Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว +25

    Huyu mama ninampenda sana kwakweli , Allah akuweke

  • @hamisihassan2620
    @hamisihassan2620 4 ปีที่แล้ว +10

    Leo mm ndiye wa kwanza ku comment gonga like twende sawa

  • @winniekadii5705
    @winniekadii5705 4 ปีที่แล้ว +5

    Khadija unasauti nzuri jamani horse voice

  • @lakimdiu2547
    @lakimdiu2547 4 ปีที่แล้ว +7

    Uishi miaka mingi mumy ! salama unajua sana ujie😍

  • @salamaoman8133
    @salamaoman8133 2 ปีที่แล้ว

    Mm nimefurahi sana kwa maeleza ta dada khadja na wajina salama

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 4 ปีที่แล้ว +5

    Mama interview zako elimu tosha Mungu akupe maisha malefu

  • @labokush
    @labokush 4 ปีที่แล้ว +13

    Another awesome interview. Thanks Salama. Mad love 🇨🇦🇰🇪🇰🇪
    Am also learning alot of Swahili words.

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 ปีที่แล้ว +3

    Nadhani chama kimemsikia Khadija kopa. Nia anayo na uongozi anao. Mpeni ubavu Bi Khadija Omar Kopa

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +8

    Usimsemee mtu maana haujui kwanini anasema hivyo/walikosana nini🤔Ahsante bi khadija kopa

  • @prettypretty9745
    @prettypretty9745 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeona stutus nimekuja kuiangalia yoteee aiseee safari ya ndoa ya bikhadijaaa nimeipendaaa😂😂😂

  • @hanifakimaro2179
    @hanifakimaro2179 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii interview ndio imenifanya nikasubsribe kwa Chanell yako Salama, much love kwa Khadija ❤️🌹

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 4 ปีที่แล้ว +13

    Mambo ya kutundikana roho juu ya miti hiyo kwiyooo 🤸🤸

  • @marymalaika476
    @marymalaika476 4 ปีที่แล้ว +6

    Tafsiri yake ya ndoa nimeipenda sana😂😂😂😂maaana “kutundikwa roho juu mti” si mchezo🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @wewe3394
      @wewe3394 4 ปีที่แล้ว +1

      😍😍😍❤❤❤❤

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +2

      Uyu ndie mimi sitaki kutiwa kaburini kabla siku zangu tunaachana kila asubuhi

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +16

    Khadija mama lao🔥

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 ปีที่แล้ว

    Salama nakupenda upo mtufulani hivi tofauti na muonekano wako watu wanavyo kudhania 😍😍😍😍

  • @naziakijangwa983
    @naziakijangwa983 2 ปีที่แล้ว

    Da salama mi nimvivu kuangalia kipindi mpa mwisho but wew ni ninoma nanusu

  • @Nouruyoun
    @Nouruyoun 4 ปีที่แล้ว +1

    Da khadija gombea jimbo lenu la kwahani. Usikubali kugombania viti maalum, lazma ugombee sehem ambayo kama mwanamke utakua proud...

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 ปีที่แล้ว

      Kweli aje kwetu Kwahani... hatujamtupa mama etu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    My love mom, kipenzi changu legendary ❤️

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 4 ปีที่แล้ว +3

    Hujamuliza kuhsu vipaji vya watoto wake waliobakia but all in all is good interview you made it mzanzibar mwenzangu

  • @kulolamasanyiwa3683
    @kulolamasanyiwa3683 4 ปีที่แล้ว

    Huwa unamaneno ya msingi bi khadija nakupenda basi tu

  • @mrsmile2420
    @mrsmile2420 4 ปีที่แล้ว +1

    Interview ya kibabe sana big up sana kwako sister Salama. We need more this kind of interview kwani tunajifunza kitu baada ya kuangalia interview kama hizi.

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama umeuliza swali nzuri Sana utamwambia je Sasa wakati upo lonely

  • @swaumabdi4213
    @swaumabdi4213 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana salama ww ni mcheshi mashara kibao raha tupu

  • @lionroot4073
    @lionroot4073 4 ปีที่แล้ว

    Niko Sweden na nakusom mzenji mwenzako nakusoma kitambo since upo East Africa TV blessing

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 4 ปีที่แล้ว +2

    I'm very happy for mama ❤🤲🙏

  • @feifei9620
    @feifei9620 4 ปีที่แล้ว +1

    Beat🎺tulivu mambo yetu wa mji mkongwe 🇧🇴 bless up sis Amani tu.
    .

  • @barackhuncho2432
    @barackhuncho2432 4 ปีที่แล้ว +5

    Nguo.. Nyeusi ...Salama duuh kila kipindi...

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +1

    Khadija kopa deserves more respect

  • @sekelagatusekelege1824
    @sekelagatusekelege1824 4 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana Hadija kwa uwazi,pia Salama kwa maswali yenye mpangilio

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 4 ปีที่แล้ว

    Salama nilipenda mkasi pia.muba na yule jamaa mwingine♥️♥️♥️♥️

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 ปีที่แล้ว

    Nimefurah sana kumsikia huyu Bibi Mungu amzidishie

  • @Sonyambulo
    @Sonyambulo 4 ปีที่แล้ว +5

    Mpeni kiti mama Khadija she's good 😊

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 4 ปีที่แล้ว

    Much love khadija and salama

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Bi.Khadija

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 4 ปีที่แล้ว

    Mama 2020 chukua ubunge viti maalum .....jaribu bahati yako

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว

    Umenifurahisha sana Bi khadija 😍😘

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah dada wetu kopa

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama interview na Khadija bomba😘😘😘😘

  • @hadijandenga8892
    @hadijandenga8892 4 ปีที่แล้ว

    Penda sana wajinaaa

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +3

    Salute sj kwanza tyu jna la kipind I ni creativity it changes according to theme you are the best

  • @esterdanford5563
    @esterdanford5563 4 ปีที่แล้ว +2

    Unapotaka lako usitake mawazo ya mtu maana hujengi zahanati ya kijiji,ili mradi huvunji sheria.#NajifunzasanaKupitiahikiKipindi

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว

    Bi khadja🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙌🙌luv u 4rever.mliwaka kipndikile na asmah.@sanam la michelini 🤣

  • @henrytawa1191
    @henrytawa1191 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukojuu sana 🙌

  • @zaidalnoamani5364
    @zaidalnoamani5364 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda saaana

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkadokoana 😂😂😂😂😍😍

  • @jeromejoseph9127
    @jeromejoseph9127 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama nampenda forever yaani anaongea ukweli. Yupo open kabisa... MUNGU amuweke

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 4 ปีที่แล้ว

    Mi nawapenda tuuu

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว +5

    Wakat I umefika CCM wamshike mkononi mama. KHADIJA ago been na yy ale keki ya nchi katumikia sana

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว

    Love u mom khadija

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana salama naaaaaaaaa

  • @amanimushi1466
    @amanimushi1466 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana hii

  • @salomeoberd2949
    @salomeoberd2949 4 ปีที่แล้ว

    Nampendaga sana uyu bi mkubwa

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 4 ปีที่แล้ว

    Salama nakupenda yangu 2004 eatv

  • @longdsaningo498
    @longdsaningo498 3 ปีที่แล้ว

    Kwny kichaka kama nanii et 😃 we salama wee

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 4 ปีที่แล้ว

    Love you guys

  • @barwani890
    @barwani890 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleikum salama mm mznzibar lkni Niko Oman nimeipenda kipindi chako mm mpnzi WA michezo ya riama saana na nampendea khadija kopa endelea na kazi yk

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 4 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda sana hii prog yako salama nina suala dogo kwako mzee wako ni mwalimu ?

  • @nyamburawacoast305
    @nyamburawacoast305 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba umuite diamond akwambie kwanini anachezea madada wa wenziwe

  • @mjukuuwanyerere1626
    @mjukuuwanyerere1626 4 ปีที่แล้ว

    Ruge Ruge Ruge ......daah rip broda

  • @najmasoudnaj8211
    @najmasoudnaj8211 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice 🔥💯🥰🤣

  • @gladnesskimati
    @gladnesskimati 4 ปีที่แล้ว +2

    Khadija amefiwa hadi ameona kitu cha kawaida

  • @wedream7506
    @wedream7506 4 ปีที่แล้ว

    Salama we were ni mtangazie bora Tanzania sio kama Hawa watangazije. Mihemko WA sikuhizi

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 4 ปีที่แล้ว +3

    ❣❣❣❣

  • @neylakeyla4248
    @neylakeyla4248 4 ปีที่แล้ว +2

    😍😍

  • @nassraal-riyyami8387
    @nassraal-riyyami8387 4 ปีที่แล้ว

    Duuh roho juu ya mti

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว +4

    Mkadokoana ha ha ha bi khadjia bhana

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kukabana Roho

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 ปีที่แล้ว

    Hicho kiatu cha Street Soul mpk leo hakijanunuliwa tu!!

  • @Yessjamal
    @Yessjamal 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama MNASUBIRI NN KUMLETA CHIDI APA AAAH KWNZ CHIDI INTERVIEW YAK UKI UPLOAD HAIPUNGUI VIEWS 300K NASEMA IVY KWA SABABU ATAMIMI TH-camR LETEN CHIDI BENZ APA

  • @rumibarton2359
    @rumibarton2359 4 ปีที่แล้ว +1

    Malkia wa mipasho kabisa huyo

  • @khamissshaban4016
    @khamissshaban4016 4 ปีที่แล้ว +4

    Sijutiii kupoteza bando lng

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 4 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @jumamuhando2504
    @jumamuhando2504 4 ปีที่แล้ว

    Hili swali la hadija kopa na nasma kadogo nililitegemea litaulizwa nalaiti salama usingeliuliza hili interview isingenoga

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣 mkadokoana 🤣🤣🤣❤

  • @rahimalewe2835
    @rahimalewe2835 4 ปีที่แล้ว

    Mama nakupenda sana yaani nangalia mfano kutoka kwako naesabu ndoa tu Kama ww mama sitaki dhiki ya nafsi mm😁😁

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu hapo kwenye mapenzi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @fettymanyo438
    @fettymanyo438 4 ปีที่แล้ว

    Kipind poa

  • @rahmamalki610
    @rahmamalki610 4 ปีที่แล้ว

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 4 ปีที่แล้ว

    Nikeeli hata mmi naolewa na nikiona mwana mme ananifanyia mazila aaa nadai talaka akitokea nakubal na akinitenda naondpka

  • @fettymanyo438
    @fettymanyo438 4 ปีที่แล้ว

    Bi kop nimekuelewa

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 4 ปีที่แล้ว +3

    Siku nikija kujua kua Diamond na Kiba hawana ugomvi ni biashara tuu lazima niwachape bakora

    • @sherrysalim50
      @sherrysalim50 4 ปีที่แล้ว +1

      Maryam Khamfar 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @marymalaika476
      @marymalaika476 4 ปีที่แล้ว +1

      Maryam Khamfar 😂😂😂inavyoonekana wala hawana ugomvi wa maana hao, kuna hitilafu ndogo tu mahali ambayo wajanja wanaitumia kupata kitu...diamond aliwahi kusema mahala fuatilia interview za mondi...!

    • @haskao77
      @haskao77 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawana ugomvi wowote wa maana. Kuna kipindi zilipostiwa video Kiba yuko na SalamSk wanapiga stori wanacheka.

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda bi.khadija

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว

      Business ethics guys learn that,play with fans,get more money.

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 4 ปีที่แล้ว +1

    Mlete lulu

  • @alexshallom3094
    @alexshallom3094 4 ปีที่แล้ว +1

    Muda mwingine tena, LEO nimejifunza mapenzi lkn nilijua ntajifunza MICHAMBO. NIMEPENDA sana

  • @asterialucas4680
    @asterialucas4680 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama mtafute JayDee

  • @magrethmkira6250
    @magrethmkira6250 4 ปีที่แล้ว +1

    Mlete na Bi chau

  • @binsururu
    @binsururu 4 ปีที่แล้ว

    Et unahesabu Viewers😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @sherrysalim50
    @sherrysalim50 4 ปีที่แล้ว

    Da salama tuletee bint kiziwi please

  • @abuusalama895
    @abuusalama895 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama kuna swali ameuliza katulia kama maji ya mtungini @ ndoa

  • @munynasser365
    @munynasser365 4 ปีที่แล้ว

    Follow account hii ya mapishi...inaitwa...mapishi house

  • @munynasser365
    @munynasser365 4 ปีที่แล้ว

    Subscribe channel ya mapishi house