Ya mm naona katika zote ya dude n Kal Mana anaweza kuanza na kaumaliza Yan hawez muacha mtu aende bila kumwambia m ndio dude Hii inaitwa talent with wisdom
Mzee wa majani ndio ametisha kinoma Yaani mwezi ni mkubwa kuliko mwaka hahahahaaa,ila kwenye gonga beat Charles Williams amepata taabu sanaaa mpaka huruma 😄🤣😂ila ni bonge la kipindi
sanya siku ukikutana na mimi usjichanganye ukapiga goma yadiamondi nitachapa yote ilinikuha kikishie yakua mimi nishabiki yake mkubwa raji baba lao fb nicheck
Yani hii ya Dude umetumaliza kaka Dude mm shabiki wako from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Huu ndo utofaut wa wasafi na local Media zingne unapata kitu che creativity 🌟🌟✋
Kaka safi Sana Mungu akupe maisha marefu kaka Dude
Sanya All in All Umeuwa Pindi la Kizazi Sana In Voice Of Tambweeee...! Appreciate Broh..!🙌🙌🙌🙌
Kipindi safi sana kikiendeshwa na kijana makini Mo Town Sanya,keep it bro tunategemea vingi vizur sana kutoka kwako
Namkubalig sana #Dude kazi zake sio zakototo 👌 shkamo #MotownSanya
Sanya nakukubali Sana dogooo unafanya kazi nzur sana
D aaah uyo jamaa anajua sana kuchana wamuwezeshe uyo jamaa Mungu atawabariki sana
The beauty of this video is that rapper. The guy is so informed about usanii TZ. It was hard to beat him, wasn't it?
Msaidiei huyo Kijana aliye chana ana talent anaonekana. Mshikeni Mkono wasafi TV. Sanya fanya jambo hapoo,.
Ila kiukweli mimi mwenyewe Wajina nakukubali sana karibu sana cast madude hapa mzee wa vikalii
Kijana "rapper" ana kipaji huyu apewe supporti ata kama tutachanga 🔥 🔥
apewe support all the wy from Mombasa KENYA....
Dude Nomaaaa kazi popote unamtapeli kaka wa watu hapohapo Hahahahahahaaaaaaa.
Nimechoka leo uuuwi
Dah mzee wamajani amenipa laha sana yani
Yani kipindi hichi nakipenda sana na hasa nikiwa nipo boring kinafurahisha sana msiache kupita KITAA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dude umetisha kwa huyu mzee wa majani
Big up kaka mkubwa dude big up sanya👋🌄🌴🇹🇿🇹🇿.
Big up MO Sanya nembo ya mtaa na kukubali ile mbaya
Kweli mbongo usimpe nafas ya kujitetea 😄😄
Dude namkubali kinoma sema mfumo wa bongo movie wameingiliwa ...
Noma sanaaaa
Moooo town sanya nukubali sana 🔥🔥👊👊
😂😂😂😂😂😂 Daaah ila dude nakuombea maisha marefu 😂❤❤❤❤
Namkubali sana mtangazaji #mo_town #sanya
This guy needs award 👏
Kaka dude uko makini sana mie sabiki wako mkubwa sana yani nakuaminia
Ya mm naona katika zote ya dude n Kal Mana anaweza kuanza na kaumaliza Yan hawez muacha mtu aende bila kumwambia m ndio dude
Hii inaitwa talent with wisdom
Dude noma sanaa sijui kwann atukuoni tena
Mzee wa majani ndio ametisha kinoma
Yaani mwezi ni mkubwa kuliko mwaka hahahahaaa,ila kwenye gonga beat Charles Williams amepata taabu sanaaa mpaka huruma 😄🤣😂ila ni bonge la kipindi
Mzeeeee amehahaaaaaaaa twendee kituoniii,😁😁😁😁
Af msambaa mwenzangu dah
Aiseeee colei from Motown mbona cwaoni ushirika chuon ......mnazingua kinoumaaaaaaaaaa
Dude nakupenda bureee
Yani Leo nime Cheka na uyu jama ambaye ame shika mic eti kibali chaku record
Chazi umetisha saaan umenivunja mbavu kwakweli
Dude kama dude yahaya fireeeeee 🔥🔥🔥🔥👆
Jamani dude is the bst .kipindi kinafurahisha .
Huyo mzee wa kwanza katetemeka vibaya mno😂😂😂😂, majani ni P.funk😁😁.
Hehehee
Nakukubali sana mo town sanya
Hahahahahaha chazi na mtu imara sifuri kabisa Aalyah nae hajaachwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee mwenye biashara
Na mzee wa majani hehehehee mbavu zangu
Nakupenda mo
Embena we mm napenda sna vipind hivi vinafrahisha sna yan had napotiliza fraha
Nice dude umeifanya kazi yako vizur
Jamaa anaimba I like that ❤❤❤
Kama na wewe umesikia mwaka au mwezi gonga like😂😂😂
Mze kazinguwa 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Gonga beat wanaume wametoa boko wote🤣🤣🤣😂
Daa yule mwana anae kula nyasi Mme mrushia stimu 😁😁😁
Respect Dudeeeeeeeeee balaa
Yani huyu jamaa ana diserve kua tapeli kabisa 😂😂😂 Dude
Pindi letu la kinja cjawai kosa kbsa hii from +974 🇶🇦
Nakukubali sana sanya
Nakubar Asee Kazi mzee baba Ila na Kigamboni fika bablay.
Daaaaah. Rapper ni mkari Sana kuliko hata walio toboa
Hua nacheka paka nalia 😂😂😂😂😂hichi kipindi nakipenda sanaa
Dude namkubali sana tangu zamani
Hiki kipind ni noma gonga like
Mm mwenyew nilikua naenda hukohuko
Jaman mm gonga bit nacheka San
Nimeacha Kama mwaka au mwezi😂😂😂
😂😂😂😂😂😝 umeona hee
Kama ume msikia jamaa akijibu kuwa kuwa kaacha kama mwezi au mwaka ginga like
Dude ww kiboko i say wakupe ubunge kk
Big up
Uku motown kule zembela mambo ni moto 👍
More Town sanya nembo ya mtaaa
13:37 😂😂😂 Kwahiyo legend hamjamuona hapo 13:37
😂 dogo katisha
😁😁😁
Legend 😁😁
Dah wew atari
Dah usalama wa taifa mzee kalowa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Up vzr
Ivinikweli pia harmonize katembea na Paul wa kajala
Huwongoo
N kwel kamtumia na utupu wa zaman kuliko miaka yake
Dude noma umekachimba biti kajamaa kidogo mafi itoke
Kama Mwaka au Mwezi😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Sehem mayo isubiria huwa Ni gonga beat
Huyu kijana wa kuchana nimempenda bureee. Wasafi msapotini jamani . Anaweza huyu umasikini tu wanashindwa.
kweli ww dude
Daaaaaah dude we mkali
Chombo kwa hewa 🇶🇦
Dudeeeee shikamo bongo daresalam
Ninapenda san ukiweka mziki 🤣🤣🤣🤣🤣
Sanya una muonea sana uyu kk mwenye nyeusi😂😂😂
Daaaaaaah we dude ata kweny Real life aseee
Dude umenifanya nifurahi sana yaani mbavu sina
Nice
hahahahaasa
dudeeee mnyamwez ww
MO TOWN SANYA💥💥
Sanya AKILI Zako unazjua Mwnyw
FREESTYLE "Elfu Thelathn au" 😂😂🤣 Kmmk Walai...
Dude Amjazaa mzee Upepo Hatareeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sanya noma sana
Mwiziii wew
Mpeni support kaka huyo Anaweza kbs jamani
Rapper anaweza kbs mpeni support....follow from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hahahaaa daaah mwanangu hapo unawapatia sana kwenye kuimba,,,
Mzee kila kitu hamna shida!!!
sanya siku ukikutana na mimi usjichanganye ukapiga goma yadiamondi nitachapa yote ilinikuha kikishie yakua mimi nishabiki yake mkubwa raji baba lao fb nicheck
Kali ya mwaka😂😂🤣😋😛
Jamaa rapaaa
Mzee wamajani umejua kunichekesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kitu kama mwaka au mwezi hivi daaaah!!!!!!!
mwaka au mwezi, karuka myezi 11 katetema 😆😆😆😆
😂😂😂😂😂😂
Kaz mzuri
🤣🤣🤣🤣daah, dudee ni muigizajii haswaa
Unaiga swaga za Jon jooo ,unaboa. Bun zako kijana
Jamaa kaacha km mwaka au mwezi