Shee Othman allah akujaalie sana kwa visomo unavyo tufanyia nilikuwa naumwa sana na homa zisizo eleweka imehangaika sana kwa waganga napata unafuu kisha hali inaanza tena sikujijua kuwa nina jinni mwilini leo nimetambua laivu kwa uwezo wa allah kupitia hiki kisomo nilivyo kuwa nikisikiliza jasho lilikuwa likinitoka ila mbele pale kile kipengengele cha kumuadhibu jinni wallah nimeshaa sana leo nikaanza kutingishwa kichwa hatarii kila nikijituliza wapi kitwa hakitulii naulivyo sena naomba muongee mlichotumwa kwa mgonjwa mdowangu ukaanza kutikisika kwa spidi jamani mungu mkubwa sana kwa sasa najiskia vizuri kabisa alla akulipe leo na kesho akhera oshaz othmani
Shukran sh.Othman Michael kwa Dua hii na kwa kutuondolea maradh haya Allah akulipe, Allah akufanyie wepes kwa Kila jambo lako unalofanya na ulalolihitaji InshaAllah Allah atupe mwisho mwema Amina
shukran sana shekh wetu nimesikiliza kisomo hadi mwisho kwakweli najihisi mwepesi sana sasa,,na ulipokua ukiendelea na visomo mwili wangu upande mmoja wa kushoto ulikua ukiingiwa na barini sn ,nashukuru niko sawa sasa,.. jazakal kheri ya shekh
Yaani shekhe izo dalili ulizo taja yakwanza ni mimi kabsa naumwa kichwa xana upande mmja mbaka shingo cwezi kulala allha akupe maisha marefu uzidi kutufunguwa inshaallha
Na nahitaji unitibu shekhi kutuma❤ dawa Kenya pesa ngapi na hata saahi anasema wewe shekhi hutamueza hakuna atakaye ni azaa shekhi please please please 🙏🙏🙏 help me sehkii mimi fathiya niko na shetani wakunisawaza please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤
Salam aleykum shekhe Allah akusimamie ila ebu jeuka nyuma zile ngazi ulizo pandia umesajau shekhe wangu,samajani naamini kwakua una imani hutochukia barikiwa bb
Subhana Allah sheikh mwenyezi mungu akubariiki mm Toka nianze kusikiliza kisomo chako jinni mahaba aliondoka nahisi furaha katika moyo wangu
Shukran sheikh wetu mungu akuzidishie baraka kwa mafungu inshallah
Shee Othman allah akujaalie sana kwa visomo unavyo tufanyia nilikuwa naumwa sana na homa zisizo eleweka imehangaika sana kwa waganga napata unafuu kisha hali inaanza tena sikujijua kuwa nina jinni mwilini leo nimetambua laivu kwa uwezo wa allah kupitia hiki kisomo nilivyo kuwa nikisikiliza jasho lilikuwa likinitoka ila mbele pale kile kipengengele cha kumuadhibu jinni wallah nimeshaa sana leo nikaanza kutingishwa kichwa hatarii kila nikijituliza wapi kitwa hakitulii naulivyo sena naomba muongee mlichotumwa kwa mgonjwa mdowangu ukaanza kutikisika kwa spidi jamani mungu mkubwa sana kwa sasa najiskia vizuri kabisa alla akulipe leo na kesho akhera oshaz othmani
Chakwaza namshukur Allah aliekupa ilm nanatowa shukran Sheikh Otoumani kwamatibabu Allah akulipe dunian nakesho akher
Asante Sana shkhe Allah akulinde nimekuwa mtu wa kukosa hamani ndani ya ndoa yangu japo mungu bado aja nijalia kufunga ndoa
Shukran sh.Othman Michael kwa Dua hii na kwa kutuondolea maradh haya Allah akulipe, Allah akufanyie wepes kwa Kila jambo lako unalofanya na ulalolihitaji InshaAllah Allah atupe mwisho mwema Amina
shukran sana shekh wetu nimesikiliza kisomo hadi mwisho kwakweli najihisi mwepesi sana sasa,,na ulipokua ukiendelea na visomo mwili wangu upande mmoja wa kushoto ulikua ukiingiwa na barini sn ,nashukuru niko sawa sasa,.. jazakal kheri ya shekh
Mashaalah sheik Osman maichle alaah akulinde Sana na shukuru kwa elimu yako nzuri mashaalah sheik Osman maichle my dia bro
Yaani shekhe izo dalili ulizo taja yakwanza ni mimi kabsa naumwa kichwa xana upande mmja mbaka shingo cwezi kulala allha akupe maisha marefu uzidi kutufunguwa inshaallha
Wew ndo kama mimi
Shukurani sana sheikhe othuman
Shukran ya sheikh kwatibabu Allah akulipeni duniani na Akhera Ameen!
Mashallah alliance akuhifadh
Alhamdulillah ❤kwaduwa yako na kutuzinduwa hakika unayoyaongea yapo ayo mashallah mungu akupe kila hitajio la maisha yako
jazzakallah khair shekh mungu akupe afya na umuri
Allah akujaze kheri sheikh dua zko zinatusaidia
Na nahitaji unitibu shekhi kutuma❤ dawa Kenya pesa ngapi na hata saahi anasema wewe shekhi hutamueza hakuna atakaye ni azaa shekhi please please please 🙏🙏🙏 help me sehkii mimi fathiya niko na shetani wakunisawaza please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤
Najisikia mwepesi sasa mungu akujalie shekhe 🎉🎉🎉
Masha "Allah Allah akuzidishie 😢
Salam aleykum shekhe Allah akusimamie ila ebu jeuka nyuma zile ngazi ulizo pandia umesajau shekhe wangu,samajani naamini kwakua una imani hutochukia barikiwa bb
Sheee hizo zote wakwanza. Mimi tena wamezekeea humohumo
Napelekwa kwa umtto naoga na wawo
Sabahhkher. ❤❤❤❤❤ Fathiya
Wananizunguka na puliizwa viwanja kila mahali anaongea kwa shikiyo la kushoto
Asante sheghe mungu akubaliki
Nyewey zasusumika ya kichwa
Sheikh mm sija pepesa jiicho LA kulia nalakushoto nimepepe kidogo
Hata mimi fathiya nahisi hivo kisunzi miguu mizito kutemeka na shindwa ni kitaka kuswali naliya navunja kilakitu naongeleswa hatahanyamazi
Mashallah shukran
Shukrani nyingi sana sheikh Allah akulipe
Shukran y a shejh tumechoka
Jazakallah kheri
Shukran sheih
Hivyo pia
Amina Amina
naomba usaidizi shekh dalili kama zote ninazo🤦mimi😢😢
Nimesikia kujinyoosha tu
❤❤❤❤jaazakallahh kheyr
Amini Amin Amin jhzakalhaa lahha kher
MashaAllah
Yani kaa umenitaja mimi hizo 20
Hizo dalili km zote ninazo
Naamm
Shukuran shehk
Asaalam aleikum
Amin Amin Amin
Sijapepesa allhamdulila amini Amin Amin jhzakalhaa kher na kherat amini Amin Amin ❤❤❤❤❤❤
Dah mie 1 lakulia lime pepesa mara 1 TU
Inalilahi wallilah llajun
Alhamdulillah ❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukurani hostadhi
Shekhi mim fathiya nachomeka nawashwa kilamahali usoo nime kuwa na alama kilaaina
Amen yaa ALLAH
Alhamdhulillah
Shukrani.sana
Allahamdulilah❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Inalilai Inalilairajun
Yani kaa umenitaja mimi hizo 20