TAHARUKI MTWARA | VITU VYA AJABU VYAJITOKEZA BAHARINI NA KUHARIBU MAKAZI KIJIJI CHA NAUMBU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Alasili ya Julai 17 2024 kumetokea hali ya Taharuki katika Pwani ya Kijiji cha Naumbu Wilaya na Mkoa wa Mtwara baada ya kutokea vitu vya ajabu Baharini kama Upepo ulioambatana na Moto na ulipofika Nchikavu vitu hivyo vilimvamia Mama mmoja aitwae Bi. Rukia Muwanya mkazi wa Kijiji hicho ambae alikuwa amembeba Mtoto wake.
Mama huyo alikimbilia kwenye nyumba yake ambapo baadae nyumba hiyo iliezuliwa Paa lake na kutupwa pembezoni mwa Bahari ya hindi. Hata hivyo Vitu hivyo pia vilivunja Mtumbwi wa Baba mwenye nyumba hiyo Ndugu Fadhili Ismaili na kuvuruga Choo cha Makuti cha nyumba hiyo.
SUBCRIBE TH-cam CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Maeneo ayo ni atali wako kalibu sana na bahali lolote linaweza kutokea waondoke maeneo ayo
Duh namjua huyo kaka polen sana jaman
Watu Hawajui kama baharini kuna majini sana. Watu wajenge mbali. Pole sana dada.
SubhanAllah, Mungu ndie anaejua zaidi
Dah mumejenga karibu sana na bahari,sasa hiyo ni tahadhari mumeonyeshwa ondokeni hapo
Poleni saana ndugu zetu,
Ila mko na haja ya kumpokea Yesu ili muwe huru , Mungu awasaidie saana
Sio mko na haja sema tupo na haja ya kumpokea yesu iIi tuwe huru sema mungu atusaidie sana
Acha upumbavu ww
Kimbunga hicho
Tunamshukuru Mungu mko salama
Alhamndulilah kwa Imani yenu Allah akujaalienu moyo wa Subra
😊😊😊😊😊😊
Mumekazana kuwambia kwaniniwamejengq karibu nabahari wakati ndomaeneoyaondoyalipo nakamahawanamaeneo mengine asawaendewapi serikali iwajengee
Duuh pole jamaniiiiii mwenyezi mungu awalinde msidhurike
Pole sana dada Allah amekuhifadhi kwa hili na akuhifadhi na jingine
Amina!
Amiin 🤲
Ammin
AaminaYaarab
Poleni sana mwenyezi munguu awasimamie
polen
Matukio ya sku zamwisho. Yote yametabiliwa yatatikea haya YESU yupo mlangoni. Anakuja Dunia inaanguka😭😭😭 tumombe mungu. Atupe Akili yakusinama. Na Imani imala
😂😂utamskia uyo yesu hutaeza muona utakufa na hadithi ya yesu
Allahu.Akbaru.SubhanaAllha.Poleni.mnatetemaNywiiiii.Allahu.Akbaru
poleni sana kwanini msitoke mazingira hayo
Poleni sana
Ishara tata za muumba wetu, tujue bila .ungu hatuwezi chochote
Pole Sana
Wamejenga bahatini kabisaaa! Mmm wasogee mbali kidogo. Bahari ina mambo mengi saana
😂😂😂
Aiseeeeeeeeeee
Mimi na nimeanza kusadiki sara za wakatoliki kuna kipindi waatoliki wanaamini hivi.nasadiki kwa mungu moja muumba vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana hivo dunia ni pana sana bado kuna vitu ambavyo hatujafikia kuviona ni kiasi kidogo sana tunavyo vijuwa.
Sasa wewe unawaamini katoliki kwalipi sasa
Kwa kusadiki😊@@abduljuma7807
kama huamini bas tafakali huyo kajieleza kuwa tutambue kuna viumbe vinavyoonekana na visivyo onekan
Tornado Kimbunga hicho. Huwa kinajizungusha na kuja kwa nguvu.kinatikea mini michache ya Marekani. Kinaezua nyumba. Tornado. Kinaweza kukuzoa na kukutupa huko.
POLE SANA MY MOTHER MY ALLAH WILL PROTECT FROM SHATAN AND JINN INSHALLAH AMEEN SUMA AMEEN 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Majini za shetani aaki!.
Mungu awalinde
Hatariiii duh poleni ndugu zangu
Mikoa za kusini hasa hasa MTWARA NA LINDI, wamezidi sana kwa USHIRIKINA.
No hicho ni kimbunga
😂😂😂 nakuona mwezetu kweny cyo wachawi
Nimingu tu mama zangu kimubwa fanyeni ibada muwahimize na wtt wenu dunia iko mwishoni
Polen Wanatwara
mungu.kawaokoa. hicho.nikimbunga cha.bahari nachakumshukuru mungu.kimetembea.chenyewe hakija.fuatiwa na.maji.nyuma.hio ndio.ponya.ponya.yenu.hapo.mngezolewa.wote.kijiji kizima
Huyo mama alie vaa njano ndio amenipa picha kamili sasa mm kimenitikea nikiwa baharini nikikumbuka vizuri wallah kulikua na mmoja wetu ni bubu basi mashua mzima yy ndie asemae sisi tusio KUA mabubu ndio tulikua mabubu .. Allah awanusuru
Weee subhanallah
Allah atuswameh waja wake
poleni
Duhh aisee hatari sana, pole yao sana mwenyezi mungu awape nguvu na moyo wa subra ktk kipindi iki kigumu
Aamina
Dah poleni sana jamani, tutubu tu kwa sasa .
Mengine msimsingizie Mungu.mengine ya Mila
yesu hana nafasi hapo koz ameshindwa kujiokoa yeye mwenyewe ataweza kumsaidia mwengine hapo ni Allwah tu
Subhanallah yaa Rabbi Allah Kareem pole ndugu
Duhhh naiheshimu bahari vibaya mno poleni sana
Ni hatari sana Mungu atusimamie 😢
Hakuna ushirikina hapo hicho ni kimbunga tornado 🌪 hicho kikija kinasomba kila kitu kikikuacha salama shukuru Mungu na kikikudhuru shukuru mungu pia ndio mitihani ya Binaadam
Majini hayo.
Wamejenga baharini sana asee. Polen sana
Tubuni mkabatizwe kurudi kwake yesu kumekaribia
Pole sana mama hiyo ni ishala ya kwamba mnatakiwa kuhama hayo maeneo ni dalili ya hatari ijayo haijalishi ni mda gani
Majini bahari hao
Ondokeni hiyo ni Tahadhari
Kuna MAMBO mengi baharini.
Majini yanaishi baharini.
Hiko siku Itawafukuza kwa Mawimbi, mmejenga sana Baharini
Kikubwa ushauri wangu fanyeni duwa kila baada ya mda kijiji kizima kwasababu yatarudi hayo
Majini hayo ondokeni
Majini hao wamemtokea mama
🤣🤣🤣
Sivyo Allien, maana NASA walisema huenda wapo miingoni mwetu
Poleni sana wahanga wa janga hilo😢
Subhana Allah
Subuhanalah
Mbona mmejenga karibu Sana na bahari!!!!hata kuwa na kujaa kwa maji kwenu ni hatari!! na huo ujenzi wenu sio rafiki
wapo karibu pia wanaogopa kuchimba vyoo. Hata viongozi wameruhusu kujenga namna hii ni hatari
Chwaa chaa shwaa😊poleni sana
Afuu mbo jitani Sana ma majii hawaogopiii
Majini hayo ya baharin Kwan lazima ujenge hapo dah mh
Hii dunia hatuijui hata robo.kuna ulimwengu mkubwa saana ambao hatujawahi kuuona.Mungu atujalie kuona yasiyoonekana.
Kabisa ndugu yangu dunia ina vitu vingi
Sahihi kabsaa dunia hii sii hii tunayoiona kunamengi
Sana hatutajui
Poleni sana hicho ni kimbunga
Sio kimbunga wewe !! Mwenyewe anakwambia anaona ni viumbe .. sasa kama ni kimbuga unaweza kungalia katikati ya vumbi!!
Kimbunga kinatoa miale ya moto
Madhambi mengi hayo Allah anatukumbusha tunapo elekea sipo turudi kwa Allah watu wanazini km Wanyama,Wanaume wafanya lawiti tumuombe Allah atujaliye khatima njema na vizazi vyema ila mitihan mikubwa dunia imeisha
Ila nyumba zipo karibu sana na bahari kawaida ya bahari kunakuwa na vimbwanga
Poleni sana kwa hilo ila kwa ushauri mngetoka huko kandokando ya bahari, maana bahar ina mambo mengi sana na hapo ni karbu sana sana na bahari
🤔🤔Turnado limepita dah! Kimbunga cha bahari nimeshaelewa.✍🏽👍
Mbona nyumba zingine hazikuguswa?
Mbona nyumba zingine zipo imekuwaje hii Mimi naamini ni majini hayo
@@VedianaNyamka 🤔🤔kunawakati mwengine muache kuamini ushirikina ndio mnaishia kutapeliwa Na waumini wakongo 🫵🏾kwa kushiriki kila kitu ni ushirikina jaribu kusoma sayansi Na kuelewa mathara ya kuishi karibu Na ufukwe wa mito au bahari Na jaribu kucheki hali ya hewa kwenye simu yako kabla ya kulala kujua kesho kutakuwa Na hali gani ya hewa kabla hujaamka ✍🏽👍🫵🏾mengine ni mipango ya mungu hiki ni kipunga cha kupita 🤔
Duh pole sana mama 😢
Aisee !!
Mtihani kweli majini ayo
Nikimbunga bwana
Huo ni upepo wa. Kisulisuli huwa unatokea haya ni matendo makuu ya mungu msiogope mkiona hivyo itieni damu ya yesu kristo
Sema wana raha, kumbe kuna watu wanamiliki had kingo za bahari bana, yan wanaona maji yalee, hao ndio wanafaidi nchi. Wawekezaji washawaona, fursa tayari. Soon watahamishwa.
😂😂😂
Wandoke.maeneoayo.simazuri
Majabu❤🎉❤
ALLAH anatukumbusha uwezowake tutubuni kabla ya mauti. tuache madhambi tupende kheri.
Hivi allah ndiyo nini,mimi sielewi
Hatari hiyo nyumba igeuzwe kanisa majini hawatasogea tena
N Hali y kawaida hivyo vtu tokea Bahraini nkikigusa chini chaacha alma kubwa ss huku kutu Uwa twaita nyono yuko kama pweza yuja kwa kujivuta n wingu zito poleni Sana hata ss tushaptza watoto wawili kwa huyo kiumbe wallah😢
Assnte kwa kutuelimisha , kwahi NYONO alikuwa anapita zake! Asili ni asili. Pole sana mama , lakini mmejenga karibu sana na Bahari si salama 😢
Huo ni upepo tu wa kisulisuli (kinandenga, kama mnavyokiita). Hapo hakuna uchawi wala mauzauza. Chukueni tu tafadhari kama walivyoshauri wengine), msijenge karibu sana na bahari.
Waende wap jaman,mbon mahotel makubw yako huk hio n mitihan Allah awavushe salaam 2
Polesana mama Allah akupe subra
Polen sana jaman mung nimuweza ndiyo maana mpo salama ila hamen hapo sisalama jaman baharin kuna meng
Mnaishije karibu na bahari
Nyumba ipo kando Sana ya bahari na kimbunga kimetokea huenda kinatafsiriwa vingine. Upepo unarusha maji ya bahari na vyombo vya baharini kama mitumbwi. Kimbunga kutokea baharini si Kitu cha ajabu kila baada ya miaka 20, 50, 100 ndio balaa. Nilikiona 1961 nikakiona cha balsaa 2009. Kikajaza maji Jangwani DSM
Wasiame sisi kwetu pia nyumba zetu ziko bahari dua ziwe ngingi
Salamu alikum baba mwenye nyumba labdaa huko baharini kuna kitu kafanya
Ushauri wangu hameni mnajenga karibu na bahari jamani hata hivyo mna roho ngumu nendeni mkajenge msomela hayo ya hivyo hayapo
Uganga huo mama watanzania tumche saba Mungu
Pole Sana kwa nini ujenge Bahari uondoke araka Sana
😂😂😂
Majini Ayataki Bati Au Mizimu Iyo
Ni Tornado.
Iz nidakika zamwisho yesu anakuja
Upepo
Nikanchukua ntoto ila wamakonde sasa wanavyoongea
Relaxx na wapemba bipi
Ngoja uone hivyo unaishije baharin ww wamakonde bwana
Pole mwaya
Tunawapole Sana alafu tuwe Malini Sana kukaa kando na mito au bahari
Upepo mkali wa Baharini ni hatari sana, Vimbunga vya Baharini hungoa Miti, Majengo, Kwa hiyo ni vitu nadra sana kutokea.
Mbn umejenga karibu na bahari
Predators😳
🌪 tonardo
Hiki Kijiji kimejengwa Beach kabisa ni hatari sana aiseee
Km kulikua na moto pia. Hio itakua ni volcano. Sbb baharini kuna volcano pia. Ila Mungu amewasaidia saana. Bora muhame kutoka hapo. Kwa usalama wenu. Sbb bahari ina mengi. Poleni saana ndugu zetu.
Acha kulia toa maelezo vizuri Watu wapate kujua namna ya kukusaidia😂 nimesikia hiyo nywiiiiii 😂
Ila watu 😳