@@anthaall4582 kanumba umetumpa.wakati mgumu sana mm kama.mm sita kaa nikusahau haki yamungu mm nakuombeya kwa mungu akupokee ili utushikie nafasi mbele yetu nyuma yako kk
Nlimpenda huyu kaka sana,tangu kuondoka kwake siangalii bongo movies tena,alikuwa star sio siri tulipenda sana movie zake.Mpaka kesho twampenda sana huku Kenya, Mungu amlaze mahali pema peponi,amina.
Nafunga mwaka 2019 kwa kuangalia interview ya jembe langu R.I.P #Steven Mungu akupe wepesi ulipo naomba like zangu kama nawewe umemaliza huu mwaka na na steve
Ooooh kanumba it's now almost ten years since you left ulikuwa mtu wa maono na WA msaada kwa Dunia ukatoweka ghafla still in my memory continue resting in peace Mungu akupunguzie adabu ya kaburi much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kifo chako kilikuwa mshituko sana kwangu kanumba maana sijaamini mpaka Leo hii, inanibidii nitazame filamu zako Mara kwa Mara kuoneshe kwamba ungali hai, tulikupenda sana tens sana lakini mungu kakupenda zaidi na aiweke roho yako mahali pema tutaishi kukumbuka kanumba.
HE WAS BRIGHT,HANDSOME AND HE WAS IN GOD ...I LIKE THE GUY REST IN PEACE...YOUR INSPIRATIONS WILL REMAIN FOREVER WORKING WITHIN OUR LIVES...REST IN PEACE KANUMBA STEVEN
i have only watched two tanzanian movies..one was 10 years ago..called girlfriend featuring tid ,ay and crazy gk...and later on ......couple years ..i watched a movie called ..oprah...boy...what a remarkable improvement ..both in quality ,sound and acting..en that was the first time i saw..this..and the girl who played the leading female role i though they were all terrific.
Really we remember you mr Kanumba. Dah! it's true the world is not our permanent home. Bado nakuona kanumba yuu hai but bongo movie hoi,sipati ushawishi saana wakuangalia labda komedi bado nipo.
Najiuliza sana kwann kanumba alikufa..!!, inaniuma sana coz sipati jibu..'' but all in all Mungu alimpenda zaidi japo na sie tulimpenda zaidi. Mungu ailaze maali pema peponi roho yake. "AMINA""
Kifo cha Kanumba ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa sanaa ya filamu Tanzania. Tangu alipofariki, sanaa ya filamo imebaki pale papel alipoiacha. Yeye kwa mikono yake aliinyanyua sanaa ya filamu kutoka vikundi vya vichekesho kuwa industry yenye hadhi ya kimataifa. RIP Kanumba
Kama bado unaangalia
Interview hi 2020
Gonga like tujuane
Tupo pamoja
2021 i like it
Nimemkubar hamza apumzike kwaaman
i know I'm kinda randomly asking but do anyone know of a good site to stream newly released tv shows online?
2023
kama bado unaitizama hii interview mpaka leo 2024 gonga like hapa itakuwa unyama mwingi
Tupo
Tupo 🎉🎉🎉
@@BrigitteRachel-gf9zz pamoja sana
@@DativaMbowe pamoja sana
@@jacobojames7086 amen
Huu ni mwaka 2024 na bado Kanumba was the greatest RIP
Kama bado unaitazama hii interview mapaka Leo 2024 gonga like tujuane
Pa1 xana
Kama unamuangalia kanumba mpaka leo 28.november. 2019 nautazidi kumuenzi gonga likes..
Cjaamini kama hayuko mimi,, naona tu kama ako
Tunaoangalia mkasi mpaka November 2019 tujuane kwa like hapa chini.
Ileile mzee km kw 2019
Good
huyu jamaa hatopita kamwe nahakuna atae weza ziba pengo lake kama unakubaliana nahili gonga laki
Nipo ndugu tumekosa
@@anthaall4582 kanumba umetumpa.wakati mgumu sana mm kama.mm sita kaa nikusahau haki yamungu mm nakuombeya kwa mungu akupokee ili utushikie nafasi mbele yetu nyuma yako kk
2022 still watching.. the guy was so talented and unique. May his soul rest in peace
Kama bado unaangalia interview hii leo 2022 gonga like tujuane...
Tunaenda 2023. TUNAENDELEA ku watch
@@wasaficlassicshoes 2023 nipo
2023
Mie naangalia leo 2023
2023 nipooo
2023 still Viewing this 🥲🫡 RIP KANUMBA 🙏🏾
So 😔
R.i.p
Kama bado unaangalia 2019 gonga like
Og
Dunia nyingine
Kanumba bana
R. I. P KANUMBA
Nlimpenda huyu kaka sana,tangu kuondoka kwake siangalii bongo movies tena,alikuwa star sio siri tulipenda sana movie zake.Mpaka kesho twampenda sana huku Kenya, Mungu amlaze mahali pema peponi,amina.
Jamn nan anaangali hii clip mwaka 2019 kwenda 2020 like hapa
Kumbukumbu nzuri.
Kama bado unaangalia Interview gonga like leo hii 2024
👊🏿👊🏿
Kama bado unaenjoy Mkasi huu November2019 gonga like hapa andika R I P Kanumba the great
Bong
We siku zote hujaangalia unaangalia sasa hv hlf unataka like?
@@anordmpambanaji9497 ahahaaa sawa
16/12/2019 nipo naenjoy
R.i.p
Kama unaangalia hii 2019 like hapa twende sawa Kisha comment ''RIP king of film''
R I P Kanumba
R.I.P kanumba
2021 bdo naaangalia Kam upo sambamba na mm gonga like
Nko hapa bado nangalia
2023
Kama bado unaangalia hii interview 2024 gonga like zako hapa 🙏🙏🙏🙏🙏
Tupo
Nafunga mwaka 2019 kwa kuangalia interview ya jembe langu R.I.P #Steven Mungu akupe wepesi ulipo naomba like zangu kama nawewe umemaliza huu mwaka na na steve
Ooooh kanumba it's now almost ten years since you left ulikuwa mtu wa maono na WA msaada kwa Dunia ukatoweka ghafla still in my memory continue resting in peace Mungu akupunguzie adabu ya kaburi much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
R. I . P Kanumba the Great, you were a source of inspiration and light to many other film stars and supporters in general. Forever we will miss you.
Just imagine ad leo 2024 kanumba angekuwepo soko letu la filamu lingekuwa wapi... Oky kama unaitazama hii 2024 gonga like itakuwa unyama sana
Km bd nww unangalia interview hii 2021 km mm tafadhali weka like yk hp
June 2024 wenye wangaliki pale for kanumba gonga like tujuwane
14/06/2019
Kama bado unamcheck the Great Gonga like then coment R.I.P the great Kanumba
R.I.P
@@bongespea6567 RIP
Rest in peace
Kibinafsi mm nilimkubali sana mzee Baba kanumba
Uyu jamaa noma sanaaa
Kama bhado unaangalia kipindi hiki na unatamani kuludi on Air gonga like hiii ni December 2019
Kisha subscribe #HIGHTECHTZ
This's one of the most HONESTY interview with KANUMBA...RIP bro!
Tujuane hapa 2023 😢 R.I.P King 👑
Kinachoniuma zaidi ni pale ninapoangalia movie ya family tears harafu muhusika hayupo duniani😭😭😭😭R.I.P brother
Kifo chako kilikuwa mshituko sana kwangu kanumba maana sijaamini mpaka Leo hii, inanibidii nitazame filamu zako Mara kwa Mara kuoneshe kwamba ungali hai, tulikupenda sana tens sana lakini mungu kakupenda zaidi na aiweke roho yako mahali pema tutaishi kukumbuka kanumba.
weboya na wewe utakufa sio uyo tu
Jmn ni kujifariji huko kifo ni wote
Moham kuma kbs ww
Yusra yahaya mmmmh! Binti
Jamani mnaomkubali kanumba na mnaangalia hebu like hapa.
November 11th, 2019... Rest in Peace Baba Lao...
Uyu kwa uyumuda njokaitwa baba laojaman tumekosa
You will remain to be a STAR......MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI STEVE KANUMBA
jamn. mi. nimeludia. 2019. nauliza. kwan. huyu jamaa. ndo hayupo. tena. eeeh. daaaaaah😭
Hayupo
kanumba tangu ututoke saiv watu hatuangarii move za bongo move za season zimekamata soko hapa nchini
Aliyekuja huku baada ya kusikia mama kanumba akiomba msaada kwa diamond tujuane!! By the way R.i.p bro
December2019
👇🏿
Jamaa alikuwa anaweza Kama wote
Tunaoangalia december 15 2019 like tujuane
Rest in Peace legend you will always be in our heart🌹🙏
LOoking at this and i feel like its real like he's still alive😢😢
umekufa kanumba hadi filam nayo imekufa tulikupenda sana kaka yetu ila mungu kakupenda zaidi pumnzika kwaamani na mungu akupunguzie adhabu za kaburi
filamu haijafa
imekufaje
Da! Yani kiukweli filamu ya mbongo ilishikwa na kanumba JB anafuatia lakininiiiiiiiiiiii!
Mm nakubaliana kweli filam za kibongo zimekufa bora tuangaliage sultan
Aameeeeen
7years ago, I can't believe how fast the time flies..Continue rest in peace brother kanumba
HE WAS BRIGHT,HANDSOME AND HE WAS IN GOD ...I LIKE THE GUY REST IN PEACE...YOUR INSPIRATIONS WILL REMAIN FOREVER WORKING WITHIN OUR LIVES...REST IN PEACE KANUMBA STEVEN
Pengo lakanumba bado halijazibika. Anaekubaliana nami gonga laik
7/3/2021 continue resting in peace the legend Stephen kanumba napenda kuzirudia movies zako 😭😭
Dah cjui atatokea lini kwenye movie kama KANUMBA handsome, anajua kuongea,anajua kuigiza alikua anaanza kuipeperusha bendera dah😭 Bongo fleva tunaye Mondi tunashukuru pia🙏🏾
Steven Kanumba,the Legend.we shall always miss you.Much love from Kampala.
I miss this cute guy so much.how I wish he even had a kid wth someone
Ya, so sad for real 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭
😥😥😥😥😥 I miss the great Steven, jamn his legacy lives and will live foreverrrrrr❤
Nani yuko hapa 2019?😪
inafulaisha xana
Masikini Kanumba! kasema kuwa anafanya vitu ili hata wanawe waje kusifia kuwa Baba alifanya vizuri. Kumbe haikupangwa hivyo.RIP Kanumba.
I missed you today and thought to check on you Steve.. .you are the man I wished to meet but hopefully we shall meet in heaven
hata mimi
Neema is that you?
I too best,
Daaaah acha 2😭😭😭
nimmo mwangi
Plezzz owner of Mkasi Bring Backkk it, THE SHOW IS GENIUS MANN
*Kama Bado unaangalia Mkasi November23.2019 gonga like twende sawa*
Nipo hapa march 2020 R. i. p Steven kanumba tutakukumbuka daima, wallah sichoki kutizama movie zako.
Deeply sorry, R.I.P the great. respect from A.A {Ethiopia}
Miaka 12 iliyopita I was 12 years old dahhh nmekuja kuiangalia leo rip kipenzi kanumba the greatest.
Nani yupo hapa kwaajili ya msiba wa SETH BOSICO KANUMBA
Still watching this interview from kenya.. RIP my legend
U did more dan anyone has everdone b4 and even now,RIP baba yao
Tutakukumbuka daima daah Seth pia kweli Duniani sio nyumbani 9.Dec. 2019 😭
Oman Mahla .
I love kanumba all the time❤️❤️❤️❤️❤️
Nikiona akiongea hivi...naona ni kaa bado ako hai siamini kabisa kweli steven aliaga...R.I.P...kanumba
masikini kanumba. mungu atakuweka pahala alipokuewekea pazuri anapopajua. lakini mamboz yalikuwa yashajionesha mapema katika magomvi ya mades
R.I.P. Bro KANUMBA......We will alwayz Remember and Love yu!
Yupo anatumikia huko huoni hata nguo alizovaa ona huo mdalaba ona sura yake inaupepo fulani wakishetani
@@nyabahailani3169 mshamba kweli wew
i have only watched two tanzanian movies..one was 10 years ago..called girlfriend featuring tid ,ay and crazy gk...and later on ......couple years ..i watched a movie called ..oprah...boy...what a remarkable improvement ..both in quality ,sound and acting..en that was the first time i saw..this..and the girl who played the leading female role i though they were all terrific.
Kama mpaka leo bado unaangalia hii August 2024 like hapa
Jamani uliemwangali kanumba 2021 like hapa aendelee kupumzika kwa Amani
May Allah forgive ur sins and ease your life in the kabr.Ameen rest in peace inshAllah.we all miss u
Amar♥️♥️♥️
Kama bado tupo pamoja November 2019 tujuane hapa...R.I.P Kanumba
daima nitakukumbuka kanumba
Kama bado unaangalia interview hii 2021 gonga like..💪
Tuliorudi kumuangalia Kanumba leo siku ya kumbukumbu ya kifo chake tujuane,R.I.P KANUMBA
2023 like it here !!
Nafunga mwaka na hii video. 1M💪💪💪💪
Umeona eeh my
i can't stop watching him he will always be the Tanzania G.O.A.T keep relaxing Legend. Share some love it's 2023...🥲😪
Salama nimekukubali my Dear
Unamwambia mtu unampenda kama Yuko Hai
That is Good
Bado naaangalia hii 2019 nani ananiunga mkono kwamba huyu jamaa alikufa na bongo movie anipe like kama zote
napennda kua kma mtu flan but kuyafikia malengo inahitaj moyo naomba mungu anitangulie kwa kila jamboa ninalolifanya
kazya mungu
@@amadeuskileo9191 usijali mtuu wangu kila kitu nikumuomba mungu wala usiw nachaka
alazwe pema peponi huyu alikuwa muwakilishi wa tz nzima kwa sanaa yake nzuli apewe sifa
Kama bado unaagalia interview hii Léo 2024 gonga liké tujuane
Tunaoangalia interview ya kanumba 2020 tujuane kwa comment hapa
Kama bado unaangalia hii interview 2024 mwezi ya Saba gonga like apo tshini
still watching this 2020?? kanumba was genius
Kam unachki this year 2023 gonga like buddah
This guy is so honest even his face tells that he is saying the truth. too bad he is gone with much more to give to the young once......
Rest pis tumekumis
Really we remember you mr Kanumba. Dah! it's true the world is not our permanent home. Bado nakuona kanumba yuu hai but bongo movie hoi,sipati ushawishi saana wakuangalia labda komedi bado nipo.
We Kanumba hujafa jamani,kweli we boss wa filamu umeondoka na filamu zako,mi siamini mpaka kesho lakin kazi ya Mungu haina makosa.
Kanumba hajafa ila kafariki dunia tu🙌RIP legend.. mega S/O to th best female presenter ever SALAMA JABIR🙌 2024 watchin'
Kanumba u will always be remembered. Rest in paradise
2023 still watching
Kama unaangalia 2019 gonga like hapaa
Loved you, Love you & always do. R.I.P Steve
Who is with me 2019 boxing day?
2021 bado naimiss sauti ya Kanumba. R.I.P Kanumba
My all time favourite actor love you Steven kanumba continue resting in peace
Najiuliza sana kwann kanumba alikufa..!!, inaniuma sana coz sipati jibu..'' but all in all Mungu alimpenda zaidi japo na sie tulimpenda zaidi. Mungu ailaze maali pema peponi roho yake. "AMINA""
Loyce Mallya Mimi binafsi siamini kama kweli Kanumba hayupo Dunian.
mipango ya Mungu
duh!! Lulu alikosea sana
Loyce Mallya amekufa yesu atakuwa kanumba
shedrack meshack huna uakika Ni Lulu
Kifo cha Kanumba ilikuwa ni pigo kubwa sana kwa sanaa ya filamu Tanzania. Tangu alipofariki, sanaa ya filamo imebaki pale papel alipoiacha. Yeye kwa mikono yake aliinyanyua sanaa ya filamu kutoka vikundi vya vichekesho kuwa industry yenye hadhi ya kimataifa. RIP Kanumba
2022 still watching R.I.P Kanumba the great
R.I.P Kanumba gonga like if you still watching 2023
Umetuachia pengo Miaka 100 Nakukubar sana Broo.. BT RIP
Davis Goodluck 9
Kama bado una angalia interview hier leo 2023 gonga like
Kama bado unaangalia hii interview 2023,gonga like tujuane..