MWENYEKITI WA CHADEMA RUVUMA AWEKA HADHARANI KURA ZA LISSU NA ATAKAVYOSHINDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 164

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 วันที่ผ่านมา +17

    I like this guy. He is very knowledgeable and understanding. Kumbe mapesa ya tajiri wa CHADEMA Freeman Mbowe wala hayafikagi kwenye kanda mfano huko Ruvuma na Mtwara? Huo utajiri wake kumbe unawanufaisha chawa wake tu kina Benson Kigaila, Yericko Nyerere etc na sio chama at large halafu Mbowe anasema "hiki ni chama changu". Duuh, asante mwenyekiti Mapunda toka Ruvuma kwa kutupa taarifa hizi muhimu

  • @amosjeremia
    @amosjeremia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamaa anajua mpaka anekara ❤❤

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 วันที่ผ่านมา +14

    Mbarikiwe sana Ruvuma, Nsengwile sana.Lissuuu ndo mpango mzima

    • @Chekibobu
      @Chekibobu 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Chilau mewawa

    • @josephbenedict5696
      @josephbenedict5696 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usengwile mlongo na chilau mewawa

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 วันที่ผ่านมา +12

    Mzungumzaji ana elimu ya kutosha mimi nimekuamini sana uwe mwalimu kufunduisha siyasa. Chadema.

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u วันที่ผ่านมา +17

    Kutoka Zanzibar wajumbe tunaomba mumchague Lissu anaitetea sana Zanzibar na Tanganyika bila ya kutubagua please 🙏 nileteeni Lissu

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 วันที่ผ่านมา +13

    Hongera.hongera ni lisu..na john heche mtapita nipo zambia kama ni uchawi tunaloga. Nikichambua mganga wao tayari nimgojwa.

  • @boniphacemaseromwtta7048
    @boniphacemaseromwtta7048 วันที่ผ่านมา +10

    Sele umenifurahisha sana

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako วันที่ผ่านมา +14

    Tundu antiphas lisu tosha❤❤❤

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq วันที่ผ่านมา +10

    Saaaafi Dadi kadoda Ina maana tususie biashara za mbowe maana yeye SI Tajili

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 วันที่ผ่านมา +16

    Tuleteeni lisu na heche

  • @henrynjovu9147
    @henrynjovu9147 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo FAM kakabiwa Juu😊😊.

  • @MosesOlemuta
    @MosesOlemuta วันที่ผ่านมา +10

    Wana Arusha muchagueni mh.lissu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Uko vizuri sana Mungu akubarik sana mkuu

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp วันที่ผ่านมา +9

    Mkabie juuu😅😅😅😅😅 a hatoboi mwenyekit

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpuuuzi kweli umenichekesha sana 😂😂😂😂 Eti mkabie juu, Wawabane kwenye Kona wasipige hata shuti nimecheka sana.

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam วันที่ผ่านมา +10

    Correct, Lissu and Heche!

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 วันที่ผ่านมา +14

    Tabora Kigoma msiniangushe Lisu ndiyo habari ya mjini

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wakunyumba mwenzangu kura kwa Lissu,msituangushe

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 วันที่ผ่านมา +11

    Jamaa anaongea ametulia sana

  • @issasimbira2001
    @issasimbira2001 วันที่ผ่านมา +14

    Wana dodoma chagueni lissu

  • @WalyobaBarnabas
    @WalyobaBarnabas วันที่ผ่านมา +12

    Umejibu vzr sana team Lissu inawatu makini

  • @MzeeNdege
    @MzeeNdege วันที่ผ่านมา +11

    Safi kaka 🎉🎉

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +7

    Nawaambia ukweli ili uwasaidie. fanyemi utafiti.
    Mtu akitaka kuwini nyoyo za watanzania walio wengi basi ajitenge na kauli za na siasa za kizamani za kumponda magu sababu watanzania wa kawaida bado wanampenda sana. Waliridhika na utendaji wake na kazi zake nzuri kwa taifa hili. Walimpenda na kumwamini uzalendo wake kwa taifa lake.
    Hilo kakangu wala halipingiki.

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya วันที่ผ่านมา +2

      wewe kwani jpm ni mtakatifu?

    • @severinemanday4334
      @severinemanday4334 วันที่ผ่านมา +1

      Wew naye uko usingizini 😂

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

      @@SeverinMagwaya kwanini awe mtakatifu? Haihitajiki mtakatifu kuongoza nchi bslli mtu mwenye kuona mbele na mwenue msimsmo thabiti, mzalendo, mchapa kazi hodari asiye na woga wa kukemea na kutumbus watu wachafu. Mtu anayependa na kujali watu wote hasa wa chini wanaoonewa na wakubwa, mtu anayejua maana ya rasilimali be.kuzipogsnia kama Magufuli hiyo inatosha kabisa hatuhitaji mtakatifu sababu hayupo.
      Wwwe unataka nini.kwani?

    • @songombingo108
      @songombingo108 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jpm tena humu?😂😂😂

    • @RichardBituro-x9g
      @RichardBituro-x9g 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaleta habari zipi wewe .magu ana kazi gani hapa

  • @MussaAidan-r2v
    @MussaAidan-r2v วันที่ผ่านมา +9

    Mimi kama Tim lisu waite wajumbe wengine waonekane hapo

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j วันที่ผ่านมา +11

    Wenje na mbowe wasaliti jeshini wanaitajika kupigwa lisasi wamepewa pesa za abduli na mama abduli waisram wakristo amkeni msilale msilale inchi iripo sio iripo

  • @leonardpeter8239
    @leonardpeter8239 วันที่ผ่านมา +14

    huyu mtu anaehojiwa anaehojiwa yupo na akili nyingi sana, amemuwacha mbali sana Ntobi na Yericko

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli asee haaa haaaa

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 วันที่ผ่านมา +1

      Team lissu always wanaakili

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +1

      Ntobi na Yericko ni vichwa maji hamna kitu kichwani

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂​@@1stladyafrica402

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amewaacha mbali sana

  • @StanleySewando-nb4xm
    @StanleySewando-nb4xm วันที่ผ่านมา +25

    Leo nimejua Siri kosa la Mbowe ni kutoka gerezani na kuenda lkulu iliwakera sana WANA CHADEMA

    • @ValeriJummane
      @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +1

      Endelea kuamini hivyo hivyo Ila tunaenda na Lissu ndo jibu letu

    • @lucassusu-q1s
      @lucassusu-q1s วันที่ผ่านมา +2

      Wala sio hivyo,ukikaa madarakani mda mrefu unachuja tu

  • @EricTrillz
    @EricTrillz วันที่ผ่านมา +6

    BABA MBOWE NIKO CHINI YA MIGUU YAKO NAOMBA PUMZIKA KIDOGO UTARUDI TU.NYIE NI WATU MUHIMU KTK CHAMA.YAANI WEWE NA LISU NI KICHWA NA MOYO VINATEGEMEANA.PLEASE FANYENI MOJA

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm วันที่ผ่านมา +4

    Safi kabisa

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +6

    Tunaenda na Lissu

  • @nugwiziwe7577
    @nugwiziwe7577 วันที่ผ่านมา +17

    Huyu jamaa niakili nyingi sana kiukweli tuondoe ushabiki wewe msikilize vyema

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 วันที่ผ่านมา

      Mm ni team mbowe lkn daah,nimepanik

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c วันที่ผ่านมา +9

    Duuu Mbowe sasa baaasi 😊😊😊

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Atumie busara ajitoe

  • @georgemahenge
    @georgemahenge วันที่ผ่านมา +6

    MBOWE.kaa pembeni urikuwa unawanowa vijana wako iri iweje! Nanina kuumbuka urikuwepo uchaguzi Kama huu .ukachaguriwa.ukapita.naukasema hii kazi ningumu.kama ningumu kwa nn.unaitaka.kaa pembeni mzee wa anga

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 วันที่ผ่านมา +11

    Tundu lissu kiboko ya uchafu

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    NAMI nakubaliana NAWE Lissu atuvushe ndiye

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba วันที่ผ่านมา +2

    MAGUFULI ALISEMA UKIONA ADUI ANAKUSHANGILIA MUANGALIE SANA HUYO MBOE ANA DANGANYWA AJIULIZE,

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +2

    Uongozi mzuri wa uwazi na ukweli na kazi nzuri zenye kasi zaa Magufuli siyo vitu vya kubeza. Ni viongoziwachache sana Wanaweza my match up hata hawa wa afrika wanaoelewa jilo.
    Labda huyo kijana mdogo Ibrahim Traoure kiongozi wa Burkina Faso amepataumaarufu afrika na duniani anapitia mule mule kwa nyayo za Magufuli na anafanya maajabu kwenye nchi yake. Anapendwa na wananchi wake wengi na afrika wanamuunga mkono wanafata nyayo zake.
    We kajaribu kumtuatilia la Google utashangaa. Utadhania mtoto wa Magufuli. Mbegu zilizopandwa na Magufuli afrika zimeanza kuzaa matubda.

  • @shabanisehha6305
    @shabanisehha6305 วันที่ผ่านมา +4

    lissu na heche

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 วันที่ผ่านมา +2

    Bro uko vizuri mchanbuzi tata mahiri

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา +6

    usemayo kweli kabisaaaaaaa

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 วันที่ผ่านมา +8

    Hongerani Sana Wana Songea, mchagueni Lissu na Heche, chama katafika Mbali

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii nchi ina utajiri wa Rasilimali watu, God Bless Tanzania

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c วันที่ผ่านมา +3

    Apumzike tu kwa amani

  • @FranceKomba-sn3ui
    @FranceKomba-sn3ui 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka anaongea point mbka naona maojiano muda mdogo ,,team lissu wanatema nondo mtupu na sio wapiga kelele wa mbowe hakuna hoja wanazo zaidi ya upuuzi mtupu ,,,pia mwandishi hongera kwa maswali mazurii ⭐

  • @barakamfilinge6943
    @barakamfilinge6943 วันที่ผ่านมา +7

    Ni Lissu and Heche

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaaa kaongea vizur atari

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lissu lissu🫡🫡🫡

  • @kamazimakyaruz1219
    @kamazimakyaruz1219 วันที่ผ่านมา +11

    Umeongea ukweli mtupu, ikichama kina watu wenye akili nyingi, mlikuwa mmejificha wapi?

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo วันที่ผ่านมา +5

    Kweli. Kaka. Lisu. Antosha

  • @msafirihaule9921
    @msafirihaule9921 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sikuwahi dhana kama Ruvuma tuna watu watulivu wenye kuongea masuala mfano wa huyu. Safi kabisaa.

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +6

    Lisu moja nyuma mpka kieleweke

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani upinzani maana yake ni kupinga kila kitu hata kama ni kizuri? Kama mnavyokazana kupinga kazi nzuri na uongozi mzuri wa Magufuli. Si mmuunge mkono na kutangaza kuendelea pale alipoishia? Tungewaheshimu na.kuwapenda sana.

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya วันที่ผ่านมา +2

      kwani magu ni rais hadi leo?

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Elimu Elimu Elimu. Ok

    • @hassanmatata9335
      @hassanmatata9335 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujui siasa labda nikuambie kazi za upinzani ni ni kuangalia mabaya yanayo fanyika ili yafanyiwe kazi na sio kuangalia mazuri

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +1

    Mboe mzee wa fursa anauchaje uchaguzi mkuu upite akiwa sio mwenyekiti na anajua kabisa huko ndipo penye uvunaji mwingi na kuhesabu faida zake.yaan bora abaki peke yake chadema lakini sio amwachie mtu chama.Mark my words

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane วันที่ผ่านมา +7

    Ccm na wapambe wake wanakomaa Mbowe awe mwenyekiti wakti wao ndo walikua wanammela kungangania cheo

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      CCM inawahusu nini??

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv วันที่ผ่านมา +7

    Mseleleko lisu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา +4

    Mbowe kwaheri ukilazimisha uwenyekiti Chadema kwaheri

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa ana akili nyingi

  • @saidyemanuel8924
    @saidyemanuel8924 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala วันที่ผ่านมา +2

    Sawa kabisa ,,mbowe kashauliwa na ccm huku anajua kua yeye alifaa apumzike

  • @samsom7145
    @samsom7145 วันที่ผ่านมา +1

    How is this guy

  • @MalaikahomeDecaration
    @MalaikahomeDecaration วันที่ผ่านมา +2

    List top in tanzania

  • @fredrickjohn8412
    @fredrickjohn8412 วันที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji mshamba sana, anaongea maiki anaiweka kwa anaemhoji, kumbe cheka tu mda mwingine wanaongea ukweli

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wanaangalia kuchagua mtu zaidi kuliko chama kutokana na hali ilivyo. Chama si tija sababu watu bado wanapindisha katiba zao na wanakula rushwa. Sahau kabisa kuja kuchukua nchi bila kuwa na mtu safi na mwenye kaliba na hulka ya kimagufuli kwenye msimamo ukali na uongozi wake. Mtu atayeweka mezani maono na mikakati ya kitaifa na siyo siasa za ukosoaji tu bila solutions zenye mashiko.
    Mtaisoma namba halafu mtasema mmeibiwa ushindi kama kawaida yenu..
    Think before you react or say anything. Jishikamane na tactic na style za Magu ili mpendwa na watu wa kawaida na chini ambao ndio wengi

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 วันที่ผ่านมา +1

    Sijasikia Arusha,moshi,kigoma na tabora

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา +3

    Chadema kiboko poleni sanaaaa Mbowe must go

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 วันที่ผ่านมา +5

    Mboe weachiatu utaaibika Bure meku

  • @m.seifsaid4836
    @m.seifsaid4836 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lisu oyeeeeeee.

  • @matthewmbilinyi8655
    @matthewmbilinyi8655 วันที่ผ่านมา +2

    Kukabia juu hoyee

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu ni sunami ya taifa ha

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 วันที่ผ่านมา +2

    Very nice chairman

  • @paulokitundu4961
    @paulokitundu4961 วันที่ผ่านมา +2

    Viva lisu

  • @Nanga-t6y
    @Nanga-t6y วันที่ผ่านมา +2

    MBOWE ana wasiwasi ya nin kwa myaka 20😂😂😂

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni วันที่ผ่านมา +2

    Lisu ana tosha

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 วันที่ผ่านมา +4

    Tunamwitaji lissu na heche basi

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahaaa hapo nimekuelewa

  • @herbertbathlomeo4650
    @herbertbathlomeo4650 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aisee huyu ni kiongozi bora sana nimemfahamu leo ila huyu ni hazina kwa taifa

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw วันที่ผ่านมา +6

    Watu wanatoa matokeo kabla ya uchaguzi.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 วันที่ผ่านมา

      Ndomaana ya demokrasia mambo yanawekwagwa hazarani siyo kama ccm ujanja ujanja mwingi na wizi mwingiii

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq วันที่ผ่านมา +5

    Inatakiwa Kofi Kofi ngumi ngumi fimbo fimbo hengo hengo nyundo nyundo panga panga ccm cdm

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g วันที่ผ่านมา +5

    Kwery kabisa wario mshauri ndo wachawi kabisa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +3

    Naamini mheshimiwa Mbowe anawapima tu kuangalia ukomavu wenu watoto wake.

  • @protamwenyegzaketv7408
    @protamwenyegzaketv7408 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lissu for Life

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 วันที่ผ่านมา +6

    Mbona sioni wanaomuunga mkono mwamba kwenye kanda

  • @deogratiusbruno
    @deogratiusbruno วันที่ผ่านมา +2

    Vitu vinanifanyaga sihami chadema ni hawa watu wenyw akili na utulivu kama hawa. Napenda kusikia hoja mda wote

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwahy ww unamlinganisha msigwa na sugu😮

  • @Thomas-r1b
    @Thomas-r1b 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa anatakiwa akawe mshauri wa mwenyekiti lissu kwenye masuala ya siasa

  • @Uswegehamza-s1p
    @Uswegehamza-s1p ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nibahati kuishi kipindi lissu yupo

  • @georgemahenge
    @georgemahenge วันที่ผ่านมา +4

    LISSU.HECHE.INATOSHA

  • @Trys6254
    @Trys6254 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa anajua kujenga hoja Saba aseeee

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 วันที่ผ่านมา +1

    WW NDIYO unayeona hivyo

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wajumbe tuleteeni SSULI na CHEHE 😂😂😂😂

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana Kura

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umeongea point tupu

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 วันที่ผ่านมา +2

    LISSU HECHE
    LISSU HECHE
    LISSU HECHE

  • @songombingo108
    @songombingo108 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dahh asee. Politics is not a ball😂😂

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 วันที่ผ่านมา +1

    Lissuuu ndo wa kuikomboa Tanzania kwa sasa, Tafadhalini wanachadema msituangusheee, october tutawaunga mkono

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +2

    Kusema ati Magufuli hakuwa kiongozi mahiri na sahihi kwa wakati sahihi basi utakuwa unataka.kuwafanya watanzania kama wajinga vile.
    Watu wana Akili zao wanajua.
    Kwani siasa za upinzani lazima kuponda kiongozi hata kama ni.mzuri na anapendwa na wananchi?

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lisu anatosha

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na wewe unapotea kwenye siasa chapu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

    Kwani mnadhani ili mpendwe na wananchi lazima kumpobda Magu?
    Nani kawaambia kuwa wananchi hawakumpenda Magu? Amefanya utafiti? Maana hapo ndipo mnapoharibu habari kabisa na sijui kwanini hamsomi alama za nyakati.

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya วันที่ผ่านมา

      Magu ni kitu gani? kwani kukumbushia jeuri yake ni nongwa?

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe alitelekeza Songea, mtwara na Rukwa kabisa.
    Sasa matına kusini kuhamia Chadema. Tunawaunga mkono Lisu na Heche. Mbowe alipenda Moshi na kaskazini katufharau kusini.

    • @JemaMhagama-oz6me
      @JemaMhagama-oz6me วันที่ผ่านมา

      Ni watu wasiojua mabadiliko kabisa. Kama walishindwa kuwa na mbunge wakati wa lowasa songea Kuna watu au visiki? Ndio maana alipazila kwa sababu wagumu kubadilika