K2ga - LEO (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 2.3K

  • @noelyrajabu105
    @noelyrajabu105 2 หลายเดือนก่อน +38

    K2ga kakiwasha huku mkuje mkuje fans wote waziki mzuri🤝

  • @ADVAMMIDA
    @ADVAMMIDA 2 หลายเดือนก่อน +17

    Wee jamaa mbaya sana sasa hii ngoma iliifichia nini muda wote

  • @mtaani001tv
    @mtaani001tv 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mchizi wa UK umua sanaa🎉🎉🎉🎉

  • @MkombolyWakomboly
    @MkombolyWakomboly 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nakubali saana uyu jamaa.
    Shabiki Toka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @rizspecial4669
    @rizspecial4669 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kings music wanatengeneza ngoma bhn🔥🔥🔥

  • @official_m.jay255
    @official_m.jay255 2 หลายเดือนก่อน +21

    Ebanaee anaekubali hill song tujuane APA ❤❤❤

  • @habilmeshack9462
    @habilmeshack9462 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli naamin Kings musc nichuo chamzik ngona nikali sana

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 หลายเดือนก่อน +14

    Wa kumi kutokea Kenya 🇰🇪

  • @IsdoryLugano
    @IsdoryLugano 2 หลายเดือนก่อน +29

    nilikuwa nadaiwa kodi ya miezi 9 na mwenye nyumba wangu ila baada ya kumsikilizisha hii ngoma kaamuwa kusamehe na kunipa miez mingne mitatu nikae bure like zangu ziwe nyingi

  • @AlimasisafariLwendo
    @AlimasisafariLwendo 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nakuhona mbali sijawi kuwa shabiki Yako Ila ili ngoma kali , #leo mpaka uku kwetu Congo kinshasa

  • @LameckSaidy
    @LameckSaidy 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mie leo , acha nikupe cheo

  • @MbalaStago-w3e
    @MbalaStago-w3e 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mziki mzuri unapatikana kings tu

  • @polykappetoriboy3464
    @polykappetoriboy3464 2 หลายเดือนก่อน +11

    254:Kenya ... representing

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 2 หลายเดือนก่อน +14

    Nyimbo kali sn K2ga leo Nyimbo kali kizizi nimetizamaaa Mala kumi leo tu mfuluuuuu

  • @benmramba1023
    @benmramba1023 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kwel nomaa nice song k2ga ...nidham najuhud zitakufikisha mbal san kaka 😂😂😂😜👍🙌👏👏👏

  • @indiaboytz5731
    @indiaboytz5731 2 หลายเดือนก่อน +9

    Karibu tena kwenye game tulikumiss sana broh

  • @ClementMasunga
    @ClementMasunga 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mchizi wa UK eagle 🦅🦅🎉🎉❤❤🔥🔥🔥

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 2 หลายเดือนก่อน +39

    Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧❤️

    • @AbdurBonge
      @AbdurBonge 2 หลายเดือนก่อน

      Young king

    • @omaryluambano3495
      @omaryluambano3495 2 หลายเดือนก่อน

      Yaaaap mziki mzuri 🎧❤️​@@AbdurBonge

  • @JANVIERBULABULA
    @JANVIERBULABULA 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali muchizi yng k2Ga 😊😊

  • @AsukulumkyokuAlex
    @AsukulumkyokuAlex 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wana King's kila mara tunalia ngoma, ngoma kali iyi tumepewa kutoka kwa mchiki wa UK ni uwajibu wetu sasa wakuhitizama adi mara tatu, ili tugonge views million 1💪🔥🇨🇩

  • @abushirsingh1410
    @abushirsingh1410 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mr Eagle 🦅... mnyama mkali...mchiz wa uk 🔥🔥🔥🔥

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 2 หลายเดือนก่อน +13

    Wakwanza now nikiwa Cape Town 😂😂😂🦅👑🏴‍☠️🫶❤️🥹 video Qaliiii san

  • @DedeNzayoma
    @DedeNzayoma 2 หลายเดือนก่อน +16

    New music from k2ga nice music 💯

    • @gh-tl3gj
      @gh-tl3gj หลายเดือนก่อน

      nice song back to back i need help ❤😴 #5050MUSICLIVE

  • @SahaLwambi-v6d
    @SahaLwambi-v6d 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee mwamba hajawai toa upuzi, ngoma kali zaid ya zaid

  • @khatibumasudi
    @khatibumasudi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kijana Wangu Wa Mkomani Massive Nakutambua

  • @Yahaya_juma
    @Yahaya_juma 2 หลายเดือนก่อน +18

    Haya Kelele oooh mbona K2ga Kmya Haya sasa Huyo apo😢

  • @HalimaAthuman-q3d
    @HalimaAthuman-q3d 2 หลายเดือนก่อน +32

    Leo ntashindwa kujizuia kutoa comment kabisa hii Ngoma noma sana

  • @mwajemisalum8277
    @mwajemisalum8277 2 หลายเดือนก่อน +13

    Ngoma Kali dogo

  • @BienrvannoBienrvanno
    @BienrvannoBienrvanno 2 หลายเดือนก่อน +8

    K2ga,King's music much love from DRC 🇨🇩

  • @AthumaniSalimu-yw1gz
    @AthumaniSalimu-yw1gz 2 หลายเดือนก่อน +6

    Moto umewaka kings

  • @benjaminmnabwilu1131
    @benjaminmnabwilu1131 2 หลายเดือนก่อน +10

    2ga 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @alishahame9294
      @alishahame9294 2 หลายเดือนก่อน

      Haki ya nani young king ameweza🎉🎉

    • @gh-tl3gj
      @gh-tl3gj หลายเดือนก่อน

      back to back 😢 #5050MUSICLIVE

  • @KadustaBoy
    @KadustaBoy 2 หลายเดือนก่อน +29

    ninameng ya kusema dah kweli unajua bhana jaman Kama unamukubar muchiz k naomba like za 10

  • @davidmwamelo6525
    @davidmwamelo6525 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ali akiwekeza kwako wewe ni zaidi ya msanii melody kali kinoma,, 🎉🎉🎉

  • @marywanyika6924
    @marywanyika6924 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baada ya hii tuachilia moja ya funga mwaka Iwe kama anthem

  • @martnizertz
    @martnizertz 2 หลายเดือนก่อน +12

    Hii hit song wajamaniiii😊

    • @alishahame9294
      @alishahame9294 2 หลายเดือนก่อน

      Hii imeweza sana K2ga❤❤

  • @rich_kidd36
    @rich_kidd36 2 หลายเดือนก่อน +46

    Sio kwa ili song 💪🏻 @k2ga tz umetisha sana kama unakubal kings weka like yako apa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🔥🔥

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 หลายเดือนก่อน +10

    Oya k2ga unatukosea sana mashabiki zako unachelewa sana kutoa kazi sema kazi mzuri❤

  • @FlorentKilima
    @FlorentKilima 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unyade mwing 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾

  • @AlexNicodemo-ym7td
    @AlexNicodemo-ym7td 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kings music ina wasanii wakali ni vile tu hawapogo serious

  • @mcnajarhtz2408
    @mcnajarhtz2408 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hatuga kaziiii mbovu

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wewe fundi mwalimu mungu akuwekee hatariii nanusu twezetu Duniani usipoee usiboee ni mwe ndo waki boss 💪💪💪💪💪💪

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hatari🎉🎉🎉🎉🎉 TUFFOLLOW TUKUHUDUMIE KWA MAHITAJI YA MOVIES ZA AINA ZOTE KARIBU

  • @rockysanga6990
    @rockysanga6990 2 หลายเดือนก่อน +6

    Acha tutambe na kings music yetu. Kijana wetu unajua sana

  • @marywanyika6924
    @marywanyika6924 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kila iitwayo leo lazima niingie youtube kwa ajili ya hii song...30th /08

  • @kulwapeter5807
    @kulwapeter5807 2 หลายเดือนก่อน +10

    Unyama mwingi kompa kopa love song

  • @JumaMuhhamad
    @JumaMuhhamad 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wa kwanza kutoka (Tandale Nokia City) Nyimbo nzuri sana 🔥🔥🔥

  • @AlfredoManuelbaloManuelbalo
    @AlfredoManuelbaloManuelbalo 2 หลายเดือนก่อน +5

    ni 🔥🔥🔥🔥 from 🇲🇿🇲🇿

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mchizi wa UK 1 love umetisha sana 🔥🔥🔥

    • @gh-tl3gj
      @gh-tl3gj หลายเดือนก่อน

      nice song back to back i need help ❤😴 #5050MUSICLIVE

    • @gh-tl3gj
      @gh-tl3gj หลายเดือนก่อน

      back to back 😢 #5050MUSICLIVE

  • @msagathamis582
    @msagathamis582 3 วันที่ผ่านมา +1

    Big up xn k2ga ngoma kali xn,me siku ya ndoa yang ntamuomba dj aupige huu wimbo wakati wa kumrishha keki mke wangu,, like zenu wadau tulisongeshe goma lizd kutembea

  • @CHIKOODANNY3503
    @CHIKOODANNY3503 2 หลายเดือนก่อน +52

    Wakwanza kenya 🇰🇪 😍 🎉🎉🎉
    Nipewee zangu like kma una mkubali k2ga 🎉🎉🎉......leo

    • @FrankBago
      @FrankBago หลายเดือนก่อน

      🎉❤❤

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 2 หลายเดือนก่อน +5

    Umeupiga mwingi 🎶🎶🎶

  • @khaliddesire0084
    @khaliddesire0084 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nice Song Brother Keep it Up

  • @GersonAlinoti
    @GersonAlinoti 2 หลายเดือนก่อน +4

    Waliopo USA 🇺🇸 Tusapoti Mzikii Mzuri Kutoka Kwa Bro K2ga

  • @MaxwellMjomba
    @MaxwellMjomba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kaka goma nzito pepea zaidi

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 หลายเดือนก่อน +17

    Haya cmlisema mume miss haya umbea kando shambulieni tuipe haki yake hii ngoma alot of wiewers

  • @kpplumbing7
    @kpplumbing7 2 หลายเดือนก่อน +10

    Safi mwangu wa utoto

  • @bachirncadebachir7099
    @bachirncadebachir7099 2 หลายเดือนก่อน +11

    Grande son de K 2ga. Much love ❤️
    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @AmazingPerson-j3q
    @AmazingPerson-j3q 2 หลายเดือนก่อน +3

    K2ga uyu compa ni noma

  • @ibrahimasilima8170
    @ibrahimasilima8170 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu na nusu. Ngoma kali mzee

  • @japharykininki9808
    @japharykininki9808 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kigoma flani hivi kitamuuu kwa kuwa iimbia watoto mazurii

  • @ginimbisports2101
    @ginimbisports2101 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nyimbo kali sana bro

  • @oscartwinzi2705
    @oscartwinzi2705 2 หลายเดือนก่อน +29

    Baada ya mda mlefu leo ume amua utupe kitu naombeni like zangu jaman

  • @WinstonKinyaha
    @WinstonKinyaha หลายเดือนก่อน +4

    Ngoma Kal 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 tuifanya iwe trendi namba Moja

  • @SudiJosephClairance-mx4eg
    @SudiJosephClairance-mx4eg 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ngoma Yangu pendwa ya mwaka

  • @barakaamos395
    @barakaamos395 2 หลายเดือนก่อน +23

    Bongee la gomaaaa alikiba atoke support kubwa Sasa na kama unaniunga mkono like

  • @GabrielMwasomola
    @GabrielMwasomola 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ngoma kalii sana

  • @ibrahimmacheda4934
    @ibrahimmacheda4934 2 หลายเดือนก่อน +6

    Upo upoo moyoni upo aaah mwenye Moyo upo 🥰❤️🙌

  • @ZumbeShabani-zo1dw
    @ZumbeShabani-zo1dw 2 หลายเดือนก่อน +5

    Dogo anajuwa sana sema wanambaniya sana tu

  • @clarageorge8385
    @clarageorge8385 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yah hapo ni nyumbani burudani nzuri inapatikana hapa

  • @callisah7628
    @callisah7628 2 หลายเดือนก่อน +6

    kipaji halisi 🔥🔥🔥🔥

  • @ShobydanielOfficial
    @ShobydanielOfficial 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yes hiii Yamoto sasa kaka Very nice 👍

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 2 หลายเดือนก่อน +31

    Nimewahi sekundee 15 leo😜😜😜nipeni like zangu

  • @kibslincoln
    @kibslincoln 2 หลายเดือนก่อน +1

    Freshy tia tu bidii🎉

  • @CantonaMdede-sk8nf
    @CantonaMdede-sk8nf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu hujawai kuniangusha kutoka New madafu hadi King,Ukonga ipo sehemu salama.

  • @ayzaqsayd1546
    @ayzaqsayd1546 2 หลายเดือนก่อน +10

    Asante sana Kaka nilikua nisbirie hii kaz tang Jana ucku

  • @pachelapachella1486
    @pachelapachella1486 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mchizi wa uk.... Unyama ❤❤❤

  • @ayzaqsayd1546
    @ayzaqsayd1546 2 หลายเดือนก่อน +7

    Utotooo aaaa bonge la vibe yn😂😂😂😂😂😂

  • @modrickaziz1989
    @modrickaziz1989 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kali sana k2ga

  • @fanuelichuga3204
    @fanuelichuga3204 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge lagoma 🎉

  • @mtopelamussa7783
    @mtopelamussa7783 2 หลายเดือนก่อน +9

    New song beautiful ♥️♥️

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 2 หลายเดือนก่อน +27

    Nyimbo kali snaaa video kali snaaa

  • @Thecleaners-n1i
    @Thecleaners-n1i 2 หลายเดือนก่อน +18

    Apo Sasa mze tupe vitu vikali kama ivi aise wangap Wana nogewa na nyimbo muzuri kutoka kwa k2ga

  • @IdrisaForogo
    @IdrisaForogo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Usijisahau ss ukakaa kimya sn achia ngoma juu ya ngoma kk❤

  • @ivanchirchir2697
    @ivanchirchir2697 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona huyu msanii afiki 1 million subscribers na ako kings kwani ana nyota😮

  • @HajiMagwe
    @HajiMagwe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoma ya mwaka ❤️🔥🔥🙌

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kiba mtoto🙌🎧halaaaah

    • @gh-tl3gj
      @gh-tl3gj หลายเดือนก่อน

      back to back 😢 #5050MUSICLIVE

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah 2 หลายเดือนก่อน +7

    Fundi kbx yaan Daaaah

  • @jamesjoseph2421
    @jamesjoseph2421 หลายเดือนก่อน +2

    Tunataka collabo na king Ata Ngoma Tano tu zinatutosha yaani Kila mwaka mbili mbili na king kiba
    ALL IN ALL KAZI NZURI GOMA KALI🎉🎉🎉

  • @khaleedymbwana9819
    @khaleedymbwana9819 2 หลายเดือนก่อน +10

    Ngoma kali sana kudadadeki alafu huo mshangazi sasa sio poa

  • @joshuamolel
    @joshuamolel 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ngoma kali sana

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kompa is in the air🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹 Haiti respect to the Tanzanian producer ...s2kizzy,@jini66

  • @BmArtstv
    @BmArtstv 2 หลายเดือนก่อน +36

    #KENYANS Lets gather here with Likes,,,Ngoma n kali twende nayo pale tiktok

  • @Dr_High255
    @Dr_High255 2 หลายเดือนก่อน +11

    Ngoma kali melodies kali hidden talent kutoka kwa K2ga🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Nipeee like zangu hapa

  • @mgusaMsendekwa-g2q
    @mgusaMsendekwa-g2q หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha 🎤

  • @MebakariMohamed
    @MebakariMohamed 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤nzuri sna 254 nimepanda sana

  • @pulalahmaster
    @pulalahmaster 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoma tamu 🔥💯

  • @shadyapaul1839
    @shadyapaul1839 2 หลายเดือนก่อน +6

    Njoon jaman

  • @PaulNyerere-p8x
    @PaulNyerere-p8x 2 หลายเดือนก่อน +5

    Muziki mzuri

  • @kagenzikanala109
    @kagenzikanala109 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umeumiza sanaa aisee

  • @VinaboyOfficial
    @VinaboyOfficial 2 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations Mr K2 you've done it real 🎉🎉