Mashallah sheikh othman kisomo kizito saana inshallah ya rabi Allah atuondoleye hayo majini wa baya wanatutesa inshallah ya rabi Allah akuhifadhi ya rabi
ماشاءالله تبارك الله الله أكبر، Allah ajalie dua zetu inshaAllah, ustadh shukran sana Allah akulinde akuhifadhi akujaalie maisha marefu hapa duniani inshaAllah, amin
Alhamndulilah shehe wetu mungu akulinde kila baya akupe pepo ya dunia na akhera ww na familia yako kwakujitoa kwako kusaidia waja wake sadaka kubwa unafanya
Shukran Allah Akulinde akupe umri mrefu utusomee sihri twakuskiza tukiwa mbali Ameen insha Allah Quran itaenda kutibu kila tatizo insha Allah. Ameen🤲🤲🤲
As saallam Aalaiykum warrhmatullahi wabarakatuh za asubuy sheikh wangu, Kaka yangu, kwakweli mwanzo mwisho, clips ya kwanza toka uwaziye Ruqya, sema Alhamdulillahi, allah azidi kukupa kipaji zaidi Na zaidi Duniani Na khair, akukinge Na hasadi Na vitu vyote vibaya , tunashukur Baba yetu Allah swt atujalie tuonane InshaaAllah Na towa Shukran sana kabisa JazzakaAllah khair
(Viumbe vikubwa vilivyoumbwa na Allah!) Hii mada kama kutakuwa na mwendelezo wake ama inayofanana na hiyo tunakuomba utuwekee ewe Shekh wetu. Pia tunakuombea kwa Allah akupe umri mrefu wenye kheri na baraka dunian na akhera! Aamin thumma aamin
Asalama.alaikoum warahmatoullah wabarakatouh. Choukran sana Dua zako hua zinanisaidiya sana. Kila unapo.soma kabla.yakumaliza hua dalili zote za kua tatizo limetoka naliona na Allah ndie atakulipa Duaniani.na.kesho.akhera. Alhamdllah.
Salam alaikum Yani sheghe nimeisikiliza hii dua mala nikaanza kusikia mapigo yamoyo yanaenda kwakaxi sana mala nikaanza kusikia ganzi mwili mzima afu Kama vile napoteza faham kwamuda kdg ile hali ikapotea na nikajisikia mwili wote hauna nguvu
Mashallah sheikh othman kisomo kizito saana inshallah ya rabi Allah atuondoleye hayo majini wa baya wanatutesa inshallah ya rabi Allah akuhifadhi ya rabi
Shukran Sana sheikh wetu tunamuomba Allah akupe Kila zuri hapa duniani na kesho akhera Allah akulipe kheri
Alihamdulinllah shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery kwa msaada unaotoa kwa waja wa Allah
ماشاءالله تبارك الله الله أكبر، Allah ajalie dua zetu inshaAllah, ustadh shukran sana Allah akulinde akuhifadhi akujaalie maisha marefu hapa duniani inshaAllah, amin
Ewe mwenyez mungu nakuomba niponye maradhi yangu
Shukran shekh alaah akukubali dua na dawa zako ziwe shufaa kwetu inshaala alhamnduliah
Alhamndulilah shehe wetu mungu akulinde kila baya akupe pepo ya dunia na akhera ww na familia yako kwakujitoa kwako kusaidia waja wake sadaka kubwa unafanya
Alhamdililah.shehe.allah.mfungulie.pepo.yaarabi
Asalamu alekumu alihadulilahi awemwenye mungu dua hi,iniodoshe matatizoyagu abayo nayajua nayenyesiyajui 🤲🤲🤲
1shukran shehe. Wetu mpla ajalie dua zako ziwetibakwetu ishaalla. Mungu akulinde. Namahasidi. Ishaalla nakuombea. Mwisho mwema
Maasha Allahu sheikh othman Michel mayco
Mungu. Akulipe. Kher n'a. Mwisho mwema
Shukrn 😍😍
mashallah Allah akubariki kwa dua hiyo
Ya allah jaalia kupitia dua hii site tupone inshaallah
Ahsante shehe
Shukran zangu zadhati kwako ostadhi mungu ukujaalie mema innshaallh
Allah akujaalie kher na baraka telee allahumma amiin
rabbi Alhamdulillahi
Shukran Allah Akulinde akupe umri mrefu utusomee sihri twakuskiza tukiwa mbali Ameen insha Allah Quran itaenda kutibu kila tatizo insha Allah. Ameen🤲🤲🤲
ALLAH akujalie mema duniani na akhera
shukukran Allah akupe uzima shee
Shukran shekh othman mungu akuhifadhi ubaki na moyo huo huo
Ewwesssdsfffzzccbnbmmmkkkkkjhgfaaxxzzzzzzzzzzzz
Affg
Yyyyu
Asalm alykum Asanteh sikuamini nilichokiona aise mungu akuifadhi
Asantee kwa duwa zako
Allah apokee hii dua insha Allah tueze kuaaidika,maana twateseka
Allahuma Ameen
@@mename6020 ¹1¹
Shukrani shekhe Allah akulipe Kila la kheri
Jazakallahu haira fi dunia wa ahera
S,alaykum shekh Allah akulipe mim nimesikiliza juzi na jana,ucku wa kuamkia leo niliota nagombana na hao jini mahaba.Allah akbar
Wallahi mwenyewe nimegombana nao sana
Ma ash Allah!
Bado paka hivi tunazidi kushkul kwa msada wako Allah akujalie mema insha allah🤲🏾🙏🏽
Masha Allah ww nisaidie huko
Ameen 🤲🤲🤲🥰
Allahumma takabari duaa
Allah atujaliye katila duwa hiyi nasi tupate mafanoliyo ishaallah
Allah atupokelee dua zet InshaaAllah.
Amina
@@sameirahsameirah5264 mashallah ruqyq cmzuri
Ameen Allahuma Ameen
Amin
Mashaallah Mashaallah
Ameen Thuma Ameen
Ameen
Ameen
Masha Allahu Shukrani
Masha Allahu Shukrani
shukran
Masha Allah bless you
Alihamudulahi
As saallam Aalaiykum warrhmatullahi wabarakatuh za asubuy sheikh wangu, Kaka yangu, kwakweli mwanzo mwisho, clips ya kwanza toka uwaziye Ruqya, sema Alhamdulillahi, allah azidi kukupa kipaji zaidi Na zaidi Duniani Na khair, akukinge Na hasadi Na vitu vyote vibaya , tunashukur Baba yetu Allah swt atujalie tuonane InshaaAllah Na towa Shukran sana kabisa JazzakaAllah khair
Amina thuma Amin
mashallah mashaallah
Amiiin yarab
Fanya kazi mmusijali lakini usiudhi kwa watu
Ameen yarabby
Shukran Shekh
Barakallah fiquum yaa sheikh.nimetapika rakini bado hajaongea chochote
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh Shekh Othman Micha kwakutuilimisha Allah akujazi kheyri
Allahu baarik
(Viumbe vikubwa vilivyoumbwa na Allah!)
Hii mada kama kutakuwa na mwendelezo wake ama inayofanana na hiyo tunakuomba utuwekee ewe Shekh wetu. Pia tunakuombea kwa Allah akupe umri mrefu wenye kheri na baraka dunian na akhera!
Aamin thumma aamin
Ameen yaraab
@@najmaharoub280 karibu katika group letu la dini la WhatsApp
Amiin Yaa Allah
Vp hlo group la dini
@@najmaharoub280 lipo, ntafute kwa WhatsApp 0693773440 Inshallaah
Aaalllah huma amin
Alhmdhulilah 🙏🙏
Mashallah
Kisomo chawiki
Assalamu alaikum sheikh Mimi fathiya wanasema wanataka Pete nyekundu na mimi sitaki
Mashaallah
mimi nimetwesa.na.majini.ya.ukoo.hadi.nimekata.taa.ya.kuishi.yameuwa.baadh.ya.familia.ngu.dadangu.babangu.mama.wa.kAmbo.mtoto
Wake.sasa.nimimi.nimeteseka.dana.kwenye.hii.dudia.
Jamani nimetapika atari
MUNGU akupe wepesi
Masha Allah
We hiki. Kisoma nitiba tosha mwalimu huyo Mungu ampe umri mrefu
Niji some tu au??? 😔😔😔Nauliza
Aslm alkm kwakwali nimejiwa n huyo jini amesema wako wawili ,rangi nyeupe, wanatoka baharini,wako kitambo kunitesa tu sherkh utanisaidiaje uliposema atoke nilienda miayo nko Kenya
Asalam aleykum wabarakatuh wabarakatuh, Shukran shekh
227242563843525454
Asalama.alaikoum warahmatoullah wabarakatouh. Choukran sana Dua zako hua zinanisaidiya sana. Kila unapo.soma kabla.yakumaliza hua dalili zote za kua tatizo limetoka naliona na Allah ndie atakulipa Duaniani.na.kesho.akhera. Alhamdllah.
Mimi ilivyokuwa unasema hizidua namımı niliona jinanatetemeka katikamwliwang alikuwa akatoka sasa mwendlezoshekumbe hatatukiwambli wanaogo mimi naomba mendelezo leo nashukuru kwaduazako leo nimelala vizuri
52710094
inshaAllah tuko pamoja
Amina
Mimi niko mwenyewe maji nani atanisomea
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Vp ridwan niwetu
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Shukran shukran
Nikisikiliza nauumwa na mgongo na kichwa
Assalam Aleykum warahmatullahi
Assalmaleyhi warahmatullahi
Salam alaikum Yani sheghe nimeisikiliza hii dua mala nikaanza kusikia mapigo yamoyo yanaenda kwakaxi sana mala nikaanza kusikia ganzi mwili mzima afu Kama vile napoteza faham kwamuda kdg ile hali ikapotea na nikajisikia mwili wote hauna nguvu
mashallah mashaallah
Kam mimi nilijiskia hivyo
Naskilizaa mara ngap au siku moja tu yanatoka
Mwenyezi mungu akuweke miaka elfu
Sheikh naomba number zako niko dubai ras al khour
😭😭😭
Asalam aleykum.kwakweli nimesikiliza Ila nikapitiwa na usingiz mzito kwakweli
Mimi at a kusinzia sinzii nautafuta usingiz kila siku siupat inavyotakiw naumia
Kundoa kijico mwilini na shekhe
Mashaallah
Shukran jazila❤
Amina
Mashallah
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Assalam Aleykum warahmatullahi
Vp kishki
mashallah mashaallah
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh