JKizondo Upishi unaanzia shambani sio jikoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2022

ความคิดเห็น • 19

  • @bettymangi6901
    @bettymangi6901 ปีที่แล้ว +1

    Keep up the good work

  • @khawlamsellem2315
    @khawlamsellem2315 10 หลายเดือนก่อน

    Hahaha ha hahaha

  • @niramutu1118
    @niramutu1118 ปีที่แล้ว +1

    Hilo buibui tu..Mashallah!🤩

  • @niramutu1118
    @niramutu1118 ปีที่แล้ว +1

    Twataka Taarab Walmart🙃🥰

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada hakuna kitu napenda zaidi kwako ukiachilia mbali misosi ambayo ndio first,then unaongea kiswanglish safi sana,basi napenda mno

  • @sakinakassu1419
    @sakinakassu1419 ปีที่แล้ว

    Ahahhahaah....😂😂😂😂@I open i take one.....Uwiiiii

  • @hindusaid2696
    @hindusaid2696 ปีที่แล้ว

    Umekumbuka kongowea😂😂😂😂😂😂

  • @alfanmatano1530
    @alfanmatano1530 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅nakubali

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 ปีที่แล้ว

    Masha Allah umedamshi na hilo shikamoo bibi da jamila ila punguza ugumu wa kidigoo 😂😂

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434  ปีที่แล้ว

      Laiti ungepewa nafasi ya kuuwa basi wadigo ungewatanguliza mwanzo sio? Itabidi umuandikie Allah abarua asiumbe tena wadigo mubaki nyie peke yenu duniani na akhera

  • @munirashid1063
    @munirashid1063 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @shehnazkarim4017
    @shehnazkarim4017 ปีที่แล้ว

    🙈🙉😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani eti lundoo😂😂😂

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 ปีที่แล้ว

    mbona umevaa baibui la kizamani na wee nkijana😃😂😂

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434  ปีที่แล้ว

      Kwasababu content yangu inatukuza mama wa Kiswahili ambae ni muanzilishi wa Uswahili. Buibui ni stara, na stara hutoka kwa mama mzazi ikiendelezwa kwa vijana. Buibui la zamani musilivushe thamani ambapo nimetubeba sio wote katika maisha yetu, buibui la zamani ni ishara ya mama wa zamani ambae kwa dunia ya leo hatumuoni, hatumthamini na tumeitupilia mbali kitambulisha chale USwahili. Natumai umeielewa content yangu kwa sasa! ❤️

    • @hamadmohamed3056
      @hamadmohamed3056 ปีที่แล้ว +2

      @@jkizondoswahilibites434 nimekuelewa sana kutokea nilipoangalia hii video Kwa mara ya kwanza nlikua nakutania tuu dadangu JKizondo ki ukweli nafurahi sana kuangalia video zko na hilo baibui limenikumbusha marehemu nyanyangu Mungu amrehemu!

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 10 หลายเดือนก่อน

    Ushazoea magenge

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani eti lundoo😂😂😂