𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗔𝗱𝗵𝗶𝗵𝗶𝗿𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗠𝗮𝗻𝗵𝗮𝗷 𝗬𝗮𝗸𝗲 𝗛𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶 | 𝗛𝗮𝗷𝗮𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮 𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗦𝗶𝗸𝘂 𝗞𝘂𝗺𝗶!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 101

  • @salafi.
    @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +16

    𝗖𝗹𝗶𝗽 𝘆𝗮 𝗷𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗰𝗹𝗶𝗽 𝘆𝗮 𝗞𝗶𝗽𝗼𝘇𝗲𝗼 𝗻𝗮 𝗢𝘁𝗵𝗺𝗮𝗻 𝗠𝗮𝗮𝗹𝗶𝗺 𝘄𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗷𝗶𝗱 𝗹𝘂𝘁𝗮𝗵. 𝗛𝗮𝗽𝗼 𝗻𝗶𝗺𝗲𝘁𝗲𝗹𝗲𝘇𝗮, 𝘂𝘀𝗮𝘄𝗮 𝗻𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗱𝗮 𝗵𝘂𝘄𝗼 𝗭𝗲𝗶𝗻𝘂𝗹 𝗔𝗯𝗶𝗱𝗶𝗻 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝗵𝗮𝗷𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗶𝗺𝗮𝗺.
    𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗳𝘂 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗼𝗻𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗲𝗸𝗮 𝘄𝗮𝘇𝗶.
    𝗔𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗮𝘁𝘂𝘀𝗮𝗺𝗲𝗵𝗲 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗽𝗼𝘁𝗲𝗹𝗲𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝗮𝘁𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝘀𝗵𝗲 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝘂𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗻𝗮 𝘂𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗳𝘂 𝗱𝗮𝗶𝗺𝗮.
    𝗕𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗙𝗲𝗲𝗸𝘂𝗺

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Duuh mche ALLAH Akhy na upunguze. Kukurupuka utakwenda ulizwa kaburini. Peke. Yako. Watu walifurahika
      Kuhusu kipozeo. Na maalim. Duuuuh chunga saana Akhy

    • @salafi.
      @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +8

      ​@@NuryaMusanitakuwa makini zaidi bi idhnillah

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@salafi. ALLAH mtukufu Akuhifadh

    • @salafi.
      @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@NuryaMusa wa iyyak akhy

    • @Nature-xe7lu
      @Nature-xe7lu 2 หลายเดือนก่อน +6

      Salafi nakukubali sana kaka kuanzia leo

  • @abumuadmahatmohamed
    @abumuadmahatmohamed 2 หลายเดือนก่อน +4

    Subhanallah mwenye hii channel Allah akuhifadhi.
    Jana Zein alijitetea kuhusu KIPOZEO NA OTHMAN kuwa alikuwa hayupo.
    Lakini alikosa kujitetea kuhusu ujio na kuendelea kuja kwa wale wengine na akatumia kuteleza kwako editor kuita salafiyoon kuwa warongo na wenye talbis.

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe tofautisha baina ya ruduud na tahdhiyr...akhiy ittaqi Allah

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama vile sheikh Abdallah alivyosema mpaka kueleweke Alhamdulillah Kwaeleweka Akhi. جزاك الله خيرا .

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Awa jamaa.kwa jina la usalafia wamevuruga sana sunnah wanachukia kuitwa jadidah lakini wao wanapenda waite wenzao hizby wallahy wameitia aibu sana sunnah na kuvuruga,, utakuta wanataja jambo lakini wao ndo wakwanza kuliharifu arafu utasikia fulani anatukana ulamaa yule wakati wao wamewaangusha ulamaa wakubwa tuuh kisa awakumsapoti shekh rabii wanakuambia yule shekh fulani katahadharishwa na shekh rabii araffu ukimuuliza shekh.raby eyey anapokosea anatahadharishwa na nani hapo ndo utaggundua wamemfanya ni mtume akosei na. Ule. Msingi wa kusema ulamaa wanakusea na kupatia wameuharifu na kuuvvunja kiufupi hawa swaafiqa. hadadiya ni pote potevu mno lililo jikita katika usalafi lakini mimi binafsi nilipobainikiwa miharafa yao mingi katika sunnah afu wao ndo mabingwa wa kukugeuzia ww kibao kiujumla nawachukiaa sana toka rohonni siwapendi kwaajjili ya allah watu hawa so. Wataka sunnah ni wataka fitna kila siku kuwasema vibaya ahlsunnah na kuwabeza na wengine wanatukana kabisa sasa unajiuliza hivi usalafi gani walio nao hawa,,, arafu walipojificha pazuri sana tofauti na makundi mengine ukisema ukiwasema wanakuambia anapiga vita masalafi wamejificha pazuri kweli kina cho nishangaza kingine wanamuhizbisha mtu, kwa matamanio yao ukiwauliza hoja za msingi hawana kabisa dhulma tuuh, ,, unakuta kijana mwengine anakutamkia maneno hayo we hizby hata shekh fawzan hawezi sema hayo lakini kijana hata hatua za kumkosha mayte hhajjui au kuoga janaba mtihani lakini anakwambia we ni hizby pote limetuharibia vijana wetu sana usalafi haukuwa na dowa toka uanze wamekuja mabwana kuchafuwa kila kitu, wanawaparamia maulamaa, watu wasunnah salafii kuwavamia na kuwanasibisha na majina mabaya khwariji, utaskia sufii hali yakuwa yule mtu ni wa sunnah matamanio yao yakiwatuma tuuuh wanakuvamia

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 หลายเดือนก่อน

      Je! Una ilimu yoyote Ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e หลายเดือนก่อน

      @@islaminmyheart9348 Allah awaongozi watu wenye kibri na matamanio ninyi ni watu wa kuongozwa na kuhukumu kwa matamanio so dalili Jambo la kummuhukumu mtu na kumtoa katika man hajji so kirahisi uzaniavyo mpk ifikie ile misingi walitaja wao Sasa ninyi upande wenu na ona wengi wamedhulumiwa katika man hajji hii ni jia ya mtume so shirika la mtu binafsi kwamba msipofatwa ninyi et mtu so salafi, hiyo haipo tafsili hizo mmeleta nyie, salafi kila anaekwenda sambamba na mwendo wa mtume na swahaba zake, huyo ni salafi kwa ufahamu wa kuwafata swahaba so kuwafata masalafi wa Leo moojimilikisha usalafi na kugeuza chama man hajji ya mtume hiyo haipo Allah atawahukumu watu kwakuwa hawakumfata mtume na swahaba hatomuhukumu mtu kwani hukuwafata kina mafuta na humeid dini ni ya Allah na man hajji ni ya wema waliotangulia ww hata ufanyaje ujafikia daraja la swahaba katika ucha mungu wako umuone mwenzio so salafi, mtu ajaharifu salafi swaleh Ila kwa chuki zenu kwakuwa hajawafata mtamtafutia vikosa na visababu ambavyo haviingi akilini mumrushie navyo we so salafi hivi hawoo swahaba wangekuwa wanafukuzana hivyo mfanyavyo nyie hii dini ingefika ilipo

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

    MAA SHAA ALLAH! RADD 🔥 HII INAUNGUZA PABAYA ALHAMDULILLAH...!!!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa wajinga tu,ila kwa wanaofahamu hakuna kitu hapo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      @@hafidhwajina6718 Mwiba (radd) umekuchoma pabaya Akhy... pooole. Hahhahaha!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x duh ndio maana nasemaga anta ahluhawaa,yandhihirikia hayo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hafidhwajina6718 anayejua hayo yote unayonituhumu nayo ni mimi na Allah ambaye ni mjuzi zaidi yangu!
      Mimi najijua kuwa sio mtu wa matamanio na Allah ndo shahidi na ndo anajua niliyopitia hadi nkaamua kuachana na uhizbiyyah wa kuwatetea akina Bachu na Kishki na wenzao,pamoja na Manhaj yao ya kukusanya haqqi na Baatwil...!!!

    • @Abdullah06494
      @Abdullah06494 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kwahivo malengo yenu ni kuunguza wala sio kubainisha?الله المستعان

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wallah mtu yoyote ambae ana hofu ya Allah na anatambua usool wa manhaj salafi atajua tu huyu mtu yupo katika kupinda. Kwani hapo anawakosoa masheikh wa kubwa wa ki-salafi. Bila kuwataja direct. Kwani wanao tutaadharisha na kuto kuchukua elimu ni masheikh zetu wa kubwa wa ku-salafi. Na sababu na dalil za msingi wanazo katika kutuepysha na masheikh walio pinda

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      nyi. Saafiqa. hadadiya watu wa. Fitna tupu hamna usalafi kitu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      Nakuuliza ww je shekh. Rabii anapokosea anakosolowa na nani aau yeye akosei shekh rabii

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 2 หลายเดือนก่อน +2

    𝐇𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐚𝐤𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐥𝐚𝐛𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐮𝐣𝐮𝐢 𝐦𝐚𝐧𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐚𝐮 𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢 𝐳𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐝𝐨𝐠𝐨

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 หลายเดือนก่อน

      @@AhmednurHussein-m2s manhaji inasemaje?

  • @SuhaiyyuAyubu
    @SuhaiyyuAyubu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo njihizbiy mie sina shaka na uhizbiyyah wake

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 2 หลายเดือนก่อน

      Muogopeni Allah mutaenda kuulizwa siku ya kiama munawatoa watu wa sunna katika manhaj

    • @SuhaiyyuAyubu
      @SuhaiyyuAyubu 2 หลายเดือนก่อน

      @@abuuaisha6110 Wajua misingi ya sunnah weye au waropokwa tu akhy huyo nihizbiy ukiangalia tu hiyo video inatosha kusema yeye nihizbi huwezi kuwa salafu ukawa na علاق Nabarahiyaan au muhammad bachou kamwe rabda uwe mjinga

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​​@@abuuaisha6110 Hata yeye Zeinul Aabidiin katutoa sisi kweny Sunnah! au hujamsikia kasema kuwa sisi sio masalafy bali ni Maswaafiqa haddaadiyah?! 😂😂😂
      Washaanza kuwa kama mahajaawirah ambao baada ya kuona wamehizibishwa wakaamua kuwahizibisha masalafy kwa kuwaita Mabaraamika 😂😂😂

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x so ikakuuma

  • @AbulAbbas-yp5ph
    @AbulAbbas-yp5ph 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanachuoni mgani kasema ni haraam na nikitabu gani inayosema hivyo na hali ya kuwa imeondolewa sehemu tano wanachuoni wameivua wamesema sio katika ghiibah nenda ukasoma ilmu jarhu wataadiil kwa vitabu na jarhu wattaadil ni katika nasiha na ndio wanachuoni wa hadith walikuwa wakiwawajeruhi katika ruwwat na ikaendelea mpaka zama zetu kuwatahadharisha mahizby kama salim barahiyyan na akina nyinyi mahizbyy na wenzao

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usonjo.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama una dalil itapendeza zaidi kukaa kimya kulikoni kusapoti mtu aliyepinda kama Zeinul

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      Atakwenda kuwashtaki ninyi mnafikili dhulma mnazowafanyia watu na kuifanya usalafi ni wenu ninyi Allah anatosha kuwa shahidi na record kwa yote mfanyayo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7e Akhy naomba namba yako ya watsapp ili tupeane nasaha in shaa Allah!

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

    Uvaaji huu wa kofia inafika mpaka kwenye kope za macho ni suna? Ile aya katika Quran inayo sema 'moja ya alama ya waislamu ni sijida katika uso. Kofia mpaka inaziba uso. Naomba kuelekezwa.

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 2 หลายเดือนก่อน +2

    𝐇𝐢𝐳𝐛𝐢𝐲𝐲𝐮𝐧 𝐐𝐮𝐡

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

    Usonjo upo wa aina nyingi. Kundi la kina AbdAllah ni kundi lenye shubha nyingi sana. Shetani anawa remote atakavyo kwa kukiuka kwao Usulubu wa Daawat Salafiya. Shetani amewapambia uongofu na kujipa kazi ya isiyowahusu.Tabia mbaya na ubinafsi inawatafuna, kupenda kusifiwa. HAPANA APASAE KUABUDIWA KWA HAQQI ILA ALLAH A'ZZA WAJALLA.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน +2

      Usulubu gani walioukiuka wakati huwa wanawafuata kisirisiri na nyie mnakataa nasaha...???!!!

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nyamaza basi maana yote ulio zungumza ni mambo huyajui na huna uhakika nayo na tukikuhoji zaidi ili ulete uthibitisho utakasirika tu

  • @Muislamu
    @Muislamu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hivi kusema kweli mashk wa umma huu wa sunna ni 4 peke yake!?
    Au mtu akisema hivo kosa lipo wapi ?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo ni maneno ya Kejeli kwa hao maulamaa kwa Sabab ikiwa mtakuwa wakwel mtangundua kuwa Huo ni uongo kwa sabab sisi tunasomeshwa vitabu vingi vya maulamaa wakubwa tofauti na hao mnaowataja ninyi...!!! Wallahi mimi Sijawahi kufundishwa kitabu hata Kimoja cha Sheikh Rabii wala Muhammad Aman Al jaami.. iweje mseme kuwa hao ndo maulamaa wetu peke yao????!!!!

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xmahizbi wanafata matamanio ya nafsi waongo

    • @tariqinhosaid3447
      @tariqinhosaid3447 หลายเดือนก่อน

      @@ashrafhashim2116 hizbi ni nani exactly? na ikiwa nafuata quran na sunnah ala faham salafi nasijiiti salafiyyah, nishakuwa hizbi?

    • @ashrafhashim2116
      @ashrafhashim2116 หลายเดือนก่อน

      @@tariqinhosaid3447 Hizbi nikila mtu au kikundi kinachopinga mwenendo wa mtume s.a.w na maswahaba wake nawema waliofatia ulamaa, na si laima kujiita salaf ili uwe salaf mazingatio nikufata qur an na sunnah kwa ufaham wa wema waliotangulia ila ukijiita salaf na ukalitendea haqi jina hilo utakuwa umefariqisha baina ya haqi na baatwil kama wanavyosema ulamaa.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

    Usonjo syndrome.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni Hizbi akuna shaka juu ya hilo.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 หลายเดือนก่อน

      Upi uhzb wake

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hafidhwajina6718 Huuoni uhizbi wake hadi sasa???!!! Ama kweli wewe ni kipofu huoni hata kwenye mwanga!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x we umeuona,upi?

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

      Ana support fikra zakina Dr Islam na Barayiani. Kazi kwako msikilize kwa makini utalitambua hilo

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndiyo u-hizby wake uliopo. Ana mpinga Sheikh Rabii bila ya dalil ...dalili za hizi kitendo chakuchukia kujeluiwa kwa baadhi ya masheikh bila kuangalia wameteleza wapi na ndiyo maana waka jeluiwa.

  • @Abdullah06494
    @Abdullah06494 2 หลายเดือนก่อน +2

    waomba moyo wakuzingatia uadilifu, alaf unaeka picha za watu ilhali itikadi yako ni kua picha haraam

    • @salafi.
      @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +2

      picha za wahalifu katika mambo ya dunia mnakubali (most wanted) lakini wahalifu katika dini hamtaki watu wawajuwe sio

    • @Abdullah06494
      @Abdullah06494 2 หลายเดือนก่อน +2

      hio ndo hoja yako?😂

    • @Assalafiyyah637
      @Assalafiyyah637 2 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ni twaalib yuazungumza Kama vile aami subhaanallah we mche Allah na chukuwa naswiha weka sauti yatosha bila sura za viumbe hai...

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​​​​@@Assalafiyyah637 Picha ya mhalifu lazima ioneshwe watu wamjue ili wakimuona na mapicha yake huko kweny channel za mahizbi wamuepuke...!!! Fatilia qawli za ulamaa katika hilo utabainikiwa In shaa Allah!
      Lau ingekuwa msimamo wa Hizbi ni kuwa picha ni haramu basi isingekuw busara kuonesha picha yake lakin kwa vile nayeye huyo hizbi ana mapicha huko mtandaoni, acha watu wamjue kupitia mapicha yake hayohayo!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Abdullah06494@Assalafiyyah637 Picha ya mhalifu lazima ioneshwe watu wamjue ili wakimuona na mapicha yake huko kweny channel za mahizbi wamuepuke...!!! Fatilia qawli za ulamaa katika hilo utabainikiwa In shaa Allah!
      Lau ingekuwa msimamo wa Hizbi ni kuwa picha ni haramu basi isingekuw busara kuonesha picha yake lakin kwa vile nayeye huyo hizbi ana mapicha huko mtandaoni, acha watu wamjue kupitia mapicha yake hayohayo!

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiyo wale wale. Uoni itakuwa tabu sana kujua. Ukitaka kumpinga Sheikh Rabii mpingi kwadalil iliyo thibit basi sisi wote tutakufwata wewe.

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa namkubali sana Sheikh Zaunulabidin lakini leo nimebainikiwa manhaj yake haieleweki

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 หลายเดือนก่อน

      @@Nature-xe7lu kwa hyo ulikuwa ukifuata kibubusa?

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini kama hiyo kauli kaiongea hivi karibuni anatafutiwa maneno yake ya miaka hiyo ya nyuma kasema hajawahi kuita neno jadida lakini huenda alikua anakosoa kutokana na ufahamu wake kuna yyte ambae amemuuliza saivi msimamo wake baada ya kutoa hiyo kauli? Kuna namna katika da'awah mtu anaweza kusema anaingia katika manhaj lakini akaendelea kutengwa kwa kuonekan kama anajipendekeza nafikiri baada ya kutoa ile kauli basi masheikh wa Kisalafy ilibidi wafanye subira kidogo waone alichokisema ni kweli anakimaanisha au anacheza na akili za watu.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      Yah! upo sahihi kwa upande fulan ila aliyemjeruhi huwenda anajua zaidi kuliko sisi tunaomuadilisha! Nilitamani sana baada ya ile kalima Zein afatwe alinganiwe zaidi, lakin akazidi kuraddiwa hadi akabadili msimamo papo kwa papo na kuanza kutuita Maswaafiqa😂😂😂 ,wakati jana yake tu alisema kuwa sisi tunaoitwa Majadida ndo Ahlusunnah wal jamaa na Mahizbi wanatuita hvo kwa lengo la kutudhoofisha!
      Sema nayeye anaonekana hana Msimamo. Baada ya kuona anajigongagonga katika maneno yake, nkajua huyu manhaj yake haijanyooka. ila tuwe na subra huwenda akarudi nyuma in shaa Allah!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x In shaa Allah,huenda ikapatikana kheri unajua natamani siku1 hawa wote wanaomuunga mkono Barahiyan wanaonekana na nguvu kubwa katika da'awa wabadili msimamo halafu tuone Barahiyan atabaki peke ake na msimamo wake! Hahahahaha

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy Hahahahahah! naona watu wanazidi kumkimbia Barahiyani! Atabaki na Bachu tu labda Mana bachu kubadilisha msimamo wake ni kazi... Ashasema kama mtu ni wa Sunnah, hata apinde vipi, ataendelea kunasihiwa mpaka kufa. ndo mana hawez kumhizibisha Kishki hadi sasa! hahahahahaha!

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Akhy nwenye channel ya salafi. Shekh uthman. Khamis ni ( hizbi) au

    • @Kenyansalaf
      @Kenyansalaf 2 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/etEWPztMkeE/w-d-xo.htmlsi=kMPwTrn6QCvGwbQ3
      Skiliza iyo clip upate kumjua vizuri

  • @Muislamu
    @Muislamu 2 หลายเดือนก่อน

    Kisha mbona nyinyi mwamuita shk muhamad bin hadi ..ibnu hadi hata ushekhe mumempokonya ..majahil nyinyi..

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani Sisi ndo tumempokonya???!!!😅

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

      Unavyo ongea kama umedondoka kutoka juu ya mti ukafikia kichwa. Akili zako hasa ndivyo zilivyo elewa kwamba sheikh kanyan'ganywa U-Sheikh ....kazi kweli kweli.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kapinda. Sio salafi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 2 หลายเดือนก่อน

      Jameni wacheni kuwatoa watu wa sunna katika manhaj

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

      Usi tete tu akhy. Huyu anapotosha kuhusu usool wa kisalafi.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

    Tusha mjua huyu kundi la kina Abuu musab na wenzake. Na huyu ndio hao hao. Wanatakiwa wa muogope Allah kwa kupotisha usool wa manhaj salafi.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi wakina Abuu Zaghar sio Salafy? Pa1 na Abuu Muawiyah?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      ​​@@Hamis-ks1sy Hiyo ni Confusing case kwa sisi wanafunzi wadogo tusioelewa mambo ya Jarhu na Taadil... Kwo nashauri Tutulie tu!
      Tukijua kama wao ni Masalafy au sio haitusaidii kitu ila as long as upande wao ni upande wenye utata juu ya usalafy wao ni bora kujiepusha nao...!!! Allah ndo Mjuzi zaidi wa yote, tunamrudishia yeye kila kitu!
      Nasema upande wao una utata kwa sabab Muhammad Al imaam kabidiishwa na baadhi ya maulamaa na akapewa udhuru na baadhi ya maulamaa! na haqqi ni moja tu kati ya hzo! Kwo kujiepusha na mambo yenye utata itakuw salama zaidi kuliko kuyaendea mambo hayo kutokana na qawli ya mtume alayhi ssalaatu wassalaam...!!!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ok,hapo nimeelewa sema naona kama ingekuwa vizuri kama wangepata Sulhu kwa maana wale wanaonekan wapo mbali sana na manhaj ya wakina Barahiyan na wanaitakid kuwa wakina Sheikh Qassim ni Sakafy yaonekana shida ilianza kwenye kesi ya Muhammad Al imaam.Au nao washaamua kukaa kivyaovyao na hawataki tena kuwa pa1 na masheikh ambao wapo mbali na Muhammad Imaam!!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy Duh! hapo tusubiri Nusra ya Allah huwenda wakawa pamoja In shaa Allah!

    • @IslamicSalafiNet
      @IslamicSalafiNet 2 หลายเดือนก่อน

      Jana mlimsingizia kuwa aliwaleta Othman Maalim na Kipozeo, mwisho mkaibika. Hapo Alimkosea heshima lini Sheikh Rabii?, pili Mumeshindwa kabisaaa kumkosowa mwatafuta uongo, pili Hajawahi kukaa na Barahiyaani hata siku moja... wewe ni muongo mkubwa