BONGO DSM: KIJAZI INTERCHANGE INAVYOWAKA USIKU, FULL KUTELEZA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2021
  • BONGO DSM: KIJAZI INTERCHANGE INAVYOWAKA USIKU, FULL KUTELEZA...
    WAKAZI wa Muda mrefu katika jiji la Dar es salaam wanelewa vizuri kero au adha iliyokuwepo katika makutano ya Ubungo. Kuchelewa kazini, shuleni, vyuoni hata hospitalini halikuwa suala la kushangaza.
    Kero hii ilizima ghafla kama umeme uliopata hitilafu baada ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Dkt John Pombe Magufuli, kuingia makubaliano na benki ya dunia ya kujenga barabara za juu za kisasa katika eneo hilo ambapo jambo hilo limefanikiwa kwa asilimia 100.
    Sasa madereva kutoka pande zote za jiji la Dar es salaam ambao hutumia Interchange ya Kijazi hawapati muda wa kusoma gazeti au hata wengine kuvuta fundo kadhaa za sigara kama walivyokuwa wakifanya hapo mwanzo kabla ya ujenzi huu sababu ya foleni. Kwa sasa ni KUTELEZA TU Kuzikimbilia mishemishe zilipo na kuingiza kipato bila kikwazo cha kukaa ndani ya gari kwa masaa 2....
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 88

  • @martinstarford2015
    @martinstarford2015 3 ปีที่แล้ว +12

    Kutoka NAIROBI KENYA kazi nziri Sana kumbe Tanzania pia iko Kama NAIROBI

    • @martinstarford2015
      @martinstarford2015 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Jeff-Nguvu-ya-Injili bado mko chini

    • @martinstarford2015
      @martinstarford2015 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Jeff-Nguvu-ya-Injili shida yenu n moja tu kelele mingi lakini kumbuka kenya n baba yao east Africa kwanza dar n mji mkuu wa tanzania ama n Dodoma linganisha dar na mombasa, Dodoma na Nairobi

    • @athmanihaji7771
      @athmanihaji7771 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania wanajimudu kufanya maendeleo nchi nzima sio maeneo flani kama ilivyo Kenya,Kwa sababu hiyo hatutaifikia Tanzania kamwe...!!!

    • @martinstarford2015
      @martinstarford2015 2 ปีที่แล้ว

      @@athmanihaji7771 wpy ebu niambie kitu Tanzania wamefanya yenye utasema wako mbele ya kenya

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 2 ปีที่แล้ว +2

      Don't be stupid, Kenya imejengwa na queen but tz is built by tz people!ther not puppet of the white people!ndio maana mulikuwa locked 🔒.

  • @ngajaalmas
    @ngajaalmas 3 ปีที่แล้ว +12

    Magufuli is superhero of our time.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว +16

    Uyo ni Magufur Pumzika kwa Aman Jpm

  • @annaanyosisye8682
    @annaanyosisye8682 3 ปีที่แล้ว +20

    Huyo ndiyo jpm bhnaa R.I.P simbaaaa

  • @mwana4599
    @mwana4599 3 ปีที่แล้ว +13

    RIP KPM, Kijazi na Eng. Mfugale. On another note. Mtangazaji mzuri sana huyu.

  • @theleo3899
    @theleo3899 3 ปีที่แล้ว +23

    Magufuli legacy💪

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 3 ปีที่แล้ว +16

    Tunaomba mungu atupatie viongozi wenye maono kama alivyokuwa JPM,na pia Mungu atulindie viongozi wetu wenye maono mazuri wasiwe wanahujumiwa uhai wao,ahasante mtangaziji wetu twakupenda sana,kazi nzuri

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว +9

    Daah nchi imepooza sasa siku hizi hata news za Kibongo zinaanza kuniboa, hamna mahabari ya miradi mikubwa kubwa kama enzi za JPM maana mwamba yule alikuwa anatema madini tu, ameona shule ya udongo amewapa wakuu mwezi wamejenga nk nk yaani Tz ilikuwa ya kujengwa tu

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 3 ปีที่แล้ว +10

    Pumzika kwa amani jemedali wetu mfalme wetu utakumbukwa daima

  • @ezeedi871
    @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว +12

    Daa kazi nzur sana

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว +1

      We Acha Tuu Ameondoka MTU aliyefanya Maajabu Hayo

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว +10

    Nchi hii kuja kua nzur ni ngumu sn cz hata kesho akija kutokea rais km magu bc ni lazima watamuua tu ndiomaana leo hii magufuli na mfugale wote hawapo dunian daah!!yote tunamuachia mungu tu

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana. Magufuli atakumbukwa daima

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 ปีที่แล้ว +16

    SEREKALI IANGALIE SUALA LA KUBANDIKA MAKARATASI YA MATANGAZO WANACHAFUA NGUZO NA VIKUTA MJINI SIO KILA MAHALI KUBANDIKWE BANDIKWE.....

    • @manfredbitala6897
      @manfredbitala6897 3 ปีที่แล้ว +1

      Hilo ni janga la taifa. Binafsi Jambo Hilo linaniudhi Sana, madaraja, nguzo za umeme, kingo za barabara etc. Cha ajabu wahusika huandika kwenye matamgazo hayo majina yao, anuani zao, na namba zao za simu. Wanafanya hivyo kutangaza kampeni za siasa, disco, mikutano ya injili na matamgazo ya biashara. Nirahisi kuwakamata na kuwawajibisha.

    • @sultanmswahilitv4864
      @sultanmswahilitv4864 2 ปีที่แล้ว +1

      Kenya ni marufuku.Ukipatikana utafungwa ama fine utatozwa sana

    • @nguruwekikwete1635
      @nguruwekikwete1635 2 ปีที่แล้ว

      Viongozi wa serikali sijui wanafanya nini kuweka sheria au amri kuzuia huo upumbaavu gharama ya kusafisha hizo kuta na kuziweka sawa ni mamilioni ya pesa huyu mkuu wa mkoa na wawilaya ni mazuzu sana

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 ปีที่แล้ว

      @@sultanmswahilitv4864 hapa kwetu hawana habari na uchafu....waambie kuiba duh Mungu tusaidie

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว +9

    Kusema kweli JPM Alikuwa Rais WA Kweli na mwenye Maono Na Uthubutu Kwa sasababu ukitaka kufanya kitu Ni lazima Uthubutu Ndiyo Utaona Njia lakini bila kuthubutu hutaweza

  • @IBENGM
    @IBENGM 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo Mtangazaji sasa..

  • @annahpsimon1156
    @annahpsimon1156 3 ปีที่แล้ว +6

    Tz Ya leo sio Kam ya jana jamn Roho zao zipate rehema Kwa Mungu

  • @etonabintu
    @etonabintu 3 ปีที่แล้ว +10

    Zawadi ya Magufuli iyo

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 3 ปีที่แล้ว +5

    Mh magufuli awezi kusaulika kamwe kwa wapenda maendereo

  • @simonjoseph1775
    @simonjoseph1775 3 ปีที่แล้ว +9

    MWANAMAPINDUZI WA KWELII KAACHA ALAMA KUBWA KIZAZI NA KIZAZI WATAJIONEA DAIMA NITAKUENZI HADHALANI NA MOYONI MZALENDO MAGUFULI UKISINDIKIZWA NA MFUGALE PUMZIKENI SALAMA

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli walikuwa viongozi shupavu

  • @respiciuscornery9202
    @respiciuscornery9202 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana dada kwa maelezo mazuri

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 3 ปีที่แล้ว +10

    Dada hongera kwa Uzalendo nipe number yako nikuunge kwenye group la Jpm

  • @kadashijunior2141
    @kadashijunior2141 3 ปีที่แล้ว +5

    The legacy never die,,,hata km wamehujumiwa uhai wao,lkn utu wao hauwez kupotea,,,wengine mkifa unatupwa km mfilisiti tu.

  • @tindijunior5107
    @tindijunior5107 3 ปีที่แล้ว +5

    Makufuli oyee

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo interchange Siyo poa ukiingia Dar Unakaribishwa na Hiyo interchange kwamba SASA umeingia Dar

  • @yacquubismaan7088
    @yacquubismaan7088 3 ปีที่แล้ว +10

    Saluti.magufuli

  • @margaretmbongo3440
    @margaretmbongo3440 3 ปีที่แล้ว +7

    Jpm chuma

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada uko vzr

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 3 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli chumaaa cha reli shujaa...

  • @faustamarussu5546
    @faustamarussu5546 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P JPM & MFUGALE

  • @adrushassan6348
    @adrushassan6348 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa mama akiondoka tutaangalia nn alichokiacha? Chanjo au tozo za cm ? Kumbukumbu

  • @adrushassan6348
    @adrushassan6348 3 ปีที่แล้ว +7

    Big up magufuli tutakukumbuka sana we mic u😭

  • @bongobongo1755
    @bongobongo1755 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani vichwa vinatutoka tu! Mungu tusaidie

  • @josephamos6636
    @josephamos6636 3 ปีที่แล้ว +3

    Huo ndio uzarendo wa kweli

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan Hii interchange Kama KwaZulu natal Yaan

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 ปีที่แล้ว +1

    Babaaaaaaa😢😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @sylverjosiasy8536
    @sylverjosiasy8536 3 ปีที่แล้ว +8

    Waafrika tubaeilike kabsa Ani, tusiwe tunasikiliza chochoko za wapumbav na vibaraka wawazungu, hasa baadhi ya wanasia! Mfano Kuna Kuna wapumbav wanamchafua et Magufuli alikua dikteta, hv mtu asiyemkubali MAGUFULI anakua na akili kichwani au makaratas, JPM mwamba Sana Basi tuu. V

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 3 ปีที่แล้ว +1

      Broo wanajitahidi Kumchafu JPM lakini jibu Lao wanalipata wakipita mtaani wanateleza tuu full Mabadiliko Nchi lmebadilika full miradi not like before

    • @kahmardintebe9266
      @kahmardintebe9266 2 ปีที่แล้ว

      Jpm ni mwamba wa tz na barani Africa kwa ujumla pumzika kwa amani chuma nyayo umeziacha hazitafutika kamwe

  • @ashuraumari1322
    @ashuraumari1322 3 ปีที่แล้ว +3

    Daa🤔nikiludi tz nahisi nitapotea😂

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว

      Na wewe Ashura wa Buza una vituko toka lini uko Ughaibuni acha kujitoa akili

    • @ashuraumari1322
      @ashuraumari1322 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kabwelasutiviraka4765 😂😂😂😂

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว

      @@ashuraumari1322 niambie dada , poa kama umecheka ili tuongeze muda wa kuishi au sio haya karibu chai na ubuyu na embe dodo hapa geza ulole

    • @ashuraumari1322
      @ashuraumari1322 3 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 Asante kweli nimeongeza siku daa😂

  • @tzfinest75
    @tzfinest75 3 ปีที่แล้ว +2

    Maendeleo mazuri lakini ndiyo kazi ya serikali...hii kama propaganda.

  • @sisawajohari7252
    @sisawajohari7252 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kawaida miradi mikubwa kama hii mikopo yake lazima itoke wold bank hawa jengi bure hilo lazima lifahamike na hili ni daraja la kuvusha magari kupeleka upande wa pili

  • @yohanambilinyi5616
    @yohanambilinyi5616 2 ปีที่แล้ว

    ninalia kwa uchungu mnoo. RIP MAGUFULI, RIP MFUGALE

  • @MohamedAli-qf6et
    @MohamedAli-qf6et 2 ปีที่แล้ว

    Wacheni ushamba ndugu zangu wabongo. Musiweni kama kipofu aliyefungua macho kwa mara ya kwanza akaona jogoo basi kila watu wakizungmza vitu vikubwa yeye huwauliza kama jogoo? .Hebu tembeeni kidogo mukaangaliye flyova japo Dubai musende Ulaya mbali sana nanyi, halafu mje mlinganishe kama kweli mna flyova za kujisifia.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mama hawezi jenga ata daraja la miti

  • @fednandnews2240
    @fednandnews2240 2 ปีที่แล้ว

    Magufuri tu wengine n

  • @shabanibumbo5774
    @shabanibumbo5774 2 ปีที่แล้ว

    huyo ndio rais sio bibi yenu yeye anajenga corona na safar za nje

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 ปีที่แล้ว

    Serikali iwemakini na hii tabia ya kubadili majina ya asili husika na kuyaita majina mapya bila kuwashirikisha wadau, maana majina mengine yanahistoria ya siku nyingi.

  • @majutosanaelias4307
    @majutosanaelias4307 3 ปีที่แล้ว

    Aripenderea Sana dar na kwawo

    • @ibrahimkambi9288
      @ibrahimkambi9288 3 ปีที่แล้ว

      Mbona hujataja Soko kuu Moro,Dodoma,Lindi,Mtwara ,Kigoma Aaaaaaah....ngoja tu niache

    • @evaristjohn2439
      @evaristjohn2439 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimkambi9288
      Huyu jamaa inaonekana hajatembea... Anasikiliza Stori za vijiwe bus kahawa!!

    • @hatibuyusufu4668
      @hatibuyusufu4668 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli Rais Magu alikua MWAUME.leo Kuna Barbara za lami ktk almashauli nyingi tu,masoko ,stend za kisasa hospitali Bandari Madini viwanda,ndege, SGR,bwawa la Nyerere,daraja la tanzanite ,busisi kigongo selikali mjini Dodoma elimu Bure, ndege nidhamu serekalini ,wewe unachuki zako binafi

    • @reganmartin5485
      @reganmartin5485 2 ปีที่แล้ว

      Acha aendelee kujuta maana hata nauli ya kutoka kijijini kwao kwenda mkoa Hana anasubiri Kijiweni Cha kahawa

  • @monicahovda4524
    @monicahovda4524 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Sio Serikali Bali ni Mh late Magufuri ukweli ni huo na ukweli itabaki kuwa kweli, walikuwako wengi Lakini waliopita
    tu na kuwaza mifuko yao, k