MWILI WA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUWASILI ZANZIBAR NA KUAGWA UWANJA WA AMANI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli unatolewa Ikuli Chamwino na kupelekwa Bungeni na badae Uwanja wa Jamhuri kwa kuagwa.

ความคิดเห็น • 10

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwamba wanaomsema kwa mabaya mi nawafananisha na mashabiki wanaoutizama mpira,,washabiki kazi yao ni kutupa lawama kwa wachezaji tuu kwa kuwa wao huona makosa baada ya kutokea na ndipo walaumu,,japo wengi wao hata danadana hawajui kupiga,,lakini kwenye kukosoa wao ni zaidi hata ya mkufuzi wa timu. Magufuli alikuwa kocha sahihi, na kabumbu tulilokuwa tunatandaza Tanzania halina tofauti na lile la barcelona ya kina Iniesta, Xavi, Puyor nk. Na ushahidi unaonekana kwa mashabiki,,ona majonzi yaliyotukumba baada ya kuondokewa na kocha wetu mahiri. Hakuna anayeamini kama tutampata kocha wa aina ya Magufuli...Chuma, Jiwe, Mvule, Anko, Mpingo, Mwamba, Jembe, Kazi Kazi na mengine mengi tulimpa majina,,,dah! inauma asee' nilimhusudu na alinikosha sana kwa huduma Bora aliyoitoa kwa nchi yake

  • @findpartner1314
    @findpartner1314 3 ปีที่แล้ว +1

    Kenya 🇰🇪 we are in tears 😭 RIP mueshimiwa we love you but God has challenges us

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

    Jaman kampunzishen baba yetu maaan kwa kwel nikiona nazid Lia tu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Bas tukubal matokeo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔💔😪

  • @henrytino8832
    @henrytino8832 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Mr PRESIDENT 😭😭😭

  • @snsxsnsx3144
    @snsxsnsx3144 3 ปีที่แล้ว

    RIPower JPM tutakumbuka kwa uzalendo na uchapakazi mutetezi wanyonge Baba kipenzi kwali tuta kumiss sana

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi leo nilishindwa kufuatilia🥺 RIP JPM

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

      Inaumiza mno kwa kwel nimelia had sura imejaa🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @chumizola1847
      @chumizola1847 3 ปีที่แล้ว

      @@baimarrajahbuayan6237 pole sana🥺

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 3 ปีที่แล้ว

    R.I.P JPM WE WILL ALLWAYS REMEMBER YOU

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 ปีที่แล้ว

    ALIPENDWA ZAIDI YA SAANA MAGUFULI...