Kaka Marco mioyo yetu inaumia sana kipenzi umetuacha na majonzi 😢 kaka tunaanimi siku parapanda ya Bwana itapolia tutakuona tena 😢😢😢 Tunamuombea Mama watoto wako pamoja na watoto Mungu awape faraja
Mbarikiwe sana ,MUNGU Bado anawapenda na ataendelea kiwatumia kifokisha ujumbe na kutia moyo wanaoona ugumu katika kujalibu kufanya kitu huku wakimtanguliza MUNGU.
Mlifanya vizuri kueneza upendo hadi kwa wasanii. Pole pole mema zenu atakuja vuta kina Diamond, Harmonize tuseme tu wana Bongo wamsifu Yesu Kristo. Kwa kweli upendo iliisha kila kitu
Zabron najaribu kupitia hapa kutoka ngangana nimewasikiliza vizuri mmesema GRESS aneshiriki kwenye sweetie sweetie mbona simuoni ama sura yake imebadilika sana Tumemiss mno
Kaka Marco mioyo yetu inaumia sana kipenzi umetuacha na majonzi 😢 kaka tunaanimi siku parapanda ya Bwana itapolia tutakuona tena 😢😢😢 Tunamuombea Mama watoto wako pamoja na watoto Mungu awape faraja
Family ya Zablon singers, ni wasaaafiii wachangamfu kweli wame barikiwa tena zaidi. Nawafunika wote na Damu ya Yesu.
Marco alikua ni mtu wa kutabasamu Kila wakati na mnyenyekevu sana,lala salama kaka Marco😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😢😢😢😢
Lips zake ni fupi ndo maana
wivu haujifichag kddq@@nicebatare2737
Lips zikiwa fupi Ina maana gani yani@@nicebatare2737
Marco jmn😢😢😢😢😢,,kuna mikahaba umeiacha huku dunian inapaza sauti bila aibu wanataka mali zko hawajui ulipambanaje kwa ajil ya wanao😢😢😭😭😭
Sister Victoria ,brother Japheth and entire Zabron choir my God bless you.
I will miss Marco.
The smile and humbleness he had melts my heart.
Ukitazama vedeo hii,na hali ilivo xxa bila Marco😭😭😭inamaanish hayupo kabisaa poleni sana wanafamilia mungu azidi kuwapa nguvu Kwa kweri yaumaa mno
Mbarikiwe sana ,MUNGU Bado anawapenda na ataendelea kiwatumia kifokisha ujumbe na kutia moyo wanaoona ugumu katika kujalibu kufanya kitu huku wakimtanguliza MUNGU.
Tunawaombea Sana mshikamano huu uendelee hvhv, endeleen kufanya kazi nzur tupo nyenu hatutawaacha
Nawapenda sana kama jinsi nilivyo mpenda baba yao Mzee Zabron...Mungu azidi kuwabariki sana.
Kweli Marco tuta kukumbuka😭😭, mulikuwa na upendo wa kifamilia ❤❤
❤❤❤jaman hawa wanapendana ❤❤Marco jaman ❤❤❤❤❤❤Munqu mapenzi yako yatimizwe❤❤❤
Mungu awe nanyi ktk kipindi hiki cha majonzi.
Hadi laha hii family wanaupendo sana wabalokiwe sana wazazi wenu walio waleya mungu awabaliki sana
Daaah wanaupendo sana jamani ila kifo kimewatenganisha😭😭😭
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawapenda sana
Good work Zablon singers,may God bless you all.Story yenyu inanitia moyo Sana.
Nawapenda sana Mungu awazidishie sana mfike mbali!!!
My heart is broken 💔. We will meet again brother
Mlifanya vizuri kueneza upendo hadi kwa wasanii. Pole pole mema zenu atakuja vuta kina Diamond, Harmonize tuseme tu wana Bongo wamsifu Yesu Kristo. Kwa kweli upendo iliisha kila kitu
Mungu yupo nanyi hata ingawa Marco amelala!
Bado yeye atabaki kukumbukwa kwa wema alilotenda na kuleta Familia pamoja kwa kumsifu Mungu.
Nacheka Machozi yananitoka kaka Marco nimekumis nitakumis Kila siku Mungu akumpunguzie adhabu ya kaburi
Mungu awape nguvu kwakweli mnawakati mgumu sana ila Mungu ni mwaninifu yupo pamoja nanyi.RIP MARCO😢😢😢
Mungu awaimarishe sana
😢Marco was a keen listener and ever smiling
Yaani Marcos😢,,,, my age mate... He reminded me of 1997😅. Kumbe njaa ilikuwepo mpaka TZ
Ni neema ya mzee Zablon imeeneya kwa familia yake. Matendo mema huvuta heri
Marco likes smiling....wow...nampenda bure...lala salama marco😢
Marco was always joyful continue smiling with angles
I'm heartbroken, without marco 😭😭
No no no why 😭😭
Very nice hata kwetu hakuna umoja kama hawa mungu akulinde nimefurai Sana
Daah! MUNGU mwenyewe anajua kwanini karuhusu uondoke mapema hivi 😢😢
Mungu awabariki sana wana zablon singers
Mungu awape kuendelea na huduma jamani msiache maana mmepita kwenye janga mbaya pole sana jamani familia ya marco
Mpo vizuri
In God we trust zablon Singers stay blessed.
Alafu daa Victoria hakuwa kakake tu ila kipochi chake 😭😭😭 .kwa kweli hiki kiatu nkikivaa kinanifinya sanaah😭😭😭
May God bless you more abundantly and may he protect you from all evils and temptations
May God protect marco's children and wife 🙏 ❤
Mnenfrahsha Sana zabron mungu awabariki Zaid na zaid
Famir yamarco inapendwa namungu na kwaya zabro mungu anaapenda ayipohapo kwamoo yenyu,
So gracious God comfort you and heal your lives
Marco Jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Dance with angels Brother🕊️🕊️🕊️🕊️
Kaka Marco ulikuwa mutu wakutabasamu kila muda 😢😢😢😢mungu akufungulie mlango wa paradizo
Mungu utusaidie😢😢😢
😢😢😢😢rip marco
Mbarikiweee saaanaaa 😋🤓😂
Nawapenda sana mungu azidi kuwaongoza pia awazidishie upendo na aman
Marco was so humble actually they all are humble
Mungu awabariki sana.
Aki Mungu wetu wewe!!
Mungu mkali jmni
NIHUZUNI SANA KWAKWER ALIKUA M2 MWEYE LOHO NZULI SANA JAPO KUMUAGALIA2 KWA MACHO MUNGU AKUPOKEE NA AKUHIFAZI
inauma sana lala salama kaka marco
Rest in peace Broo Marco
Zabron najaribu kupitia hapa kutoka ngangana nimewasikiliza vizuri mmesema GRESS aneshiriki kwenye sweetie sweetie mbona simuoni ama sura yake imebadilika sana Tumemiss mno
Its a week now! Rest in Peace kaka Marcos
Lala salama Marco 😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭 resurrection is possible 😭😭😭💔😭😪
Aki nimewatch hii mara kadha kwa sababu ya hio part ya Marco hapo kwa kipande Cha ugali daah Mungu mkuu ,halafu may Marco Saul rest in peace 🙏🙏😢😢
Mubalikiwe sana
Tabasamu Marco jamani mbona hili😭😭😭😭😭😭
Ni some la ajabu kuhusu umoja na furaha ni tendo la ajabu sana miongoni mwetu
😢😢😢jamani marco 😭😭😭 lala Salama kaka😢😢
Dakika yawatuot imefik tufutafutemungu kwamoo yeti asante
😭😭😭😭😭marco jmn😭😭😭
Kazi ya Mungu haina makosa 😭😭😭
Mungu awareteye zawad maraika hapohapo
Nimtu wa kuchekacheka tu jamani Marco,rip
Nikweli kabisa marks mtu wa watu huyuuuuu😊😊
MUNGU awabariki Sana Sana natamani nikutane na nyie
Natazama machozi yana nitoka mm😭😭
We will miss marco but it is well
Marco pumzika kwa amani mwendo umeumaliza
Marco naku Miss 😢😢😢
Daaah so sad rest in peace brother Marco
Mm naomba kujiunga nanyi Katia huu uinjilist wa nyimbo ,naruhusiwa????
Woiye Poleni Sana Mungu awatie Nguvu😢😢
Jamani hii familia ni ya furahaha jameni kifo ni mbaya jamen😭😭😭😭😭
Now they have their own studio.
In GOD WE TRUST🙌
Ooh!!😢
Mda wote Marco ni kitabasam
Marco alikua mtu wa kutabasamu ty na kuchekesha😢😢
Jamani kicheko kimegeuka kuwa huzuni😢😢😢😢😢
❤nawapenda moyoang iripohapo😂😂😂😂😂
Kupitia hii interview imenikumbusha yale maisha tuliishi kwabibi yetu pamoja nakufuata ratiba za wali 😂😂 kwamjomba
Kwani hii ni kwaya ya Familia jamani?' naona wamefanana fanana
Ndiyo hao wote ni ndugu
Maico jmn
Mimi nishabiki sugu
Umetuumiza Sana🥲
Haki nimeumia sana jamani
😢😢😢😢Marco Rip
Kifo ni fumbo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😢😢😢😢 marco
Kiswahili nikidog
Ameee
Marcjmn😭😭😭
Kabila la wasukima kweli kweli mnatabasamu mno
😭😭😭💔💔💔
😢😢😢😢😢
😭😭😭😭😭
Bro continue dancing with the angels in Heaven 😢ni uchungu but only God knew why He took u so early like that😅😢😂