Shekh Muhammad Bachu Allaah akuhifadhi na akulinde na kila aina ya shari, hasad, na vitimbi vya watu waovu wa bid'ah, kina Yussuf Diwani, Sabasibul-majaazy, na yule FAASIQ wa Zanzibar haji upepo. Na akupe nguvu na umri mrefu na afya njema, na akuzidishie ELIMU na ujasiri wa kupambana na baatwil na watu wa baatwil bila khofu wala woga aina yeyote. Aamiiin
Shukran sana sheikh wetu, Allah akuhifadhi sana na atjaliye tufaidike sana na ilmu yako, najuta sana laiti waalimu wangu wa madrassa wangenihifadhisha Quran kama vile walinihifaadhisha barzanji ningekuwa hafidh mzuri wa Qur'an lakini yote ni ya Allah, niliwacha mambo ya maulid miaka 15 iliyopita. Nachukuwa nukta zako zote nakuziandika chini ili pia mimi niwasaidie wenzanhu amboa wamezama katika janga la maulidi kwani mfungo sita sio mbali. Shukran sana tena sana natumekupata loud and clear hapa Nairobi Kenya 🇰🇪.
Sheikh Muhammad siku ile ulinifurahisha uliposema kauli moja ya kibabe sana"na yeyote anayeweza kuja kutetea alau hoja moja na asogee"hongera sana nna miaka zaidi ya 10 nimeacha kwenda kwenye maulidi,nna ndugu na jamaa zangu wao bado wanaendelea k'koo daresalam hapo, namuomba M'mungu awaongoze
الله أكبر wallahi haq nihakitu hatamkisemaje namatusi yenu munayo mtukana bachu wallah mtalipwa hapa hapa dunian kabla ya Akhira inshaallah Allah hayuko pamoja na madhaalim
Niaibu kwa wazushi, jaman waislam tuamke tuachane na uzushi uliozuliwa kwenye dini yetu, hao akina sabas wawe nidarasa kwetu tubadilike. Allah akutunze ewe mtoto wa bachu, nakupenda sana.
Wewe ungekuwa unajua wabulushi Wana laana tokea Enzi ya Nabii Mohammad usingemsifu huyu Bachu. Huyu Bachu hata akisali vipi moto unamngojea, mbulushi ndio waliotaka kumuua Mtume wa mwenyezi mungu. Naye Bachu ni Mbulushi
Ikiwa Mabulushi wamelaaniwa kwa hiyo na kizazi Chao chote kimelaaniwa? Abu Lahab katajwa mpaka kwenye Qur-an alivolaaniwa kwa hiyo kizazi chake chote kimelaaniwa? Na Mama yake Abu lahab alisilimu na watoto / mtoto wake walisilimu kwa hiyo na wao bado wako kwenye laana? Ndugu yangu ukitaka kuamini maulidi ni Sawa amini tu na hutaki kuamini usiamini lakini usibebe dhima la kuwapa laana ukoo mzima. Tubu kwa Allah. Wallah sina elimu lakini kwa mtazamo tu naona kama haielekei na maneno yako.
@@princesaha3262 Ana haki ya kujisifu kwasababu wazi inaonyesha Masheikh wa Maulid hawana jibu mbele ya Sheikh Bachu,Huyo Sheikh Hatimy wa Kenya mbona hakuja kumsaidia mwenzake?
Kwakweli sie masufi tunaowafuata mashehe zetu. Nimejifunza kuwa mashehe wetu wengi wA kisufi either ni wanafik au hawana elimu au akili zao ni ndogo saana, kuanzia leo mimi na msilidi bac na pia mimi na usufi bac.
Barakallah maikhiwa nyote muloshiriki ktk munakasha huo tumeelimika illa Kuna ombi ikiwa Kuna alokuwa hajaamini kuwa ukweli kubra Hana uwezo ajeateteye munakasha tutagharamiya Pemba marahii na kile watetezi was jufriy pia waje Pemba . Allah akuzidishiye elimu akhy Ahmad akulinde na kila shari
Alhatimy ndio jahili al-murakkabu mkubwa yeye na hata aweso wa Nairobi.. hawatoshi kwa sheikh bachu.. tuulizeni siye wa Kenya.. Sunnah inang'ara kama mwanga wa mchana
Mawlid si bida’a sisi twasema yafaa hata mukilete munaqash yoyote hatutowaskia kwa maana munaqash yalete ufitna na nyinyi mawahabi mwalete ushindani hamutaki kuskia muiambiwa mwataka tu watu wawaskize nyinyi 😡 sisi na mtume mtume na sisi 🎉🎉🎉
قال العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله: نحن قد جربنا وسمعنا من جرب أن النصيحة باللطف والإقناع أنفع بكثير من العنف، وهذا مصداق قول الرسول عليه الصلاة والسلام: ((إن الله رفيق يُحبُّ الرفق، ويعطي على الرفق ما لا يعطي على العنف، وما لا يعطي على ما سواه))،فعليكم بالرفق في الأمور؛ فإن الرفق كله خير.
Hata wawalete hatimy na aweso wa Kenya watawekwa chini kitako mapema.. makhurafi wanajuwa hilo illa ubaradhuli ndio shidaa... Sunnah inapaa angani Kabbisa..
Mi naona bado anashili kulaumiwa yeye maana yeye ndo aliomba niqash na akajitamba sana kwamba hatokwenda na kitabu chochote na mjadala ataumaliza kwa dakika 5 tu, sasa kwa nini watu wasimuamini? Mimi nafikiri Sabas huenda alipanga kumuangusha shekh Bachu kivingine kabisa tofauti na elimu na ndo maana akasema dakika tu shughuli imeisha sasa Allah ameepusha hilo alilotegemea halikufanikiwa akabaki hana cha kujibu anajikanyaga tu
SUBHANALLAH saidally mche Allah wamtukana moh bachu matusi ya SIRI) kisa kawambia urongo katika barzanji enyi jamaa wa bid a mcheni Allah na mukubali haki. na kwa wale wana sunna wenzangu pia mcheni Allah na musiwatusi masufi hawa ni ndugu zetu ila kapote ni juu yetu tuwaonyeshe haki wala tusiwatusi wala tusiwatenge lakini hili tusi la SIRI dhidi ya bachu lafaa likemewe na kila muislamu awe sufi au wahbiya SAIDALLY fanya istighfar
Alahamdu lilah ukiwa si mtu wa elimu huwezi juwa nani allimshida mweziwa tatiz ni eleimu nafaatilia kila mmoja na coment yk lakin hebu tukaeni darasani tukasome hiy lugha ya kiarabu na huo mlango wa majazi ni kitu gani ndio turud kweny mdahalo tutizame kweli huwez kuw kun fani katk elimu ip kisha ww ukakejeli kwnz tukaangalie vitabu je mlang huo upo n maimamu wakubwa katk dini wameutumi kam upo shekhe saba yup sahihi kam mlango huo haup shekhe muhamd yup sahihi tusiburutwe n jaziba tu
Daah noma sana nimecheka kiboya 😂😂 huyu sufi ni comedian wa kwenda, Eti weweee rudii kuna 🐕 hukoo😂😂 dah hawa jamaa kweli macomedi 😂😂 alafi diwani ndio kamtia mwezie chocho hali yakuwa wanajua hawamuwezi Bachu.. Wallah mpaka raha. Hebu team Bachu njooni hapa tujuane.
Haya maneno hayana ukweli wowote Musidanganye watu Tafuteni wapumbavu wenzenu muwambie Nyinyi uwongo mawahabi kweli ni silaha . Na Hilo linatokana na uchache na udogo wa ufahamu wenu nususi za Sheria.
Fahamu mbovu ........! Nilisema masufi dini yenu haiwezi simama bila kuvunja heshma za Wasomi, na nikawaambia huyu mtu sio saizi yenu wala hamna hoja ya kutetea maovu yenu. Mukabisha, khatimae mnakulana wenyewe kwa wenyewe.
SHEIKH MOHAMMAD BACHU KAMA SHEIKH WETU WA SUNNAH NA KAMA MM MSUNNI MWENZAKO MDOGO NINAEFAIDIKA KUTOKA KWAKO NAOMBA KWA HISANI YAKO LINDA CAHNNEL YAKO KWA MANENO YA HSO WANAO ANDIKA UPUUZI HIVO
😂😂😂daah yan kam hukuelew kweny ile nikasha ndug yang nauhakika shulen umeishia la saba kwa kufeli na inaonkn unakichwa kizito sana kuelewa pole uwe unasom qur an mara kw mara ili kichw kiwe chepes kuelewa
HII NI SAUTI YA NANI NA ALIKUWA ANAONGEA NA NANI? MWENYE USHAHIDI NA JIBU LAKE AJE ANITHIBITISHIE MAANA ISIJE KUWA IMETENGENEZWA!!! SIJASEMA IMETENGENEZWA BALI NAOMBA KUTHIBITISHIWA HAYA NI MANENO YA NANI NA ALIKUWA ANAONGEA NA NANI?????
Yani mnatunga nyei halafu mwajifanya ndo watu wa maulid sabbasi alkubra kajibu kielimu na nyie mmejenga hoja bila elim Bali mmechukua maneno ya barazanje na kufasiri bila kutumia fani yeyeto ya kielimu
😂😂😂daah yan kam hukuelew kweny ile nakasha ndug yang nauhakika shulen umeishia la saba kwa kufeli na inaonkn unakichwa kizito sana kuelewa pole uwe unasom qur an mara kw mara ili kichw kiwe chepes kuelewa
@@imamuhamisi4421 wew ulieenda mpk chuo unashindwa kujua nani kajenga hoja kielimu nani kajenga hoja bila elim Mohammad bachu alichokifanya nikutafusiri tu na kuongea Kwa ushabiki kwakusema huu ni uongo bila dalili yeyote ya mwanachuoni kuthibitisha uongo barazanje je Kuna mwanachuoni yeyote kamnukuu au kuthibitisha uongo wa barazanje au katumia akili zake bila fani yeyote ya kielimu
Aibu imewajaa sura zao hakuna pakuziweka 😂😂😂😂 leteni mwengine mnaemuona ni Kigogo kwenu nae atadhalilika mchana kweupee kama walivyo dhalilika wakina sabas al majazi au ukipenda wazee wa haleluya 😂
ACHA UONGO, SABASIBU ALISHAURIWA ILA PESA ZA SADAKA WAMEKULA NA DIWANI NA HAWA KUTAKA KUWACHUKUWA MASHEKHE. KWAIO KOSA ANALO SABASIBU NA DIWANI WAPIGA MADILI NA KULA PESA ZA WAISLAMU BUREEEE
NA KAMA MTOTO NI JEURI JEE?, MWACHE AKAPIGWE FIMBO HUKO NA KISHACHEZEA FIMBO KAZI KWISHAAAAAA. NA hatutaki tena MJADALA WENU WA UPUMBAVU MAJISIFU NA VIBURI
shekhe muhammadi kokote uliko tuwekee kipande cha mwisho weww wakijua bwana sio lazima nikitaje wakati ubao unafutwa na kuandikwa nimetumia majazi yaani maswali na majibu ya papo kwa papo tuwekeee tafadhar
Sheikh Muhammad Allah amrehemu babako nawewe akuhifadhi nashari za mahasid ,اللهم صل على محمد وآل محمد الطيبين الطاهرين
Shekh Muhammad Bachu Allaah akuhifadhi na akulinde na kila aina ya shari, hasad, na vitimbi vya watu waovu wa bid'ah, kina Yussuf Diwani, Sabasibul-majaazy, na yule FAASIQ wa Zanzibar haji upepo.
Na akupe nguvu na umri mrefu na afya njema, na akuzidishie ELIMU na ujasiri wa kupambana na baatwil na watu wa baatwil bila khofu wala woga aina yeyote.
Aamiiin
Mm nilimtahadharisha moja kati ya comment zngu nilimwambia Hana kifua cha kushindana na mtoto wa bachu
Wapumbavu kazi yenu kupotosha watu. Sheikh Muhammed Allah akubarik kafanya kazi nzuri Mashallah
Mpumbavu kwanza ni wewe halafu hao wengineo. Masheikh wamekuwa watu waligi,Sasa hapo ikhlaswi Iko wapi,eti nimeshinda!!
Shukran sana sheikh wetu, Allah akuhifadhi sana na atjaliye tufaidike sana na ilmu yako, najuta sana laiti waalimu wangu wa madrassa wangenihifadhisha Quran kama vile walinihifaadhisha barzanji ningekuwa hafidh mzuri wa Qur'an lakini yote ni ya Allah, niliwacha mambo ya maulid miaka 15 iliyopita.
Nachukuwa nukta zako zote nakuziandika chini ili pia mimi niwasaidie wenzanhu amboa wamezama katika janga la maulidi kwani mfungo sita sio mbali. Shukran sana tena sana natumekupata loud and clear hapa Nairobi Kenya 🇰🇪.
Sheikh Muhammad siku ile ulinifurahisha uliposema kauli moja ya kibabe sana"na yeyote anayeweza kuja kutetea alau hoja moja na asogee"hongera sana nna miaka zaidi ya 10 nimeacha kwenda kwenye maulidi,nna ndugu na jamaa zangu wao bado wanaendelea k'koo daresalam hapo, namuomba M'mungu awaongoze
Kauli ya kujiamini😂
Aamiyn
Amiin yaaraby
Aameen
Hata kama mngeshirikiana msingeweza kujibu
الله أكبر wallahi haq nihakitu hatamkisemaje namatusi yenu munayo mtukana bachu wallah mtalipwa hapa hapa dunian kabla ya Akhira inshaallah Allah hayuko pamoja na madhaalim
Sasa kama wamefedheheka sii waache batli na wafate haki😂
😂😂😂 alikuwa anakuona tu kwenye tv
Kumbe ukweli wanaujua ila wanaangalia matumbo yao muogopeni mungu jaman
Sio njia yenye mbwa ni SIMBA hasa wala msijaribu tena kudanganya waislam. Sheikh Muhammad Bachu ni SIMBA wakutea mbali .ALLAH amuhifadhi.
Shukran msema kweli upo vizur!
Shukran sheikh letu wala hukufosi kama nilikuona umeachilia pedo kidogo vile
Niaibu kwa wazushi, jaman waislam tuamke tuachane na uzushi uliozuliwa kwenye dini yetu, hao akina sabas wawe nidarasa kwetu tubadilike. Allah akutunze ewe mtoto wa bachu, nakupenda sana.
Wewe ungekuwa unajua wabulushi Wana laana tokea Enzi ya Nabii Mohammad usingemsifu huyu Bachu. Huyu Bachu hata akisali vipi moto unamngojea, mbulushi ndio waliotaka kumuua Mtume wa mwenyezi mungu. Naye Bachu ni Mbulushi
Ikiwa Mabulushi wamelaaniwa kwa hiyo na kizazi Chao chote kimelaaniwa? Abu Lahab katajwa mpaka kwenye Qur-an alivolaaniwa kwa hiyo kizazi chake chote kimelaaniwa? Na Mama yake Abu lahab alisilimu na watoto / mtoto wake walisilimu kwa hiyo na wao bado wako kwenye laana? Ndugu yangu ukitaka kuamini maulidi ni Sawa amini tu na hutaki kuamini usiamini lakini usibebe dhima la kuwapa laana ukoo mzima. Tubu kwa Allah. Wallah sina elimu lakini kwa mtazamo tu naona kama haielekei na maneno yako.
@@ummaryam1020 ndio
إن الحق لا يعرف بكثرة الفاعلين وإنما يعرف بالكتاب والسنة
Mulipanga uzur ili mkamkomeshe bacho lkn tambueni batil itaendelea kua batil na khaki itaendelea kua khak
Watu wa Maulid hamuna mpango na hamumwezi huyo Sheikh Bachu.
Kumbe ilikua Ni mashindano na sio mahojiano ya kielimu
Hilo tatzo masheikh cku wako ktk ligi. Eti moh'd bachu anajisifia na kukejeli eti sabas el- majazi.
@@princesaha3262 Ana haki ya kujisifu kwasababu wazi inaonyesha Masheikh wa Maulid hawana jibu mbele ya Sheikh Bachu,Huyo Sheikh Hatimy wa Kenya mbona hakuja kumsaidia mwenzake?
@@abousalim4621 Utakavo elewa wewe kazi kwako muhimu ni kuwa Maulid ni Bidaa.
Mawahabi acheni fujo wewe bachu bado uko maiiimaiii 😅
Alhamdulillah
Maulid bidaa lazima watu wajui
Hana lolote sheikh msbaa
Mkitaka kujuwa kama huyu kijana haingiliki
Muulize kasim mafuta na genge lake lote la majadida wana habari ndeeeeefu kuhusu huyu kijana
Huko kwa sheikh kassim mafuta mmmmh mbona pa moto huko
Uwe na mipaka ya kuzungumza kwa Shaykh Abul fadhli Acha usiguse
sasa Sheikh Qassim mafuta wa nni hapa? acha taasubu ushabiki elewa kwanza Dini yako wala sio kupinzana hapa?
Kwakweli sie masufi tunaowafuata mashehe zetu. Nimejifunza kuwa mashehe wetu wengi wA kisufi either ni wanafik au hawana elimu au akili zao ni ndogo saana, kuanzia leo mimi na msilidi bac na pia mimi na usufi bac.
Jazaakumullahu khaira
Namuomba Allah akuongoze katk kuijua haqqi Zaid na lazimiana na Sunnah kwani ndio njia iliosalimika
Hawana elimu. Ni watu wa mazingaombwe zingaombwe na ushirikina. Wanapenda mambo ya majini na makhudam sana. Masufi ni machizi kwa lugha rahisi.
Barakallah maikhiwa nyote muloshiriki ktk munakasha huo tumeelimika illa Kuna ombi ikiwa Kuna alokuwa hajaamini kuwa ukweli kubra Hana uwezo ajeateteye munakasha tutagharamiya Pemba marahii na kile watetezi was jufriy pia waje Pemba . Allah akuzidishiye elimu akhy Ahmad akulinde na kila shari
Tumeazirika sana masheikh wetu hawakujiandaa wamekuwa chekechea
SIMBA MWENDA POLE NDO MLANYAMA😂😂😂hapo nimetumia majazi. KWASASA NIMEMKUBALI ALHATMIY KUINGIA MITINI MAPEMAA😂 Nimetumia majazi. Kama wanaona hawakutendewa haki watume barua ingine🤣🤣🤣🤣🤣Zanzibary
Hujamalizia mwisho hapo ilikuwa ni majaazy😂😂😂
Alhatimy ndio jahili al-murakkabu mkubwa yeye na hata aweso wa Nairobi.. hawatoshi kwa sheikh bachu.. tuulizeni siye wa Kenya.. Sunnah inang'ara kama mwanga wa mchana
@@hassanmohamedlaizer569barua ya kimajazy😂
@@JK-um6opMaashaallaah mko vzr
😂kimajazy
Mawlid si bida’a sisi twasema yafaa hata mukilete munaqash yoyote hatutowaskia kwa maana munaqash yalete ufitna na nyinyi mawahabi mwalete ushindani hamutaki kuskia muiambiwa mwataka tu watu wawaskize nyinyi 😡 sisi na mtume mtume na sisi 🎉🎉🎉
Sasa kama ukweri mnaujua kwanini hrufi kwenjia ya sawa. Mkiendelea simtakua mnajidanganya wenyewe iliiweje kubalini mtubuilimsamehewa mnaleta ubishi kwenye ukweri mnaujua. . Subuhanallah
قال العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله: نحن قد جربنا وسمعنا من جرب أن النصيحة باللطف والإقناع أنفع بكثير من العنف، وهذا مصداق قول الرسول عليه الصلاة والسلام: ((إن الله رفيق يُحبُّ الرفق، ويعطي على الرفق ما لا يعطي على العنف، وما لا يعطي على ما سواه))،فعليكم بالرفق في الأمور؛ فإن الرفق كله خير.
Yeni nyinyi watu wa maulidi 😂😂
Hata wawalete hatimy na aweso wa Kenya watawekwa chini kitako mapema..
makhurafi wanajuwa hilo illa ubaradhuli ndio shidaa...
Sunnah inapaa angani Kabbisa..
Yeye mwenyewe alijiamini kujibu hoja kwa dakika 5
Nasaha nikuacha upotevu na kulazimiana na sunna..
Me ningekua Sabbas nisingejitokeza kwnye media kwa miez . Baada ya hapo ningetangaza kuachan na Barzanji
Sheitani ametawala akhui, anaonyesha ujasiri kwenye jahli
Nimajaaaaaz 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
@@mohagurey2214aaaah kama ni mimi ningefungua biashara tu na haya mambo ya dini ningewaachia wajuaji😂😂
😂😂😂
Bila shaka wameelewa
Pumbaa na mchele haviwezii kukaa sehem mmojaa kabisaaa
Mi naona bado anashili kulaumiwa yeye maana yeye ndo aliomba niqash na akajitamba sana kwamba hatokwenda na kitabu chochote na mjadala ataumaliza kwa dakika 5 tu, sasa kwa nini watu wasimuamini? Mimi nafikiri Sabas huenda alipanga kumuangusha shekh Bachu kivingine kabisa tofauti na elimu na ndo maana akasema dakika tu shughuli imeisha sasa Allah ameepusha hilo alilotegemea halikufanikiwa akabaki hana cha kujibu anajikanyaga tu
SUBHANALLAH saidally mche Allah wamtukana moh bachu matusi ya SIRI) kisa kawambia urongo katika barzanji enyi jamaa wa bid a mcheni Allah na mukubali haki. na kwa wale wana sunna wenzangu pia mcheni Allah na musiwatusi masufi hawa ni ndugu zetu ila kapote ni juu yetu tuwaonyeshe haki wala tusiwatusi wala tusiwatenge lakini hili tusi la SIRI dhidi ya bachu lafaa likemewe na kila muislamu awe sufi au wahbiya SAIDALLY fanya istighfar
matusi ya huyo SAIDALLY Yako hapo chini kabisa sio SAIDALI huyu ni mwingine
Chini wapi
Mimi sisemi kitu maana naona majazi majz tu
Walikua dhamira Yao ni kuchangisha pesa.
Na mtafedheheka san😅😅😅
Haya maneno ni majazi
Alahamdu lilah ukiwa si mtu wa elimu huwezi juwa nani allimshida mweziwa tatiz ni eleimu nafaatilia kila mmoja na coment yk lakin hebu tukaeni darasani tukasome hiy lugha ya kiarabu na huo mlango wa majazi ni kitu gani ndio turud kweny mdahalo tutizame kweli huwez kuw kun fani katk elimu ip kisha ww ukakejeli kwnz tukaangalie vitabu je mlang huo upo n maimamu wakubwa katk dini wameutumi kam upo shekhe saba yup sahihi kam mlango huo haup shekhe muhamd yup sahihi tusiburutwe n jaziba tu
Bado Allah amrehemu sheikh letu Nassor Bachu alikuwa yupo vizuri lkn c hivyo kuleta ligi ktk dini.
Mzee nakubali nukta ya mwisho atii nini into brackets (aaah basi kama kufedheka tushafedheka)na bdo mtaumbuka sana.lenteni mwengine tutoe faid.
Shida walikuja kimajazi,alafu ss tulikuwa uhalisia😂😂
@@hassanmohamedlaizer569 wajipange tena tuko tayari kuelimisha ummatul Muhammad rehma na amani zimfikie
Masheikh wetu mbona mumetubwaga mapema tumekuwa wanafunzi wadogo eee Sheikh zanu mjadala urudiwe na mujiandae vizuri mulivurugwa sana
😄😄😃😃😃 Hii imeenda hii imeenda
Daah noma sana nimecheka kiboya 😂😂 huyu sufi ni comedian wa kwenda, Eti weweee rudii kuna 🐕 hukoo😂😂 dah hawa jamaa kweli macomedi 😂😂 alafi diwani ndio kamtia mwezie chocho hali yakuwa wanajua hawamuwezi Bachu.. Wallah mpaka raha. Hebu team Bachu njooni hapa tujuane.
😂😂😂😂 SHEIKH BACHU TUPO TAYARI KUGHARAMIA NIQASH NYINGINE.. TUWAALIKE WAJE ZANZIBAR AU DAR ES SALAAM..
😂😂😂 hawatakubali
😂😂😂
Hawatakubali hilo
Waje Zanzibar itapendezaa Zaid kwa sbbu lengo ni kuelimisha ummah na jitihada bdo inahitajika
Makosa ni barzanji.kuandika kitabu cha ushirikina.kivhomwe.ama leteni mtu mwengine.haki itasimama tu.
Haya maneno hayana ukweli wowote
Musidanganye watu
Tafuteni wapumbavu wenzenu muwambie
Nyinyi uwongo mawahabi kweli ni silaha .
Na Hilo linatokana na uchache na udogo wa ufahamu wenu nususi za Sheria.
Rudini kwenye haki acheni mbambamba akhera sio mbali
Kukaa kimya sio kua mwajua anaweza bala mwajua nyoteni ni maduko mwajijua hamuna njia ya kutetea acheni porojo sai acheni maneno ya leso
Aliwatandika kwenye Haleluya nahivi sasa kesha watandika kwenye Barzanji.
Tunawasubiri muje na gia nyengine.
Yatia shake hii sauti
Fahamu mbovu ........!
Nilisema masufi dini yenu haiwezi simama bila kuvunja heshma za Wasomi, na nikawaambia huyu mtu sio saizi yenu wala hamna hoja ya kutetea maovu yenu.
Mukabisha, khatimae mnakulana wenyewe kwa wenyewe.
Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Waislamu poleni.
Wanaudhi kupoteza waislamu kimakusudi. Leo Allah kawaanika.
SHEIKH MOHAMMAD BACHU KAMA SHEIKH WETU WA SUNNAH NA KAMA MM MSUNNI MWENZAKO MDOGO NINAEFAIDIKA KUTOKA KWAKO NAOMBA KWA HISANI YAKO LINDA CAHNNEL YAKO KWA MANENO YA HSO WANAO ANDIKA UPUUZI HIVO
Hakushindwaa huoo mjadalaa nyinyi mawahabi
Kubra aka majaazi alitahadharishwa na sheakh Muhammad Bachu kuwa hawazani. Sheikh Diwan alijua akaogopa mapema mjanja kweli 😂😂😂😂
Allah awaongoze ndugu zetu mawahabi
Akuongoze na ww pamoja na waganga njaa wenzenu..
Ila kibano amekipata majaz
@@abubakarmwasumilwe7070 Amin tunahutajia hidaya ya Allah
Nafikiri nyinyi hamna haja mushaongoka watu wa peponi
😂😂😂daah yan kam hukuelew kweny ile nikasha ndug yang nauhakika shulen umeishia la saba kwa kufeli na inaonkn unakichwa kizito sana kuelewa pole uwe unasom qur an mara kw mara ili kichw kiwe chepes kuelewa
@@imamuhamisi4421 nimesoma Qur'an lakini nashindwa kuielewa labda unisaidie tafsiri تجري بأعيننا جزاء لمن كان كفر
Huyo mtoto hajaenda njia yenye mbwa Huyo alicho fanya KACHEZEA WEMBE...NA MTOTO AKICHEZEA WEMBE MUACHE.,.UKISHAMKATA ATAUWACHA nahuyo harudii tena
Dah hapo umetumia majaazi😂😂
Majaaz
Sabbas alkubra majaziiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂
Ati wamefedheheka he 😅😅
Acheni uongo huyoo ni wahaabiii karecord hio sauti
Kuanzia Leo BC au watapika tuu na Ku kuzikiri majahazi bc😂
Wewe unaetoa maoni hayo mbona hujitambulishi?
Huwez kutetea uongo na Bidaah
Amewaqngusha sio???
Hahahah
Kazi kusambaza viclip vya uongo ukiulizwa ni nani huyo utamtaja?
Tupostieni basi huo mjadala kwa ukamilifu wake na sisi tusio hudhuria tuufaida!
قال الإمام الغزالي رحمه الله: لو صلحت منا الضمائر وصفت السرائر, لوقعت النصيحة موقعها.
Bachu munakasha mombasa na said omar ujibiwe ninaimani utasoma tuu
Ni kama umemaliza darasa la saba, unakwenda kufanya mtihani form six. Mumemtupa mbuzi katika mbuga za wanyama, masimba washamla
Ahdali wa kenya pia kthibitish kua sabas ni mtupu
WE BACHU UMSEMWA VIBAYA NA WATU WENGI
Sauti ya mtu wa bidaa inajulikana tu...😅😅😅😅
Nilichogundua mimi ni ushabiki tu
Huu ni urongo hii nikupanga tu
HII NI SAUTI YA NANI NA ALIKUWA ANAONGEA NA NANI?
MWENYE USHAHIDI NA JIBU LAKE AJE ANITHIBITISHIE MAANA ISIJE KUWA IMETENGENEZWA!!!
SIJASEMA IMETENGENEZWA BALI NAOMBA KUTHIBITISHIWA HAYA NI MANENO YA NANI NA ALIKUWA ANAONGEA NA NANI?????
Ww huna mpya porojo tuu tafuta masheikhe usome
Kuna mtu alisema huyo hamjui bachu vizuri ss yame mkuta akome
Mbona kama sauti ya Sheikh mbogo
Lkn iyo sauti ipo kimajaazi zaid😂😂😂
Sheikh umeskia watu watarika nao wamesema nn kuhusu sabas
Kubraa ee !! eee!!
We ebu kuwa na adabu ukimwita sheikh mkubwa kama huyo mwite kimajaazi😂😂😂
mudi shujaa eleweni nimetumia mjazi😢😢😅😅
Akhy nataka hiyo muhadara ful yake kwa yutup na mpangilio
Allah amuongoze yeye nacahama chake amin
19-0, ni Ktk Majazi tu.
kumi na tasa bila!! daaahh😂😂😂😂😂wakomee wafuate usalafii
Mlimuacha kwa sababu SABAS mlimfanya kuwa JI buzi lakafara🦝🦝
Yani mnatunga nyei halafu mwajifanya ndo watu wa maulid sabbasi alkubra kajibu kielimu na nyie mmejenga hoja bila elim Bali mmechukua maneno ya barazanje na kufasiri bila kutumia fani yeyeto ya kielimu
😂😂😂daah yan kam hukuelew kweny ile nakasha ndug yang nauhakika shulen umeishia la saba kwa kufeli na inaonkn unakichwa kizito sana kuelewa pole uwe unasom qur an mara kw mara ili kichw kiwe chepes kuelewa
@@imamuhamisi4421 wew ulieenda mpk chuo unashindwa kujua nani kajenga hoja kielimu nani kajenga hoja bila elim Mohammad bachu alichokifanya nikutafusiri tu na kuongea Kwa ushabiki kwakusema huu ni uongo bila dalili yeyote ya mwanachuoni kuthibitisha uongo barazanje je Kuna mwanachuoni yeyote kamnukuu au kuthibitisha uongo wa barazanje au katumia akili zake bila fani yeyote ya kielimu
Al Kubra Al Majaaz hana lolote ! Bachu Mungu akulipe kwa sababu umenifungua sana macho.
Sabas ametota uwanjani
Aibu imewajaa sura zao hakuna pakuziweka 😂😂😂😂 leteni mwengine mnaemuona ni Kigogo kwenu nae atadhalilika mchana kweupee kama walivyo dhalilika wakina sabas al majazi au ukipenda wazee wa haleluya 😂
Malizia wazee wa hallelujah almajaaziy alhatimyuun
@@hassanmohamedlaizer569 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Hayo yashatokea a ndiyo ukwel na sio majazi 😂 huo ni ukweli hata angeenda nani basi asingejibu hata swali moja mbele ya bachu
Wache masufi wafukie makabuli Yaoyaliyochimbwa na sheikh m bachu
Tulete mwengine ili umfanyie ubishi tu elimu huna
Ww ni mzuka
ACHA UONGO, SABASIBU ALISHAURIWA ILA PESA ZA SADAKA WAMEKULA NA DIWANI NA HAWA KUTAKA KUWACHUKUWA MASHEKHE. KWAIO KOSA ANALO SABASIBU NA DIWANI WAPIGA MADILI NA KULA PESA ZA WAISLAMU BUREEEE
NA KAMA MTOTO NI JEURI JEE?, MWACHE AKAPIGWE FIMBO HUKO NA KISHACHEZEA FIMBO KAZI KWISHAAAAAA. NA hatutaki tena MJADALA WENU WA UPUMBAVU MAJISIFU NA VIBURI
shekhe muhammadi kokote uliko tuwekee kipande cha mwisho weww wakijua bwana sio lazima nikitaje wakati ubao unafutwa na kuandikwa nimetumia majazi yaani maswali na majibu ya papo kwa papo tuwekeee tafadhar
Jamani mwenye nambari ya cm ya sheikh Muhammad Bachu naiomba, nataka nikasome kwake.
Aki pia mimi naomba namba ya shekh muhamad