Mheshimiwa Msukuma, Kila anaekufa Huwa harudi kuwa Hai. Humo Kuna dada zao, Kuna marafiki zao. Umegusa Pabaya. Umejenga Chuki kubwa sana. Subiri unyolewe.
Nadhani vichwa vinawaka moto,kuongea sana uondoa maarifa,SGR uwepo wake nikutoa ajira kwa vijana wetu,Msukuma kosa liko wapi? Wakiachishwa utawaachia jimbo? Na umeisha sema jina lako lisikatwe.
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS
Yupo sahihi muheshimiwa Msukuma, kuajiri wahudumu ni kuongeza gharama zisizo za lazima, hata nchi zilizoendelea kuwezi kukuta wahudumu zaidi ya Ticket master(s).
Kama ni njia ya watu kupata Ajira acheni serekali waajiri watu mpaka kwenye mwendo kasi, Mtaani dada zetu wanadhalilika sana kutafuta mahitaji muhimu kama kula,malazi na Afya wanapoumwa.
Kwani nyie mnavyo safirigi na viongozi wa nchi msururu wa watu mnakuwaga na kazi gani,msafara wa viongozi magari 50 yote ya nini au mnatakaga mle nyie tuu,watoto wa maskini wakipata ka nafasi kidogo mnaona matumizi mabaya acha vijana wapate ajira wewe.
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS..😂😂😂 Nikipata mtaji nitafungua Flemu na kupanga nyumba the KING CITY Apartment
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS..😂😂😂 Nikipata mtaji nitafungua Flemu na kupanga nyumba the KING CITY Apartment
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS..😂😂😂 Nikipata mtaji nitafungua Flemu na kupanga nyumba the KING CITY Apartment
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa ,kwahiyo wakiachishwa kazi wakagombee ubunge au
Ahsante sana Mh msukuma, umenena vyema, ni chungu ila ni dawa inatibu
Mheshimiwa Msukuma, Kila anaekufa Huwa harudi kuwa Hai. Humo Kuna dada zao, Kuna marafiki zao. Umegusa Pabaya. Umejenga Chuki kubwa sana. Subiri unyolewe.
Hilo sahihi
Mda mwingine shule pia usaidia 😂😂 mim sija sema kitu please 🙏
Hata wabunge wachekeshaji wapunguzwe tuokoe fedha nyingi ya umma
Nyerere ndiye alituachia utani utani
Atakuwa amewatongoza baadhi na wote wamemkatalia sasa anaona isiwe shida ni bora wapoteze kazi tu😢
😂😂waudumu uliwaomba number y simu wakakunyima naona Leo unawachongea
Sawa meseji sent
Wasenge wa nampongeza mama nampongeza mama
Nadhani vichwa vinawaka moto,kuongea sana uondoa maarifa,SGR uwepo wake nikutoa ajira kwa vijana wetu,Msukuma kosa liko wapi? Wakiachishwa utawaachia jimbo? Na umeisha sema jina lako lisikatwe.
Wape ajira kwenye mabasi yako hizo ndio ajira za vijana Sasa waende wapi kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Kufutia watu ajira unaona ndio hoja ila mamilioni mnayolipwa mnaona hazitoshi
Waache ww unataka wakajiuze au
Msukuma siku hizi amekuwa sio kabisa , hata hamu ya kumsikiliza haipo kabisa ..amekuwa ........
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS
Eti ajira million tano...kwel shule muhimu..ww unajuwa ajira million tano..rudi shule
Suala sio ajira zinazotolewa au zilizo tolizotolewa Bali shirika linaendeshwa hasara au faida?
Hivi ninani aliyeona tangazo la ajira la wafanyakazi wa SGR..........?
😂😂😂
Sikuona kwakweli😂
Wahusika watoe majibu namna wafanyakazi hao walivyo patikana utaratibu wake ukoje wamepatikanaje?
Waondolewe kwelikweli mbona kwenye Treni la kwenda Kigoma mauzauza kama hayo yalikuwa hakuna hayo
Wasukuma
Kweli lakini unapoint kubwa
Bro umeongeya maneno mzima ila waswahili wanasema MKUKI WA GURUWE KWA BINAANAM JEEE
Yupo sahihi muheshimiwa Msukuma, kuajiri wahudumu ni kuongeza gharama zisizo za lazima, hata nchi zilizoendelea kuwezi kukuta wahudumu zaidi ya Ticket master(s).
Kabisa ukifatilia ni undugunaizesheni matokeo yake itakuja ya mwendokasi
Kama ni njia ya watu kupata Ajira acheni serekali waajiri watu mpaka kwenye mwendo kasi,
Mtaani dada zetu wanadhalilika sana kutafuta mahitaji muhimu kama kula,malazi na Afya wanapoumwa.
Ingekua anaefanya kazi hiyo ni ndugu Yako usingesema hivyo😂😂 ila daah😂😂
Kwa nini asitoe wazo posho zao zipungue hayaoni matumizi mabaya huko bungeni?
I concur
Msukuma why usigombee uraisi
Kwanza kwa nini isiwe sahihi eti Kwa sababu tu wengine hawafanyi
Acheni kusifia huko nje hii ni yetu ubunifu wake Magu wetu na bwawa lake lilopigwa vita sana
Hiii nchi ina vichaaa wengi sana
Kicha n ww mzee yupo sawa
@ErickLyimo-p9b ni kweli hata kule mirembe wote huwa wanajiona wapo sawa
Msukuma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani nyie mnavyo safirigi na viongozi wa nchi msururu wa watu mnakuwaga na kazi gani,msafara wa viongozi magari 50 yote ya nini au mnatakaga mle nyie tuu,watoto wa maskini wakipata ka nafasi kidogo mnaona matumizi mabaya acha vijana wapate ajira wewe.
Mskuma wahudumu ni lazima kama duniani hakuna kwetu cc ni ufahar tumeanzisha cc ko waache wapate ajira mbona wanayoa huduma nzur .
Komedi ondoa bungeni watu wasio na elimu pia
Kila mmoja anao uhuru wakuchangia au kutoa mawazo yake na kutobezwa msukuma toa mchango wako
Huyu mbunge anapenda Sana kuonekana yeye anafanya KAZI - SGR imetegeneza AJIRA 5,000,000 sasa wote hao waende WAPI!? Ateo mawazo Ya had watu waende kufanya KAZI GANI maana mawazo yake tunaishi kweli kweli 😂😂😂Anatumika na maprofessa kutengeneza JOBLESS..😂😂😂 Nikipata mtaji nitafungua Flemu na kupanga nyumba the KING CITY Apartment
Mzeee gombea urahis
Musukuma huna akili, DP world oyeeee. Wakupeleke India ukatibiwe ugonjwa wa akili!
Ukiwemo nawewe
Ushawahi kutoka nje ya nchi
Kusema kweli Tanzania naona ni nchi ya kwanza kuwa na wahudumu kwenye train msukuma upo sahiihi kabisa
Nje sgr hazina wafanyakazi wengi, risit zinanunuliwa stesheni ofisini, Msukuma mitano tena
@@zainabibrahim9734Ata sass Niko omani