Jamani Mungu akutie nguvu Japheth Ni pigo kubwa lakini haina Budi kumshukuru Mungu Kwa kila jambo tuko soteni kwenye hili tulimepnda lakini Mungu alipenda Zaidi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
C’est dur, très dur. Puisse l’Eternel notre Dieu continuer à consoler et réconforter toute la famille, les amis et connaissance. Nous avons perdu un élément. Seul Dieu sait pourquoi c’est arrivé en pareil moment
Siku ukipunzika utabebeshwa mizigo mikubwa sana jmn badala kuombewa kila mtu anaanza kusema yake lakini familia mim binafsi nimeumia sana na poleni sana mungu ailaze roho marehemu mahala pema peponi
Sijawahi lia nikisikia MTU Fulani ametuacha lakini zabron amefanya nikalia Sana Tanzania Ni mbali but Mungu awafunge mganda jamani.zamani pia Kenya tunalia poleni.
My sincere condolences to the bereaved family. However, in my humble opinion, whenever someone creates a song, it should be done to glorify God, rather than focusing on whether it will become a hit or not. All the same, their songs will continue to bless many in all aspects.
Kwanza kabisa huyu ndio mwandishi wa nyimbo za Zabron lakini walikuwa wanashiriki pamoja kujadiri mawazo, na anaeleza mambo yao. Wacheni uchungu. Japhet ni mtu mzuri na alimpenda sana marco
Watu Wana ufala sana.... Lazima utumie maneno ya uongo ndo u capture attention.?? Watu waomboleza n you are busy doing this stupidity to gain more likes and subscribers???
Jamani Mungu akutie nguvu Japheth Ni pigo kubwa lakini haina Budi kumshukuru Mungu Kwa kila jambo tuko soteni kwenye hili tulimepnda lakini Mungu alipenda Zaidi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Poleni sana familia ya Marco. Mungu azidi kuwatia nguvu, sio rahisi kupoteza mpendwa.
Poleni Sana Wana zabron singers. Nasikitika Sana kumpoteza mwimbaji mwenye Baraka kama huyu. Mola hakosi, ailaze roho yake Mahala Pema peponi😢😢😢😢😢
Poleni sana jamaniiii ni maumivu yasiyozoeleka ooh Yesu fariji familia hii.😢😢😢😢
Poleni sana wandugu wetu watanzania na zabroni singers. Mungu awape nguvu wakati huu mgumu.
Pole sana Japheth,ninajua uchungu mnapitia,Mwenyezi Mungu hawafariji jamani.
Poleni sana na kilicho wakuta na msiba wa ndugu yetu Marco Sisi wote moyo ina uma sana tuko pamoja from Congo 😭😭😭😭😭
Pole sana Mwenyezi MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Pole the Zabron singers. Tumepoteza kweli. Mungu awatie nguvu.
Pole sana kwa msiba, faraja ya Mungu iwe juu yenu
Ndugu utafanikiwa. God's time is the best. Mungu Ako nawe😊
Poleni sana. Na MUNGU awafunge mkanda Kwa kipindi hiki kigumu
Ooooh mungu ailaze roho yake mahali pema peponi mtumishi wa bwana,, sote tuwasafiri duniani hatuna mji udumuo.
Pumuzika Kwa amani Marco mungu ailaze roho Yako mahali pema peponi
MUNGU awatie nguvu sana wanafamilia ktk kipindi iki kigumu, ampumzishe kwa amani mpendwa wetu🙏🕯 😭
Huyu Japheth, ni yule kijana alikuwa akiimba kanisa la Ukerewe kwani anamfanana sana!!? Poleni sana wana Zabron Singers 😢😢
Pole sana japheth ma zabron singers
Ata Mimi ningekua tanzania ninge kuja kumsindikiza from Congo tupo pamoja sote mashabik wanyimbo zake apumzik kwaamani
Poleni sana familia ya zabron Kwa jumla, kuongea mtu akifa ni kawaida so mjitie nguvu Mungu yu upande wenu, tutamiss sauti yake SIsi kenyans
poleni sana mwenyezi mungu awatie nguvu wakati huu mgumu
Japhet Pole sana Mimi nimekosa mambo❤😭😭😭😭
Pole sana Japhet Mungu wetu aendelee kuwa faraja
Polen sana ndg zangu mungu awatie nguvu ktk kipindi kigum
Poleni sana zabron singers najua maumivu mnayopitia
C’est dur, très dur. Puisse l’Eternel notre Dieu continuer à consoler et réconforter toute la famille, les amis et connaissance. Nous avons perdu un élément. Seul Dieu sait pourquoi c’est arrivé en pareil moment
Mungu awatie nguvu
Poreni sana mungu yup
Poleni sana jamani.Mungu awatie nguvu.
Siku ukipunzika utabebeshwa mizigo mikubwa sana jmn badala kuombewa kila mtu anaanza kusema yake lakini familia mim binafsi nimeumia sana na poleni sana mungu ailaze roho marehemu mahala pema peponi
Mungu tu naye Mwamini na amini ata ji shugulisha na maman na watoto. Mungu ni Mume wa wajane tena baba wa mayatima.
Pole sana Mungu akutie nguvu Japheth
Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema,,🙏😭
Japhety mung akutie nguvu ww pamoja na kund lako Kwa ujumla namke wa marehem
Poleni sana jamaa , marafiki , zabron singers na sisi mashabiki wa nyimbo z Zabron singers😢😢😢
Polesana jafet mungualitoa nametwaa
Mungu awape faraja jaman i
Sijawahi lia nikisikia MTU Fulani ametuacha lakini zabron amefanya nikalia Sana Tanzania Ni mbali but Mungu awafunge mganda jamani.zamani pia Kenya tunalia poleni.
Pole sana Jafet usilie
Poleni sanaa mungu awape nguvu
Poleni sana tuko safarini sisi sote ,let him rip and shine on his way home to the creator of everything 🙏🏽
My sincere condolences to the bereaved family. However, in my humble opinion, whenever someone creates a song, it should be done to glorify God, rather than focusing on whether it will become a hit or not. All the same, their songs will continue to bless many in all aspects.
Huyu anamfanana sana Marehemu
Poleni marafiki na jamii kwa jumla 😢😢😢ni uzuni kumpoteza mpedwa wa karibu bila kuunguwa 😢💔💔
Poleni sana Mungu awatiye nguvu
Poleni sana mungu awape nguvu katika huu wakati mgumu 😢
Pole Sana Kwa msiba huo pia sisi tumeumia
Polen sana
Pole sana mungu ampumzishe kwa amani
mungu awatie nguvu kwa msiba huu hakika inaumiza mnooo
Mungu awape uvumilivu kipindi hiki kigumu kwenu
poreni sana ndugu mungu yupamoja nasi site
Mungu watie nguvu hawa ndug u
Pol sana nduzetu🇧🇮
Polen sana zabron singers
Poleni majirani wetu
Poleni sana i
Wanawake pliz wacheni mambo yakuwekelea watu wa mungu
Mtasikiaa kama hamjasikia
Apumzike kwa aman 😭😭
Yaani kaka wawatu kafariki na maumivu ya kidonda daaah
Inauma sana Rip Marco
My condolences to you and family 😢
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢sory
Mara nyumbani mwake Kahama mara makaburini, 😢
Pore sana
I use to think they are brothers from same mother.
Huyu Japhe
Makiwa!
Weka live tu watch😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ooh hicho kilio jameni😂😂😂sitie shaka,utafaulu kama alivyotamani...
Unacheka Nini gasia wewe
Unacheka Nini gasia wewe
@@faithjelagat176hajui matumiz ya Emoji ni hatar cm hiz
Wacheka nn wewe sasa
Unacheka nini wewe chizi
RIP 😔
Wakenya tunaomboleza pamoja😢😢😢😢wapee mda waomboleze channel moja iwahoji wanachooka kuongea
Watumishi jipeni moyo roho mtakatifu afanyike faraja kwenu
😭😭😭😭😭
😢😢😢Tupe live link
may his soul rest
Michael??
Hawa wanahabari wanapenda kusumbua watu na maswali badala ya waache watu watulie
😢c ndio update kamili
😰😰😰😰😰😰💔💔💔
Poleni sana
Kw hivyo Japhet sio kakake Marco tumbo Moja, they are first class cousins, their fathers are brothers
Ni mtoto wa uncle wake
Wanafanana sana,,,wanakaa mapacha
Wueh, na vile wanafanana
Japhet's mother is sister to Marco's dad..
Anasema Michael ama me ndo naskia vibaya jaman
Mbona kama unajipigia promo sana wewe ni kama unam dump mwenzio na neno la uchawi linatoka wapi
Umeonaee anajitangaza watu wajue kama yeye ndie alikuwa mtunzi..Anakera sana sana sana sana
Tatizo amjaelewa sikiliza kwa makini
Anazungumzia umuhimu wa Marco katika huduma yake
Mmmmh jarbun kuelewa nn anazungumzia sidhan km amejipromo apo anazungumzia kwa uzur mbna
Kwanza kabisa huyu ndio mwandishi wa nyimbo za Zabron lakini walikuwa wanashiriki pamoja kujadiri mawazo, na anaeleza mambo yao. Wacheni uchungu. Japhet ni mtu mzuri na alimpenda sana marco
maji matamu
Watu Wana ufala sana.... Lazima utumie maneno ya uongo ndo u capture attention.?? Watu waomboleza n you are busy doing this stupidity to gain more likes and subscribers???
Selfish
Poleni sana
Wanawake pliz wacheni mambo yakuwekelea watu wa mungu
😢😢😢😢
Poleni sana