Mtakikuzaje kiswahili na nyinyi si waswahili? Semeni munajifunza kiswahili. Kwanza hakuna neno luga kwenye kiswahili. Kazi yenu kutuchafulia tuu .mwatunga naneno yaliyokuwa hayapo lohhh
Hapo sasa!!! Asante kutazama na shukrani kwa hisia zako.... Japo hukuzi ukuzalo kama hujalimiki, hata kama kwa uchache.... Dhana ya Kiswahili ni kwa Waswahili ndiyo inayokwamisha azma ya kupanua zaidi himaya ya lugha hii... Mbona Kiingereza kisiwe kwa Muingereza, au Kifaransa kwa Mfaransa, ikawa ni lugha zinazozungumzwa kote ulimwenguni!!! tafakari....
Kazi safi Bwana Dalmus Sakali ! Kongole !!!
Hongereni ndugu zetu
Kazi nzuri
asante kutizama
mbona lugha zenu hamuzikuzi
Solipsism kwa Kiswahili ni nini?
Mtakikuzaje kiswahili na nyinyi si waswahili? Semeni munajifunza kiswahili.
Kwanza hakuna neno luga kwenye kiswahili. Kazi yenu kutuchafulia tuu .mwatunga naneno yaliyokuwa hayapo lohhh
Hapo sasa!!! Asante kutazama na shukrani kwa hisia zako.... Japo hukuzi ukuzalo kama hujalimiki, hata kama kwa uchache.... Dhana ya Kiswahili ni kwa Waswahili ndiyo inayokwamisha azma ya kupanua zaidi himaya ya lugha hii... Mbona Kiingereza kisiwe kwa Muingereza, au Kifaransa kwa Mfaransa, ikawa ni lugha zinazozungumzwa kote ulimwenguni!!! tafakari....
Si wanaongea Kiswahili au ni kiingereza,sijui nieleze
hichi ni kiswahili sanifu ni cha muingereza sio kimvita
nyie mwanzo kuweni na usuli wa kiswahili kisha mukikuze kiswahili