Jionee reli ya umeme sgr njia nzima Morogoro Hadi Singida Imekamilika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 3 หลายเดือนก่อน +3

    KAZI NZURI SANA, HONGERA MAGUFULI, HONGERA MH RAIS SAMIA, UMEPAMBANA KUIFANIKISHA NDOTO YA MZEE BABA.

  • @United-Bantu-People
    @United-Bantu-People 3 หลายเดือนก่อน +1

    JPM oyee

  • @mnanasuly2585
    @mnanasuly2585 3 หลายเดือนก่อน +3

    Maneno yako ya kumsifia magufuli peke yake bila kumtaja mama sijakuelewa dhamira yako

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 3 หลายเดือนก่อน

      Alaaa kumbe mkuki kwa nguluwe kwa mwanadamu ni woi woi nafaaaa 😂😂😂 hapa ni mwendo wa mzee baba tu kwa kwenda mbele mbona nyie serikarini mmeambizana ni mwendo wa kumsifia mama 😂😂😂 sasa mbona mnapaniki kwa mtu mmoja tu tena kwa huyu jamaa wa TV YA TAIFA 😊😊😊

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 3 หลายเดือนก่อน

      hebu rudi katika ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015 mambo yote ya reli ya sgr ipo na siyo ndoto ya mtu inatakiwa afrika mashariki tuwe na sgr

    • @JIWE-G-UNIT
      @JIWE-G-UNIT 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@shinipapaya846mama makinda alisema ma member wa ccm walishatunga sheria Ya kupinga serikali isihamie dodoma jinsi ccm walivyokuwa hawampendi jpm, jpm alikuwa ana Akili kubwa kuliko marais wengine waliopita labda jk Nyerere tuu

  • @dallerbwoyniglo8675
    @dallerbwoyniglo8675 3 หลายเดือนก่อน

    Acha tumtetee sio maono ya magufuli ni😂kazi ya magufuli😂

    • @violethurassa7072
      @violethurassa7072 3 หลายเดือนก่อน

      Sitamsahau jpm kwa juhudi kubwa