Rigathi Gachagua asema maafisa katika wizara ya usalama wanahujumu vita dhidi ya pombe haramu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa maafisa wakuu katika wizara ya usalama wameanza kuwatumia wanasiasa kuhujumu vita dhidi ya pombe na dawa za kulevya nchini. Gachagua akisema yuko tayari kujiondoa kwenye uongozi wa vita hivi na jukumu hili kukabidhiwa mtu mwingine. Na kama Kamau Mwangi anavyoarifu, Gachagua sasa akimtaka rais William Ruto kuwa makini na watu anaosema wanataka afeli

ความคิดเห็น • 32

  • @irine8353
    @irine8353 หลายเดือนก่อน +7

    Gachagua don't go please we need some more secrets

    • @user-if7ti3rn3u
      @user-if7ti3rn3u หลายเดือนก่อน

      This one has no secrets to tell, he wants to be treated equally to a head of state, hiyo tu, helicopter, najibebea sabuni nikienda mombasa tulidanganywa kama watoto. Bibi amenyanganywa marupurupu.
      Vitu ata having umuhimu na nchi, ukizoa kutendekezwa unakuwa mshenzi tu, jaribu 2027 tone kama unatosha mboga, tulikuonea eighteen. 😅😅😅

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 หลายเดือนก่อน +10

    So nowadays Gachagua is addressing Ruto in public. Things change really fast

    • @kkir5004
      @kkir5004 หลายเดือนก่อน +1

      He's being haunted by his own demons, this guy belittled Uhuru infront of world leaders. Fought Raila endlessly now that Rao has stepped aside he's turning the spear to the ground he is standing on.

    • @irine8353
      @irine8353 หลายเดือนก่อน

      The earth is hard 😂😂

  • @superkidsafricatv7152
    @superkidsafricatv7152 หลายเดือนก่อน +4

    Rigathi is true

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 หลายเดือนก่อน +3

    Umesema kweli

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 หลายเดือนก่อน +1

    There is a saying: THE MORE THINGS CHANGE, THE MORE THEY REMAIN THE SAME.

  • @user-if7ti3rn3u
    @user-if7ti3rn3u หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio mnatuambie ni viongozi wa makanisa, na uongozi wa nchi, wako na uchungu mwingi dhidi yao.
    Mnaweza kushindwa na majukumu ya kitaifa, lakini za nafsi ikiwashinda mumelaniwa.

  • @JacksonAudi
    @JacksonAudi หลายเดือนก่อน +2

    Gen Zs tupe mwelekeo kuhusu kinywaji.....

  • @constantine7512
    @constantine7512 หลายเดือนก่อน +1

    Why is he not mentioning names, these kind of leaders are the ones we are rejecting, Unajua jambazi na husemi majina tumreject........

  • @lilianomondi-ck1pl
    @lilianomondi-ck1pl หลายเดือนก่อน

    And we are following..

  • @HillaryKoech-pk2se
    @HillaryKoech-pk2se หลายเดือนก่อน

    Kachakua should leave us alone...we are drinking Nation as shown by UHURU Kenyatta

  • @jamalkhedira2398
    @jamalkhedira2398 หลายเดือนก่อน +5

    Mogoka is destroying coastal people.yet the president gave them money..we want ruto to give money as to illicit brewerrs 2:18

    • @niqueque8586
      @niqueque8586 หลายเดือนก่อน

      Tab tab ndo zinawamaloo

  • @ClusterProject
    @ClusterProject หลายเดือนก่อน

    There is nothing like illicit brew, made in kenya made by mama mboga can not be illicit

  • @user-if7ti3rn3u
    @user-if7ti3rn3u หลายเดือนก่อน

    Kazi kama imekuwa ngumu ondoka, ukapumzike, au fungal mdomo uendelee kulipwa.
    Hiwezekani kila mahali unahutubia ni kulalamika tu, kazi yako ulikuwa ukifanya ni ipi hufanyi tena.

  • @justinebosire9804
    @justinebosire9804 หลายเดือนก่อน +4

    uyu n bure kabisa....mt kenya dp..umavi sana

  • @football964
    @football964 หลายเดือนก่อน

    Mirraa also is killing innocent

  • @cryptoth4n0s77
    @cryptoth4n0s77 หลายเดือนก่อน

    The common feature with this government, create a problem then come and fix it. Claim you found the problem and you solved it. From the fuel prices G2G and now prices are low they claim it is their effort

  • @roseyphone8698
    @roseyphone8698 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊

  • @estherndanu8729
    @estherndanu8729 หลายเดือนก่อน

    You helped the gen z s to burn Kenya help yourselves too

  • @user-if7ti3rn3u
    @user-if7ti3rn3u หลายเดือนก่อน

    What's the difference this leaders of kenya and sudan, you know bw.
    Peggy G, some of your statements needs you to be detained, what you have just said on how the president could be brought down is as well a threat to the country, it seems even malicious could beat the backyard waiting your orders.

  • @nyamwangierick2820
    @nyamwangierick2820 หลายเดือนก่อน

    Udas mapema zana

  • @jamalkhedira2398
    @jamalkhedira2398 หลายเดือนก่อน +1

    He should be impeached.

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or หลายเดือนก่อน +3

    Our beloved Deputy President, this is not the time for side shows. The problem at hand is GenZ, let's come together to switch off this fire,.. UDA differences should wait... Saa hii kuna moto inawaka,.. Remember 2017 after the first elections, Uhuru demeaned all Jubilee leaders, but when Supreme Court nullified elections, William Ruto stepped up as real man and told Uhuru, We are going back to the people... Mr. Rigathi Gachagua, step up as a real man at this trying times and unite Kenya Kwanza,, and give a road map on how to solve GenZ issues.. Don't be destructed by small people like Ichungwa,, you are the DP and de facto Mt. Kenya king pin.. We really need you to help in switching off this Fire

    • @mahmoodmohammed1679
      @mahmoodmohammed1679 หลายเดือนก่อน +2

      The whole RUTO govt,should go home....there's no sacred cow in this...

    • @alexsimiyu8582
      @alexsimiyu8582 หลายเดือนก่อน

      You are an idiot! So you think this one can be an alternative to our governance issues?

  • @pstvitalisomondi
    @pstvitalisomondi หลายเดือนก่อน +1

    wrong platform to adress your boss sir

  • @kiruienock5081
    @kiruienock5081 หลายเดือนก่อน +2

    Gachagua ni mkora tu. Suddenly pretending to be so good. Be weary of this untrustworthy man