"MANDOJO ALIKUTWA KAJIFICHA KWENYE BANDA LA MBWA KANISANI, WALINZI WAKAMDHIBITI" POLISI WAELEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 120

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje หลายเดือนก่อน +10

    Acheni kutuona sisi ni wasenge, mwizi atajifichaje kwenye banda la mbwa? tunamtaka mandojo wetu😢 hiyo ilikua ni #MISAYAMAUAJI😢😢😢

    • @BobShirima
      @BobShirima หลายเดือนก่อน

      𝕨𝕒𝕤𝕖𝕞𝕖 𝕥𝕦𝕦 𝕨𝕒𝕞𝕖𝕞𝕦𝕒

  • @shabanborondi6526
    @shabanborondi6526 หลายเดือนก่อน +8

    Hapo sijaelewa amejificha ,sasa angetakiwa wamkamate na kujua kwnn yupo pale sio kumshushia kipigo mpaka kupelekea kifo,tthat doesn't make sense at all,come on man!

  • @barakachibwana3708
    @barakachibwana3708 หลายเดือนก่อน +5

    Walinzi hawana elimu ya kumkamata MTU na kumhoji ni wapumbavu tyu na hapo hao walinzi wahame la sivyo nao lazima wamfate pumbavu Sana ,kumpiga MTU bila sababu ni ufala sana

  • @lowkeybongo
    @lowkeybongo หลายเดือนก่อน +9

    Hii nchi kila kitu kimekaa ovyo

  • @neemajohn9024
    @neemajohn9024 หลายเดือนก่อน +7

    Kwan mbwa walikua wapi? Maana hao mbwa wasinge nyamaza

  • @khaliliqbal-dx6lm
    @khaliliqbal-dx6lm หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mlinzi atakuwa amemkamata na kumpiga kwanza kisha kumfungia kwenye banda la mbwa na kuwasubiri wengine waje wamtoe bandani na kisha wakaendelea kumpiga hadi kaumia vibaya mno...that's my assessment of what I read and hear online....

  • @ChuxDaniel
    @ChuxDaniel หลายเดือนก่อน +2

    waafrika Yani sijivunii kuwa muafrika kabisa ya sio Afrika ya now days mmejaa ujinga tu

  • @bongo39
    @bongo39 หลายเดือนก่อน +4

    😮mshaanza kuwatetea watu wa kanisani sio mnasema wamemdhibiti na wakamkabidhi polisi kwahiyo mnataka kusema alipigwa na polisi sio mpaka kifo kilichomkuta haki itendeke

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 หลายเดือนก่อน +1

      Na hiyo video iliyoonekana akipigwa na walinzi je sio ushahidi tosha?

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 29 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuh😢

  • @erastorichard8290
    @erastorichard8290 หลายเดือนก่อน +4

    Yani Kumdhibiti ndo Kumuua? Mbona Taarifa Yenu Haieleweki ? Tena Maeneo Ya Kanisan? Kama Mlimkuta kajificha si mngemhoji Na Sio Kumshambulian

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani sioni hata sababu ya kuwaita hao watu eti ni waumini hao ni wauaji wanaenda kanisan kuja tu makanisa ila roho ya kumwabudu mungu ni ziro

  • @matlidaandrew9391
    @matlidaandrew9391 หลายเดือนก่อน +3

    Pumzika kwa aman bro

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 หลายเดือนก่อน +10

    Kwahyo Hadi kanisani ,, duh,, unaweza enda sehem ukazani kuna usalama kumbe lahasha

    • @shabanborondi6526
      @shabanborondi6526 หลายเดือนก่อน +1

      @@jeremiahcharles6027 eti walinzi wa kanisa na waumini...wanamshushia mtu kipigo kwa sababu amejificha kwenye Banda la mbwa! Kweli???!hao wakamatwe aisee

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@shabanborondi6526siku hizi romani catholic,Shetani ameshawavaa kabisa,walianza na MTOTO ASIMWE LEO NA MANDOJO YAANI😢,WAROMAN CATHOLIC TUJITAFAKARI SANA,ROHO YA MTOTO ASIMWE ITALITESA SANA HILI KANISA LETU,YATUPASA TUOMBE TOBA AISE.😢

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      Koma wewe me sio mkatoriki lakini huwezi kukishambulia kanisa Kwa kosa la mtu Mmoja ,we huko kwenye nyumba zenu za ibada hakuna wakosaji?

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน

      @@emmadora7848 Mimi MKATOLIKI original ndo maana nimejisema Mimi na wakatoliki wenzangu,Kwa hiyo wewe kaa Kwa kutulia,tuliza kinembe kikunwe.

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 หลายเดือนก่อน +4

    Hata km.ndio mumpige mpk kifo mngemshika apelekwe police

    • @RehemaSaid-ww1mm
      @RehemaSaid-ww1mm หลายเดือนก่อน +1

      Na police wana kosa Mt kapigwa mnarudisha selo? Na inaoneiana alizidiwa hakuweza kutoa taarifa kw ndg zake.

  • @SaluTen-d8s
    @SaluTen-d8s หลายเดือนก่อน +6

    Polisi wa bongo acheni ukuma

  • @Dully_star
    @Dully_star หลายเดือนก่อน +4

    Serikali kuweni chapu cc huyo ni mtu wetu wa karibu hakunaga kumdhibiti mtu kwa kumuua walipaswa wamuweke chini ya ulinzi kama mtu alilewa kwann wampigeee?? Huko ni kujichukulia maamuzi mikononi hatutaki maelezo zaid yakuskia waliompiga wamekamatwa , yan unavyoelezea ni kanakwamba ni jambo lakawaida kanakwamba kakutwa na kidhibity kua amekutwa anaiba em fanyeni kama mnavyofanyaga mkikamata watu wasio na hatia maan mmezoea kutoa comand za ajabu kwenye masuala yakawaida ila hili suala linalogusa nchi nzima nyie mnachukulia kawaida kwanza hakunaga mtu alie juu ya sheria kwahivyo kuweni serious kidogo

    • @STAZIUSMAGOMA
      @STAZIUSMAGOMA หลายเดือนก่อน

      sasa ameshakufa unatka nn zaidi

    • @nicethgabriel3319
      @nicethgabriel3319 หลายเดือนก่อน

      Kwavile amekua maarufu, wangepiga Mlala hoi ungesikia ni mwizi

    • @DenisNchimbi-oi8wt
      @DenisNchimbi-oi8wt หลายเดือนก่อน

      R.i.p Man dojo, Kanisani ni sehemu salama sasa mbona sio salama? Mtu amekuja kanisan ahojiwe kilicho mleta sio kumshambulia mithili ya jambaz labda alikuja kutubu zambi zake ss simtazibeba nyie! Hpo mmejires sana.

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 หลายเดือนก่อน +2

    Sipendi kuongea maneno makali ila TZ kuna matukio yanaumiza na polisi mnatoa taarifa yani hata hazieleweki .
    Kuna matukio yanazimwa tu juu juu kuna yule dogo alotaja mpaka kituo cha pilice mpaka leo hatujui ile kesi imeendaje .
    Hata ile ya binti alobakwa itaisha ivo ivo tu juu kwa juu ..
    Naumia mimi yani basi tu.

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 หลายเดือนก่อน

      Hujatembea bora Tz hujawahi toka nje ya nchi y'ako Tz mbona iko vizuri kuna viloja kwenye nchi zingine tembea uone

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@festinamwakipale3919Sijawahi kutoka nje ya nchi yangu wewe unajua mimi niko wapi unanijua mimi nani unajua kazi ninofanya ?

  • @MirajiNtandu
    @MirajiNtandu หลายเดือนก่อน +1

    Eti huyu nae ni kamanda wa polisi du!!

  • @ip_header
    @ip_header หลายเดือนก่อน +3

    Mtu anajifichaje kwenye banda la mbwa? hapo kuna kitu kinafichwa

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ni nchi ya kubalance mambo tukienda kwa marefa wa michezo tunawapa lawama kila siku haya hapa polisi mkubwa tu wa mkoa tena anatoa taarifa hizi 🤦‍♂️🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @kevinchaula777
    @kevinchaula777 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa mtu kajificha unapiga badala ya kumuuliza vizuri kwanin kajificha.....

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 หลายเดือนก่อน +1

      Si ndiyo hapo sasa! Mtu amejificha ndani ya banda halafu mnamshambilia hadi kifo ? So sad..

  • @MwanahamisiBwanga
    @MwanahamisiBwanga หลายเดือนก่อน

    Daaaa inauma sanaaa

  • @BettyJoseph-d2o
    @BettyJoseph-d2o หลายเดือนก่อน +2

    HII TAARIFA HATA HAIELEWEKI

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l หลายเดือนก่อน +1

    Mtu akishakufa ndo bc tena.angekuwepo angetueleza kilichopelekea aingie bandani.
    Siamini waumini wote wangeweza kumshambulia asiwepo hata mmoja wa kutoa wazo la kumhoji.
    Ina maana hafahamiki hapo kwenye huo mtaa! Maana ni kama alikuwa anatembea kwa miguu.
    Nyuma ya pazia kuna kitu.

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 หลายเดือนก่อน

    Mimi nalaani kitendo cha kumuua binadamu mwingine haijalishi sababu ni nini lakini jamani ni mbaya kufananisha mnaweza kuta jamaa alikua na kale katabia , mimi rafiki yangu ni mkenya mdogo wake alikuja kuiba benki arusha na wakaua sema ndugu wote walikua hawajui kwamba alikua jambazi tena kenya alikua na kazi nzuri tuu

  • @AnnaRuben-yw4fk
    @AnnaRuben-yw4fk หลายเดือนก่อน +2

    Jamani kwani hawa walinzi kwa nn wanajichukulia sheria mkononi wangemhoji kwanza ila tumuombee upumzike salama machung ni meng sana😢

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 หลายเดือนก่อน

      Nadhani alihisi ni teja anataka kumdhuru. Sasa kwa kujihami ndo kumpiga. Alimwogopesha mlinzi

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 หลายเดือนก่อน +1

    Alikua anatafuta nn bandani jamani??

  • @filbertivo1988
    @filbertivo1988 หลายเดือนก่อน +5

    Taaarifaaa yenyewe hata haieleweki

  • @abel_esam
    @abel_esam หลายเดือนก่อน +1

    Only God Knows What Really Happened. So jamaa aliona home hapafai kwenda, bora aende kanisani akalale banda la mbwa, why? Pengine nyumbani kwa moto. Wanawake zetu wanamchango mkubwa sana kwenye afya zeti za akili. Tulindeni jamanai

  • @EnathaclepinChristian
    @EnathaclepinChristian 26 วันที่ผ่านมา

    hawa wanawake nao ni sumu tu kwetu sisi wanaume.anaweza akakuchanganya hadi ukapoleza mwelekeo kabisa.yaan banda la mbwa ukawa unaliona kama banda la binadamu tu.

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 หลายเดือนก่อน +1

    Kumdhibiti na waumini wengine Au Kumpiga? RIP Mwamba..

  • @RehemaSaid-ww1mm
    @RehemaSaid-ww1mm หลายเดือนก่อน +1

    Kumdhibiti au kumpa kipondo. Ila Tanzania! Ss km alikuwa na Hali mbaya mlimrudishaje police?

  • @bavonnyaulingo4188
    @bavonnyaulingo4188 28 วันที่ผ่านมา

    Habar zinaleta mkanganyiko,nahc kuna kitu hakijakaa sawa hapo

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh kumdhibiti au kumshambulia?

  • @brendaurio4480
    @brendaurio4480 หลายเดือนก่อน +2

    Bdo sijawaekewa lkn bc mungu alipanga tu kl kt

  • @user-dz9cn1gw2j
    @user-dz9cn1gw2j หลายเดือนก่อน

    Yan sijaelewa kabisaaa mana mtu kajifungia kwenye Banda kwanini asifunge kwa nje Hadi polisi waje? Na kumzibiti walimzibiti vipi wakati hajapigana wala kupinga chochote na kajificha kwani alikuwa anatafutwa au kukimbizwa?

  • @Mkatili
    @Mkatili 18 วันที่ผ่านมา

    Na hilo kanisa kunawatu bado wanasali pamoja na mauwaji kufanywa na wao wenyew

  • @mangaikwelamatengo8556
    @mangaikwelamatengo8556 หลายเดือนก่อน

    Waumini waliua wakarudi kanisani Kutubu kwa Padri siku ikaendelea..Umeuliwa Kanisani hata kama kwenye banda la Padri sio Poa..Waumini wamemuchia msala Mlinzi..Nyoosheni rula

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki หลายเดือนก่อน

    Ndio maana polisi siwapendi ,kumbe kanisani wa wafuga mbwa,tuonyesheni hiko kibanda,acheni upimbi

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 หลายเดือนก่อน

      Jaman ni mlinzi.wa kanisa akishirikiana na waumini polis walimsaidia kumpeleka hospital watanzania Mungu ameweka hukumu.duniani hukumu zipo mnahubiliwa hamtaki mkichoka mnakimbilia makanisani Yeah sio shimo la takataka na saizi mnaopenda kutengeneza midhambi na kulifanya msifikili yupo mtu.hajachoka kama wewe umechoka jua watanzania wenzio.wamechoka zaidi.yako

  • @FredMwambenja
    @FredMwambenja หลายเดือนก่อน

    Kweli Dunia imekwisha jamani yaani kumpiga mtu hata hujamuuliza shida yake. Duuu

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwa nae alikua wapi

  • @MrReeval
    @MrReeval หลายเดือนก่อน

    Kudhibiti maana yake nini?

  • @SaeedHabib-kz3of
    @SaeedHabib-kz3of 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa kujifugia Kwa banda la mbwa ndio kisa na maana kumpiga rubbish

  • @channelvtanzania
    @channelvtanzania หลายเดือนก่อน +1

    Rip MANDOJO

  • @NassoroNassoro-w3n
    @NassoroNassoro-w3n หลายเดือนก่อน

    Kumdhibiti kwani yeye alileta Mapambano yoyote? Mnasema mlinzi amemkuta amejifungia kwenye banda ,hii haijakaa sawa.

  • @adolfchrisantus
    @adolfchrisantus หลายเดือนก่อน

    Watu wanasali means ni wakosefu, na watu Hao Hao ndo wameua mtu, Tena kanisani...naichukia hii nchi hakyamungu

  • @musaelisha2028
    @musaelisha2028 หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa ameiba au.?

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 หลายเดือนก่อน

    Yani watu wana mashida yao na matatizo yao,wanaona bora wakimbilie kanisani,huenda ndio sehemu salama kuliko zote, lakini matokeo yake wanaonekana kama wezi,wanashushiwa vipigo mpka umauti.😢
    Lilikuwa ni suala la kumtoa huko kwenye banda na kumuhoji shida nini?Na sio kumjaji moja kwa moja kuwa ni mwizi na kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo.😢
    Rest easy bro💔🕊️

  • @pelagyaurassa6307
    @pelagyaurassa6307 26 วันที่ผ่านมา

    Kama mlinzi analinda getini hakumuona marehemu akipita? Na kama ni jumapili alienda kanisani si alitakiwa awe ndani ya kanisa?!!huko nje ilikuwaje mpk waumini watoke nje waje kumshambulia?na hlo banda la mbwa lilikuwa eneo gani kwenye kanisa ?kuna kitu hakipo sawa hapo!!familia na kanisa viweke vitu sawa ili jeshi la police litoe taarifa inayo eleweka.

  • @edithamboya5016
    @edithamboya5016 หลายเดือนก่อน

    Kumdhibit ndo nin ? Talk straight

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya หลายเดือนก่อน +1

    kwahio alikuwa anaiba mbwa?

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi kuna mambo yannatia sana hasira qmmke, yaani unamsikiliza mtu huku umekunja ngumi, yaani mtu akajifiche kwenye banda la mbwa? Banda la mbwa?? Nyie hebu acheni ujinga bwana!! Sasa kanisani ni sehemu salama how wamuue? Hilo kanisa nalo sio sehemu salama aise, ee Mungu jmn

  • @JUNIORFASHIONCOLLECTION
    @JUNIORFASHIONCOLLECTION 16 วันที่ผ่านมา

    Kumzibiti ndio nini semeni mulimpoga

  • @OMARKOMBO.9984
    @OMARKOMBO.9984 12 วันที่ผ่านมา

    Cjaelewa kitu

  • @obedimwakagali7755
    @obedimwakagali7755 หลายเดือนก่อน

    Mbwa walikuwa wanabweka inamaana alikuwa anawaogopa ndo maana nlikataa kusali makanisa ya Roma ni yakihuni tuu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      We naye mwehu kweli ,ukienda Kwa watu wanafuga mbwa na wale mbwa hawakujui unadhani watakuchekea ? Punguza unga

  • @SilajiYusuph
    @SilajiYusuph หลายเดือนก่อน

    Jamani please ambae kaelewa moja alikua kwenye kibanda cha mmbwa alipitaje kwenye uzio hadi kuingia kwenye kibanda cha mmbwa na mbwa na mlizi walikua wapi tena mkidai kazibitiwa inamaana ni jambazi au kasaidiwa eee jamani hv vtu vingine msiposti

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 หลายเดือนก่อน

    Yani hii nchi. Ni uongo tu ata haiingii akilini maelezo hayaeleweki waseme tu ukweli kanisani ni sehemu ya ibada

  • @swahiliforex
    @swahiliforex หลายเดือนก่อน +1

    kumdhibiti?

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 หลายเดือนก่อน

    Kumdhibiti kwani alikuwa a akimbo au alikuwa anawazuru??

  • @neamusic2601
    @neamusic2601 หลายเดือนก่อน

    Wamemkuta ktk banda la mbwa na kuita waumin kumpeleka hospital.

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 หลายเดือนก่อน

    Eeeh asee kwaiyo mtu akiwa kwenye banda anadhibitiwa hadi kufa

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwaa hakuwepo

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe uchunguzi Bado unaendelea

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie Waumini wa hilo kanisa hamuendi mbinguni.

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +1

      NambonguZitatowekaWatajuwapakushika

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 หลายเดือนก่อน

    Lafaeli umeua mtakuja kumuua ata yesu maana walisema atakuja kama mwizi.. ehe bwana ulimdhibiti alikua na siraha gani muuaji mkubwa ww

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 หลายเดือนก่อน

    Kumdhiti?

  • @darhustler
    @darhustler หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo Mandojo kapigwa na waumini wa kanisani?
    Au watu na baadhi ya waumini wa kanisa?
    Au ambavyo sielewi?
    SEE NO EVIL HEAR NO EVIL

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 หลายเดือนก่อน

    Kuna kipindi ilitoka taarifa ya kuvunjwa nyumba yake jamaa ana mkosi kweli

  • @jonasibraysoni1859
    @jonasibraysoni1859 หลายเดือนก่อน

    sawa ss kaiba nn mpaka aigweee

  • @khaliliqbal-dx6lm
    @khaliliqbal-dx6lm หลายเดือนก่อน

    Afinywe mapumbu na pliers huyu mlinzi mbele ya wanafamlia waliompoteza ndugu yaonataongea tu kama haongei mkateni pumbu yaani gololi mmoja ataongea kama kasuku

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial หลายเดือนก่อน

    Kumdhibiti kwa kosa gani? Acheni upuuzi bas

  • @rogersiddy
    @rogersiddy หลายเดือนก่อน +2

    Amejifungiaje sasa inamaana walikuwa hawajafunga na kufuli hayo mabanda ya Mbwa?

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 หลายเดือนก่อน

    Bangi ukizivuta sana unaweza changanyikiwa

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r หลายเดือนก่อน +1

    Hata kama alikutwa huko.kumuuwa haikupaswa

  • @giztony2009
    @giztony2009 หลายเดือนก่อน

    Parokia ya watakatifu wote nzuguni B wasengelema wakubwa

    • @berthandollo3227
      @berthandollo3227 หลายเดือนก่อน

      Tena ni mbwa kabisa, japo na mimi ni mkatoliki lkn wamenikera hawa wahumini

    • @giztony2009
      @giztony2009 หลายเดือนก่อน

      @@berthandollo3227 Hata mm ni mkatoliki tena nimekulia misheni na nimesoma seminari

  • @stellakago1345
    @stellakago1345 หลายเดือนก่อน

    Haingii akilini

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq หลายเดือนก่อน

    Iyo ndio bongo land au bongo longo longo. Uongo mtupu shenzi nyie selikali ya bongo kila siku inapokea tahalifa bila kuhufanya uchunguzi kwa kina

  • @mccarthymhandojr6220
    @mccarthymhandojr6220 หลายเดือนก่อน

    Walimdhibiti au walimpiga matako wew na suti yako

  • @BobShirima
    @BobShirima หลายเดือนก่อน +2

    𝕕𝕦𝕙.... 𝕜𝕦𝕞𝕓𝕖 𝕒𝕝𝕚𝕛𝕚𝕡𝕒𝕥𝕪𝕒 𝕞𝕤𝕒𝕒𝕕𝕒 𝕨𝕒𝕜𝕦𝕛𝕚𝕗𝕚𝕔𝕙𝕒 𝕜𝕒𝕟𝕚𝕤𝕒𝕟𝕚. 𝕝𝕜𝕟 𝕓𝕕𝕠 𝕨𝕒𝕦𝕞𝕚𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕜𝕒𝕞𝕦𝕦𝕒.... 𝕤𝕨𝕒𝕝𝕚 𝕨𝕒𝕦𝕞𝕚𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕝𝕚𝕟𝕘𝕚𝕒 𝕜𝕒𝕟𝕚𝕤𝕒𝕟𝕚 𝕟𝕒𝕜𝕦𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕖𝕒 𝕟𝕒 𝕚𝕓𝕒𝕕𝕒?

  • @RoseChapesi
    @RoseChapesi หลายเดือนก่อน

    Wakristo ni wauwaji wanamisa za mauaji walimuua Yesu haijatosha tuuh

    • @megaace361
      @megaace361 หลายเดือนก่อน

      Marehemu nae alikuwa mkristo

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      Umechanganyikiwa na maisha wewe si bure 😂😂😂😂😂

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa kapigwa msikitini ungeona coment za chuki za baadhi ya wakristo ndo mjue kua kuna mambo ni bahati mbaya tu haihusiani na dini

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 หลายเดือนก่อน

    Wambieni hao askari wawe na majibu mazuri tunashukuru kwa kazi yenu lakin how come mtu apite getin na walinzi wapo mpka banda la mbwa na pia how come akae banda la mbwa na Mbwa wapo?

  • @MussaHaruna-j8i
    @MussaHaruna-j8i หลายเดือนก่อน

    Mmmnh

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 หลายเดือนก่อน

    Wamemzibiti au wamempiga

  • @communitycharitableorganiz4618
    @communitycharitableorganiz4618 หลายเดือนก่อน

    Bullishit

  • @gidofond5119
    @gidofond5119 หลายเดือนก่อน

    Hao walinzi ni watoto wa 2000 sio bure, wakamatwe.

  • @Jackjuneart_tz
    @Jackjuneart_tz หลายเดือนก่อน

    Hizi story za ndeshao hazieleweki

  • @songombingo108
    @songombingo108 หลายเดือนก่อน

    Utata

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii wa zamani wengi wao ni wazururaji tu pia hawajafanikiwa, ko wengi wao ni vidokozi sana

    • @popawiz5481
      @popawiz5481 หลายเดือนก่อน +1

      Ww umefanikiwa mzee kunyamaza ni vizur pia

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu naskia alikuwa na tatizo la kiakili

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo alienda kudokoa mabenchi au mbwa huko kanisani???
      Hivi angekuwa ndugu yako ungeongea haya??Au ni vile humfahamu ndo unasema hivyo??Dojo hana historia ya udokozi,na alikuwa na biashara zake Kariakoo.Tuache tumlilie mfu wetu kwa amani bro.

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna kipindi ilitoka taarifa nyumba yake inavunjwa jamaa ana mkosi kweli