CHADEMA MKOA WA MARA WATOA TAMKO ZITO LA KUMUUNGA MKONO LISSU "MBOWE SIYO MWANZILISHI WA HIKI CHAMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 135

  • @VanancKamonyole
    @VanancKamonyole วันที่ผ่านมา +15

    Hongera sana mzee wa kimila kwa kutoa msimamo wa kura za mkoa wa Mara " TIME WILL TELL"

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      Kura Kwa Lisu na Heche tata

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani วันที่ผ่านมา +25

    Ni nchi nzima lisu

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk วันที่ผ่านมา +16

    Siwafichi siasa za sasa kinamtaka lisu. Huku kijijini Tuna mtaka lisu

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 วันที่ผ่านมา +15

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @IsmailMasule
      @IsmailMasule วันที่ผ่านมา +1

      Kwaio yesu awe mwenyekiti wa chadema au ndo mwezi mchanga

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂❤ ❤❤❤

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano วันที่ผ่านมา +14

    Tunawashukuru watu mnaojitambu💪🙏✌️

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u วันที่ผ่านมา +19

    Mambo ni moto uchaguzi huu sio mchezo ila heche na lissu imebamba

  • @UpendoEliya-i7l
    @UpendoEliya-i7l วันที่ผ่านมา +5

    Hongereni sana Vijana Mara!! ✌️✌️✌️✌️ Peeeopleeeeeeeeeee!

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 วันที่ผ่านมา +23

    Mbowe hebu tupishe Acha tamaa maana utadharirika sisi tupo na lissu na heche

  • @HajiChacha-b7u
    @HajiChacha-b7u วันที่ผ่านมา +11

    Lisu 👍👍

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s วันที่ผ่านมา +1

    Busara na hekima huku watu wetu wanauwawa kila siku!! Hongereni sana watu wa mara.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา +15

    Mbowe tumekushauri lakini husikii bas endelea kushupaza shingo

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 วันที่ผ่านมา +4

    Lissu

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale วันที่ผ่านมา +9

    asanten sana watu wa mara tundu lisu ni rafiki yetu sana na sisiwatu wa mara sio vigeugeu ila hayo makofi hayajanifurahisha murya

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w วันที่ผ่านมา +12

    Haya yanatufundisha kuwa Kila jambo na mda wake. Kuna siku yatahitajika mabadiliko ya hivi ndani ya serikali

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa Mkuu 🤜🤜🤜🤜

  • @FimbombayaKimbwi
    @FimbombayaKimbwi วันที่ผ่านมา +9

    Pamoja Sana

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo วันที่ผ่านมา +2

    Asante wajumbe wa mara tuko pamoja

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee Wa Kimila asante sana umeongea vizuri na umeeleweka.

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 วันที่ผ่านมา +11

    mbowe uta dhalilika sana achia ngazi

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +8

    Wakurya tunaenda Kwa Lissu

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 วันที่ผ่านมา +10

    Chadema wanataka kubadili formation, center forward inapwaya 😂😂

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 วันที่ผ่านมา +4

    Yericko bado haamini kweli lissu ni Mshindi

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 วันที่ผ่านมา +6

    Ni Nchi nzima moshi, Arusha mjini .tunamtambua Tundu lisu

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 วันที่ผ่านมา +6

    Safiiii

  • @severinemanday4334
    @severinemanday4334 วันที่ผ่านมา +6

    Maccm hayamtaki lisu 😂

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา +11

    Mchagueni Lissu

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj วันที่ผ่านมา +10

    ata mimi tundilisu anatufaa

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale วันที่ผ่านมา +5

    kiongozi umeongea vizuri niko njian kachukue chips kuku nakuja na tren inayotumia mafita ya dizeri

  • @RamadhanimanjonjoManjonjo
    @RamadhanimanjonjoManjonjo วันที่ผ่านมา +4

    Saf sana

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 วันที่ผ่านมา +8

    Tunaenda na Lissu Muraa

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +8

    Lissu popote pale

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x วันที่ผ่านมา +7

    Kanda maalum

  • @FrankMusoma-n7b
    @FrankMusoma-n7b วันที่ผ่านมา +6

    Safi home boy

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +5

    Lissu hoyeeeeee

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 วันที่ผ่านมา +5

    Kanda Maaruum inakwenda na mura Lissu na mura Heche

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    LISSU NA HECHE Ndio Viongozi Bora Na Imara Watakaoweza Kuivusha CHADEMA Ktk Kipindi Hiki Kigumu.

  • @mosesibrahimu-kg1ib
    @mosesibrahimu-kg1ib วันที่ผ่านมา +5

    Lisu shujaa

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi วันที่ผ่านมา +2

    Hizo pesa zikija kwa wajumbe kuleni,ndio tunazopigwa badala ya kutoa huduma za elimu,afya,kutoa umasikini,watu wachachewanaiba na ndio hizo zinahongwa ili waendelee kunufaika na tawala hizi za wachache

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko วันที่ผ่านมา +6

    Lisu bila wewe hakuna uchaguzi huongeki

  • @sangavilley2792
    @sangavilley2792 วันที่ผ่านมา +6

    Busara ni........
    Lissu + Heche

  • @kigesomichael8061
    @kigesomichael8061 วันที่ผ่านมา +5

    Haya mra

  • @andrewlkashusha135
    @andrewlkashusha135 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe mast go

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee mboe sanuka mzee

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 วันที่ผ่านมา +5

    Mbowe akishinda basi nitaamini kuwa hata upinzan Kuna wizi wa kura

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา +2

      Haaaa haaaa 😂😂😂😂 nakweli asee

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 วันที่ผ่านมา +4

    We lifisiemu kakojoe ulale lisu hana baya

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 วันที่ผ่านมา +1

    Naona mbowe unaenda kupata aibu asubuh na mapema...😂

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 วันที่ผ่านมา +2

    Kwanini hamna ukomo wa uongozi ? ? 😂😂😂😂😂😂

  • @nestor384
    @nestor384 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu Lissu baada ya uenyekiti Tumpe nchi

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zangu wana MARA hamjawahi KUNIANGUSHA 😂😂😂

  • @BensonMpete
    @BensonMpete วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna mura mshamba

  • @EsterJoel-i7i
    @EsterJoel-i7i 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchi au wanachama maana wananchi wote siyo chadema

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @LucyMo-q3o
    @LucyMo-q3o วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa mwenyekiti miaka yote hata ofisi yako hujajenga

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 วันที่ผ่านมา +1

    Mkoa wa Tanga tunaenda na Tundu Lissu

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss วันที่ผ่านมา +2

    Yesu.ajaludi.bado.umasikini.ujiga.magojwa.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd วันที่ผ่านมา +2

    MARA KINA MURA NINAWAINI SIJUI MNAKULA CHAKILA GANI KIMEWAFANYA MUWE NA AKILI NYINGI NA MISIMAMO IMARA!!!? NAWAPENDA SANA WATU WA MARA MKO IMARA!!!

    • @Valerianshad
      @Valerianshad วันที่ผ่านมา

      Kichuri na nyama😅😅😅😅

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      Wanakula vimoro na bukima halafu Pombo ya asili puya

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 วันที่ผ่านมา

    Kazi mnayo, inaonekana vile hamjajipanga na mnavyokurupuka,,,hayo mambo yenu ya ndani ya chama ni bora mngekaa chini myazungumze ndipo mtoke barabarani kuropoka,,kila mtu akiongea lake kwenye media mnapoteza mvuto na imani kwa wananchi. Nawashauri mhipange kabla ya kuongea na media na muongee mambo muhimu yasiyokatisha watu tamaa na kuwaona hamjielewi

  • @gililwise
    @gililwise วันที่ผ่านมา

    Apishe wengine nao wagombee ni ushauri wangu tu.mbowe ni vizuri ukapumzika Kwa Amani bile fedheha.

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i วันที่ผ่านมา +1

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. MBOWE TUNAKUOMBA UCHUTAME

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 วันที่ผ่านมา +1

    JAMAA ANA SAUTI HALISI YA KIKURYA, HUYU NDO MKURYA SASA. MURA HALISI

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 วันที่ผ่านมา

    Namuona mtoto wa Bata pembeni hapo from Bunda

  • @MichaelMeshack-i2r
    @MichaelMeshack-i2r วันที่ผ่านมา +2

    KWANI MBOWE ANA UZEE GANI ACHENI KELELE SUBILINI NENDENI KUPIGA KULA

    • @JonathanMundeda
      @JonathanMundeda วันที่ผ่านมา +2

      Mbowe sio uzee tu anang'ang'ania madaraka yann apishe aachie nawengne nandomaana tunataka ccm itoke iwaachie nawengne

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob วันที่ผ่านมา

    Mwewe akichukua vifaranga aruke nae I like it saying

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 วันที่ผ่านมา

    Mbowe must go

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo วันที่ผ่านมา

    Nikweli kama chadema tunataka tushike Dola twende na lissu

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 วันที่ผ่านมา +1

    Ni lisu tu na heche kwa saivi

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mboye pumzika Kwa Amani,,

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp วันที่ผ่านมา

    Pamoja

  • @innaenock2074
    @innaenock2074 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona Kanda ya kaskazini siwasikii mna msapoti nani jmn au mmemsaliti mbowe

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 วันที่ผ่านมา +1

      Tunasoma comment kwanza

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      ​@@mosesmacha1080😂😂😂😂😂

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnaenda kupasua chama katikati

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo วันที่ผ่านมา

    Ivi niurizie kama mbowe awezi kumuamini lissu Atamuamini nani

  • @joachimngereja7608
    @joachimngereja7608 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kichuri kina fanya kazi, tunawaona

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 วันที่ผ่านมา

    Sasa unaingia mkoa wa mara , fita ni fitaaa muraaaaa , kamanda Isasi ameendesha presentation kibabeeeee😂😂😂

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa วันที่ผ่านมา +1

    Kwa niaba ya Wananchi wa mkoa wa mara Sawa bhana yetu macho Wana Kanda maalum

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      Sawa tata magesa

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa วันที่ผ่านมา

      @robertphilip385 Mwetu, wakondya

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 วันที่ผ่านมา +3

    Ivi mnajenga chama mnavuruga chama?

  • @chage97
    @chage97 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm chali cha mende

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu วันที่ผ่านมา +2

    Ma ccm yanamtaka mboweee

    • @UpendoEliya-i7l
      @UpendoEliya-i7l วันที่ผ่านมา

      Mhe Mbowe mpole na Mhe Lisu mkali ni mpenda haki.

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 วันที่ผ่านมา

      Huko nyuma kote Mbowe alikuwa akisemwa na hao CCM kuwa amehodhi chama ; kwamba chama ni Saccos yake, kwamba amekifanya chama kuwa cha Chaggaland! Sasa kwa nini leo hao hao leo wampende Mbowe? Bila shaka kuna jambo wanalolitaka kwa .bowe ambalo hawawezi kulipata kutoka kwa Tundu Lissu endapo atachaguliwa. Pengine wanagwaya misimamo ya Lissu kwa yale anayosimamia na kupigania! Yaelekea kwa CCM Mbowe anavumilika kwao kuliko Lissu kwa sasa. Yaelekea Mbowe wa zamani si Mbowe wa sasa! Chama tawala kinampendaje kiongozi aliyeko kwenye upinzani?

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa nyie ni wanafikiiiiii sijawahi kuona mwisho wa hayo yote utasikia Mbowe kashinda

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe waachie wenzako

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    LISSU HECHE
    LISSU HECHE
    LISSU HECHE

  • @zaxonygm7700
    @zaxonygm7700 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tata umenenaaa

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv วันที่ผ่านมา

    Rahaaaaaa

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 วันที่ผ่านมา

    Nimependa hii style ya kufanya interview na wapiga kura wenu nakupiga video nakutaja idadi ya wapiga kura

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา

    Ila nyinyi chadema mtapigwa sanaaa kuliko vipindi vingine vyote na kura itapigwa ,kauli hio ya bila busara bora hata msingeongea mngeshtukisha,ila jaribuni

  • @husseindinongo4798
    @husseindinongo4798 วันที่ผ่านมา

    mchaga hii atoki salama

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites วันที่ผ่านมา +1

    TUNDU LISU YUKO SAWA

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kura ya mkoa.. ni mtu binafsi.. waachieni wapiga kura kuamua kila moja kwa nafsi yake. Tundu ameshindwa kabla ya uchaguzi

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา

    Hatutaki kelele,, mkapige kura, ndio zitaamua,

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie mjihadhari na lisu acheni ushabiki usiona tija

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 วันที่ผ่านมา

      Unamaanisha nn??

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 วันที่ผ่านมา

      Utaki awe mwenyekiti wao?? Kama mbowe ashaongoza miaka 20 kwa mafanikio makubwa sana huoni ni wakat sahihi wamjaribu mtu mwingne?

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 วันที่ผ่านมา

      Kwanini?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      Webaki na upumbavu wako wa huko mbulu

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 วันที่ผ่านมา

    Kenu kisamberwee keheyee Muraaa

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb วันที่ผ่านมา +5

    Endeleeni kubomoa chama chenu kwa ujinga wenu

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 วันที่ผ่านมา

    Huu uchaguzi utakua mgumu sana

  • @edwardmassawe5116
    @edwardmassawe5116 วันที่ผ่านมา

    Mwanzilishi mama yako?

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe apumzike achie lisu na heche mara hatujawahi kurudu nyuma tukiamua jambo letu haturudi nyuma mbowe pumzika mda wako umetosha

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา

    Yaani watu wamekua wajinga watanzania wanafiki, kila siku mnasema ccm inaogopa kura, leo chadema mnagopa kura, washenzi nyie

  • @josephlango5591
    @josephlango5591 วันที่ผ่านมา

    Tagamba tuigwe mura

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา

    Hatutaki kelele,, mkapige kura, ndio zitaamua,