Kuna wakati makonda anajisahau na kujiona kama raisi magufuli vile, kwake hata waziri yuko chini yake. Mkubwa wako akiulizwa swali humjibii mpaka akuruhusu.Kwa hiyo angesubiri waziri ajibu au aseme kwamba hilo swali tumelijadili kikao cha ndani kwa hiyo nampa kipaza sauti mkuu wa mkoa atoe majibu. Lakini jibu la waziri kwa wananchi ni muhimu zaidi.Mbona alipokuwa mwenezi alikuwa anawaunganisha mawaziri wajibu maswali ya wananchi hadharani tena kwenye simu? Kwa hiyo alikuwa anatafuta umaarufu wa kijinga? Hiki kiburi cha Makonda?!!!!.
Cheo ulochonacho unakiona bado unaitaji ubunge ukijua utakuwa waziri sioni mantiki yoyote hapa mana gambo ni mwakilishi wa wananchi lile mlilopanga yeye atawakilisha kwa wananchi ndo tafsili halisi ya ubunge ila jinsi viongozi mlivo mnataka kiki na vyeo vya wenzenu mambo ni mengi mimi binafsi darasa la saba ila sera za nchi hii nazijua 2025 mengi yatatokea
Kama mimi ningekuwa Gambo ningemjibu makonda pale pale nisingemchelewesha hata nukta moja.Hawezi kuniambia mimi eti nataka kutafuta umaarufu wa kijinga.Huu ni udhalilishaji yaani ningemchana hadi angekoma kunifahamu.
Huyu Makonda hana nidhamu, inawezekana kweli kwenye kikao mliongelea masuala hayo lakini mbunge huenda majibu hayakumtosheleza anataka apate ufafanuzi gazi ya juu pili Gambo ni muakilishi wa wananchi angependa majibu wapiga kura wake wayasikie moja kwa moja kutoka kwa waziri " HAPO KUNA UBAYA GANI?"
Kwani mambo yakisemwa mara nyingi kuna ubaya gani?yani mkiongea kwenye vikao na kxenye hadhara kuna shida gani? Hapo kuna kitu kimefichika,huyo mwamba kasema hivyo kwa sababu anajua gambo hawezi kupata nafasi ya kuelezea hilo jambo. Naamini ungemsikia gambo ungebadili msimamo wako. Anyway nafasi wanazozipata wakuu wetu wanatakiwa kuzitumia vizuri. You know there is always tomorrow! @@rommyshabby3959
Haendi kwenye vikao vya nani? Vya makonda? Je akialikwa huwa anakataa? Kwa sababu Gambo hakupewa muda wa kujibu tuamini tuhuma za makonda ni kweli na siyo kumchafulia jina mbunge?
Sahihi kabisa mhe makonda ni kiongozi mzuri ila tatizo lake hawezi kuzuia hosia zake
Sasa Kama hahudhirii vikao ❤aa
Asanteeeee umemalizaaa so huyo tu na madiwaniiiii
Mtenda katendewa
Gambo alimletea figisu sana Lema
Sasa na yeye katendewa
Mungu unajibu maombi Ameni
Makonda next president in shaa Allah
Makonda Safi Sana ni mtu usiywe yumbiswa makonda ni mmoja tu
Ila Makonda yupo sawa wanyooshe waache unafiki..mwisho kabisa makonda nadhani anampango na jimbo mwaka huu😁
Kumbe ulikuwa hivyooooo!
Very dangerous situation
Bwana Makonda, nakukubali lakini kwa hili umekosea sana, Ungeweza kutumia lugha zuri lakini sio kumwambia mbunge anatafuta Sifa za Kijinga
Agree!.
Waziri kwa makonda kawa mdogooooo
Duuuuuuu hatariiiiiii 😅😅😅😅
Huyu si ndio wa kuburuzwa kwenye matope alisema 😅😅😅😅
Hambo kawa mdogo kama sisimizi 😅😅😅😅
Hichoo cheo chako hata yeye alikuwa mda mwingne muwe mnastiriana bhana😢😢😢😢
Nyinyi kweli mbumbu ilitakiwa gambo ndio ajuwe hilo sio kuongea lawama mbele ya wananchi
Safi
mnajuana siwote tim moja😅😅😅😅😂
Atajuaje kinachoendelea Kama haendi vikaoni
Gambo anataka adi kuanguka anameza tu mate 😢
Kuna wakati makonda anajisahau na kujiona kama raisi magufuli vile, kwake hata waziri yuko chini yake. Mkubwa wako akiulizwa swali humjibii mpaka akuruhusu.Kwa hiyo angesubiri waziri ajibu au aseme kwamba hilo swali tumelijadili kikao cha ndani kwa hiyo nampa kipaza sauti mkuu wa mkoa atoe majibu. Lakini jibu la waziri kwa wananchi ni muhimu zaidi.Mbona alipokuwa mwenezi alikuwa anawaunganisha mawaziri wajibu maswali ya wananchi hadharani tena kwenye simu? Kwa hiyo alikuwa anatafuta umaarufu wa kijinga? Hiki kiburi cha Makonda?!!!!.
KIONGOZI HATA AWE MZURI VP ILA AKIWA KTK KUNDI LA WAHUNI HUYO HAWEZI KUWA KUWA MZURI
Cheo ulochonacho unakiona bado unaitaji ubunge ukijua utakuwa waziri sioni mantiki yoyote hapa mana gambo ni mwakilishi wa wananchi lile mlilopanga yeye atawakilisha kwa wananchi ndo tafsili halisi ya ubunge ila jinsi viongozi mlivo mnataka kiki na vyeo vya wenzenu mambo ni mengi mimi binafsi darasa la saba ila sera za nchi hii nazijua 2025 mengi yatatokea
🙄 mijnga kachanwa hadharani
Makonda banah unajua sometime ili ni smart
Huyu Makonda feki. Utovu wa nidhamu kwani Gambo anaripoti kwake?
AENDE KWENYE VIKAO
Kama mimi ningekuwa Gambo ningemjibu makonda pale pale nisingemchelewesha hata nukta moja.Hawezi kuniambia mimi eti nataka kutafuta umaarufu wa kijinga.Huu ni udhalilishaji yaani ningemchana hadi angekoma kunifahamu.
Tatzo ni kua na viongozi wa mchongo mwisho wa ubaya ni aibu mna sutana familia1 ila apa chadema2 na lisu✌️✌️✌️🚣🚣♀️🚣🚣♀️🚣♂️🚣🚣♀️🚣♂️
Duh😂😂😂
Kikao yeye hakimuhusu ata majibu hawezi kawaambia bila waziri wewe
😂😂😂😂😂😂
Huyu Makonda hana nidhamu, inawezekana kweli kwenye kikao mliongelea masuala hayo lakini mbunge huenda majibu hayakumtosheleza anataka apate ufafanuzi gazi ya juu pili Gambo ni muakilishi wa wananchi angependa majibu wapiga kura wake wayasikie moja kwa moja kutoka kwa waziri " HAPO KUNA UBAYA GANI?"
Elewa swali haend kwenye vikao sililiza vizuri
Acha kutetea maradhi
Kwani mambo yakisemwa mara nyingi kuna ubaya gani?yani mkiongea kwenye vikao na kxenye hadhara kuna shida gani?
Hapo kuna kitu kimefichika,huyo mwamba kasema hivyo kwa sababu anajua gambo hawezi kupata nafasi ya kuelezea hilo jambo.
Naamini ungemsikia gambo ungebadili msimamo wako.
Anyway nafasi wanazozipata wakuu wetu wanatakiwa kuzitumia vizuri. You know there is always tomorrow! @@rommyshabby3959
Acha UJINGA uMeambia HAENDAGI KWENYE VIKAO
Haendi kwenye vikao vya nani? Vya makonda? Je akialikwa huwa anakataa? Kwa sababu Gambo hakupewa muda wa kujibu tuamini tuhuma za makonda ni kweli na siyo kumchafulia jina mbunge?