaume nyie mbingu mtaisikia kwenye simulizi za Anko y
Ankojay na dada Lisa hamjawh kutwangusha asanteen sanh kw kutup frha kil kukichaoo
Nimuongo huyo😢😢
Ns hiii tunalipia jmn anko jay 😢hsli ngumi uwiii
Hebu punguza hata bei
Hakaika unatufuza san Asante san
Akini. Akojei. Anasimulia. Kila. Siku. Humsikilizi. Yasingekukutahayo. Ya. Marwa
Kam kawaida yangu n mwendo wa kuchelew tyuuu ila hakujaaribik kitu 😊
Anko J jamani iyo sauty mpaka mbac
This simulizi remind me of my bestie.nilie msaidia kutafuta kazi ndani ya kampuni.alikua amehangika hadi nikamhurumia.nilimshughulikia na nikafanikiwa.baada ya mda akaza kujuana na watu...alinidhalilisha na akaongea mabaya kunihusu..kampuni ilikua ya ujezi wa barabara kwa hivo kazi iliisha mkoa huo na kuhamishiwa kwingine.rafiki huyo alikua wa kazi alikua mfanyakazi wa mkono kwa hivo hakuhama na kampuni.mimi nilikua dereva wa excavator nikahama...kazi ilipoisha ilimbidi kurudi kijijini na kuanza kazi za kulimia watu mashamba.mara apate mara asipate.but since that day niliapa afadhali nimsaidie mtu hata hanijui kuliko rafiki
Wallah siku hiz hakuna rafiki
Kuwa.namsimamo.ww.lissa😅😅
Jmn hamlali nimekaa usiku kucha kusubiri kuwa wakwanza....kupitiwa kidogo tuu tayari mshawahi
Achautani usilala kisa simulizi
@@amimaawazi6643 watu simulizi ndozinatubembeleza tulale huwez amin😂 naamka imeisha imeanza nyngne
Elimu bila malipo tusikilize natujifunze Asante kwa wahusika mbarikiwe
Usiseme bila malipo wakati tunatumia bando hapa dear bila bando ungesikiliza kweli😂😂😂tuwe wakweli sisi elimu tunaipata ndyo na tunashukuru Ila syo buree😂😂😂
@@elizabethfrank271 hahaha jaman mb tyu akianza kuziuza sereas itakuaje wala tusiongee
Mbona mtoto wa dr ujatuekea jambani
Www kemmy ni malaya mpumbavu www
Mama yako ananipenda,vipi kuhusu wewe?😂😂😂😂😂😂😂😂😂duuuu
Simulizi za lissa mwala nyie nyie usipokuwa makini 😂😂acha niishie hapo
Doctor mage kachanganyikiwa
Umeona ehee