Mashaallah tabarakallah Kila la khair kwa mwenye anazingatia sababu watu kama Hawa wanaharibu dini Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na kwako sheikh bachu hifadhi ya Allah iwe nawe kwa mahasid wanaohusudu
Sheikh Muhammad ;mtake munakasha huyu shikaji ili ukaokomeshe huu munkar; kwakuwa wengi wanapotoka kwa mapenzi ya uganga , na wepezi wa uislam wa kishkaji unaokubali kila kitu ! Subhanallahi! .
Allah akuhifadhi nazidi kupata faida na kujua haqqi ni ipi yule diwani mwanzo nilikuwa namfuata lakin baadae naona anaropokwa ili ashinde yeye wakati sisi tunaakili zetu anadhalilika huyu shekhe na ni mgongo wengine tujue haqqi inshaAllah
Sheikh Muhammad bachu mungu akuhifadhi uwe na umri mrefu uzidi kuvnja Shub'ha za makhurafi na mifano yao, zidi kutupambanua na tunashika kalamu na daftari ili tujaribu kurithi kielimu Allah atuwezeshe sote Inshaallh.
Yusuf Diwani ni mjuaji sana na anajiona anajua hali ya kua hajui sheikh wangu bachu usimuachie hata kidogo ndugu yangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah
MASHALLAH SHEKHE WETU ALLAH AZIDI KUKUPA AFYA NYEMA NA WASAA UZIDI KUBAINISHA HAKKI NA SHUBHA WANAZOLETA HAWA WAGANGA NA NDUGUZAO KINA CHAKA. TWAFURAHI SISI TUNAOTAFUTA ELIMU YA HAKKI .TWAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH ❤❤❤❤❤❤
Hata Sheikh Haji Upepo(haddahuLLAH) baada ya kukwepa munaqasha yuamuita Sheikh Muhammad Bachu(hafidhahuLLAH) kwa jina la "kenge".Wana shida hawa ndugu wa kisufi.
Shekh Muhammad Allaah akulipe kila lakheri, na aurefushe umri wako kwenye matendo mema, tofauti, na ktk hili pia la kuwasomesha hawa wajinga wa kitwariqa
Shekh Muhammad Bachu mpaka hapa tulipofika kila mtu keshajua ukweli uko wapi na keshajua talbis za huyu bwana Diwani. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako ila huyu jamaa asitupotezee muda kama analazimisha ujinga wake mwache abakie kwenye ujinga wake mi nadhani utazame katika ujinga anaosema ukosowe kosaa litajalotupeleka kwenye mada nyingine ili tupate elimu mpya sababu hii tishafahamu kila kitu.
Diwani ataenda mueleza Nini Allah angalia ummah unavyo angamia kwa ulimi wake, wangapi anawapoteza, wallahy huyu mtu ni ibilis wa kibinadamu, tukae mbali na Hawa wapotoshaji wa dini ya Allah
Hivi katika hawa masufi hamna anayeweza kumnasihi katika hili; Hata Sheikh Uthman Maalim Kanyamaza. Basi hii twariqa ni hatari sana kwa maisha ya hata huo uiislam poa!
Shekhe bachu upo sahihi sana sio lazima kila mmoja akuelewe lakin wewe fikisha tu hak kila mmoja atabeba mzigo wake. Kwan kuna waisilamu wangap katika sisi tunaamini kua mungu yupo lakin kuswali hatutaki asilimia 95 ya waisilamu weng tuna ujanja ujanja sana na weng katika sisi tunaelimu za maulid tu ila kibri ndio tatizo letu
Ila jamani katka siku nimecheka nijana nlivo skiza majibu ya mganga yusufudiwani, yani hata angemskiza mkiristo angegundua hapa diwani anasema uongo kwanamna alivokua anajikanyaga ,NLICHOGUNDUA diwani hana vitabu ila anadandia kule anakopita shekh nandomana anaporoja ilembaya KATKA HALIYANAMNAHIO😂😂😂😂
Yaarabi tuepushe na walimu kama hyu Yusufu diwani dah eti Tena wanafuzi wamekaa kupotoshwa Ila tusishanga mana ni maghurafi wwzake😢 Msiba huu mzito kwenye dini yetu
Yussuf diwani ,,unakufuru omba msamaha kwa Allah, Neno alla ni mungu wa kweli tu ,usilipeleke kwa makafiri,,yussuf diwani kasome ,unaelimu ya kiwango cha chini,,
Nilichogundua Diwan anaufanya huu mjadala kama wa kina mazinge na wahubiri, hoja zake anazjenga kwa mhemko😂😂 Yan km Yale maswal ya "wap andiko yesu karejesha punda"
Leo Diwani amekubali kua wapo wanazuoni wanasema hiyo aya imetaja ALLAH halisi na darsa za nyuma alisema hakuna mwana chuoni yyte aliyesema kua ni ALLAH halisi.😂😂😂😊
Yusuf Diwan Yusuf Diwan Yusuf Diwan nakuita mara tatu, huko uliko tafuta kazi ya kufanya sio kuendeleza hii mijadala na huku elimu yako ni ndogo, utazid kudhalilika mwisho wa siku hata waliokuona mwalim nao watakuona ni mbugila
Mimi nawashsuri hawa wamafunzi wa yussuf diwani watafute mwalimu waende wakasome nawaoneya huruma sana hakuna mwalimu hapo na mkingnganiya kusoma kwa diwani mtakua waganga wa kienyeji
Nakuombea kwa Allah akuzidishie ufahamu zaidi ili tuendelee kupata nasi ufahamu ktk dini ya Allah. Wewe ni sababu ya kuzuia hawa mashehe waovu wasiendelee kuwapoteza watu.
Miungu iko miingi. Wahindi wana Mungu wao Ngombe Bhuda wan miungu yao wakristo wana miungu yao. Ila Mola anaestahiki kuabudiwa ni mmoja tu Allah muumba mbingu na ardhi. Mola huyu au Mungu huyu ana siga nyingi zikiwemo za Ulluhiyyah na ribubiyyah.
Sheikh Muhammad Bachu Tunakuomba Usichoke Kuwaweka Sawa Hawajasoma Hao Mie Nipo Nje Ya Tanzania Kila Video Yako Lazma Niifatilie Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaah Nawe Pia Azidi Kukutumia Katika Dini
Ndugu yang katika Iman mm nge omba kwa heshima zote achana nae huyu diwani ushamfanya ubao na sisi tusha mjia ni nani na ufaham wake uko vp tudili na elimu nyengine maana kila siku ana kufuru tuuu
Assalam Alaykum huyu diwani inaonesha akiswali hazingatii anachokisoma ndali ya Quran anasoma tu bila ya kuzingatia hivi yy maneno anayosema baada ya kufungua swala annayapima ktk akili au ndo kasuku Allah atupe unyenyekevu ndan ya swala tujue nn tunesema cio tunafanya tu
Yussuf diwani mwehu sana kumbe weye weye kafiri kumbe wallah ukifa bila ya kutubia bc utaenda pabaya kwnz wapoteza watu bora upotee mwenyewe kuliko kupoteza watu nahuo ndio ubaya wabidaa bora anaezini kuliko bidaa
Hao wazazi walio kupa watoto wao ni wajinga kama wewe yusuf. Kama uko mtoto wangu nimekupa kwa ujahil basi ningekuja nikamtwa kwa magongo...Maana Diwari sio mwalimu ni mpotoshaji na kuwafanya watoto kuwa waganga kama yeye.
Katika hili yusufu diwani hajadhalilika, washirikina hawana tauheed kabisa! Maana hapo washirikina ktk kuomba nakutakasa dini ( ibada) kuomba nakutaka msaada kwa Allah sindio wanaita uluhiyyah? Inamaana hiyo rububiyyah wamekuja nayo au wameikiri baada yakupata matitizo? Sasawakisharudi kwenye ushirikina nakumshirikisha Allah watabakivipi na tauheedi?
Katika hali ya namna hioooooo!!! 😮😮😮. Diwani naomba kukuuliza na unijibu hata kwenye clipu yako nyengine uyakaoitoa. Sualla1). Kwanini unazuia watu wasi comment kwenye vidio zako.? Hii huoni kua inakujengea wewe sifa mbaya. Inakudhihirishia kua hujiamini unachokitetea. Pili LAbda kutokana na unavoutumia vibaya mdomo wako unajiskia aibu nafezeha kuona comment zitakua nyingi zakukupinga
LAKINI PIA SHEKHE KUNA HII SHUBHA YA HUYU KAFIRI ANAEJIITA XIMAMU ,AMBAE ANASEMA KUNAHADISHI YA MAMA AISHA ANASEMA KUR,ANI IMETIWA MIKONO TWAOMBAPIA UJE UIWEKESAWA SHEKHE LETU
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Allah shekh bacho nakupenda Kwa ajil ya Allah ila hat Mimi nakuomba San utuondolee hyo shubua ya hyo KAFIRI anatumia kitabu Cha IMAMU SUYUTWI, kuwa MAMA AISHA R,A KASEMA kuwa Qur ANI inamapungufu, nikuombe shekh tuondolea hyo shubuha INSHALLAH
@@IsmailSanga PUNGUZA USHABIKI SHKH anasomesha Kwa ushaid kabs ulio wazi so hyo MGANGA wako nyota na Pete ananakil kweny kalatas ukibisha njoo n mim huku nikupe ushaid kuwa mtume kafundish tahid 3
Sheikh Bachu nimethibitisha uwezo wako Maa Sha Allah ..Jazaqallahu khaira
MAASHAA ALLAH jazakallahu kheir sheikh
جزاك الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتك ونفع الله بك أمين يارب العالمين
آمين يا رب العالمين
Mashaallah tabarakallah Kila la khair kwa mwenye anazingatia sababu watu kama Hawa wanaharibu dini Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na kwako sheikh bachu hifadhi ya Allah iwe nawe kwa mahasid wanaohusudu
Niko na ww bega kwa bega sheikh Muhammad Allah akuhifadhi na husda pia akulipe kila la kheri hakika unajitahid kwa ajili ya Allah ♥️ 🤲🤲
Yusuph diwani kagombee udiwani bado hujachelewa😂 huku kwenye dini waachie mashekhe ewe khurafiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sheikh Muhammad ;mtake munakasha huyu shikaji ili ukaokomeshe huu munkar; kwakuwa wengi wanapotoka kwa mapenzi ya uganga , na wepezi wa uislam wa kishkaji unaokubali kila kitu ! Subhanallahi! .
Allah akuhifadhi nazidi kupata faida na kujua haqqi ni ipi yule diwani mwanzo nilikuwa namfuata lakin baadae naona anaropokwa ili ashinde yeye wakati sisi tunaakili zetu anadhalilika huyu shekhe na ni mgongo wengine tujue haqqi inshaAllah
الأخ محمد باشو بارك الله فيك وستفدنا كثيرا وهاءلاء السحره لايعرفون التفسير القراءن.
لك ياأخي خطأ عند كتابة
Sheikh Muhammad bachu mungu akuhifadhi uwe na umri mrefu uzidi kuvnja Shub'ha za makhurafi na mifano yao, zidi kutupambanua na tunashika kalamu na daftari ili tujaribu kurithi kielimu Allah atuwezeshe sote Inshaallh.
Allah akulipe kheri shekh muhammad
Shekh Muhammad bachu tunakuelewa sana usikate tamaa unatufundisha sisi
Mola akujazi kheri Muhammad Nassor❤ na akuepushe na yote ya shari
Hakika wewe ni mti kana babako❤
Yusuf Diwani ni mjuaji sana na anajiona anajua hali ya kua hajui sheikh wangu bachu usimuachie hata kidogo ndugu yangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@@SeifHassan-wl7ur wwe unajuwaaaa
Majimaji ya sheikh wetu mahiri Nassor Bachu yanatunufaisha waumini. Allah subhanahu-wata-'ala atuhifadhi sote aamiin 🤲
Tunakuelewa sana shekh bachu ktk hali yanamna hiyo
Naam katka hali ya namna hiyo😅😅😅
Hahaha hahaha hahaha hahaha @@cammackmarck
MASHALLAH SHEKHE WETU ALLAH AZIDI KUKUPA AFYA NYEMA NA WASAA UZIDI KUBAINISHA HAKKI NA SHUBHA WANAZOLETA HAWA WAGANGA NA NDUGUZAO KINA CHAKA. TWAFURAHI SISI TUNAOTAFUTA ELIMU YA HAKKI .TWAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH ❤❤❤❤❤❤
Asslam alykm, WALLAH SHKH MUHAMMAD NAKUPENDA SANA SANA KWA JILI YA ALLAH, ALLAH UKULIPE KHERI KWA FAIDA TUNAYO IPATA,
Alikuita mtoto wa haramu huyo shekhe diwani sijui kwanini kuna kua na natusi katika kulkana na kufahamishana dini ya allah😢😢😢
Hata Sheikh Haji Upepo(haddahuLLAH) baada ya kukwepa munaqasha yuamuita Sheikh Muhammad Bachu(hafidhahuLLAH) kwa jina la "kenge".Wana shida hawa ndugu wa kisufi.
Allah akuhifadhi sheikh wangu akuzidishiye ilmu
Shekh Muhammad Allaah akulipe kila lakheri, na aurefushe umri wako kwenye matendo mema, tofauti, na ktk hili pia la kuwasomesha hawa wajinga wa kitwariqa
Amin Yaa RABB
SHEIKH BACHU
MPUNGUZIE DOZI HUYO DIWANI KWANI AMECHANGANIKIWA KISAWASAWA ILA USIMUACHE ILI TUENDELEE KUNUFAIKA
SUBHANALLAH, HATA SURATUL IKHLAASW BADO UNAKUWA KATIKA HALI ZA NAMNA HIYO 41:36
Allah akuhifadhi sheikh bado Ummah unakuhitaji
Allah akulinde naona masheikh wa maulidi naona wanakupiga vita kila angle 📐
Shekh Muhammad Bachu mpaka hapa tulipofika kila mtu keshajua ukweli uko wapi na keshajua talbis za huyu bwana Diwani. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako ila huyu jamaa asitupotezee muda kama analazimisha ujinga wake mwache abakie kwenye ujinga wake mi nadhani utazame katika ujinga anaosema ukosowe kosaa litajalotupeleka kwenye mada nyingine ili tupate elimu mpya sababu hii tishafahamu kila kitu.
Diwani ataenda mueleza Nini Allah angalia ummah unavyo angamia kwa ulimi wake, wangapi anawapoteza, wallahy huyu mtu ni ibilis wa kibinadamu, tukae mbali na Hawa wapotoshaji wa dini ya Allah
Hivi katika hawa masufi hamna anayeweza kumnasihi katika hili; Hata Sheikh Uthman Maalim Kanyamaza. Basi hii twariqa ni hatari sana kwa maisha ya hata huo uiislam poa!
Haqiqa Allah awaongoe wao na sisi niwatu wakuikanyagia haqi sana
Allah Akuhifadhi sheikh wetu. Wallahi tunafaidika sana.
Diwani kaa kitako utapeli watu, mambo ya elimu na hoja za msingi yana wenyewe, wewe sieeeeee.
Katika hali ya namna hio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Shekhe bachu upo sahihi sana sio lazima kila mmoja akuelewe lakin wewe fikisha tu hak kila mmoja atabeba mzigo wake. Kwan kuna waisilamu wangap katika sisi tunaamini kua mungu yupo lakin kuswali hatutaki asilimia 95 ya waisilamu weng tuna ujanja ujanja sana na weng katika sisi tunaelimu za maulid tu ila kibri ndio tatizo letu
Tubadilike Insha Allah
Yaarabbi muongoze kaka diwani aweza kuyiona haki na aweze kuyi fata aamina yaarabbi
Katika hali za namna hio😂
Ni mitihani sana huyu usufu diwani mm sijasoma lakin simuelewi ata kidogo nahisi ni mwana siasa. Tupo pamoja from 🇲🇫
Sie uku Pemba twacheka tu. Diwani hana tofaut na MLEVI WA WETE
Hakuleta kitabu hata moja, na usitarajie iletwe, sahau hio. Yule ni story teller sio mwalimu
Ila jamani katka siku nimecheka nijana nlivo skiza majibu ya mganga yusufudiwani, yani hata angemskiza mkiristo angegundua hapa diwani anasema uongo kwanamna alivokua anajikanyaga ,NLICHOGUNDUA diwani hana vitabu ila anadandia kule anakopita shekh nandomana anaporoja ilembaya KATKA HALIYANAMNAHIO😂😂😂😂
Yaarabi tuepushe na walimu kama hyu Yusufu diwani dah eti Tena wanafuzi wamekaa kupotoshwa Ila tusishanga mana ni maghurafi wwzake😢
Msiba huu mzito kwenye dini yetu
Yussuf diwani ,,unakufuru omba msamaha kwa Allah, Neno alla ni mungu wa kweli tu ,usilipeleke kwa makafiri,,yussuf diwani kasome ,unaelimu ya kiwango cha chini,,
Nilichogundua Diwan anaufanya huu mjadala kama wa kina mazinge na wahubiri, hoja zake anazjenga kwa mhemko😂😂 Yan km Yale maswal ya "wap andiko yesu karejesha punda"
😂😂😂😂😂
Ati Yesu Mwizi....😢😢
Masufi wanalolijua wao ni maulidi tu na kupiga dufu Lakin fani ya tauhidi hawana
Subhanallah allahu akbar ndo maana tutasema huyu kafiri kama maneno ni haya subhanallah diwani amuogope Allah n afanye shahada tena hii kufru kabisaaa
Yusufu amekua bwabwa katika hali za namna hiyo😂😂
Hali za namna hiyo 😂😂😂Dah kumbe ww pia umeona 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Diwani unajua kwani watu wanaandika ktk hali za namna hio?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aslm Aleykm,ndugu zangu mwacheni Diwani aendelee kdhalilika,wengine tunasoma.
ALLAAH AKUHIFADHI SHEKH WETU USIJALI SISI TUPO NYUMA YAKO SHEIKH
Tusomeni jamani tusije kupotea shukurani sana shekhe ibn bachu
ACHA DIWANI AENDELEE KUFANYA COMED WEWE FUNDISHA WATU, TUNAKUELEWA VIZURI SANA.
KWA HALI ZA NAMNA HIYO
😂😂😂😂 namna hiyo
Leo Diwani amekubali kua wapo wanazuoni wanasema hiyo aya imetaja ALLAH halisi na darsa za nyuma alisema hakuna mwana chuoni yyte aliyesema kua ni ALLAH halisi.😂😂😂😊
Yusuf Diwan Yusuf Diwan Yusuf Diwan nakuita mara tatu, huko uliko tafuta kazi ya kufanya sio kuendeleza hii mijadala na huku elimu yako ni ndogo, utazid kudhalilika mwisho wa siku hata waliokuona mwalim nao watakuona ni mbugila
Zajaakallahu khaira
JazzakAllah khaira
Shekh Nasso tuna kuomba umuulize uyo Diwani wa nyumba 2 kwanza Anajua maana ya (Mushrikina) maana asijekua hajui ndio maana anajizonga.
Mimi nawashsuri hawa wamafunzi wa yussuf diwani watafute mwalimu waende wakasome nawaoneya huruma sana hakuna mwalimu hapo na mkingnganiya kusoma kwa diwani mtakua waganga wa kienyeji
Shekh NASSOR mpe maana ya Allah kwanza maana hatofautishi maana ya MwenyeziMungu (SWA) na Mungu) miungu ipo miungi ila MwenyeziMungu ni mmoja tu.
Nakuombea kwa Allah akuzidishie ufahamu zaidi ili tuendelee kupata nasi ufahamu ktk dini ya Allah. Wewe ni sababu ya kuzuia hawa mashehe waovu wasiendelee kuwapoteza watu.
sheikh Muhammad kwanza Yussuf Diwan ana tumia kitab cha (MAJMAA ALBAHRAYN) ambacho kimeandikwa nasufi wa twarika ya Qadira jina lak ni Halifa Mussa
Al akhy Aslam alaykum Rai yangu huenda munagash baina Huma uwepo
Anatakiwa amche mola wake katika hali ya namna hiyo😂😂😂😂
😂😂😂 atamcha ALLAH katika hali yake ya namna hiyo
Yaani huyu Yusufu ni mjinga kwakweli, yaani sijui anatumia ufahamu gani wallahi
Diwani endelea hivyohivyo ktk hali za namna hio
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤Anaetaka kujuwawashirikina wanayo tauhidi rububia au hawana, waulizeni walipo sasa,Nanimuumba waulimwengu na walimwengu? na nani anauendesha?
Miungu iko miingi. Wahindi wana Mungu wao Ngombe Bhuda wan miungu yao wakristo wana miungu yao. Ila Mola anaestahiki kuabudiwa ni mmoja tu Allah muumba mbingu na ardhi. Mola huyu au Mungu huyu ana siga nyingi zikiwemo za Ulluhiyyah na ribubiyyah.
Yussuf diwani kakma umetumwa basi muogope mungu na ikiwa hujuwi kusoma vitabu na muda huna wa kusoma vitabu usipotoshe wanafunzi wa maana hujui k2
Sheikh! Hivi unatarajia sheikh huyu kuna siku atafungua kitabu zaidi ya daftari;na hata akifungua basi atatoa maelezo butu.
Sheikh Muhammad Bachu Tunakuomba Usichoke Kuwaweka Sawa Hawajasoma Hao Mie Nipo Nje Ya Tanzania Kila Video Yako Lazma Niifatilie Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaah Nawe Pia Azidi Kukutumia Katika Dini
ALLAHUMMA Amin.
Diwali Yusuf hamuna, katika hali za namunahiyo
Saf sn mpk atubie UYO na masufi wenzak wamekaa kimy
We Jaaaheel Diwan Toa Shahada Tena
KWANI hao anaowasomesha hapo huyu DIWANI,hawazioni hizi CLIP za bachu wakamkimbia huyo DIWANI.😂😂
Yusufu diwani bora unyamazee wawadhalilisha masufi wenzakoo unaporoja ebu tulia unajidhalilisha elimu huna kaakimya
Wamepata hasara wanaosoma kwa watu wa bidaah
Enyi wanafunzi wenzangu someni kwa watu wa sunna watu wa maulidi nk ni maadui wa uislaam wapotoshaji
Ahllwa awahifadhi walimu wetu hakika wewe ndio nguzoo ya elimu tuliyo iyegemea.
Yusuf diwani Bora ukae kimya Kwa Sababu Kila ukiongea unazidi kuharibu.. unapotosha watu.. we endelea kufanya uganga wako na kupiga ramli
Hata kwenye siasa diwani ni mtu mdogo kabisa. Hana elimu ya kushindana na spika
Katika Hali ya namna hiyo😅 wanfunzi wako watkukimbiya naona unaendelya kudhaliika hao wanafunzi wako sijui wanajiskiaje
Ndugu yang katika Iman mm nge omba kwa heshima zote achana nae huyu diwani ushamfanya ubao na sisi tusha mjia ni nani na ufaham wake uko vp tudili na elimu nyengine maana kila siku ana kufuru tuuu
DIWANI aombe msamaha kupitia CLIP hii,hasa hilo suali ,HAIWI MILELE yeye anasema LINAKUA MILELE 😂😂😂hapo nimecheka kwa Diwani.aisee diwani bwana .
WAALAYKUMU ssalaam warahmatullahi wabarakaatuh
Wallahi Yusufu Diwani anadhalilika, ana ropoka ropoka tu wallahi hajui hata anaongea nini.
Sheikh Muhammad Bachu tumia ubao uo kutuelewesha haki 😅
Assalam Alaykum huyu diwani inaonesha akiswali hazingatii anachokisoma ndali ya Quran anasoma tu bila ya kuzingatia hivi yy maneno anayosema baada ya kufungua swala annayapima ktk akili au ndo kasuku Allah atupe unyenyekevu ndan ya swala tujue nn tunesema cio tunafanya tu
Mganga aumbuka jamani msaidieni mana anongea asiyo yajua
Asalam alaikoum nd wakwanZa mm Leo mashallah
Namimi niwapili kaka ,tujitahidi kuskiza hakki,tupate elimu yenye dalili
KATKA HALIYANAMNAHIO😂😂😂😂😂😂😂
Maashallah,,, jazaakumullahu khaira
Mamb naona yanakwenda ktk hali ya namna hio😢
😂😂😂katika hali za namna hiyo
basi kumbusha hakika ya ukumbusho huwafaa wenye kuamini
Matusi hana mpinzani;elimu ya dini mmmm^alijikita kusomea Uganga apige hela
Uyo mganga ataendelea kukufur mpaka lin😢😢
Waalaykum salam warahmatullah
wabarakatuh
Msomeshe mpaka aikimbie youtube😂
Ktk hali za namna hiyooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1😄😄😄😄😄
😂😂😂huyu mtoto leo kajichanganya mwenyewe katika hali za namna hiyoo😂😂😂 yaani Shekhe Yusuf hata katika crip zake sujajua anaelewa anachofundisha
HIVI KWA NINI MASHEKH WAKISUFI HAWAMSAIDII MWENZAO WAMEKAA KIMYA KAMA HAWAONI KINACHOENDELEA WAMEONA WAACHE KIMPATE ANACHOKITAKA😂
Ama juu ya elimu za nyota juu ya huyu huyu diwani na mapete atumiayo
Kila uchao diwani aja na vituko vipyaa n
Yussuf diwani mwehu sana kumbe weye weye kafiri kumbe wallah ukifa bila ya kutubia bc utaenda pabaya kwnz wapoteza watu bora upotee mwenyewe kuliko kupoteza watu nahuo ndio ubaya wabidaa bora anaezini kuliko bidaa
Anapotosha watu .kwan allah.wapo wangap???? .duuuh
Uchamungu uko moyoni yani huyu yusufu Diwani anavyokuwa jasiri kumkataa hata Allah! anatarajia nini huyu?
Hao wazazi walio kupa watoto wao ni wajinga kama wewe yusuf.
Kama uko mtoto wangu nimekupa kwa ujahil basi ningekuja nikamtwa kwa magongo...Maana Diwari sio mwalimu ni mpotoshaji na kuwafanya watoto kuwa waganga kama yeye.
Katika hili yusufu diwani hajadhalilika, washirikina hawana tauheed kabisa! Maana hapo washirikina ktk kuomba nakutakasa dini ( ibada) kuomba nakutaka msaada kwa Allah sindio wanaita uluhiyyah? Inamaana hiyo rububiyyah wamekuja nayo au wameikiri baada yakupata matitizo? Sasawakisharudi kwenye ushirikina nakumshirikisha Allah watabakivipi na tauheedi?
Kasome au fuatilia tangu mwanzo wa darsa za Sheikh Muhammad Bachu(amuhifadhi ALLAH) kwa fikra huru(bila ya ta'asub) utaelewa.
Katika hali ya namna hioooooo!!! 😮😮😮.
Diwani naomba kukuuliza na unijibu hata kwenye clipu yako nyengine uyakaoitoa.
Sualla1). Kwanini unazuia watu wasi comment kwenye vidio zako.?
Hii huoni kua inakujengea wewe sifa mbaya. Inakudhihirishia kua hujiamini unachokitetea.
Pili LAbda kutokana na unavoutumia vibaya mdomo wako unajiskia aibu nafezeha kuona comment zitakua nyingi zakukupinga
LAKINI PIA SHEKHE KUNA HII SHUBHA YA HUYU KAFIRI ANAEJIITA XIMAMU ,AMBAE ANASEMA KUNAHADISHI YA MAMA AISHA ANASEMA KUR,ANI IMETIWA MIKONO TWAOMBAPIA UJE UIWEKESAWA SHEKHE LETU
Weka link hapa
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Sheik mbona ulitusomea kitabu cha imam dhahab kumbe imam ni alikanusha hiyo tawheed sio aliiunga mkono.
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Hivi sheik hizi tawheed 3 MTUME alishawahi kuzifundisha?.
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
Allah shekh bacho nakupenda Kwa ajil ya Allah ila hat Mimi nakuomba San utuondolee hyo shubua ya hyo KAFIRI anatumia kitabu Cha IMAMU SUYUTWI, kuwa MAMA AISHA R,A KASEMA kuwa Qur ANI inamapungufu, nikuombe shekh tuondolea hyo shubuha
INSHALLAH
@@IsmailSanga
PUNGUZA USHABIKI SHKH anasomesha Kwa ushaid kabs ulio wazi so hyo MGANGA wako nyota na Pete ananakil kweny kalatas ukibisha njoo n mim huku nikupe ushaid kuwa mtume kafundish tahid 3
Assalamualaikum mja wa ALLAH