MZEE SAID | HIZI THANK YOU ZINACHELEWA | SAIDO PA OMARY WANASUBIRI NINI? MWAMNYETO HAPANA HATUFAI😕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 162

  • @eliahwanda5816
    @eliahwanda5816 3 หลายเดือนก่อน +12

    mwambie mzee said asikope pesa ya kuku ntamtumia mimi siku saidoo anapewa THANK YOU

  • @a.m.spresentjb9014
    @a.m.spresentjb9014 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi ni mtu wa yanga napenda nimtumie gift 🎁 Mzee Saidi

  • @tonijr8229
    @tonijr8229 3 หลายเดือนก่อน +12

    Saidoo tayr bado jobe ili mzee saidi aanze kunenepa😅😅😅

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 หลายเดือนก่อน +5

    Najua mzee said kuanza Sasa utakuwa na furaha sana❤❤❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 3 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu Mzee Uwaga Ananitowa Stress Kwa Kwelii❤🎉😂😂

  • @Fundirichie
    @Fundirichie 3 หลายเดือนก่อน +10

    Saido naye kapewa THANK YOU

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 3 หลายเดือนก่อน +6

    Chagamba mtafutie mzee Saidi matangazo anajuwa sana kutufursisha

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +12

    Aziz ni kweli alikuwa dodoma na diarra walialikwa na Antony Mavunde kwenye mech ya hisani tena akatupia attrck 2 na mipira yote 2 kamzawadia mheshimiwa

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 3 หลายเดือนก่อน

      Ilikuwa lini hiyo

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน

      @@Carolina-sm5zt juz tu ni siku tatu zimepita

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yeah ni kweli kabisa JOHN BOKO anastahiri kuagwa na kwa heshima

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 3 หลายเดือนก่อน +49

    Chagamba huyu mzee inabd umzingatie anatufanya ni moja kati ya watu wanaokupa content na moja ya watu wanaofanya tukufatilie😊🎉🎉🎉

    • @abdulrazaqkatoma5648
      @abdulrazaqkatoma5648 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kbsa😂😂😂😂

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabsa, tuko wengi sana, amshikilie sana mzee saidi mwingine ni miraji, media nyingine wakimpandia dau tu ni hatar😅

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa me leo sikuwa na mpango wakunua bando nliposikia mzee said kajojiwa nimenunua chap😅

    • @bobking481
      @bobking481 3 หลายเดือนก่อน

      Me naomba kujua, hiv mzee said huwa anapata chochote akihojiwa au mamagwemamagweee 😅

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 หลายเดือนก่อน +7

    saido ashaagwa jamn Mzee wetu

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 3 หลายเดือนก่อน +4

    kama umechoka kuongea funga kipindi tuondoke😂😂mzee said lawuuuu kaongeza mkataba costo😂

  • @HappyBeachCoast-ze9bb
    @HappyBeachCoast-ze9bb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Oya chagamba naomba nitumie namba ya mzee said napenda sana kumsikia huyu mzee

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ xana mzeeehe said nakukubali

  • @selemanadamu7596
    @selemanadamu7596 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Chagamba nakufananisha sana ivi sekondari umesomea Mkoa wa Tabora au maana machoni sio mgeni

  • @kyaligonzalouis4663
    @kyaligonzalouis4663 3 หลายเดือนก่อน +5

    Saido Tayari akapewa thank you ,Tunakula wapi kuku mzee Saidi

  • @RamseykingGenius
    @RamseykingGenius 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee said kama umechoka kuongea nawew funga kipind tuondooke😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🤩🤩🤩🤩

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ambaye ameambiwa atakuwepo sana ni pa omar jobe ngunguz anasema kuvunja mkataba wake ni vigum

  • @lazaroaloyce6649
    @lazaroaloyce6649 3 หลายเดือนก่อน +9

    Simba nguvu moja

  • @Alexandarmsafili
    @Alexandarmsafili 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mzee saidi anaita hamisa mobeto 😂😂😂😂

  • @emmanuelmnyonzi6143
    @emmanuelmnyonzi6143 3 หลายเดือนก่อน +7

    Number ya huyu mzee naomba nimtumie hela ya kuku

  • @LazaroPetro-y1s
    @LazaroPetro-y1s 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hafu Mzee kama komedi iv mana uongeaji wake mpaka ucheke

  • @AbrahamChengula
    @AbrahamChengula 3 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ni mahojiano bora sana kwakweli

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee said heshima yako!! Nahakikisha namaliza kaz zngu zote ndo naanza kumuanglia Mzee said

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 mzee said nimechoka kuomba no yako kwa chagamba

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq 3 หลายเดือนก่อน

      Chagamba anatukosea sana

  • @juma6253
    @juma6253 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jina sasa shughuli dah mzee side bwana eti anamkono mrefu😅😅😅

  • @davihnostephahno269
    @davihnostephahno269 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya saidoo tayari kesho nenda kwa mzee said

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mzee said chonde asije kufungiwa

  • @SuleimanMohamed-kw4gh
    @SuleimanMohamed-kw4gh 3 หลายเดือนก่อน +13

    Ile siku mzee saidi atakuwamba makofi chagamba utajua haujui 😅😅

  • @BeckaJunior
    @BeckaJunior 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chagamba bhana 😂😂 yaaani unapenda sana kumchanganya mzee side 😅😅😅

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pape ndaw Mr hirizo

  • @jumaiddy441
    @jumaiddy441 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saidoo kasepa mzee saidy mnyamwezi mwenzangu

  • @dinosiasa5600
    @dinosiasa5600 3 หลายเดือนก่อน +1

    mzee Saidi hta nami naumwaaaaaa😅😅😅

  • @amanimgaya9623
    @amanimgaya9623 3 หลายเดือนก่อน +3

    😅 maguguja

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee said mbona mkunde mlimtupa yanga wakamkota na sasa boko

  • @mtafyatv
    @mtafyatv 3 หลายเดือนก่อน +3

    TUNASUBIRI YA SAIDO 😅😅😅

  • @kelvinkumila4708
    @kelvinkumila4708 3 หลายเดือนก่อน +1

    "THANK YOU SAIDOO" Tunao msubiri mzee Said tujuane hapa!

  • @KaujuMwakajumba
    @KaujuMwakajumba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tumchangie Mzee said apate hata gari la kutembelea ....huyu Huwa ananitoa stress

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq 3 หลายเดือนก่อน

      Hawatupi namba

  • @shabanihaji3896
    @shabanihaji3896 3 หลายเดือนก่อน

    Pole mzee said nikwel aupo vzul

  • @EssanPius
    @EssanPius 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee saidi bana Jin aziz k😅😅

  • @jomsafirikajinaki8820
    @jomsafirikajinaki8820 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saudade de vovó Saídi.

  • @uster-wd2vu
    @uster-wd2vu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba jaman Mzee Said peke yake ndio ahojiwa masuala ya mpira wetu😂😂😂

  • @peterjohnnsabimana4932
    @peterjohnnsabimana4932 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee side kama side mnyamwez

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee saa ingine khaa😂

  • @LovenessBakari-j9e
    @LovenessBakari-j9e 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee na saidoo dah!

  • @bisejulius4100
    @bisejulius4100 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kumbuka yule ni saidi ni somo wako

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Said shida mliitengeneza wenyewe, mlipoanza kutangaza mnajiunga na fei kuomba afunge magori mengi. Na sasa mngekuwa ninyi na magori mengi mngeshika nafasi ya pili.

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mee said upo vizur

  • @EmanweljahazEmanweljahaz
    @EmanweljahazEmanweljahaz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said umenichekesha

  • @gelarisjonathan7081
    @gelarisjonathan7081 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee aongezewe hela

  • @directorwizard7310
    @directorwizard7310 3 หลายเดือนก่อน +1

    CHAGAMBA MWAMBIE MZEE SAID KUWA SAIDO TEALI HUKU😂😂😂😂😂😂😂

  • @LovenessBakari-j9e
    @LovenessBakari-j9e 3 หลายเดือนก่อน

    Dah!

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน +1

    SUBUUUUTU....😅😂😂

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Said shikamoo 🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂

  • @elizabethywinnie1090
    @elizabethywinnie1090 3 หลายเดือนก่อน

    Mzeee Said ni mbeaaa😂😂😂😂🙌🙌

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 3 หลายเดือนก่อน +1

    Magori siyo muhaya ni mkurya.

  • @deogratiouswipson8448
    @deogratiouswipson8448 3 หลายเดือนก่อน

    Yan mzee hapo kwa sakho mwenyew huwaga nakumbuka sana

  • @AyubuMalika-c5x
    @AyubuMalika-c5x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chagamba uyumzee anatutoa anatufariji manenoyake usimuaache

  • @GraceJohn-m4z
    @GraceJohn-m4z 3 หลายเดือนก่อน

    Nikionaga interview za huyu Mzee huwa na enjoy sana😂😂

  • @AyubuMalika-c5x
    @AyubuMalika-c5x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chagamba huyu Mzee usimuache tunamfuatilia sana Mzee said anaweza huyumzee anawanyosha

  • @saidmpunga-en6pf
    @saidmpunga-en6pf 3 หลายเดือนก่อน +1

    mzee said huyo kijana anakuliwaza tu chama tayali wanaume wamembeba amia na wewe yanga timu ya wanaume

  • @TmKt-kx7pq
    @TmKt-kx7pq 3 หลายเดือนก่อน

    Chagamba tupe namba ya mzee said bhana! Mzee saidi anatakiwa kuhojiwa akiwa na suti

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Subutuu kinyamwezi kbsa ahaha

  • @nicodemaslema9110
    @nicodemaslema9110 3 หลายเดือนก่อน

    Ayaaaaaaa.......goli.......🤣🤣

  • @HappyBeachCoast-ze9bb
    @HappyBeachCoast-ze9bb 3 หลายเดือนก่อน

    Oya chagamba tuletee huyo mzee said saidoo uko tayali shuliyake ishaisha teal

  • @abdulhalimsalim1386
    @abdulhalimsalim1386 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee said hongera uyanenayo swadakta allah akulinde akupe afya njema na umri mrefu lakini saido teyari kwisha habari yake kuku wetu vipi ss😂😂😂

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @johnmapunda3683
    @johnmapunda3683 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Said dua lako limesikika

  • @AgripaMugala-sq5vf
    @AgripaMugala-sq5vf 3 หลายเดือนก่อน

    Mzeee saidi

  • @LionOfWar
    @LionOfWar 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kudokolana dokolona kwenye masimu yenu 😂😂😂

  • @FiliminiFidel
    @FiliminiFidel 3 หลายเดือนก่อน +1

    we radio mbao. ongea yote ila Freddy muache kabisa. uta TU gharim.

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Masikini had huruma unamtetea fred!!!😂😂😂😂😂

  • @jullygodwiny4058
    @jullygodwiny4058 3 หลายเดือนก่อน

    Tunombe kashinda kuitaja😂😂😂😂😂

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji wewe na mzee said tu

  • @MwalwakaMwalwakaJr-pq7yi
    @MwalwakaMwalwakaJr-pq7yi 3 หลายเดือนก่อน

    Changamba utakuja kumuua mzee said kwa presha

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 3 หลายเดือนก่อน

    Nguvu moja😂😂😂

  • @superwomen233
    @superwomen233 3 หลายเดือนก่อน

    Mwambie mzee said keshaondoka ukoooo

  • @HerriOmari
    @HerriOmari 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Yanga, Yanga Daima ila nampenda sn huyu mzee Said pls Chagamba naomba number zake nimtumie zawadi yangu anifurahisha sn sn kwa kweli😂😂😂

  • @HamedAlrawahy
    @HamedAlrawahy 3 หลายเดือนก่อน

    Na mie nitumieni ya chagamba

  • @YahyaKhalfana
    @YahyaKhalfana 3 หลายเดือนก่อน

    Saidoo kulee

  • @ishmailandrew2000
    @ishmailandrew2000 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya Mzee saidi nimtumie ela ya kula kuku

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha

  • @MrMatikiti_kudondoka
    @MrMatikiti_kudondoka 3 หลายเดือนก่อน

    moyo tulia mjini Kuna vya watu

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi jamaniii tunakupenda tuu 😂nainjoi sana nikimuona mzee saidi kama unainjoi kama LIKE 10 😂😂😂

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 หลายเดือนก่อน +1

    😅HUYO anaitwa PAPE NDAU

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 mzee wa power bank

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamnyeto siyo mchezaji mkatae simba

  • @HamadMkubwa
    @HamadMkubwa 3 หลายเดือนก่อน

    Chagamba nitumie namba ya mzee said nataka nimtumie hela ya skukuu

  • @emmanuelchamba08
    @emmanuelchamba08 3 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @fafa_thedon
    @fafa_thedon 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno ni moshi 😂😂😂😂

  • @allyshabani3404
    @allyshabani3404 3 หลายเดือนก่อน

    Saido akitoka Simba wewe Mzeh utakusa kiki unamuongeleya Saido sababu ni mcezaji mkubwa subiri iko siko Saido.atakuliza tumuaciye Mungu ndo mgawaji wa riski Saido unaomba apewe thanks kuliko wacezaji wote lakini umesahau kama top score ntangu anze kucezeya Simba

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Msimu wa pili mfululizo yeye ndo top scorer wa makolo .... Raha ya saidoo 10 + kwa Kila msimu .. Tena ni kiungo mshambualiji mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi .... Pass za mwisho - pass goal

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 3 หลายเดือนก่อน

      andika kiswahili bhana wengine hatujui kilugha

    • @BenardKasambala
      @BenardKasambala 3 หลายเดือนก่อน

      Hajui kiswahili ndugu na sadoo

  • @lucasmanase2917
    @lucasmanase2917 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe na maiki maiki na wewe

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 haaaaa

  • @mjumbemwanda9666
    @mjumbemwanda9666 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 3 หลายเดือนก่อน

    Boko apewe nafasi ya mangungu

  • @joshualukas2123
    @joshualukas2123 3 หลายเดือนก่อน

    Hahahhaahaa

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 3 หลายเดือนก่อน

    Hiviiii Gambaaa mzee saida😂😂 unakumbukaa alikuwa ana😂😂 mupongezaa Jobe 😂😂😂😂😂

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sema baba angu, nyie viongozi wa Simba mpeni Boko Heshima yake ya kumuaga rasmi kama mchezaji Bora wa Simba au Kwa kuwa ni mzawaaa

  • @advocatepetermbogoro1192
    @advocatepetermbogoro1192 3 หลายเดือนก่อน

    Chagamba naomba namba yako

    • @Finestonline
      @Finestonline  3 หลายเดือนก่อน +1

      0782100162

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Finestonlinembona ya mzee said hutoi chagamba 😂😂

    • @Finestonline
      @Finestonline  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@trice_yanga siruhusiwi kuweka namba ya mtu ninaemuhoji kwenye Umma ni ruhusa ya mwenye namba mwenyewe😂

  • @adamkihile2596
    @adamkihile2596 3 หลายเดือนก่อน +20

    Naomba kupatiwa namba ya mzee Saidi nina zawadi yake napendaga anavyochambua na kuongea kwake tafadhali. NAITWA ADAM. K.

    • @Neema-m6s
      @Neema-m6s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mpeni namba jamani

    • @josephmandala2225
      @josephmandala2225 3 หลายเดือนก่อน +1

      Chukua hiyo number hapo mpigie CHAGAMBA moja kwa moja atakupa namba yake kirahisi tu , tumkumbuke mzee Said .

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq 3 หลายเดือนก่อน

      Chagamba hili ombi tunampa kila siku hatekelezi