SIMANZI: MTOTO (8) ANYONGWA NA DADA WA KAZI, MAMA MZAZI, BABA NA NDUGU WASIMULIA TUKIO ZIMA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2022
  • SIMANZI: MTOTO (8) ANYONGWA NA DADA WA KAZI, MAMA MZAZI, BABA NA NDUGU WASIMULIA TUKIO ZIMA..
    KATIKA hali ya kushangaza mtoto Erickson (8) anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi, baada ya kutoka shule, muda ambao wazazi wake wote wawili wapo kazini.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 197

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +5

    SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:🏾 @t

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 ปีที่แล้ว +10

    Fingerprint itatoa majibu pole sana mama, Ila muuaji hatotoboa,Mungu akutie nguvu

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwa ufahamu wangu mdogo kwa mujibu wa maelezo yao uchunguzi ufanyike kuanzia shuleni dereva wa school basi pamoja na wanafunzi alipanda nao gari kurudi nyumban na mwisho dada wa kazi pamoja na dereva tax wote hao wachunguzwe vizur na huyo wanayesema alimleta lazma atajulikana nani kahusika,poleni sana wanafamilia 😭😭😭

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mma mzazi wa mtoto anaumia hadi tumboni hata kulia hawezi, mtu wa namna hiyo anaweza nae kupoteza maisha, heri mtu anayelia kabisaa....Mungu msaidie huyu mama ktk kipindi hichi anachokipitia.

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana Dada ni uchungu usiolezeka! Mwenyezimungu akutie nguvu! Akupe faraja! Hili jambo ni zito lisilo mfano ni kubwa zaidi yazaidi ya kubwa! Pole sana!

    • @halimakanik8789
      @halimakanik8789 2 ปีที่แล้ว

      Lazima tushirikiane ilipesa itoshe nkuomba mungu tu maana uyo mtot hakua mchanga useme kanalia lia hakuna ajuae jibu

    • @veronicannko
      @veronicannko 2 ปีที่แล้ว

      Polen sana mmepoteza watoto wote Mungu awatie nguvu na faraja ya kweli ni Mungu pekee polen sana

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 2 ปีที่แล้ว +18

    Uchunguzi bado unafanyika na report ya post mortem haijatoka, ninyi Global Tv mmejuaje amenyongwa!?

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 2 ปีที่แล้ว

      Wachochezi sana hawa na wanaboa sana

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

      Hizi midia za kipuuz ndo maana mm uwa si tazamagi kbs yn wnapenda kuongea biti vya ucjomgwmishi tu

    • @user-qo8qy8zv1f
      @user-qo8qy8zv1f หลายเดือนก่อน

      MUNGU afichue mwenyewe,hata Kama so leo

  • @EmmyZain-ov9uz
    @EmmyZain-ov9uz 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akufariji mama.... Ponle Sana kumpoteza mwanako.

  • @dorothtobias8053
    @dorothtobias8053 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana Kaka yangu! MUNGU AKUTIE NGUVU. ILA BAADA YA UCHUNGUZI HUYO ALIEHUSIKA ACHUKULIWE HATUA STAHIKI.

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 ปีที่แล้ว +15

    Jamani, mie natamani wanawake wajikite kwenye malezi ya watoto wakati akina baba wanatafuta

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว +3

      wanawake tubaki majumbani tushuhulikie watoto

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake hawataki

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว +3

      Pesa hazitoshi vyakula vinapanda bei mama haoni wala hasikii wamama lazima wahangaike pesa zitoshe

    • @jilalamaligisa4854
      @jilalamaligisa4854 2 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana kwa maneno yenye kuonyesha unajitambua japo sababu ya ujinga wengi hawatakuelewa

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 3 หลายเดือนก่อน

      Maisha ya Leo magumu, mama kukaa nyumbani sio sababu, ulinzi wa watoto/familia zetu uko mikononi mwa Mungu pekee.

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada! Huyo binti ni ajenti wa kuzimu ndio yeye amemuua mtoto mdada wa kazi . Abanwe ataongea ukweli wte. . Tuamini Watu wa Mungu nenda kwa Nabii Luka Chuma Kibaha utamaliza yte mtt atarudishwa

  • @ednaabyudi8465
    @ednaabyudi8465 หลายเดือนก่อน +1

    Lakn sina imani kama ni uyo dada angekuwq iyo dada ange kimbia ila naomba mungu mtuhumiwa apatikane😢😢

  • @priscajonas1978
    @priscajonas1978 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah 😭😭😭inauma sanaaa mungu atusaidie sana wazazi... Pole sana dada mungu akutie nguvu

  • @gililwise
    @gililwise 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada pole sana Mungu awape faraja.

  • @nicodemaslema9110
    @nicodemaslema9110 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatie nguvu hii familia. Awafariji sana na mimi nina watoto hii kitu inauma sana..........

  • @reginachristopher8241
    @reginachristopher8241 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole dada mungu akutie nguvu

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว +2

    poleni sanaa kwa msiba

  • @saimasaidi5850
    @saimasaidi5850 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani kwa kweli .Poleni sana family wadafa wananitisha kwa kweli maombi sana Ili kupambana na vitu Hawa wadada wavyokuja navyo kufanya kazi majumbani kwetu

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +1

    Wasichana wa Kaz mm sitaman hta kuwaona,Kuna mmoja alinipigaga tukio cna hamu sir yngu,,kwa kifupi alikuja kumuhudumia mume Wang co Kaz zilizomleta

  • @agnesmbemba8073
    @agnesmbemba8073 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mamy...Mungu akutie nguvu,Mungu akupe faraja.

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana dadangu

  • @jeremiahmasanzure9351
    @jeremiahmasanzure9351 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana chief digna.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana ndugu zangu mwenyez mungu awasimamie na awape nguvu katika kipindi hicho kigumu

  • @MathiasKadashi
    @MathiasKadashi หลายเดือนก่อน

    Maumivu yakufiwa na mtoto yasikie Kwa mwingine kwasisi yariyo tukuta tunamwachia mungu ndo hakimu pole Sana mama jipe moyo

  • @josephine-rb8nl
    @josephine-rb8nl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wafanya kazi wa nyumba tunapitia mengi 😢 ila kazi imekushda toka tu roho safi kuliko kuuwa boss ama watoto c vizuri najua tunaptwa na hasira bt ukishdwa Toka tu 😢😢

  • @Mbuzewaukoo
    @Mbuzewaukoo 15 วันที่ผ่านมา

    Daaaaa!!!!!!! Kikubwa dua juu yamtoto huyo kiukweli nipigo kwa mama

  • @heriaikazuberi4875
    @heriaikazuberi4875 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana

  • @fathimazainab4706
    @fathimazainab4706 2 ปีที่แล้ว +3

    Huu mwenzi ni mwenzi wa binadamu kuuwa wanadamu wenziwe,Jamani tumcheni mungu maana shetani anazidi kwenda Kwa Kasi sana,Juzi tu mwanza vifo vya mwanamke aliyeuwawa na mumewe Leo mfanyakazi kaua mtoto, ndugu zangu nawapeni pole sana,Tumuombeni sana mungu kwenye huu mwaka lasivyo tutateketea sana

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 ปีที่แล้ว +4

    Msitake kumpa huyo dada wakazi hatia moja kwa moja inakuwa sio nzur sana, ikiwa hakuna kisibitisho chochote kinacho onyesha niyeye

    • @adamissa3443
      @adamissa3443 2 ปีที่แล้ว

      Unachekesh kwel, kwahyo CCTV camera inadangany pia

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Sana wafiwa

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mamy Mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira.😭😭😭 R.l.P mtoto mzuri

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana Wazazi ! R.I.P Erick!

  • @mariyammariym748
    @mariyammariym748 2 ปีที่แล้ว +3

    Wandishi kwa Mungu mnamajibu uchunguzi bado

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Sana ndugu zangu.

  • @eliphasitalalai887
    @eliphasitalalai887 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni wazazi

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔jmn jmn mwenzenu nimeumia Sana Mungu awape moyo wa subra

  • @remmybrunomombe1127
    @remmybrunomombe1127 2 ปีที่แล้ว +1

    inauma saana dada poleni sana sana wanafamilia

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 ปีที่แล้ว

    Inaitwa michoro ya uovu ilianzia kwa driver tax, hadi kumtafuta Msichana wa kazi daaah pole Mumy

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 2 ปีที่แล้ว +1

    pole sana dada kwa kipindi hiki kigumu

  • @NifashaYusto
    @NifashaYusto 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mamaa mungu akutie nguvu ktk machungu unayopitia. Rest in peace

  • @annapeter751
    @annapeter751 2 ปีที่แล้ว

    Da poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu

  • @KiaMsangule
    @KiaMsangule 5 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @user-dv9vi7mh1q
    @user-dv9vi7mh1q 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuie nguvu dada pole sana

  • @user-uc2cm9zb2b
    @user-uc2cm9zb2b หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wazazi mungu awatie nguvu jaman dah inauma sana halaf mtoto mzur kweli

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mama jamani 😭

  • @user-sw2fi1gu4j
    @user-sw2fi1gu4j หลายเดือนก่อน

    Pole sana,du kuna waschana wanaroho mbaya sana ,pole sana dada yangu

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 2 ปีที่แล้ว +2

    "mdada wa kazi" kiswahili cha wapi hiko? Anyway poleni wafiwa wote, na ni vema waandishi muwe mnawapa wafiwa muda kuomboleza na kupunguza mchungu. Na sio kukimbilia haraka haraka kumhoji mtu akiwa sio Sawa. Give the family space.

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wafiwa lakini uchunguzi bado mbona mnasem dada jamani MUNGU ndio anajua nini sababu tusubiri uchunguzi ufanyike tujue

  • @shamimidrissa8871
    @shamimidrissa8871 2 ปีที่แล้ว +1

    Polen Sana Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu na muhusika apatikane ili kuondoa utata

  • @lindaruhinda9168
    @lindaruhinda9168 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada angu , unaongea Kwa upole huruma na hekima

  • @ElishaMsafiri
    @ElishaMsafiri 22 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kwa yalio kukuta hapo kuwa makini name wafanyakazii

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 2 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani

  • @fathimazainab4706
    @fathimazainab4706 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona vifo vimezidi sana mwenzi huu,

  • @user-jq5pq9wn9e
    @user-jq5pq9wn9e หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wamama mnao ajir wafanya kazi wa ndani mna jiona sn mna shindwa kuishi na wadada wa kazi vizur ndio mana wana wapiga matukio

    • @glorynyarandu-ln8rc
      @glorynyarandu-ln8rc หลายเดือนก่อน +1

      Elewa vizuri maelekezo ya huyu dada amekwambia binti amekuja jumamosi na siku ya tukio ni Jumatatu inamaana alikua na siku tatu je hizo siku tatu binti atakua amefanyiwa nini hadi kuua?

    • @user-ji6cp1ng8g
      @user-ji6cp1ng8g หลายเดือนก่อน

      Una akili ww bila utoe pole unalaumu upumbavu xx km wananyanyasw umealalishwa kuuwa mpumbavu ww

    • @tumainlession411
      @tumainlession411 หลายเดือนก่อน

      Acha tu jamani lakini pia unaweza kaa nao vizuri tu kama mwanao lakini wengine wanatumika
      Uwi Mungu tutumie watoto wetu inauma jmn asimwambie mtu,pole sana mama mwenzetu

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 2 ปีที่แล้ว +1

    KAMA WEEK ILIYOPITA ALIKUTA MLANGO WAZI HUENDA HAO WATU WALIKUWA WAMERUDI NA WALIMFANYIA MTOTO UNYAMA DADA AKIWA HAJAONA

  • @DATIVAANDREW
    @DATIVAANDREW 24 วันที่ผ่านมา

    Jaman tumuachie mungu tu ndo anayejua

  • @ashasalum3292
    @ashasalum3292 2 ปีที่แล้ว

    Soo sad

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 2 ปีที่แล้ว

    M/mungu awape wepesi

  • @damasmsele2217
    @damasmsele2217 2 ปีที่แล้ว

    Mungu baba awatie nguvu kwakweli huu uchungu hauelezeki 😭😭

  • @joshuamwaipaja7616
    @joshuamwaipaja7616 2 ปีที่แล้ว

    Inauma kiukwel mam mungu akutie nguvu

  • @cyriakusbaramba594
    @cyriakusbaramba594 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana,shetani ni mwanadamu nyoka anasingiziwa tu

  • @SamsonMalisa
    @SamsonMalisa 2 ปีที่แล้ว

    Msichana wa kazi angemdhuru mtoto asingekuwepo. Perhaps Dr watasema

  • @PauloKasimu
    @PauloKasimu หลายเดือนก่อน

    Pore Sana mama yangu

  • @user-cm4fn2cl2j
    @user-cm4fn2cl2j 9 หลายเดือนก่อน

    Duuh.poleee saaana jamani mungu akutie nguvu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapa kuna kitu wala sio dada wawatu wa kazi kama siku zanyuma mumekuta nyumba geti limefunguliwa hapo kunamtu kafanya tukio

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mama 😭😭😭

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 2 ปีที่แล้ว

    Aiseeee pole sana Wanafamilia,but Kwa Sasa wanawake ingependeza zaidi tujikite ktk malenzi na familia huku waume zetu wanapambana kutafuta.
    Lakini Sasa nanyi wanaume muache manyanyaso Kwa wake zenu na mjali familia zenu,Ivo ndivyo vitu vinavyotupelekea wanawake na sisi kupambana na maisha.

  • @DATIVAANDREW
    @DATIVAANDREW 24 วันที่ผ่านมา

    Jaman mama Pole sana 😂

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว +12

    Nafikiri na yule aliemleta huyo dada nae pia afanyiwe uchunguzi. Rest in peace mtoto.

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว +1

      ndio wote wakamatwe

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa my dear

    • @jazeerajuma4746
      @jazeerajuma4746 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa atafutwe aliemleta

    • @zawadilutufyo231
      @zawadilutufyo231 2 ปีที่แล้ว +1

      Me nna doubt na huyo driver tax !! Kuhusu kufungua kufuli n all stuffz ilikuwa kama imesetiwa hadi kuleta huyo msichana kukamilisha kazi

    • @rosemalle3600
      @rosemalle3600 2 ปีที่แล้ว +1

      Rest in peace mtoto,kwa wasaidiazi kwa baadhi yao hawaminiki,kwani wanajifanya kutafuta kazi ,wakipata Wana malengo yao kuja kuua kwa Lengo la matambiko yao ya uchawi,kwani binti amefika na kukaa kwa muda wa siku mbili you na mtoto kuaga Dunia Ni ajabu,atasema uongo amekua ghafla kwa kupoteza Lengo,abanwe na Askari atasema ukweli,kwani Nami ilishanikuta kwa msaidizi wa Namba hiyo,yaanialikuja msaidizi ,tulikaa Nae kwa muda wa siku 3,nililala Nae Cha kushangaza anaamka usiku wa saa 8 anajidai anaamka na kuanza kudeki,kutosha vyombo,usku huo,tukisikia vyombo vinagonganishwa,tunaamka tinamkuta yuko macho walahaoshi vyombo za tukamsiki usiamke usku wa mana8,amka asubuhi,baada ya siku moja akaamka akaeda kwenye chumba Cha mkwe wangu na kusema anamtaka huyo mjukuu wangu wa umri wa miezi 9,tukampiha,Nae anasema naganya kazi ili amchukue mtoto kwa mazingaombwe ya kiuchawi ili amnyonge,ionekane ameaga Dunia,anasema Ni sadaka kwa kutumwa na bbyake,yaani wasaidiazi wa siku hizi hawaminiki,Lakini sii wote,Yaani no kumwomba Mungu atujalie kukuza watoto,Lakini kwa kipindi hiki Ni tete kwa wasaidiazi wa sasa

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 ปีที่แล้ว +11

    Nivizuri uchunguzi ungeanzia shule sababu watoto wasas hawasikii nawanaona vituu vingi kwenye cm huenda ikawa shule au kwenye gari wakiwa wana rudi nyumbani, maana kama angekuwa amekaa na dada wakazi hata mwezi labda ingekuwa huyo dada kamchoka lakini hata kukaanae hajakaa nae huyo dada wakazi yani pia amuuwe kwa sababu gani, kwa maelezo ya mama wamtt amesema alivo muona msichana wakazi sikuyakwanza alimuona yuko timamu, kama niyeye ndo kafanya ivo basi atakuwa nikichaa au kuna ktuu tofauti nyuma yapazia

    • @paulinakelvin1037
      @paulinakelvin1037 2 ปีที่แล้ว

      Tuwaachie police nauchunguz itajulikana nahaki itatendeka ata tusisememengi

    • @amillahqueeen5586
      @amillahqueeen5586 2 ปีที่แล้ว

      Ngoja tusbr report ya police maana haiwezekan mtu hta sku hajakaa naye inawezekanaje amuue

    • @gospelamani1968
      @gospelamani1968 2 ปีที่แล้ว

      Kiukweli Sina huakika kama huyo Dada kafanya hiko kitendo.
      Kwakweli mimi mtoto wangu anarudigi anaalama za makucha mara shati limechanika.
      Mara mkoba umekatika
      Hili swala limetoka shule kiukweli.

    • @janerosempeta5662
      @janerosempeta5662 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli ni pagumu hapo labda mtoto aligombana na one of student at school lkn postmortem inaeleza kila kitu! Kukaaa na mtoto siku 3 Tu sio rahisi akamuue Kwa kweli!

  • @user-hs5qs5hf8o
    @user-hs5qs5hf8o หลายเดือนก่อน

    Ni uchungu poleni sana

  • @rehemayohana5301
    @rehemayohana5301 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada Mungu akutie nguvu pole sana mpendwa

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli หลายเดือนก่อน

    Mtu yyte asikae na mdada bila kumpeleka kwenye maombi kumtathimini. Maana wadada wanamapepo wana mashetani yakwao waliokuja nayo toka kwao. Msiumize akili kifo kime7bbishwa na dada wa kazi. Ni vichawi amemnyonga lkn mtt amekufa kichawi na sio kifo cha Mungu. Nendeni kwa Nabii Chuma au kwa Nabii Baraka mtapata majibu yte mtafurahi.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭wamaaaa,jukumu la MALEZI ya watoto ni letu,Hawa wadada wamesababisha vilio na cmanzi kubwa majumbani, Mungu tusaidie🙏🙏🙏🙏

    • @SophiaManase
      @SophiaManase หลายเดือนก่อน

      😂😂pole sana dunian tumeumbwa

  • @sesiliabenard236
    @sesiliabenard236 2 ปีที่แล้ว

    Duu pole mam yan mimi mwenyewe nimeogopa sana

  • @lulukomanya
    @lulukomanya 2 ปีที่แล้ว

    This is really sad just 😭 i cant help it

  • @JanethTimothy-xc3gh
    @JanethTimothy-xc3gh 2 หลายเดือนก่อน

    Tusiwaamini sana watu sasa mtoto mdogo km huy anakosa gani sas jmn eeh mungu tusaidie

  • @SiwaKhamis-us3fp
    @SiwaKhamis-us3fp 17 วันที่ผ่านมา

    kweli maana shida

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 2 หลายเดือนก่อน

    Polen sana

  • @rehemaabdallah3180
    @rehemaabdallah3180 2 ปีที่แล้ว

    Jamani pole Sana mzazi mwenzetu,hawa madada wengine wanatoka family za kichawi,mimi niliwahi kumpata dada ambaye kwako wachawi,Ila M, MUNGU mkubwa niliwahi kumrudisha hata wiki 2 haikufika

    • @tumainlession411
      @tumainlession411 หลายเดือนก่อน

      Kabisa hii inatokea ni Mungu tu atusaidie jmn,

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 ปีที่แล้ว +2

    HUYO DADA APELEKWE MAOMBI ATASEMA KILAKITU . POLE SANA DAD ANGU MUNGU AKUTIE NGUVU JAMANI. INAUMA SANASAN. R.I.P

    • @jackiechambale9674
      @jackiechambale9674 2 ปีที่แล้ว

      Usihukumu dear yawezekana sio yeye binti, kwahy usiongee usichokuwa na uhakika

  • @kebolamanyama3156
    @kebolamanyama3156 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto mzuri

  • @mndeyefatuma5335
    @mndeyefatuma5335 2 ปีที่แล้ว

    rest in peace beb boy

  • @sososomayh5946
    @sososomayh5946 2 ปีที่แล้ว

    Uyo mudada anyogwe. Ama wamuchome moto. Yani nasikitika sana. Pôle maman mungu yupo

  • @ednaabyudi8465
    @ednaabyudi8465 หลายเดือนก่อน

    Polen wazazi😢😢 moyo una umaa jamn

  • @rogerduge9799
    @rogerduge9799 หลายเดือนก่อน

    😂 mungu aileze roho ya marehemu mahali pema pepon

  • @khadijayusuph984
    @khadijayusuph984 2 ปีที่แล้ว

    Jamani naumia navyosikia maelezo haya kwakweli huyo Kaka alimletea pepo dada wa watu.amefika tu nakutimiza haja zake

  • @onkijalan268
    @onkijalan268 2 ปีที่แล้ว

    Jamani msiamini kwa haraka wadada wa kaz

  • @monicawilliams949
    @monicawilliams949 2 ปีที่แล้ว

    😢😢

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 หลายเดือนก่อน

    Na yule dereva aliye mleta hachunguzwe sana, kwasababu alimleta akawa amechoka na hakula chakula na akalala hakuamka. Je alimfanyaje?

  • @esterzakaria6777
    @esterzakaria6777 2 ปีที่แล้ว

    Rest in piece mtot huyo Dad apewe adhabu kali

  • @irenembopo9071
    @irenembopo9071 2 ปีที่แล้ว

    Dah

    • @sifunikoshuma6899
      @sifunikoshuma6899 2 ปีที่แล้ว

      Poleni pole Sana Mungu wasimamie wazazi hawa ni ngumu

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi Mungu anakuona.Unasogeza camera kwenye macho ya huyo mamdogo Ili iweje?Ndio misiba ya cku hizi watu wanalia hawatoi machozi.R.l.P mtoto mzuri

  • @renathamgeni3869
    @renathamgeni3869 หลายเดือนก่อน

    Nenda kwa nabii kwa kiboko ya wachawi. Buza

  • @JosephMollel-mb3vd
    @JosephMollel-mb3vd 2 หลายเดือนก่อน

    Tuwe makini na wadada wa kazi,maana hao hawawezi kuwa walezi.

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 2 ปีที่แล้ว

    Huyu baba jamani poole watoto wawili wote marehem uwiii dunia hiii

  • @ziadanasri1498
    @ziadanasri1498 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama mzazi nimeumia Sana ni bora tukomae na familiar zetu kwaajili ya amani ya watt wetu msiweke wfanya kazi inauma kwa kweli

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 2 ปีที่แล้ว

    hilo tukio kwanza tusimtupie lawama huyo mdada, ni vema tusubiri uchunguzi wa vyombo vya dola, pia tutambue kuwa kifo hakina taarifa! kuna jamaa alikuwa anatoka safari na boss wake, walipowasili home kumbe boss alishafariki, ndugu wakasema yeye ndo amemuua,vyombo vya dola vilipochunguza vikathibitisha hakuuawa na mfanyakaz wake

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk หลายเดือนก่อน

    Wadada wa kz ni issue

  • @user-pe8wh5bw2h
    @user-pe8wh5bw2h 19 วันที่ผ่านมา

    Jmn kuweni making nahao wadada jmn