Jamani lini mnafanya❤testing ya EMU tumeshachoka Na pia mfungue account on social media specifically for Nyerere Express just like Gautrain or MadarakaExpress or ICE trains acheni kuwa wazito jamani this is the time to boast marketing
Treni ni nzuri sana, naipongeza TRC But platform za SGR sio rafiki kwa walemavu. Walemavu hawawezi kuingia ndani ya Treni na baiskeli yake bila msaada. Kwa stesheni ambazo bado hazijajengwa ni vizuri mkazilinganisha sawa sawa na mlango wa behewa
TRC Reli Tv please punguzeni kuonesha wanasiasa wakitoa hotuba n.k kwa mfano huyo mkurugenzi wa trc anaongea maneno hayo hayo kila mara tumechoka.Onesheni mradi unavyoendelea n.k. Kwa mfano tungependa kuona maendeleo ya stesheni ya Dodoma kwa mchana.Mnazidiwa hata na TH-camr Explore with Bertin amefanya coverage nzuri sana na amepata views nyingi across the continent iweje nyie wenye financial resources hamfanyi vizuri?
Tatizo lenu Trc Reli tv, you spend too much video time showing us politicians Instead of showing us the train.!! TUNATAKA KUONA TRENI !! Sio wana siasa bwana!
mko nyuma sana upande wa Video productions jifunzeni kwa TH-camrs, yaan shirika la serikali kabisa mnashindwa kuproduce video zenye Quality Kubwaa, Kumbukeni video zenu zinaweza kutumiwa na mashirika makubwa ya habari pamoja na youtubers wenye Millions of subscribers so hakikisheni mnakuwa na hadi 4k ili videos zenu zitumike vizuri na creators wanaotaka kuongelea hili suara la reli ya umeme
Kulikuwepo na wazo la SGR kutoka tanga- kilimanjaro - arusha- mara ilioishia wap?! Labda ingeongezwa mkoa wa Pwani ili reli hio iudumie Bandarn mbili (Tanga na bandari ya kimkakati ya bagamoyo) na kutengeneza special economic zone bagamoyo kama ilivo mpango wa serikali
Magufuli apewe beheewa lake, huyu mzeee ndie aliye thubutu kusema tunaweza hata kama wametunyima mkopo. Pongezi Kwa serikali kufanikisha hili 👏👏
Jamani lini mnafanya❤testing ya EMU tumeshachoka
Na pia mfungue account on social media specifically for Nyerere Express just like Gautrain or MadarakaExpress or ICE trains acheni kuwa wazito jamani this is the time to boast marketing
Treni ni nzuri sana, naipongeza TRC But platform za SGR sio rafiki kwa walemavu. Walemavu hawawezi kuingia ndani ya Treni na baiskeli yake bila msaada. Kwa stesheni ambazo bado hazijajengwa ni vizuri mkazilinganisha sawa sawa na mlango wa behewa
Nimependa sana wahudumu wa train the way walivyo vaa, smile zao, tembea hakika wanavutia
TRC Reli Tv please punguzeni kuonesha wanasiasa wakitoa hotuba n.k kwa mfano huyo mkurugenzi wa trc anaongea maneno hayo hayo kila mara tumechoka.Onesheni mradi unavyoendelea n.k. Kwa mfano tungependa kuona maendeleo ya stesheni ya Dodoma kwa mchana.Mnazidiwa hata na TH-camr Explore with Bertin amefanya coverage nzuri sana na amepata views nyingi across the continent iweje nyie wenye financial resources hamfanyi vizuri?
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika
Tatizo lenu Trc Reli tv, you spend too much video time showing us politicians Instead of showing us the train.!! TUNATAKA KUONA TRENI !! Sio wana siasa bwana!
Uchawa umeathiri sana watendaji.
mko nyuma sana upande wa Video productions jifunzeni kwa TH-camrs, yaan shirika la serikali kabisa mnashindwa kuproduce video zenye Quality Kubwaa, Kumbukeni video zenu zinaweza kutumiwa na mashirika makubwa ya habari pamoja na youtubers wenye Millions of subscribers so hakikisheni mnakuwa na hadi 4k ili videos zenu zitumike vizuri na creators wanaotaka kuongelea hili suara la reli ya umeme
Dar - Dodoma inachukua Muda gani
Kulikuwepo na wazo la SGR kutoka tanga- kilimanjaro - arusha- mara ilioishia wap?!
Labda ingeongezwa mkoa wa Pwani ili reli hio iudumie Bandarn mbili (Tanga na bandari ya kimkakati ya bagamoyo) na kutengeneza special economic zone bagamoyo kama ilivo mpango wa serikali
Na Ile mchongoko itatestiwa lini?!! Au Ile haina haja ya kutestiwa?!!
Tusubili uchaguzi