Kwanza nikupongeze kwa kazi yako,lakini pia umenikosha sana kwakua mm ni mpenzi sana wa tech lakini huu ni vile za mbele zaidi mwanzo nilikuona lampard nikavutiwa na uchambuzi wako ila huku umenikosha zaidi kaza wewe ni wakwanza tech in swahili na utamu zaidi unaeleweka kinoma noma kama mtu ni mpenzi wa tech nilazima akuelewe baba umetisha sana kaza mwendo "pesa nyingi ziko mwishoni"
Nimefurahi uko vema eneo la tekinolojia, swali langu mimi natumia Samsung A135F yenyewe upande wa betri unaweza ukabofya inawaka taa ndani ya duara ndogo. Ukibofya tena duara yenye rangi inapotea. Namaanisha ikiwaka taa fast charge inatumika, taa ikizima fast charge haitumiki. Ipi njia bora taa iwake au izime wakati nikiichaji simu yangu. Nikutakie kazi njema endelea kutupa elimu. Mungu akubariki.
Kwa hii sound mi binafsi hua naangalia na kusikiliza post zako kama sehemu ya entertainment, hicho cha kwanza mengine ndo yanatiririka sasa. Kazi nzuri Bro
Je mfano tunao tumia one plus kuanzia 8T charger inayokuwa ni Warp 65 ambayo ndani ya dakik 39 ipo full je inaharibu betri au kwa simu za kawaida ndio huaribika
Pia kuna mfumo kwenye one plus inapofika usiku kama itatokea umepitiwa na usingizi alafu simu yako umeweka charge basi haitoweze kufika asilimia % mpaka ikifika asubuhi kuanzia saa moja inakuwa full charge je inaathir betri pia ila notification inayokuja inasema kuwa inaweka salama betri yako
Hapa iko hivi kama simu ilikuja na mfumo wa fast chaji haitakufa betri ,, lakini pia kama simu ilikuja haina mfumo wa fast itaongeze speed ya kuchaji ila haitakuwa (haraka sana au haraka) sababu utakua umelazimisha na hiyo simu ndiyo ambaya betri lake litakufa mapema
Asante kaka pia naomba kutufahamisha kwanini kuna logic ya kwamba ukitumia smartphone wakati una charge unapoteza ubora wa betri hii imekaa aje na je si vyema kufanya hivyo
Wengi tunakosea, simu zetu zinahitaji charger za 15w au 25w, lkn tunaenda kutumia charger za 65w au 130w na kuzisifia kuwa zinajaza simu haraka, kumbe ndo zinauwa betri, wengi wetu hajulijui hili
Oppo wamekuja na kitu naitwa BHE (Battery health Engine) find x5 angalieni launch event yake mwanzo mwisho mtaelewa, alafu fast charge zipo aina 2, zipo zinazokuja na simu na zipo ambazo na ambazo unanunua wewe binafsi sasa unazonunua binafsi lazima uhakikisge simu yako ina support?
Snash je wameshatoa solution ya hili swala la fast charge kwamba tukichaj tusiwe tunadecrease iyo percentage ya milliAmps za battery? Tufahamishe kama solution ipo mtaalam,🙏🙏
Kali kinoma noma
Kali kinoma noma 💪
Nakubali reo nimekuwa wa kwanza 🤑🤑🤑 nakubali snashtz
We noma sana we jamaa mungu akuzidishie tuzidi kuvijua vitu kupitia ww
Kwanza nikupongeze kwa kazi yako,lakini pia umenikosha sana kwakua mm ni mpenzi sana wa tech lakini huu ni vile za mbele zaidi mwanzo nilikuona lampard nikavutiwa na uchambuzi wako ila huku umenikosha zaidi kaza wewe ni wakwanza tech in swahili na utamu zaidi unaeleweka kinoma noma kama mtu ni mpenzi wa tech nilazima akuelewe baba umetisha sana kaza mwendo "pesa nyingi ziko mwishoni"
Wewe ndo wakwanza Tz
Ni lazima nipite kuangalia update zako... 💯 percent ni knowledge mpya shusha vyuma kaka
Snash wee ni mwamba kati ya miamba nakupa respect sanaaa brother
💪💪💪💪👈
Kaza mwangu wewe ni genius sana
👏🏼👏🏼kaz nzur broo,, naon subscribers wanapnda kwa kas tu broo.💪🏽💪🏽 wrk hard utafka mbal
Nimesoma Elecronics,najua haya mambo vizuri,huyu jamaa ni mkali,hasemi uwongo
Kazi nzuri
umesomeka chief.. kazi iendelee👍
Umetisha mzee
Nzuri Sanaa
Nikweli kabisa . Big up sanaa
#Snash_Tanzania
Appreciate
Nimefurahi uko vema eneo la tekinolojia, swali langu mimi natumia Samsung A135F yenyewe upande wa betri unaweza ukabofya inawaka taa ndani ya duara ndogo. Ukibofya tena duara yenye rangi inapotea. Namaanisha ikiwaka taa fast charge inatumika, taa ikizima fast charge haitumiki. Ipi njia bora taa iwake au izime wakati nikiichaji simu yangu. Nikutakie kazi njema endelea kutupa elimu. Mungu akubariki.
Umetisha kinoma
Big up💪💪💪💪💪💪💪💪
Nakukubali sana broo 🔥 🔥
Nakubal bro
Kwa hii sound mi binafsi hua naangalia na kusikiliza post zako kama sehemu ya entertainment, hicho cha kwanza mengine ndo yanatiririka sasa. Kazi nzuri Bro
mzee wewe noima saaaaana , nakbal sana kazi yako kk
Nakubal Snash Tz umetish kinom nom yan💯💯💯
Umetisha sanaa kiongoz
Ahsante kwa elimu
Imeeleweka
Namuelewa sanaaaa snash sijui kukufuatila maan na mim navimb kitaaa kuonekana najua mambo meng
Concept imeeleka bro 💪
Unajua sanaa kaka
snash ww nizaidi ya noma
Umenifunz thanks Mr safi
Unabonge lasaut kak afu unajuwa atariii 🙌
Asante kwa ujumbe kaka 💥
Kwaiyo tutumie chaja za kawaida2 Asante san
Je kwa simu ambazo zinakuja na mfumo wa fast changer nazo azifai au..,
Nakubali kaka
Nikweli kabisa
Daah kweli kabsa
Umetisha sana... Bonge moja la elimu umetoa.. 🙏
🙌🙌🙌 nakubalii snashtz
Umetshaa saana kaka
Big up xanaa
Safi
Upo vizuri Snash, na ukicharge huku unatumia simu inakuwaje?
Snash tz uko vzur sana
Safii
Nimekuelewa vzur
Nakuelewa kinomanoma
Snash mtu mbaya sana kanipigia mambo ya mkali faraday kwenye maswala ya umeme 🔥🔥🔥 unajua mno kaka
🇹🇿🙏
je kama ukiwa unatumia simu kwenye charg ambayo simu imekuja nayo inaweza leta athali
Nitajuaje mAh kwenye cm yngu?
imeeleweka👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Je mfano tunao tumia one plus kuanzia 8T charger inayokuwa ni Warp 65 ambayo ndani ya dakik 39 ipo full je inaharibu betri au kwa simu za kawaida ndio huaribika
Nimeiona hii Pia 🙌
ebwana nimekuelewa kinoma noma
Duuhhh noma sana
So bro tupatie solution
Asante snash
Pia kuna mfumo kwenye one plus inapofika usiku kama itatokea umepitiwa na usingizi alafu simu yako umeweka charge basi haitoweze kufika asilimia % mpaka ikifika asubuhi kuanzia saa moja inakuwa full charge je inaathir betri pia ila notification inayokuja inasema kuwa inaweka salama betri yako
Hapa iko hivi kama simu ilikuja na mfumo wa fast chaji haitakufa betri ,, lakini pia kama simu ilikuja haina mfumo wa fast itaongeze speed ya kuchaji ila haitakuwa (haraka sana au haraka) sababu utakua umelazimisha na hiyo simu ndiyo ambaya betri lake litakufa mapema
Gudi...😎✌
Hongera snash kwa kutujuza ili
Daah! Kwel kaka nakuelewa sana Aisee
Asante kaka pia naomba kutufahamisha kwanini kuna logic ya kwamba ukitumia smartphone wakati una charge unapoteza ubora wa betri hii imekaa aje na je si vyema kufanya hivyo
Wengi tunakosea, simu zetu zinahitaji charger za 15w au 25w, lkn tunaenda kutumia charger za 65w au 130w na kuzisifia kuwa zinajaza simu haraka, kumbe ndo zinauwa betri, wengi wetu hajulijui hili
Kwanini Huawei phone mara nying zina hit sana
Unatisha
Nom san umetish kaka
Nakubalii
Umetusha
Tuelezee kuhusu hiso MAh inamaana gan na je inatumika vp kwalisaa 1 yan tuelezee kma watts
bro unaskika vizuri huku znz town na umetisha kinomanoma
umetisha sn bob
Ni kweli..lakin sizani kama tutatoboa kwenye hili
Unatujuza kinonoma nakubarisana sinash
Sasa snash inakuaje kwa matoleo mepya ya cmu mengi yana fast charge hii nayo ni athari au ile original haina tatizo
Kaka jinsi ya kuagiza na shamwaa
# ya nguvu yani tunasema tech in swahili aminia sana ✌✌🔥🔥
Noma mzee
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Oppo wamekuja na kitu naitwa BHE (Battery health Engine) find x5 angalieni launch event yake mwanzo mwisho mtaelewa, alafu fast charge zipo aina 2, zipo zinazokuja na simu na zipo ambazo na ambazo unanunua wewe binafsi sasa unazonunua binafsi lazima uhakikisge simu yako ina support?
Snash je wameshatoa solution ya hili swala la fast charge kwamba tukichaj tusiwe tunadecrease iyo percentage ya milliAmps za battery? Tufahamishe kama solution ipo mtaalam,🙏🙏
Solution ipo angalia oppo find x5
So. Broh, ilikua nina swal, je ikiwa unatumia ( POWER SAVING MODE) yan battery saver , kuna madhara gani, kutumia hichoo ki2
Utusanue bac na kuusu zero kilometres kweny magari wengin atujui
Karibuni ulimwengu wa sony Xperia, wanatechnology inaitwa QNOVO, inacontrol electric current flow, katika kuicharge
Unajua sana snashtz
Niaje bob?..hope upo mzuka kaka,I love yo thing tena much bro..Najua movie tangu nipo Mdogo..Najua movie tangu kipindi cha TCM“ Black and White “
Channel Ten USIKU
Kwahiyo yatakiwa wakati unachage cm isipate moto?
Hivi kweli bro ukinunua smart phone 📱 yako. Leo na bila kuweka chaji ukawasha na kuanzakutumia ni tatizo?
Still you are hillo since day one
Hiyo nimeielewa
Na vipi kuhusu kutumia charge ambayo inachelewesha kujaa Sim ,, Kuna tatizo gani
Nimekuelewa
Nimekubali kaka💪 sijutii kusubscribe your channel 👍🔥🔥
Na simu ambazo zinakuja na chaji yke inakujae hpo
Kwa nini tunashauriwa kutotumia simu wakati ipo kwenye chaji
Sasa waya ipi nzur tutumie ili tuweze kutunza betri zetu vizur
Nilikuwa naisubiri sana Hii kwa ham Sasa nime Enjoy kupata elimu ya Fast charge Ubalikiwe mkuu snash kaz zako nazifuatilia sana husan za simu.