Menina Ft. K2ga - Sijiwezi (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 708

  • @hajihaji5449
    @hajihaji5449 2 ปีที่แล้ว +2

    Aiisee k2ga ww kweli mrisii was king kibaa saluti kwako

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 2 ปีที่แล้ว +11

    Aiseeee k2ga ajengewe sanamuu sio kwa hiyo voice inamzid hadi menina

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 ปีที่แล้ว +2

    Unyamwezi jamani

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana goma kali 🥰 k2ga katulia sana!!

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 2 ปีที่แล้ว +27

    Ningependa muendeleze hii couple ya collabo yenu for ever

  • @johnpresdar1394
    @johnpresdar1394 2 ปีที่แล้ว +2

    Aiseeeeeeeeeh nomakweliiiiiiiiii kalisanaaaaaa

  • @nicksonmlugu892
    @nicksonmlugu892 2 ปีที่แล้ว +1

    Weeeeh alafu menina kumbe fundi aiseeeh

  • @Kingofradb_1
    @Kingofradb_1 2 ปีที่แล้ว +2

    K2ga nimekubali kaka kiba kakufunza kweli

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli menina anasauti nzuri na anajua kunyungulika😍🎵

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana 🤝 k2ga 👍🥀🥀🥀🥀🥀🥀💓💓💓💓💓

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni bonge la Video pia mme Tisha Sana 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥 salute

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu *_K2GA_* akiamua kuufanya mziki serious hatokamatika aiseeee Wallah nawaambieni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulkiplagat9232
    @paulkiplagat9232 2 ปีที่แล้ว +1

    K2ga umetisha bratha

  • @yvonejovin
    @yvonejovin 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie hii nyimb imekaa mwakmwak ipo vizur jmn 😘

  • @billgatesdan2526
    @billgatesdan2526 2 ปีที่แล้ว +2

    Video kali sana

  • @VitusVenance
    @VitusVenance ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wimbo mzuri

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 ปีที่แล้ว +2

    K2ga me namuona kuwa mbali kimuziki sana

  • @rashidisanju9628
    @rashidisanju9628 2 ปีที่แล้ว +8

    HUYU NDO TUGA SASA MTU MNYADE...💕💕💕💕💕💕

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatarifaya 👑👑👑👑👑💯💯💯

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 ปีที่แล้ว +2

    Sishangai kuona nyimbo ikiwa nzuri hivi kwani wasani walio husika mmoja ni msomi wa mziki kutoka tht na mwingine anatoka kwenye nyumba ya mfarume wa mziki king's musc

  • @justinerichard6823
    @justinerichard6823 2 ปีที่แล้ว +2

    Ngma kali sana

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +2

    K2GA kanifrahisha 🤞

  • @samsonmushi7633
    @samsonmushi7633 2 ปีที่แล้ว +6

    Unyama ni mwingii sana menina ft young kiba, oyaa mulemulee..

  • @amirially750
    @amirially750 2 ปีที่แล้ว +2

    K2ga boy ft menina full combination song love # me Ni wako #

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 2 ปีที่แล้ว +9

    Mme fanya vizuri sana ila menina sikujua kama utakuja imba kwa ukubwa huu💥ngoma yamoto sana

  • @shekhas581
    @shekhas581 2 ปีที่แล้ว +4

    Nzur saana saut zimetulia🎉🔥

  • @hafsasaif2618
    @hafsasaif2618 2 ปีที่แล้ว +1

    Menina wangu jaman Umepitea mengi ili Ujifunze My Piga kazi mai

  • @kebekebee
    @kebekebee 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali kali hadi kali tena

  • @Zah-ley
    @Zah-ley 2 ปีที่แล้ว +6

    Siku zote king music nzima hawana ktu kibaya nice song menina ft k2ga nimependa kuchet chet

  • @meshakesalva4571
    @meshakesalva4571 2 ปีที่แล้ว +3

    Yebabaaa

  • @simonsilas8171
    @simonsilas8171 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani kanyimbo furan ivi kazuuriii,❤️🔥

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +5

    Daaah hiiii ni balaaa yani wamependeza sana 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🥀🥀🥀🥀💓💓💓

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +2

    Menina Brought me here

  • @talianshadidi3718
    @talianshadidi3718 2 ปีที่แล้ว +1

    k2ga broo umetishaa

  • @manyonyisabato4080
    @manyonyisabato4080 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatariiiii sanaaaa

  • @prudencevedasto4369
    @prudencevedasto4369 2 ปีที่แล้ว +1

    mziki mzuri sana,,,hamjawah kosea

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kalii sana

  • @samatajr7492
    @samatajr7492 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah sema k2ga ni king ajaye nawaambia ni mnoma sana yan 🔥🔥🔥🔥

  • @joshuadaniels3797
    @joshuadaniels3797 2 ปีที่แล้ว +1

    ETI UKIKOSA NGUO NTAKUPA NGOZI wow nice words of love

  • @lucyannastacia6385
    @lucyannastacia6385 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani 2ga Mimi nakuombea tu usije choka kutupa wimbo wenye mistari tamu kama huu.... This what we call bongo music...yani nakupenda bure🤩 keep shining rock star💪💪💪

  • @allymaliwata3583
    @allymaliwata3583 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu k2ga ni level nyingine kanisa

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah mnawez

  • @Onlinet_tv
    @Onlinet_tv 2 ปีที่แล้ว +3

    Menina

  • @camilahazal7119
    @camilahazal7119 2 ปีที่แล้ว +5

    Menina +254tunawakubali sana... K2ga management should do alot of publicity tunataka show s Kenya😍😘🥳

  • @ibrahimrojala8421
    @ibrahimrojala8421 2 ปีที่แล้ว +28

    go go high Menina,oooh K2ga Killed on this one

  • @braymusictz5221
    @braymusictz5221 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani raha mwenzio ♥️♥️

  • @peterdalush2496
    @peterdalush2496 2 ปีที่แล้ว +2

    K2ga kama King mwenyewe ulivyoipiga

  • @jumamihayo6730
    @jumamihayo6730 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ngoma naiskiliza kila Mara ni nzuri kinoma

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +4

    Ngoma ni bomba yaani wameuwa sana 😂😂😂🔥💓💗💓💗💗💗💗💗💓🥀

  • @Onlinet_tv
    @Onlinet_tv 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijiwez

  • @serengetimediacentre
    @serengetimediacentre 2 ปีที่แล้ว +2

    k2ga njia za king music hiz

  • @jumahamoud2300
    @jumahamoud2300 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatariiii sana

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 2 ปีที่แล้ว +1

    #menina na mtoto wa #kingkiba kali sana

  • @boscoismail6578
    @boscoismail6578 2 ปีที่แล้ว +1

    Take time pacha k2ga unaweza sanaaaa

  • @abdullahsaid4541
    @abdullahsaid4541 2 ปีที่แล้ว +1

    💯🔥🔥🔥👏video nzuri sana

  • @pjtz4947
    @pjtz4947 2 ปีที่แล้ว +8

    Oya hili kopo limekuwa 🔥sana hongera kw menina na pongezi pia kw mnyama k2ga ameua kinyama sana ngoma haichoshi kuisikiliza.

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 2 ปีที่แล้ว +3

    Menina X K2ga sijiwezi💥

  • @afyabora8974
    @afyabora8974 2 ปีที่แล้ว +26

    Kings Music for life Sweet Song

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 2 ปีที่แล้ว +3

    Love sana team kiba tujuane

  • @bobneatv8499
    @bobneatv8499 2 ปีที่แล้ว +5

    VERY NICE SONG RESPECT K2GA EAGLE FUNDI WAMZIKI MZURI AUPINGWI KAZI NZR ZINAONEKANA HONGERA SN 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 2 ปีที่แล้ว +4

    Wewe K2ga una-upekee, nakuona mbali mchiz wa UK🔥🔥👑🎶🔥💙💙

  • @omarmussa2325
    @omarmussa2325 2 ปีที่แล้ว +12

    Young king k2ga mchizi wa uk is 🔥🔥🔥

  • @ramadhanminani314
    @ramadhanminani314 2 ปีที่แล้ว +4

    Well done menina nyimbo imetulia kaza buti nakuona umefika mbali please tumsupport dada yetu ili afike mbali namziki wake

  • @emmakipalula9097
    @emmakipalula9097 2 ปีที่แล้ว +18

    Menina your Good darling... you're talented

  • @jabiljust4723
    @jabiljust4723 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma Kali Sana 🔥

  • @dhgraphix_
    @dhgraphix_ 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali 🔥🤝🤝🔥🔥

  • @jumabondo2085
    @jumabondo2085 2 ปีที่แล้ว +3

    Bi up sana my sister and brother

  • @selemanjuma1595
    @selemanjuma1595 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli nyimbo ni nzuri Sana pia video ni nzuri sana melody ni nzuri Sana sound ni nzuri san mashaili pia yamezingatiwa sauti zao pia zinakibali kiufuti wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamiduibrahim6309
    @hamiduibrahim6309 2 ปีที่แล้ว +1

    2ga uko vzr

  • @sunderlandmediatz.8263
    @sunderlandmediatz.8263 2 ปีที่แล้ว +1

    Menina kajitahidi.....Ila K2ga ndio kaua kbs...noma na nusu.

  • @irakozeaudrey8643
    @irakozeaudrey8643 2 ปีที่แล้ว +1

    K2ga unanipeje raha

  • @kodateam7429
    @kodateam7429 2 ปีที่แล้ว

    we dada mzuri kweli oohh no 😧😧😧
    hu wimbo mzuri

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 2 ปีที่แล้ว +2

    Manina mimi ni shabiki wa k2ga na kuanzia sasa mimi ni shabiki wako na pia naimba vizuri sana tembelea acount yang ya TH-cam ujue utanisaidiaje

  • @modykimaro5480
    @modykimaro5480 2 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana

  • @natureboy972
    @natureboy972 2 ปีที่แล้ว +8

    Yes 🔥🔥🔥good music 2ga nakubar we ni machine

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 2 ปีที่แล้ว +10

    Best song for now, hizi vocal za humu hatar 🔥, safi Menina endelea kutoa ngoma kali

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 2 ปีที่แล้ว +3

    Music mtraamuu, kichupa cha motroooo

  • @jumahamoud2300
    @jumahamoud2300 2 ปีที่แล้ว +1

    Bonge moja ya ngoma aiseeeh☀☀☀

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 ปีที่แล้ว +2

    Wadau hi nyimbo nimesikiliza mara tatu nikitaka kujilizisha hiv menina si mwasiti mpya anaye kubaliana na mimi like ziwe nyingi japo k2ga kauwa mazima Mana ni kama unasillkiliza menina ft Ali kiba

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 2 ปีที่แล้ว +1

    Swabri kampendelea sana Menina hili beat hatarii🔥🔥

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 2 ปีที่แล้ว +1

    K2GA 👑

  • @chaliwamombasatv605
    @chaliwamombasatv605 2 ปีที่แล้ว +4

    It's Chali Wa 001 🔥

  • @Onlinet_tv
    @Onlinet_tv 2 ปีที่แล้ว +1

    Twaha #kingkiba

  • @michaelt4reall
    @michaelt4reall 2 ปีที่แล้ว +26

    MENINA IS JUST A DIFFERENT QUEEN 👸🏾💕
    #GOODMUSIC

  • @lilianemmanuel9158
    @lilianemmanuel9158 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 ปีที่แล้ว +3

    Pafect✔ mmeitendea haki nyimbo

  • @nastyb7405
    @nastyb7405 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika nyimbo hii ni nzuri sana❤❤

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 2 ปีที่แล้ว +13

    Ngoma kali sana Menina ,combo yenu imebamba ,mfanye ngoma ingne,melody and voice 🔥🔥

  • @achokinzoh
    @achokinzoh 2 ปีที่แล้ว +17

    Just in love moment.Nice chemistry

  • @fatmakombo8632
    @fatmakombo8632 2 ปีที่แล้ว +2

    Superb k2ga😘

  • @jaliakaminyoge9594
    @jaliakaminyoge9594 2 ปีที่แล้ว +3

    I love her menina unajitahidi jamani🔥🔥sema sauti ya kuimba ipo

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว +5

    100% Ngoma fire imeenda shule ngoma aste aste tu

  • @marryyovin5
    @marryyovin5 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +2

    Nime isbiri kwaham sana🤞🤞🤞💪💪

  • @Jemahjampa
    @Jemahjampa 2 ปีที่แล้ว +1

    Video Kali

  • @futuresnare9588
    @futuresnare9588 2 ปีที่แล้ว +2

    Nomaaaa

  • @hafsasaif2618
    @hafsasaif2618 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeitadhama Mara saba Aisee Menina akipata mtu wa kumshilikisha kama k2g anatunga uyu dem acha Kinyimbo furan hv kitam bara

  • @omaribangu2357
    @omaribangu2357 2 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma ni kali 😋👍🤞👍👍💓

  • @kingwanyama2609
    @kingwanyama2609 2 ปีที่แล้ว +70

    K2ga brought me here this song is fireee

    • @monicanakshi3667
      @monicanakshi3667 2 ปีที่แล้ว +3

      Am also here because of him ❤️ameongeza ladhaa kweli

    • @kingwanyama2609
      @kingwanyama2609 2 ปีที่แล้ว +1

      @monica nakshi I concur

    • @estachimasa6427
      @estachimasa6427 2 ปีที่แล้ว +1

      K2ga umeuwa I love you ❤️❤️

    • @estachimasa6427
      @estachimasa6427 2 ปีที่แล้ว

      Mmependeza

    • @sephramadhani4780
      @sephramadhani4780 2 ปีที่แล้ว

      @@monicanakshi3667 aàaààaaaaa22aaaaaaaaaaaaa2aaaaaa aaa2aa

  • @barakaboy5951
    @barakaboy5951 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri ✊