Familia ya Dereva Bodaboda aliyeuawa pamoja na mpenzi wake yaeleza haya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @tausshaban5164
    @tausshaban5164 2 ปีที่แล้ว

    Rip polen sana wanafamilia ila jmn huu mwaka unatisha sana

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni familia

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Mzee na wanafamilia wote na mtoto wake! R.I.P

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani poleni wafiwa damu ya mtu haipoteii bure lazima italipika tuuuu

  • @glorynnko4753
    @glorynnko4753 ปีที่แล้ว

    Mke anauchungu mara2 kusalitiwa n kufiwa n mmewe

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Jmn mwaka huu tutatoboa kweli🤔😭😭😭😭

    • @tausshaban5164
      @tausshaban5164 2 ปีที่แล้ว

      Ww acha tu,tumuombe sana munguu kwakwl huu mwaka sio mchezo

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wanna ilah lajihun

  • @zenakihondo5195
    @zenakihondo5195 2 ปีที่แล้ว

    Yani ubinadamu umeisha kutwa kugeuza wenzao kama mshitaki mungu wangu uyugaidi apate ukumu yako

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mama mwandishi wa wp afadhali ya Imelda mtema.

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 2 ปีที่แล้ว

    Mhuuu mwak.huu tutatoboa kwel kwa namna hii

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 ปีที่แล้ว +2

    Waandishi wanauliza maswali ya kipuuzi sana. Naamini huyu hana mafunzo. Hii taaluma imevamiwa na wahuni.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi maswali gani hayo!

  • @juliethajames3043
    @juliethajames3043 2 ปีที่แล้ว

    Ndo Maswali gan Sasa

  • @settykiheta8618
    @settykiheta8618 ปีที่แล้ว

    Makahaba yambagara

  • @happymwinuka63
    @happymwinuka63 2 ปีที่แล้ว +1

    R.i.p

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 2 ปีที่แล้ว

    Mpunguze maswali

  • @zenakihondo5195
    @zenakihondo5195 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani ubinadamu umeisha kutwa kugeuza wenzao kama mshitaki mungu wangu uyugaidi apate ukumu yako