DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Agosti 26, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz awasili mjini Solingen leo kufuatia shambulio la kisu lililowauwa watu 3.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Nawapata vizuri Sana,Niko halimashauli YA ushetu kahama.
Team mashoga wako wapi
Nawapata. Mubashara hapa urambo nyumbani
Nawapata mbashara nikiwa karibangi
Nyny habarizenu zaupande mmoja hamtak hatakuskia Ukraine inafanikiwa namkesema mafanikio ya Ukraine mnasema kwahaibu sana
Naam Naam Tunawapata vyema kutoka huko Ujerumani
Raia wa kigeni muache kufanya uhalifu katika nchi za watu mtasahabisha na wageni wengine kufukuzwa