Mngeamua kumsafirisha msingemfanyia haq. Kwanza kusafirisha maiti kiisilam si nzuri halafu amekufa mji mtakatifu. Allah amjaalie awe miongoni mwa waja wake wema alowaridhia na akukutanisheni nae peponi pamoja na sisi, Amiin.
Ni kweli kuwa Madina ni mji mtakatifu, lakini si kweli kila aliyekufa humo kuwa ni mtu wa peponi, Bali vitakavyompeleka mja peponi ni amali zake,,,,,tunamuombea mwenzetu!! Mungu amjaalie awe miongoni mwa waja wake wema!! Na Sisi pia atujaalie mwisho mwema!
@@jumakapilima7295 usibishe wewe ardhi ya Madina haipokei wanafiq Wala Masih dajal haingii maka na Madina fitna huku huku tu bongo siyo huko mji mtukufu. hata wakaazi wa Madina ambao si wema ardhi inawakataa watatoka tu waende kufia huko mbali.
@@hassanmfaume4522 Nakubali kuwa Makkah na Medina ni miji mitakatifu, lakini tambua ndugu yangu kufia katika miji hiyo si tiketi ya kwenda peponi, kitakachompeleka mja peponi ni amali zake, Makafiri waliokuwa wakimpinga Mtume SAW kina Abulahab, Abuujahal na wengineo wamezaliwa hukohuko na wamefia hukohuko na wamezikwa hukohuko lakini Kwa mujibu wa maandiko hayohayo sidhani kama wataingia peponi!! Huo ndio ukweli!!
SubhanALLAH Pongezi sana mama yetu kwa kupata mwisho mwema na kuzikwa katika Ardhi tuku ya Mtume Mtukufu MUHAMMAD (SAW)....ALLAH atujaalie na sisi bahati ya kupata mwisho wetu katika mji mtukifu wa MADINA tuwe majirani na HABIBANA MUHAMMAD (SAW)....Kwa upande familia ni uchungu kweli kuondokewa na mama kama huyu na akiwa mbali na familia yake,lakini vile vile ni furaha pia MAMA kupata mwisho wake na kuzikwa katika mji Mwema wa MADINATUL MUNAWARA........Bila Shaka MAMA yuko katika sehemu nzuri sana,ALLAH atukutanishe na yeye peponi pamoja na manabii na waja wema waliotangulia.....Nawaombea Familia yake haswa watoto wake, ALLAH awazidishie subra na imani na washikane zaidi.
Allah amrehemu mama huyu...this is testimony she was righteous lady ...you can tell the way she raised her daughter..Maa sha Allah.. what a beautiful way to die....congratulation....May Allah accept from her good deeds and her hajj, May Allah have mercy on her....May Allah grant us husnul khatm....ameeen!!!!!!!!
Hawa ndio wana sifa za urijali alizozitaja Allah walimtaka Allah na Allah akawathibitisha matakwa yao na mie namuomba Allah nifie madina aaamin ya Raab
Inna lillah wainna ilayhir raajiuun Allah amsameh alipokosea, amraham na kumlaza pema penye wema peponi hajjat. Poleni sana wafiwa, Allah awazidishieni subra njema. Maa shaa Allah nimejifunza vitu kutokana na maelezo yenu 👏🏽 Allah Akbar
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia allahumma ameen yaarabil Aalamiin. Poleni sana wafiwa
لااله إلا الله محمد رسول الله يارب كلنا عبادك إنا مقرونا بذنوبنا فاغفرلنا يارب اللهم اغفرلها وارحمها وجعلها من المتقبلين واجعلها من عبادك المؤمنين الذين يرثون الفردوس هم فيها خالدون
Maashaa Allah sijui age yako lakin una hikma sana zaid ya umri wako unaoonekana nao, subhanallah Allah anijaalie mtoto mwema kama wewe au zaid ya wewe muda wangu ukiwadia amin...ur parents must be so proud of u.....poleni. Sana na msiba Allah awape subra juu ya hili, Allah ampe pepo yenye darja bora zaid amin amin...
Innallih wainailaih rwajiuuun Allah ampe kher kauli thabit pole sana Baba yngu. Allah kamchukuwa kwenye mji mwema Alio zikwa mtu me wetu muhmmad (saw) ni bahati iliyoje muombe duwaaa tu
Mwanaadam yyte baada ya kifo chake anabakia history.. Wallah hapa Mama huyu kaacha history yenye athari kubwa katika jamii yake,, Na kwamba tumejifunza mengi lakin lililokubwa ni kuupata mwisho ulo mwema... Tuombeni mwisho mwema kwa kujikurubisha sana kwa Allah dahh.. اللهم غفرلها ورحمها ومسكنها في اللجنة..🤲🤲
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun MaashaAllah amekufa baada ya kukamilisha hajj Mungu amlipe ujira wake na atujaalie na sisi mwisho mwema ya rabbi.
Innalilahi wainna ileih Rajiun poleni Sana mauti ni mlango kila mmoja ataupita kikubwa maandalizi Allah amjalie qawli Thabit amjaalie pepo ya juu Kabisa iwe sababu ya Yy wazazi wake kuingia peponi
Innalilahi Wainnailayhi Rajiun, ni bahati kubwa sana kwake kufia huko pahala pa tukufu kuzikwa pamoja na watu watukufu. Tumshukuru Mungu kumuwezesha kukamilisha hija yake.
Inna Lillahy waiyyina Ilayyhi Raji-oon Pole sana Mzee Mwenzangu ni mazito ingawa ya halali InshaAALLAH M/Mungu ampe Kaul thabiti amsamehe Makosa yake ya Kibinaadam na Amuingize katika Pepo ya Firdaus Li Jannah
Pole Baba ,poleni familia, poleni watanzania mungu awape subira,na mungu amuhifathi Mahali Pema peponi ameen,,,,, YaAllah mrehemu Baba yangu mzazi na wazazi wote waliotangulia akhera na Uma jamia limsilimina,,ameeen ameen yarabi
Innalilah wainnailah rajuun poleni sana familly inahuzunisha sana ila mungu kampa kifo cha makha kwa kua ni mja mwema allah akupe pepo na nuru katka kabri lako mama
Hakika sisi ni allah na kwake tutarejea allah amswameh makosa yake , ajaalie kabr lake liwe nuru ktk nuru za waja wema wa pepon na sisi atujalie tuwe na mwisho mwema atusameh makosa yetu amiin allahuma hauwy alayna sakaratmaut 🙏🙏🙏
Dah! Aliyaona mauti akafanya toba na kuwasamehe wanawe na Mungu tunamuomba akusamehe akupokee kweli imekufa kifo chema sisi nyuma yako atujalie kifo chema pia yaani tuwe katika ibada au kumsifu mungu
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭🤲 Allahkila siku na Mimi anijaalie Nipate kwenda kuhij Makkah Kwa hicho kidogo ninachokitafuta yarabii.kwani kiasi Gani kwani kwenda kuhij jaman?!
@@muddymuzungu4357 usiseme haifiki uu mwaka uu wapo waliokwenda kwa 22m na wapo waliokwenda kwa 24 na wapo ambao walishindwa kwenda sababu ya ongezeko la izo m , la msingi allaha atuwezeshe kwa nia zetu
Innalilahi wainnailaihi rajiuun,
Ni mtu wa peponi huyo Kwa mujibu wa kauli ya Mtume ,Allah ammiminie rema Kwa wingi, amin×100
Amiin
Amiin Yaarabii 🤲🤲Mpe Makazi Mema Pepon
Aaamin
Amiin
Amiin
Mngeamua kumsafirisha msingemfanyia haq. Kwanza kusafirisha maiti kiisilam si nzuri halafu amekufa mji mtakatifu. Allah amjaalie awe miongoni mwa waja wake wema alowaridhia na akukutanisheni nae peponi pamoja na sisi, Amiin.
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Ni kweli kuwa Madina ni mji mtakatifu, lakini si kweli kila aliyekufa humo kuwa ni mtu wa peponi, Bali vitakavyompeleka mja peponi ni amali zake,,,,,tunamuombea mwenzetu!! Mungu amjaalie awe miongoni mwa waja wake wema!! Na Sisi pia atujaalie mwisho mwema!
Amiin
@@jumakapilima7295 usibishe wewe ardhi ya Madina haipokei wanafiq Wala Masih dajal haingii maka na Madina fitna huku huku tu bongo siyo huko mji mtukufu. hata wakaazi wa Madina ambao si wema ardhi inawakataa watatoka tu waende kufia huko mbali.
@@hassanmfaume4522 Nakubali kuwa Makkah na Medina ni miji mitakatifu, lakini tambua ndugu yangu kufia katika miji hiyo si tiketi ya kwenda peponi, kitakachompeleka mja peponi ni amali zake, Makafiri waliokuwa wakimpinga Mtume SAW kina Abulahab, Abuujahal na wengineo wamezaliwa hukohuko na wamefia hukohuko na wamezikwa hukohuko lakini Kwa mujibu wa maandiko hayohayo sidhani kama wataingia peponi!! Huo ndio ukweli!!
MashaAllah mashaAllah mtume kasema tamanini kufia madina ili yaumul Qiyyama muwe karibu yangu ni furaha ilioje wallahhi ...haya ni machungu yaliyo nafuraha ....Allah azid mpa kauli thabit na awape subra wafiwa ......Allahhumma amiin
Aameen aameen inasikitisha mnoo😰sote njia yetu moja
Ameeeen Ya Rabbil Aaalamin
Mungu kampenda zaidi, kamaliza hija allahamdulillah, halafu kazikwa Madina,ardhi ambayo Mtume S.A.W. Kazikwa,bahati sana,mama kajaliwa sana.
Alhamdulillah
SubhanALLAH
Pongezi sana mama yetu kwa kupata mwisho mwema na kuzikwa katika Ardhi tuku ya Mtume Mtukufu MUHAMMAD (SAW)....ALLAH atujaalie na sisi bahati ya kupata mwisho wetu katika mji mtukifu wa MADINA tuwe majirani na HABIBANA MUHAMMAD (SAW)....Kwa upande familia ni uchungu kweli kuondokewa na mama kama huyu na akiwa mbali na familia yake,lakini vile vile ni furaha pia MAMA kupata mwisho wake na kuzikwa katika mji Mwema wa MADINATUL MUNAWARA........Bila Shaka MAMA yuko katika sehemu nzuri sana,ALLAH atukutanishe na yeye peponi pamoja na manabii na waja wema waliotangulia.....Nawaombea Familia yake haswa watoto wake, ALLAH awazidishie subra na imani na washikane zaidi.
Allah amrehemu mama huyu...this is testimony she was righteous lady ...you can tell the way she raised her daughter..Maa sha Allah.. what a beautiful way to die....congratulation....May Allah accept from her good deeds and her hajj, May Allah have mercy on her....May Allah grant us husnul khatm....ameeen!!!!!!!!
Hiki ni kifo chema mashallah Allah atupe mwisho mema Ammi n
Amiiiin Yaa Rabbi kwa sote in Shaa Allah
Allah amuhifadhi amuondolee adhabu za kaburi na alijaze NURU kaburi la Hajat wetu
Aaaallllah huma amin
INALLILLAH WAINA LILLAH RAJIUNI 😭 ALLAH AMPE KAURI THABITI
@@mrutumussa5143kapata kauli thabiti tujiombee sisi nasi tupate kauli thabiti..!
Allah amjaalie kila la kheri amsamehe makosa yke ayageuze makosa yke kua mema yake aaminn
Hawa ndio wana sifa za urijali alizozitaja Allah walimtaka Allah na Allah akawathibitisha matakwa yao na mie namuomba Allah nifie madina aaamin ya Raab
Amiiiin yaarabih
Ammiin 🤲
Amiin
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Kufia Madina si tiketi ya kwenda peponi, vitendo vya mja ndio tiketi yake ya peponi,,,,,tunamuombea mwenzetu!!
Ya Allah mrehemu mama huyu, mpitishe njia aliopita mtume Muhammad wakati akiingia pepon
Allah awape subra familia yote dunia tuna pita
Masha Allah....hii famili ni wakweli
Mahojiano ya watu wote hayatfautiani
Yaa Rabbi tunakuomba utupe mwisho mwema kama ulivyompa Bi Akiba!🙏🙏🙏🙏🙏
Ammin Allahuma Ammin
آمين
Allah ampe kauli thabit Amin 🤲 ampe kitabu chake Kwa mkono wa kulia Amin
Amiin
Allahumma Amiin
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun😭😭😭poleni sana familia na jamaa wote,,, ALLAH AMLAZE KWENYE WAJA WEMA PEPONI 👏👏👏👏😭😭 POLENI SANA 🇸🇦🇰🇪
waallahi nimelia kwa kweli ALLAH awape subra jmni wkti huu wa huzni
Allah sw mlaze mahala pema Peponi mama Akiba na utujaalie sisi mwisho mwema. Amin!
Allahumma Amiin
Ameen
Allahumma Amiin 🤲
Allahuma Amiin 🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Aaamn
Innalilahi wainailaih rajiun poleni sana mungu awape nguvu na subra kwa kipindi hichi kigumu... Allah amfungulie kitabu chake kwa mkono wa kulia 😭😭😭😭
May Allah open every door of Jannah for her and may she be raised as a Sabiqoon - ameen ya rabbi🙏
Ameen ya Thul'jalili wal ikram
Ammin
@@Idysalim BarakAllahu feek
@@ukhtywaa6545 BarakAllahu feeki ya Ukhty
Inna lillah wainna ilayhir raajiuun
Allah amsameh alipokosea, amraham na kumlaza pema penye wema peponi hajjat. Poleni sana wafiwa, Allah awazidishieni subra njema. Maa shaa Allah nimejifunza vitu kutokana na maelezo yenu 👏🏽 Allah Akbar
Amiin
Wajina wangu pole saaana Allah akupe subra kwa wingi
Inna Lilah waina ilah rajium .ee mwezimungu mhifadhi mahala pema mja wako .mbele yake nyuma yetu.inshaalah.
Mungu Atupe Mwisho
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun, Allah amsamehe makisa yake na majaaliwa kuwa miongoni mwa watu wema. Aamyn yaarabbal alamyn
Aamiin
Amiiiin yaarabih
Innaalillahi winnable ilayhi raajiuun, Ala Assamese makosa yake
Amiin Ya Rabb
Amen thuma amen
Allah marehem amkabidhii kitubu chake mkono WA kulia aminee
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia allahumma ameen yaarabil Aalamiin. Poleni sana wafiwa
Innna Lilah wainaa ilaih rajiuun mama dada mungu akupokee Kwa mikono miili 😭😭😭😭
Nilichojifunza kwenye hii familia ni kua ni familia ya watu wenye dini sana na wameshiba tawhiid.
Sana
@@habibakhalfan1065 na ww umeliona Da Habiba? Natamani niwe na familia yenye tawhiid na kuiacha dunia
Innalillahi wa inna ilayhi raj'uun..... Mwenyezi Mungu awape wa subira... Sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ni marejeo yetu.
Innalilah waina illah rajiun Allah amsamehe dhambi zakeza siri na dhahir, ampe kaul dhabit... 🤲
THUMMA AMEEN na ss ALLAH atupe mwisho mwema AMEEN
@@faizanassor6336 amiiiin
Inna Lillah Waina Illah Rajuun amsamehe madhambi zake na amkubalie hija zake. Ampeleke Pepo ya Fardows
لااله إلا الله محمد رسول الله
يارب كلنا عبادك إنا مقرونا بذنوبنا فاغفرلنا يارب
اللهم اغفرلها وارحمها وجعلها من المتقبلين
واجعلها من عبادك المؤمنين الذين يرثون الفردوس هم فيها خالدون
Allwah amsameh makosa yke nasisi atupe mwisho mwema
AMIIN
Maashaa Allah sijui age yako lakin una hikma sana zaid ya umri wako unaoonekana nao, subhanallah Allah anijaalie mtoto mwema kama wewe au zaid ya wewe muda wangu ukiwadia amin...ur parents must be so proud of u.....poleni. Sana na msiba Allah awape subra juu ya hili, Allah ampe pepo yenye darja bora zaid amin amin...
Nakuombea Allah aijibu dua yako hii. Amin
Subhana allah
Lahaulawalakuwata ila biallah
Allahuma ruzkuna husn lkhatima
Allahu Akbar!! Allah ampe makazi mema
Allahumma Amiin
Mashallah mashallah mashallah very strong ukhty
Yaa Rabbil-alamiyn tujaalie na sisi waja wako tuwe miongoni mwa waja wema peponi Yaa Rabbi tujalie Khusnil Khatma 🤲🤲🤲😭😭😭
Inna lillah wainn ilaih rajiun MashaAllah Allah atujalie na sisi tufike kwenda na atupe kauli thabit
Innallih wainailaih rwajiuuun Allah ampe kher kauli thabit pole sana Baba yngu. Allah kamchukuwa kwenye mji mwema Alio zikwa mtu me wetu muhmmad (saw) ni bahati iliyoje muombe duwaaa tu
Ma shallh Allahuma ina nasaluka husnulkhatima amin
Allah ampe makazi mema ya popon nasi atujaalie mwisho mwema
Mwanaadam yyte baada ya kifo chake anabakia history.. Wallah hapa Mama huyu kaacha history yenye athari kubwa katika jamii yake,, Na kwamba tumejifunza mengi lakin lililokubwa ni kuupata mwisho ulo mwema... Tuombeni mwisho mwema kwa kujikurubisha sana kwa Allah dahh..
اللهم غفرلها ورحمها ومسكنها في اللجنة..🤲🤲
Mwandishi tuandalie toleo la maisha ya Hajat Akiba siku zijazo.
InshaAllah
Mungu amsamehe na amuingize peponi .AMIN
Amiin Ya Rabb
Kifo kinauma jaman dah lalakwa amani mumewangu 😭
Mungu amuangazie pepo
🤔🤲Mungu ailaze roho ya marehemu pahali pema peponi amin. Ndio safari sote tuna muda wetu na tuko njiani..
YARABI atujaaliye nasi Mwisho mwema amin amin YARABI amin.
Amiin Ya Rabb
Allahumma Amiin
Amiiin ya Rabbi
Allah ampe jannat Firdaus mamaetu, innalilahi wainnailaihi rajiun,polenisana familia kwaujumla Allah awapesubra
Allahumma Amiin
INNALILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN
Allah amlipe kheir na sisi atujaalie mwisho mwema pia awape moyo wa subra familia wote
Amiin
Innallillah wa innallilah rajiuun, ALLAH(SW) amuhifadhi na adhabu za kabri, kwani amepata mwisho mwema na ameacha watoto wachamungu, Alhamdullillaha
Amiin
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun MaashaAllah amekufa baada ya kukamilisha hajj Mungu amlipe ujira wake na atujaalie na sisi mwisho mwema ya rabbi.
Innalilahi wainna ileih Rajiun poleni Sana mauti ni mlango kila mmoja ataupita kikubwa maandalizi Allah amjalie qawli Thabit amjaalie pepo ya juu Kabisa iwe sababu ya Yy wazazi wake kuingia peponi
Innalillahi wainnaileihi rajioun.poleni sana.mungu awape subra na imani inshaallah
Innallilah wainna ilaih rajiun hakika ya matendo huzingatiwa ule mwisho anaoondokea mtu duniani
Poleni Allah amlaze mahala pema peponi nasi atupe mwisho mwema, amiin.
Amiin
اللهم غفرلها ورهمها وعفونها وأكرم نزلها وودخل مدخلها. اللهم ثبتها بلقول ثابت فى هذه لهياة دنيا وفلأخرة.
Allahumma Amiin
Dua umeandika Makosa NDUGU YANGU,
Afadhali ungeandika kwa Lugha Yako.
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
Innalilahi wainna ilayhi rajiun Allah amlaze mahali pema peponi Ameen Yaa Rabbi
Aamiin
Nyie ni vigumu sanaah wallah ni vigumu sanaah Tena mnoo😭😭 Allah ampe kauli dhabit mbele yake nyuma yetu hakuna kitakacho dumu milele
Inn lillah wa inna ilayhi rajiun allah ampe qauli dhaabiti amlaze mahali pema peponi
inlillah wa inna ilaihrajiuun Kwakwel allah yupo pamoja na wakwel na wenye kusubir Allah amjaalie nuru katika kabri lake
غفر الله لها وأدخلها فسيح جناته
Ila kaondoka vizur Allah ampe makazi mema kwenye Pepo ya firdaus
Allah ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia. Amiiiin
Innalilahi Wainnailayhi Rajiun, ni bahati kubwa sana kwake kufia huko pahala pa tukufu kuzikwa pamoja na watu watukufu. Tumshukuru Mungu kumuwezesha kukamilisha hija yake.
Raha sana aise, kufia huko ni raha sana. Allah ampe kauli thabiti
Wallahhi huyu mama yupo salama kwa baraka zake mtume nataman na twapaswa sote tutaman
Inalilah wainailahim.rajim,Allah amulaze mahali pema
Inalillah wainailahi rajiun mngu ampe kauli thabit ameen
Inna Lillahy waiyyina Ilayyhi Raji-oon Pole sana Mzee Mwenzangu ni mazito ingawa ya halali InshaAALLAH M/Mungu ampe Kaul thabiti amsamehe Makosa yake ya Kibinaadam na Amuingize katika Pepo ya Firdaus Li Jannah
Allah ampe kauli thaabiit amlaze mahala pema peponi aamiin..
Mashallah Imani ya mwanamke huyu si ya mchezo
Wallah kabarikiwa huyu dada
Pole Baba ,poleni familia, poleni watanzania mungu awape subira,na mungu amuhifathi Mahali Pema peponi ameen,,,,, YaAllah mrehemu Baba yangu mzazi na wazazi wote waliotangulia akhera na Uma jamia limsilimina,,ameeen ameen yarabi
Inna lilahi wainna ilaiyhi rajiun Allah ampe safari ya kheri tupoweni kwa msiba tuweni pole
Mwanga wa milele umuangazie we bwana.
Nimelia sana, na nimekumbuka mengi mno.allah nijalie mwisho mwema.
Inna li llah wainna ilaih raajiun, poleni sana wafiwa, yote ni ya mungu alhamdulillah.
Innalillah wainna illayh rajiuuun ss sote niwaja wa m/mungu kwahakika tutarejea "mwenyezimungu ailaze roho yake mahala Pema pepon AAMIIIN*
Allah ampe kauli thabiti amueke peponi Amyn🤲
Innalilah wainnailah rajuun poleni sana familly inahuzunisha sana ila mungu kampa kifo cha makha kwa kua ni mja mwema allah akupe pepo na nuru katka kabri lako mama
Innalillahi wa ina ilahi rajicun
Hakika sisi ni allah na kwake tutarejea allah amswameh makosa yake , ajaalie kabr lake liwe nuru ktk nuru za waja wema wa pepon na sisi atujalie tuwe na mwisho mwema atusameh makosa yetu amiin allahuma hauwy alayna sakaratmaut 🙏🙏🙏
Mungu ampe kauli thabit katika kaburi lake bi hajjat inshaallah
Allahuma ghufirllaha warhamha waaskinaha filjanat 🤲🏼
Inna Lillah Waina Illah Rajiun...Mwenyezi Mungu ampe kaul Thabit, Poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awape Subra Inshaallah 🤲
Inalilah wainailah rajiun polen wanafamilia wote. Allah amrehemu mwenzetu
Innalillah wainnailaihirajiun Allah amsameh makosa yake amin
Amiin
Dada mashallah mama katuachia mafunzo mengi Mungu amsamehe
Innalillah waina illah rajuon Allah amsamehe makosa yake na aipe subra familia yake inshaallah
Pole baba yangu ALLAH akupe subra kwa woote wafiwa
Innalilah wainailaih rajiun poleni sn wafiwa msiba huu ni wetu sote. Allah ampokee kwa wema.
Inna lillah wainna ileihi rajiun 🥺 Allah anijalie mimi mwisho mwema 🥺🥺🥺
Pole sn mzee wangu kupotelewa na Mke au mume ktk umri. Mkubwa km ivi ni mtihani sn maana msha zoeyana
Poleni mwendo ameumaliza Mungu ampokee
Poleni mungu amjaalie hija makubuli na mungu amsamehe ampe kauli sabit
Subhanallah mungu atupe watoto wwma kama hawa na sisi tuwe wema kwa wazee wetu
Amini_mwanae_bi_Akiba_ana_dini_Mashaallah
@@habibakhalfan1065 wallah mana anaongea kwa maneno ya faraja sana
Nasisi pia tujitahidi kualea katika mazingira ya dini
Dah! Aliyaona mauti akafanya toba na kuwasamehe wanawe na Mungu tunamuomba akusamehe akupokee kweli imekufa kifo chema sisi nyuma yako atujalie kifo chema pia yaani tuwe katika ibada au kumsifu mungu
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭🤲 Allahkila siku na Mimi anijaalie Nipate kwenda kuhij Makkah Kwa hicho kidogo ninachokitafuta yarabii.kwani kiasi Gani kwani kwenda kuhij jaman?!
milioni kumi naaaa zaid
@@mwanaidiawesu221 kuazia m 20
Milion 15na laki 3 dola 6500 zipo pia taasis za chini ya iyo
@@fifo262 haifiki 20 M
Ni 15 plus kiduchu
@@muddymuzungu4357 usiseme haifiki uu mwaka uu wapo waliokwenda kwa 22m na wapo waliokwenda kwa 24 na wapo ambao walishindwa kwenda sababu ya ongezeko la izo m , la msingi allaha atuwezeshe kwa nia zetu
Inna Lillahi Waaina illahy Rajiwn ALLAH Amlaze pema amfungulie Mlango wa Pepo wa Janat-Ul-Firdaus.
Allah ghfir laha, wa rhamha wa skanha fil Jannat!
MUNGU amlaze mahali pema peponi🙏
Allah awapeni subra inshaAllah Atupe na sisi Husnul hatwimaa🙏😥
Innalillahi Wainna Ilayhi Rajiuun, Allah atujaalie nasi husnul hatma
Allahumma Amiin
Inna lillahi wainnaa ileihi rajiun.Allah amueke mahali pema peponi .Amghufirie dhambi zake.Amjaalie Jannatul firdaus.
Innalilah wannailyhi rajiqhn mwenyezi mungu ampe kauli thabiti
Allah amsamehe makosayake ajalie falia yake miongoni atakao kutana nao katika pepo ya allah subuhanao wataallah
Amiin
Innalilah wanna ilah lajihun