K2ga - Unaniona (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Music Video by K2ga performing Unaniona (Official Release) (C)2020 exclusively licensed under Kings Music Records,The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Rockshot.
    Stream/Download:linktr.ee/K2ga
    Listen to K2ga on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/...
    Apple Music: / k2ga
    Boomplay:www.boomplay.c...
    TH-cam: / k2gatz
    Spotify:open.spotify.c...
    Follow K2ga on Social media:
    Instagram: / k2ga_tz
    Facebook: / ​
    Audiomack:audiomack.com/...
    Twitter: / k2ga_
    +For More Information Booking K2GA:
    Contact:Kapastareal@gmail.com
    ©2020 Kings Music Records.All rights reserved.
    #K2ga #Unaniona

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +58

    *Hii nyimbo nitafurahi saaaNa ikifikisha views 1M* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Nani mwingine anasubiri kwa ham kuliona hilo agonge like twende nayo ngoma

  • @bennyboy9847
    @bennyboy9847 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama wakubal song from kings music achia like hapo

  • @kpspalmer3364
    @kpspalmer3364 4 ปีที่แล้ว +58

    Jamani nimefika nyuma basi nionyesheni upendo wenu kwakunipa like hata 50 nilale salama msinisaliti kama alivyo salitiwa K_2ga

  • @junaitharjamal3761
    @junaitharjamal3761 ปีที่แล้ว +1

    2023 nipo hapa utaimbaaa ila hii nyimbo kwangu n KUBWA

  • @masoudsaid4157
    @masoudsaid4157 3 ปีที่แล้ว +2

    Km umemskia King akiitikia kwa umbali......"sasa hivi unaniona....,.anhaaaaaa.....🎶🎼 gonga like

  • @sarafinamaximiliano976
    @sarafinamaximiliano976 4 ปีที่แล้ว +16

    Team kiba achen roho mbaya naombeni like tuendelee kuview Moto huuu jmn wapenda mzik mzuri🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @fahadykabuhaya8994
    @fahadykabuhaya8994 4 ปีที่แล้ว +14

    Jaman mbona naona watu wanaomba like ebu namm nipeni like 👍

  • @sharonchihunga8008
    @sharonchihunga8008 3 ปีที่แล้ว +7

    Nymbo za k2ga🔥🔥kma unazo audio haumaliz siku bila kuzixkilizaa npe like ata tano tujuane...

  • @faridafarida-iy2bk
    @faridafarida-iy2bk 4 ปีที่แล้ว +3

    jamani tusapot k2ga naye ifike 1 milioni naye bado kidogo team kiba msilale

  • @dr.bonye1
    @dr.bonye1 4 ปีที่แล้ว +3

    Demu wangu nilimuonga saa akaenda kumuonga boy wake mwengne mchizi wa UK kaonga gali anaendesha Boy mwingne like za K_2ga jamani 😂😂😂😂

  • @officialelisha7524
    @officialelisha7524 4 ปีที่แล้ว +22

    Nani anaangalia ngoma hii muda huu tujuwane kwa like

  • @binktvonline
    @binktvonline 4 ปีที่แล้ว +68

    Kama unapenda hii song mtakie K2ga kwenda kimataifa , basi sema neno hapo chini. Comment from USA 🇺🇸

  • @laidacharles2636
    @laidacharles2636 4 ปีที่แล้ว +4

    katika vitu nilovyokua nasubili pamoja nahichi namkubali sana huyu king mdogo gonga like kuajili ya kingi mdogo

  • @wizkiba8661
    @wizkiba8661 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani wana kings music twendeni sawa na DODO uku tukiludi 🆕 mchizi wa uk k2ga ndani ya Unaniona like twende sawa

  • @shebyclever6763
    @shebyclever6763 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiki ndio kitu nilikimiss kuona vijana wa 👑 music wakifanya kazi Kama single artist ukweli ngoma iko poa Sana natamba nayo January yote king music fire naombeni like

  • @witnessmhamilawa2274
    @witnessmhamilawa2274 4 ปีที่แล้ว +59

    Waooooooo kuna watu wanajua hatari .....kama like ni chakula na mm naomba

  • @mubahamed8444
    @mubahamed8444 4 ปีที่แล้ว +43

    Tugawane mapato ya like bt hili goma kibokoyao

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 ปีที่แล้ว +39

    Wimbo wangu was kupozea machungu ya January hi 🔥 🔥

  • @saidkibumba1901
    @saidkibumba1901 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunakwama wapi ?,niaibu Sana kuona hadi leo tutashindwaje kufika 1M

  • @michaelfrancis1823
    @michaelfrancis1823 4 ปีที่แล้ว +24

    Naomba nyimbo hii ilito pedwa na kupookelewa vizur izid kutazamwa zaiidi

  • @simonkasya6500
    @simonkasya6500 4 ปีที่แล้ว +199

    Anaeumia ni yule asienipa like zangu jaman, Kings music mtakuja kuua watu

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 4 ปีที่แล้ว +54

    K2ga mtoto wa mfalume team kiba mko wapi

  • @thekingteco6420
    @thekingteco6420 4 ปีที่แล้ว +33

    kusalitiw inauma sana gonga like hapa nikuone Teamkiba

  • @kingshata6370
    @kingshata6370 4 ปีที่แล้ว +181

    Jamani niliibiwa cm fiesta nimechelewa kucoment,bas nipeni tulikes ata buku basi

  • @yusuphmakamba3517
    @yusuphmakamba3517 4 ปีที่แล้ว +3

    Aisee nan anaamin Kings music ndo mafund wamziki nawatafika mbali ngonga like yako

  • @annachales9623
    @annachales9623 4 ปีที่แล้ว +40

    Mbona unaimba kama Ally Kiba sure😂😂😂😂 upo vizuri sana

  • @abishafiqabishafiq6065
    @abishafiqabishafiq6065 4 ปีที่แล้ว +17

    Nimerudia mara kama zote
    We k2ga unajua
    Kama upo pamoja na mm gonga like basi hapa

  • @Romeomromaproduction6307
    @Romeomromaproduction6307 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama wimbo huu umeurudia zaidi ya mara 20 nipe like yako

  • @sniperman5721
    @sniperman5721 4 ปีที่แล้ว +2

    Day!ngoma nzuri sana jmn tupeane like jmn kama umependezwa na nyimbo kutoka kwa mwanafamilia ya kings music

  • @rabinjuliasi1358
    @rabinjuliasi1358 4 ปีที่แล้ว +3

    team kiba now nimetia kambi.....like zenu jaman

  • @taniahsasha7826
    @taniahsasha7826 4 ปีที่แล้ว +11

    mm nakesha nkiamka humu ngoma kali wasiopenda wachawi😂😂254

  • @benmwangi6016
    @benmwangi6016 2 ปีที่แล้ว +7

    Who is still here watching this great hit. K2ga unawakilisha vinoma.... Big up from +254

  • @shamtesefu5040
    @shamtesefu5040 4 ปีที่แล้ว +33

    Fundi wangu uyo kundi la rock 🌟 Kama tupo pa1 liki iusike💪💪

  • @saidkibumba1901
    @saidkibumba1901 4 ปีที่แล้ว +2

    Tujitaidi tufikishe 1M bado kidogo teamkiba wenzagu kwatulipo fikia tumalizie mkia

  • @Mond2badUbabe23
    @Mond2badUbabe23 วันที่ผ่านมา

    Jama kama umeikubali ngoma nipeni laiki zangy

  • @nangololoalli8479
    @nangololoalli8479 4 ปีที่แล้ว +11

    Tunakesha nayooo hii,,tumemsubiri sana hatimae kafanya yakee tena kwa kuaminiwa kukaa mwnyw coz n king copy💯💯🔥🔥🔥💪

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 4 ปีที่แล้ว +8

    Furaha yangu ni hii nyimbo ifikishe views 1M tukaze kumsaport k2ga ni msanii mzuri

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 4 ปีที่แล้ว +5

    Wale tulioko hapa tukiingoka #sohot ya Alikiba naomba tujuane kwa like tafadhali.

  • @mjemathedone9824
    @mjemathedone9824 4 ปีที่แล้ว +4

    Me siipendag king's music kulingana na Boss wao kujiweka nyuma xan na wakati ila nmeikubali hii ngoma ya K,2ga Kali xan👀 Team WCB, tujuane apa gonga like tusepe👇👇👇

    • @user-xl9so6jg1e
      @user-xl9so6jg1e 7 หลายเดือนก่อน

      Nyi si mnawapa support mashoga kule wcb

  • @abdirizakhussein4491
    @abdirizakhussein4491 4 ปีที่แล้ว +1

    B4 hata cjasikiza huwa na lyk tu....kingz music's songs....ni balaa ..

  • @wizkiba2408
    @wizkiba2408 4 ปีที่แล้ว +14

    Jamani mm ndio jipata like za k2ga twendeni sawa bs team kiba

  • @kizasafari8194
    @kizasafari8194 4 ปีที่แล้ว +278

    Ngoma nzuri saaana
    Team kiba leteni likes za K2ga

  • @chidsufiani1133
    @chidsufiani1133 4 ปีที่แล้ว +41

    Duuh siamin kabisa hii ina toka kwenye mikono ya kiba

    • @mbarakahatibu3296
      @mbarakahatibu3296 4 ปีที่แล้ว +1

      Atariiii

    • @simmyrajabuweja166
      @simmyrajabuweja166 4 ปีที่แล้ว

      Madogo kwa music huu watasubr Sana asee coz hata hawaelewek

    • @godrickngoda9843
      @godrickngoda9843 4 ปีที่แล้ว +1

      Sisi tunampenda hatupendi matusi

    • @omaniallybakari2372
      @omaniallybakari2372 4 ปีที่แล้ว +3

      @@simmyrajabuweja166 ukiwa hujalelewa kimadili lazima upende vitu vyakipumbavu Kama nyie sisi tumekuwa kimadili bana ustegemee matus hapa we pita tu na roho mbaya yako bwege wewe

    • @4realonlinetv169
      @4realonlinetv169 4 ปีที่แล้ว

      Hatari

  • @TheBest-rb1ef
    @TheBest-rb1ef 4 ปีที่แล้ว +3

    Tumeamua tenaaa na tenaaa hatutakata tamaaa sasa 1 milion leooo ya view inahitajikaaa
    Like /coment /share

  • @patrickmakoye5314
    @patrickmakoye5314 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimepata shida kusearch hii nyimbo youtube nilijua alikiba ndio kaimba, nyimbo kali sana

  • @bavistambwe9969
    @bavistambwe9969 4 ปีที่แล้ว +5

    Yeaaaah gonga apa kama uko team KIBA King's Music DRCONGO ...

  • @gibsonkabusola6923
    @gibsonkabusola6923 4 ปีที่แล้ว +433

    Mtuwa 500 kuliona hili chupa gonga like kama we ni team kings music

    • @katunation8803
      @katunation8803 4 ปีที่แล้ว +4

      Mzee wa kubet official video-->th-cam.com/video/6-isfQfz2zg/w-d-xo.html

    • @katore1982
      @katore1982 4 ปีที่แล้ว +4

      nimeongeza like imefika 60

    • @gibsonkabusola6923
      @gibsonkabusola6923 4 ปีที่แล้ว +3

      @@katore1982 👍🏿

    • @youngrapperk9671
      @youngrapperk9671 4 ปีที่แล้ว +3

      Kings4life
      th-cam.com/video/hhn1-RV5URM/w-d-xo.html

    • @chrisdangote4047
      @chrisdangote4047 4 ปีที่แล้ว +6

      Music mtam sana gonga like twende sawa.

  • @primostemba
    @primostemba 4 ปีที่แล้ว +6

    amkeni amkeni amkeni amkeni mambo akuna janja janja

  • @mhandosemboni2165
    @mhandosemboni2165 4 ปีที่แล้ว +3

    Wangapi wamefurahi kuiona ngoma iko one million views

  • @mohamedhaluna3289
    @mohamedhaluna3289 3 ปีที่แล้ว

    Aiseeeee
    Wale tulio ludi kwenye nyimbo ya Kimataifa tujuane kwa mchizi wa uk (EAGLES k2ga)
    Like apo

  • @rehemasulle8079
    @rehemasulle8079 4 ปีที่แล้ว +92

    Nipo hapa jmn cjachelewa sana naombeni ata like bc maana hii ngoma ni yakuombea mkopo Kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @asma2464
      @asma2464 4 ปีที่แล้ว

      Nakuomba msomaji subsctibe chanel hii👇
      th-cam.com/video/80oVWrGwQCg/w-d-xo.html

    • @jumamkwanda6265
      @jumamkwanda6265 4 ปีที่แล้ว

      Yeee baba

    • @asma2464
      @asma2464 4 ปีที่แล้ว

      @@jumamkwanda6265 Nakuomba msomaji subsctibe chanel hii👇
      th-cam.com/video/80oVWrGwQCg/w-d-xo.html

  • @kimwagaismail7734
    @kimwagaismail7734 4 ปีที่แล้ว +5

    Ambao tuko hapa kumamilisha 1m tujuane

  • @mudysinga74
    @mudysinga74 4 ปีที่แล้ว +6

    Good music team kiba naombeni like za kutosha tujuane💪

  • @allysaid6507
    @allysaid6507 4 ปีที่แล้ว +3

    haujawai kuniangusha napenda kings musique mpaka naumwa

  • @rukiaathuman2600
    @rukiaathuman2600 4 ปีที่แล้ว +3

    Namkubal sana k2ga kama unamkubali comment twende sawa

  • @hemmedmbwamanzogera3735
    @hemmedmbwamanzogera3735 4 ปีที่แล้ว +53

    K2ga ni moto
    Like za kings music

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 4 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @daviddjuma2700
    @daviddjuma2700 4 ปีที่แล้ว +288

    Nilikuwa WCB lakini roho yangu imenisukuma niende king's music so silazimiswi na paka yeyote from now Niko team kiba 💯 pacent

    • @charlesshimwela2098
      @charlesshimwela2098 4 ปีที่แล้ว +5

      Nmekupa na.koment.ingawa mm nko konde boy

    • @jameslaidnus436
      @jameslaidnus436 4 ปีที่แล้ว +3

      Karibu team kiba

    • @jameskalori4543
      @jameskalori4543 4 ปีที่แล้ว +10

      Nyieee vp hzoo team mnazoztngneza kwetu ss wahuni tnaona ni upuuzi, bt ss tunasklza mzki mzuri no matter ni wa nan

    • @mussaomary480
      @mussaomary480 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃 mdogo mdogo au sio

    • @donaldsinkamba4867
      @donaldsinkamba4867 4 ปีที่แล้ว +4

      @@mussaomary480 Kings ndio kuna bongo fleva ya heshims nyimbo zote unatizama nyumbani heshima ya kutosha.

  • @fungafungatv448
    @fungafungatv448 4 ปีที่แล้ว +13

    Watoto wa mfalme ni kiboko 🔥🔥 🔥💪 💪

  • @djphk2493
    @djphk2493 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee Fanya ngoma za kuchezeka na kolabo kama zote zaa wasaii wakubwa

  • @halunamaneno9986
    @halunamaneno9986 4 ปีที่แล้ว +3

    Nani bado anaagalia hii ngoma ya k2g mwezi huu 4 tujuane bas

  • @jacquelinembanda
    @jacquelinembanda 4 ปีที่แล้ว +18

    Kijana wa kiba kazi nzuri❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏽🥰🥰🥰👌🏽👌🏽👌🏽Team Kiba Tujuane hapa👏👏👏👏

  • @munaissa2529
    @munaissa2529 4 ปีที่แล้ว +5

    Nani aliyependa zaidi, wasiwasi wa moyo wa moyo nilionao moyo wako bado hujaona....mzani unagoma

  • @navryraqiumuadamu6056
    @navryraqiumuadamu6056 4 ปีที่แล้ว +11

    Jaman naombeni like bas Kama unarudiarudia huu wimbo

  • @dauddamas7766
    @dauddamas7766 4 ปีที่แล้ว +4

    Goma linagonga 1M soon

  • @kadijajggf9367
    @kadijajggf9367 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo najisikia tu kulala natazama nyimbo zako maana nimevurugwa na mwarabu Najipoza hapa 😍😍❤️💞💞💞💞tuga loveyou sana nikitoka hapa naenda kwa the one kwa Tommy 😍😍💘😍💕💗💗💓

  • @ustadhmusa2736
    @ustadhmusa2736 4 ปีที่แล้ว +51

    Watoto wa king's music tatizo sauti sio kama wale wakufosi misauti

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 ปีที่แล้ว +6

    YOUNG KING MWENYEWE,,,, NIMEKUSUBILI SANA WE MNYAMA,,,,, UNAPITA MULE MULE KWA KIBA,,,,,, KINGS MUSIC 💥💥💥💥💥💥💥💥😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 THIS WHAT WE NEED 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @sabriyahramadhan672
    @sabriyahramadhan672 4 ปีที่แล้ว +60

    Jaman.k2ga.umeuwa kama nyie team kiba weka like hapa

  • @omarylugusha
    @omarylugusha 4 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake bhana yaan unaweza kumnunulia gari akaenda kuliwa na jamaa anaeziba pacha😂😂😂

  • @ericrsong4778
    @ericrsong4778 4 ปีที่แล้ว +6

    Hivi hizo likes mnapeana kwa kujuana??? Mbona Facebook hawapo ivi? Gongeni sasa likes hapa hata 5 tu 😘😘😘👍

  • @frankchibago833
    @frankchibago833 4 ปีที่แล้ว +11

    Kazi mzee baba ✍️imefanyika baba hiii 💯kazi 🔥narudia Tena kukupa Hongera mzee baba mchizi wa UK 🇹🇿🇹🇿🌈🌏🇱🇷🇱🇷

  • @shadeemzawa2321
    @shadeemzawa2321 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama unatamani kuona k2ga na konde boy wanafanya ngoma ya pamoko like

  • @brk4real
    @brk4real 4 ปีที่แล้ว +6

    Wasi wasi wa moyo 💞💕

  • @sarahpoledadaangmnguakutan8961
    @sarahpoledadaangmnguakutan8961 4 ปีที่แล้ว +1

    Kilamt kukicha nakuombea ufike mbali nyimbo nzuli nainaujumbe kwamabint love ki2ga

  • @Laughter_man
    @Laughter_man 4 หลายเดือนก่อน +1

    It's 2024 na bado nakubali Hili goma🎉🎉🎉

  • @emmanuelyewaldy
    @emmanuelyewaldy 4 ปีที่แล้ว +216

    Kama kwel umeipenda hii Ngoma like comment hii ili tujuane tulio ipenda hii Ngoma

    • @sadikishedafa1512
      @sadikishedafa1512 4 ปีที่แล้ว +1

      Moto

    • @sheikhabatrani9332
      @sheikhabatrani9332 4 ปีที่แล้ว +3

      Ngoma nzuri saana ni moto lkn tujitahid views ziongezeke team kiba tupo nyuma saana kwenye views 😍😍😍

  • @kgchippy
    @kgchippy 4 ปีที่แล้ว +6

    Need collaboration ya K2ga X Tommy flavor

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 4 ปีที่แล้ว +11

    Weka like hapo ya k2ga twende sawa

  • @dohaqatar7595
    @dohaqatar7595 4 ปีที่แล้ว +3

    Una kipaji mungu kakujalia 🔥🔥🔥

  • @youngpozze3431
    @youngpozze3431 4 ปีที่แล้ว +93

    Jaman niliambiwa like za k2ga wekeni hapa👇👇

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +12

    *Aisee huku nako bado hilo li 140K tugonge one 1M views*
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪
    *Ngoma yenyewe haichoshi aisee tuiburuze chap tuwashtue waliojitoa*

  • @nangololoalli8479
    @nangololoalli8479 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtu wa watuuuu mbapee k2ga, bega kwa begaa

  • @kagejr369
    @kagejr369 4 ปีที่แล้ว +68

    YEEBABA MCHIZI WA UK #KINGSMUSIC4LIFE❤

  • @ibrakhankhang9308
    @ibrakhankhang9308 4 ปีที่แล้ว +4

    Mziki mzuri tunaujua king tu ladha ladha flan

  • @michaelfrancis1823
    @michaelfrancis1823 4 ปีที่แล้ว +2

    Goma linazid kusonga mbele pongezi kwa k2 ga

  • @westupdatestv7435
    @westupdatestv7435 4 ปีที่แล้ว +67

    Nimeitazama zaid ya mara 6 ndo breakfast yang kwa sasa

  • @chakawatson1178
    @chakawatson1178 4 ปีที่แล้ว +6

    Napenda unavyo weza kumtendea haki mfalme kwenye kipaji moto sana

  • @zainabubakari3630
    @zainabubakari3630 4 ปีที่แล้ว +19

    Wangapi mmeirudia hii ngoma Mara nyingi

  • @MOVIEMAX265
    @MOVIEMAX265 4 ปีที่แล้ว

    Kama nawe ulikua uelewi hapo kwenye gogo bandua ulisita moyo wako like Hapa tujuane

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 4 ปีที่แล้ว

    Verse 2
    Wasiwasi wa moyo nilonao mooyoo waako baado hujaona🎶
    Kuwa naww baado naona uzito wa penzi lako uzani unagooma🎶
    Baasi nipe sikioo mi leeo, nisikiie niyasemayo
    🎶🎶
    Usinipelekee mbioo sanaa, kama hunitaki we semaa🎶

  • @gipsonrobert8292
    @gipsonrobert8292 4 ปีที่แล้ว +14

    Naombeni tulipue TH-cam kwa kuview 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nipeni like km mnakubaliana na mm

  • @katore1982
    @katore1982 4 ปีที่แล้ว +4

    alikiba kibaking we ndio mwalimu wa muziki mzuri

  • @saidcoutinho3933
    @saidcoutinho3933 4 ปีที่แล้ว +68

    GONGA LIKE KWA TIM KIBA✌✌

  • @ramathedon4001
    @ramathedon4001 4 ปีที่แล้ว +4

    one million soon

  • @richardkamanya2951
    @richardkamanya2951 4 ปีที่แล้ว +3

    Unajitahidii mpaka sasa hakuna wa kukufikia

  • @totoyamungu
    @totoyamungu 4 ปีที่แล้ว +12

    Hawa ndio wenye mzik wao wale wengine hawatustui...

  • @abubakariathumani1426
    @abubakariathumani1426 4 ปีที่แล้ว +8

    KING'S MUSIC 3 DAYZ OF 1M VIEWES SPECIAL 4 K2GA, HAWATAKI & UNANIONA. AND TOMMY OMUKWANO. HII NI KABLA YA JPILI YA IDDI KUANZIA LEO J5. 🙏 🙏 🙏

  • @munirahassan2220
    @munirahassan2220 4 ปีที่แล้ว +29

    Kama nawewe umerudi hii ngoma 2020gonga like twende Sawa #k_2ga
    Inauma San 😌😌😌🙌

  • @jollyboss7770
    @jollyboss7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo yangu pendwa kutoka kwa msanii wa kingmusic 🔥👌

  • @molimasumbuko4113
    @molimasumbuko4113 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaachaje kusikiliza vitu vya adabu kama hivi sio mikelele ya domo