KALAPINA FULL INTERVIEW KUHUSU YOUNG D & CHIDI BENZ KURUDIA MADAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kalapina akiri kua Young D anatumia dawa za kulevya. Msanii mkongwe wa Muziki wa hip hop nchini Kalapina ambaye pia ni mwanaharakati wa kuhamasisha vijana juu ya kuepukana na na matumizi ya Dawa za kulevya amethibitisha kuwahi kumfanyia Councelling Mwanamuziki wa miondoko ya Rap Young D ili aepukane na matumizi ya dawa hizo lakini young D alikaidi na kudai kwamba hatumii.

ความคิดเห็น • 20

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu 2 หลายเดือนก่อน

    -Kalapina,mwamba sana

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 7 ปีที่แล้ว +1

    amejitoa sana but Viongoz ilibid kumpa support na kushirikiana nae

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 ปีที่แล้ว +2

    nakukubali bro. 🙌🙌🙌🙌 unapambana sana

  • @sakinandoile4758
    @sakinandoile4758 7 ปีที่แล้ว

    big up P... usimckilize anayekusema vbaya ..... fight uschoke Mungu atakusaidia

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 2 หลายเดือนก่อน

    Kalapina kikosi cha mizinga for life!

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu984 7 ปีที่แล้ว +2

    KalaPina kakosea aliposema anafanya harakati dhidi ya madawa mwaka almost wa pili, mimi namfuatilia ameanza zamani sanaaaa hata zaidi ya miaka mitano iliyopita, Big Up sana kwake Namkubali sanaaa, nakubali harakati na Mziki anaoufanya.

    • @bblaobblao493
      @bblaobblao493 7 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Ayoub Dhahabu sio vizuri kukosoa brother

    • @abdallahmohamed7627
      @abdallahmohamed7627 7 ปีที่แล้ว

      Hajakosea babuu! Tangu aanze harakati zá kutembelea wathirika na kurusha hewani kipindi chake cha harakati dhidi ya madawa ya kulevya, almost ni miaka 2.

  • @chekajumasebunga8358
    @chekajumasebunga8358 7 ปีที่แล้ว

    Kalapina big respect homy, keep it up kuwasadia nduguzetu wala sembe Tz.

  • @kennedynalondo3807
    @kennedynalondo3807 ปีที่แล้ว

    Point Iko sawa kalapina

  • @EmanuelBlassy-uz4gm
    @EmanuelBlassy-uz4gm 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli tupu bro

  • @zuleajuma1734
    @zuleajuma1734 7 ปีที่แล้ว

    bigapo kaka nakuomba ukaze buti

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 7 ปีที่แล้ว

    kalapina ni hustler wa ukwel

  • @shabankiliani8234
    @shabankiliani8234 7 ปีที่แล้ว

    concious sana pina bro

  • @emmanuelmsigala1374
    @emmanuelmsigala1374 7 ปีที่แล้ว

    wao wanahangaikiwa Ili iweje!!! wao ndo watanzania peke yao, waachwe wajifie tuu

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Msigala 🤔🤔 Pengine sjakuelewa broh.lkn usisahau kwamba hili ni janga la taifa na usisahau tuna vizazi vyetu huwezijua kesho yako ipoje
      Mungu atuepushie vizazi vyetu

    • @emmanuelmsigala1374
      @emmanuelmsigala1374 7 ปีที่แล้ว +1

      Mwanahamisi Hella ,Kwa nini watu Wachache waonekane wao ndo Binadamuu, mtu akiwa msanii au mashuhuri ndo anazungumziwa kila saa, wengine sio watu!! swala sio kioo wala ubao wa jamii, serikali itilie mkazo wa ujumla hasa chanzo kidhibitiwe, sio Mara wengine waitwe ikulu!! wao ni kina Nani, Nchi ni ya wote kama ni ikulu kila mtanzania ana haki nayo sio watu Wachache kisa umaarufu, na huduma kila mtu apewe kwA msisitizo sio kumjali mtu kisa Yeye eti ni maarufu, wote tunaenda chooni hamna anaejisaidia soda wala juice

    • @emmanuelmsigala1374
      @emmanuelmsigala1374 7 ปีที่แล้ว +1

      Mwanahamisi Hella nadhani umenielewa kiasi

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Msigala 😆😆😆😆 Umenifrahisha wallah👐
      oky nìmekuelewa lkn tatizo ni kwamba serikali yetu ndo kiini cha yote kwakua watu wanatajwa majina yao lkn hakuna sheria inayochukuliwa dhidi yao.ukimchukua huyo mteja atakupeleka kwa anaemuuzia na mkaendelea mpk mkamkamata boss wao lkn hilo linakua gumu hatuelewi nini shida

    • @emmanuelmsigala1374
      @emmanuelmsigala1374 7 ปีที่แล้ว

      Mwanahamisi Hella hatuna Elimu wa tz, ni wajinga mno, maana watu wakisikia Elimu wanajua labda PHD, wakati hata hao wanatumia. Elimu ya kujitambua hatuna Huo ndo ukwelii, watu tunafichiana maovu kisa kujuana.!!! na kuhofia kuchukiana!!