Yaani hakuna mwimbaji ninaye mpenda kama imanuel mgogo maana amekuwa ni mnyenyekevu sana katika huduma hii ya wimbaji mwenyezi mungu akubariki mno endelea kunyenyekea mbele za Mungu
Nilikukubali Siku ya Kwanza nilipo kusikia tu, Wala Sina Mashaka nawe, Yesu Anajua kukutumia vyema, Umejawa hekima, Busara, Neema, Kibari, Upendo, Roho ya Huruma, Unamafuta Ya kipekee, Vile Ninavyo Ujuwa Unyenyekevu wako, hakika Utakuwa Mfano Kokote Uwendako, Kaka wa Mimi Tunashukuru kwa Wimbo Mzuri🙏🙏👏👏👏
Nakuombea kwa Mungu azid kukubariki azid kuinua huduma yako mpendwa nabarikiwa sana na uimbaji wako,nyakat hizi mpo waimbaji wachache sana mnaohubir kweli ya Mungu wengine wapo kibiashara dunia imewalewesha ila ww bado upo strong Mungu akulinde
Nahisi kabisaa Kuna vipindi moyo wangu unachoka lakini Mungu hukaa na Mimi kimya kimya Bila kumuona maana nisinge kuepo hivyo Nakupenda Mungu🙏🙏 Asante kwa wimbo
Moyo wangu ukichoka kaa nami Yesu Kristo wimbo Mzuri sana mungu akubariki mtumishi wa mungu hallelujah nimebarikiwa glory be to God 🔥🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Moyo wangu umechoka Yesu nataka fedha ya kulipia Kodi ya nyumban fanya njia Yesu nitoke kwenye umasikini huu
Nimebarikiwa najua sijabaki Kama nilivokuja ubarikiwe kak Emmanuel
God bless mtumishi mungu amekupa kipawa kzr
Ubarikiwe nyimbo nzu kaa nami moyo wangu ukate
E mungu mulinde Mtoto wangu na mama yangu kupitia Wimbo huu 😢😢😢
Yani sauti imebarikiwa mno !
nabalikiwa sana hadi machozi😭
This song 😰😰 makes me tear up every time am listening
Yaani hakuna mwimbaji ninaye mpenda kama imanuel mgogo maana amekuwa ni mnyenyekevu sana katika huduma hii ya wimbaji mwenyezi mungu akubariki mno endelea kunyenyekea mbele za Mungu
Amen
Endelea kuruhusu Mungu ajiinue ndani ya huduma yako utainuliwa juu zaidi , Mungu amekuchagua uwaokoe wengi kupitia uimbaji aamen
Barikiwa mtumishi waMungu
Nalia kama nehemia nirehem Mungu wangu😭😭😭 nisemeheee baba
Kwel Moyo wangu ukıchoka kaa namı Bwana...
Huu wimbo umeniogopesha umeimba kiroho sana Mungu naomba unirehemu nimeogopa huu wimbo una ole kwa wachungaji na manabii mpaka mimi
Mim pia nimeogopa sana yan imenijia roho ya kumtafuta mungu
Ee Mwenyezi mungu unikumbuke kupitia wimbo huu😭😭😭💔💔💔😭
Mungu azidi kukuinua mtumishi, yesu akae nasi daima
Nalia kama nehemia nalia sinaraha Kwa majalibu ninayoyapitia ee mungu nisaidie
Pole sana mtu wa Mungu.Mungu akutie nguvu.
May God comfort u and gv u what u want in the might name of Jesus.
Pia mm mungu anipe nguvu napitia mengi
Saaa ya bwana ya kupindua meza imewadia
Tz tunajivunia kuwa na waimbaji mahiri mungu awatuze watumishi wa mungu
Mungu azidi kuimarisha huduma aliyoiweka ndani yako kaka
Oooh thanks Jesus ,,nabubujikwa machozi
Thank you for this beautiful song God bless you more 🇷🇼🇧🇮🫡🫡🫡🫡❤️
Moyo wanguuuuu usichoke,,, tafuta kukaa na Mungu 🙏🙏 tuwezeshe EE baba wa mbinguni ❤❤❤❤️
Nyimbo yenye faraja sana mtumishi wa mungu
Uweponi mwa mungu kuna raha
Nilikukubali Siku ya Kwanza nilipo kusikia tu, Wala Sina Mashaka nawe, Yesu Anajua kukutumia vyema, Umejawa hekima, Busara, Neema, Kibari, Upendo, Roho ya Huruma, Unamafuta Ya kipekee, Vile Ninavyo Ujuwa Unyenyekevu wako, hakika Utakuwa Mfano Kokote Uwendako, Kaka wa Mimi Tunashukuru kwa Wimbo Mzuri🙏🙏👏👏👏
Amina, Asante Kwa maneno mazuri yaliyokolea Munyu. Kristo Yesu akutunze mtumishi Hondwa Matias
Mgogo nakupenda ❤ katika Bwana YESU Mungu akutunze nakumbuka ulichangia pesa huduma ya Mtwara.ulimpa doto hela akaniletea nje Kinyerezi.
Ma bro penda thana one day yes nitabarikiwa zaid
The true gospel song is written down to a new places in different ways
Mungu azidi kukupa afya njema mtumish wa mungu🙏🙏nyimbo zako zinanibariki mnoo🥺🙏🙌
Moyo wangu ukichoka kaa nami YESU🙏🙏.
Hongera kwa wimbo huu mzuri wakututia moyo Mungu akubariki.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
th-cam.com/video/DUbKue7QSfI/w-d-xo.html
Amina ,njo ukae nami Baba najua nafsi yangu îme coko ,naliya kama Nehemiya😊
Mungu azidi kukuinua kwa jumbe zako za unyenyekevu
Ikala nami.....wat ablessing song...barikiwa sana
Tulimwamini mungu atuna rafik mzuri wa kumwambia shida zetu zaidi ya YESU,ubarikiwe mtumishi ujumbe mzuri mungu ndiye Kila kitu maishan mwetu ,amen
Na kweli uweponi mwa mungu kuna raha .....we love you one love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪#254 let's give this song more than 3+ M
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mungu awatunze,na kuwalinda waimbaji Kama ninyi mnaoimba katika Roho Mtakatifu
Amina ubarikiwe mtumishi by nelson wa singida tanzania
Wewe mgogo c mutu wa kawaida mungu azidi kuinuliwa zaidi
Mungu mtunze mtu huyu,mafuta yaongezeke ndani yake! Ameen
Wimbo mzuri unashusha uepo wa mungu kaa nasi yesu kristo
Mungu amekupa kitu kubwa sana big bro barikiwa
Wimbo mzuri sana kaka oh barikiwa sana
Jaribu la mtoto limekua mwiba Kwa mume Yesu nijibu nimechoka kwl
Mtumishiii hakika Nguti ngatele mweeeh .Jesu kuwa namie
Hakika huu wimbo umenijenga kiroho pakubwa sana bro be blessed 👏👏 👏
Nabarikiwa sana na wimbo huu Mungu azidi kukutumia
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mtumishi ubarikiwe sana sana mtumish Mungu yupo mbele yako . Sisi tupo nyuma yako
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ueponi mwa mungu kuna utulivu wa nafsi na roho.
Barikiwe kwa viwango vya juu ima
Napenda sana kuskiliza nymbo zako zinanbark sana mungu akubrk mtumish
USINIACHE YATIMA 👏
Ujumbe mahususi Mungu analeta uamsho
Kazi nzuri Sana Mungu akuinue zaidi Kaka mgogo neema na upendeleo wa kiMungu uwe juu yako
Kuna mtu nime muona apa nabarikiwa sana kuwaona watumishi wa Mungu Kenya tuna kukumbuka sana be bless you my brother 🙏❤️
Barikiwa,kwa ujumbe mzuri wenye kutia moyo
Nakuombea kwa Mungu azid kukubariki azid kuinua huduma yako mpendwa nabarikiwa sana na uimbaji wako,nyakat hizi mpo waimbaji wachache sana mnaohubir kweli ya Mungu wengine wapo kibiashara dunia imewalewesha ila ww bado upo strong Mungu akulinde
Napenda usikilize kazi zangu ili siku moja nifanyie kazi nawe kaka natumia jina tumaini e ngasa please 🙏
Ubalikiwe kazi nzuri
Nimechukuru.mungu.kwakupata.maneno.yawimbo.akika.usikapotoke.kama.wengine.nipo.congo.lumbu.mbashi
Mungu niponye kupitia nyimbo aimbazo.
Mgogo huwa unanibariki sana kupitia jumbe zako kwa njia ya uimbaji Pastor karibu sana Tandahimba Mtwara
Hakika huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako endelea kunyenyekea Ili mungu akuinue zaidi
Nahisi kabisaa Kuna vipindi moyo wangu unachoka lakini Mungu hukaa na Mimi kimya kimya Bila kumuona maana nisinge kuepo hivyo Nakupenda Mungu🙏🙏 Asante kwa wimbo
Hongera sana mtumishi Mungu zaidi kukutumia nabarikiwa sana
Wimbo umenigusa sana barikiwa sna mtumishi
😢😢 kweli tu mungu unikumbuke naitaji msada wako baba
Nyimbo nzur San mungu azid kukutumia
Napenda saana nyimbo zako
Nimebarikiwa sana jamani na huu wimbo hongera na mungu anaekutumia anitumie na Mimi amina
Mungu akutie nguvu baba yangu naisi machozi
Mungu akutie nguvu baba yangu naisi machozi Grace mussa 11:30
Huu wimbo umeniguza 😭😭😭🙏🙏🙏🙏 this the pure gospel with full of anointing.
13/07/2024 usinipite Mwokozi YESU.ninakutamani.
Endlea kufundisha mch. Kizaz,hiki. Kinapotea.
Niombeeni nani sikiki kufa bilakumwimbiy mungu
Ahsante sana mtumishi wa mungu emmanuel mgogo kwa kazi nzuri ya kumsifu na kumtukuza mungu
Nampenda huyu Yesu baba yangu Mungu ni baraka MUNGU wa Israel ndiye faraja yetu
Ubarikiwe nasi tubarikiwe kufunga wimbo nasi kuusikiliza mungu anatupenda sana
Bila mungu hakuna dunia
Nimehisi napaa kwa raha na uzuri wa nyimbo hii,Barikiwa Mtumishi🙏🙏🙏🙏
Ámen naomba nyimbo hiii Ifunguwe baraka zango🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nnione baba Namimba yangu naomba Kuombewa,Muombeye na Mme wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuongezee kipaji cha kuimba kaka unaweza penye sifa inabidi tusifie bana
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi ubarikiwe
barikiwa sana kaka yangu Mungu aendelee kukutunza
Moyo wangu ukichoka kaa nami Yesu Kristo wimbo Mzuri sana mungu akubariki mtumishi wa mungu hallelujah nimebarikiwa glory be to God 🔥🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
th-cam.com/video/DUbKue7QSfI/w-d-xo.html
Nikosapo nguvu😢
#UkaeNami 🙏 Jesus is
all a man needs #NikosapoNipeKujirudi
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mupakwa mafuta wake tena ametujuza tukae na Mungu na uwepo wake ndo tunao uitaji barika kakangu
Yan nyimbo inanitia Iman kubwa kwa mungu inanifanya niwe karibu na mungu
Asante kwa kutukumbusha Kanisa. MUNGU WA MBINGUNI azidi kutuma kusema na Kanisa, na usichoke.
Sijui mbona nimelia sana hivi 😢the song have some good messages eeeh mungu naomba unibariki na mimi🙏🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Nyimbo zako mtumishi zinanibariki mno
ushirika wako na mungu uwe mzuri🙏
Huuu wimbo una nibariki sana hakika Mwenyezi MUNGU aendelee kukutumia
Hakika,nyimbo za huyu mtu,,wagogo twazipenda mno,mno,,
HAKUNA HANAYEKUZIDIKUIMBA TANZANIAZIMA. MGG MUGUAKULINDE
Amen, Mungu wa mbinguni azidi kuinua huduma Yako. Ubarikiwe sana sana
Ninaskiaga Amani pindi ninaposiliza wimbo huu mungu akubariki mtumishi wamungu
Barikiwa nyimbo inanifariji sana
Nyimbo zako huwa zinanibariki sana MUNGU Akutie NGUVU ❤🧎🧎🧎🧎🇹🇿🧎
Mungu akubariki Mugogo gwimbile kanunu ulwimbo lulinulusajo
Imana ikuhezagile chane kadi ulalimba neza imana ingume ikuhezagila mwan wi mana ndyakukundy chane ye kaka
Mungu azidi kukutumia sana kutukumbusha kurudi kwake