Tabia Tisa (9) Za Watu Wanaokusifia - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 153

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante docta joel yaani nahisi mimi kwenye hii dunia nlikua nadhani nimelala kabisa leo ndio nimefunua macho😳

  • @amonasimwe4075
    @amonasimwe4075 ปีที่แล้ว

    Aiseeee yaan wewe ni jibu na baraka haswa kwa vijana kama Mimi, kweli kabisa nilisha fanyiwaga hivi tena na ndugu za wa tatu nabmiaka imepita lakn walivo shangilia tu nikashituka na matokeo nilikuja kuyaona badae ila mpaka sasa sjawai sahau, Nanauka I don't stay in Tanzania but u encourage me beyond description in that I nolonger call u inspirational speaker but a brother n my role model 🙏🙏🙏🙏❤️

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว

    Watu wote nishawaona ila namba Tisa ilinikumbuka mwenyewe,nimeamua kufanya kitu na sikua na uzoefu nacho,nilikua na mtu wa karibu yeye alikua anakijiua na amesomea ila hakutaka kunielekeza na alikua anajua kama nakosea ila ananisifia. Baadae alivyoona kimeniyumbisha sanaaa ndo akaanza kuniambia hiki kitu mm nakijua na nilijua upivyoanza ulianza sio 🙆🙆na wakati yeye mwenyewe alikua ananisifia mwanzon Daaahhh.
    Ila nashukuru niliyumba sanaaa ila sikuanguka moja kwa moja.Nitaendelea kusimama na sasa video zako zimenifunza mengi sanaaaa.Hata nikitaka kuanzisha kitu kipya najua nianze vip.🙏🙏🙏🙏Barikiwa

  • @FettyWaziri-yk2tv
    @FettyWaziri-yk2tv ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka Joel...umenena vyema sanaaa....umenifungua akili, Mungu akubariki sanaaaaaa

  • @thomaskalonge
    @thomaskalonge 3 ปีที่แล้ว

    Nakuerewa Sana thomasi toka songwe

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng ปีที่แล้ว

    Iko vizuri sana hii yamenikuta Asante sana kaka

  • @elizabethmhapa3658
    @elizabethmhapa3658 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Brother Leo nimekuona Kabwe nikafurah sana japo nilikuwa kwenye gari ila nilifurahi wew ni moja ya mtu muhimu sana Duniani Mungu akupe maisha marefu

  • @nelsonjonas7334
    @nelsonjonas7334 3 ปีที่แล้ว +1

    Am so happy for ur teaching Man of God.

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว +11

    Thanks Much My Brother, See you at the Top🤝

  • @bravenet4695
    @bravenet4695 5 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru sana kaka unabadilisha sana maisha yangu siku baada ya ya siku

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว +11

    Achana na zote hii ya kukusifia ili upotee ni mbaya sanaaa..badae utasikia"Mi nilijuaa tu hili litatokea"😊

  • @hafsahcletty5968
    @hafsahcletty5968 5 ปีที่แล้ว +3

    M/mungu Akuzidishie Elimu na Ufahamu Inshaallah

  • @ImpressiveFacts
    @ImpressiveFacts 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana kaka. Nimejifunza jambo zuri sana hapa

  • @alihassanhaiba6937
    @alihassanhaiba6937 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka Joel hakika ww ni mwalimu kwetu umetupa darsa zuri sana na tutalifanyia kazi

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว +4

    Ujumbe mzito sana Bro Ahsante

  • @dackchakachaka4521
    @dackchakachaka4521 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukulinda na kukupigania.Mungu azidi kukupa maarifa

  • @cymone6159
    @cymone6159 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kaka nafurahia jinc kila cku napata hatua sababu yako Mungu akuinue zaidi

  • @juliethfrank6626
    @juliethfrank6626 4 ปีที่แล้ว

    Aisee we ni bonge la mwalimu

  • @reginakarema8584
    @reginakarema8584 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kaka sikila mtu ni mzuri wako wengi ni wanafki!

  • @donaldsydney8574
    @donaldsydney8574 3 ปีที่แล้ว

    Yani bro mungu akubariki🙏

  • @kassimmkaninga5005
    @kassimmkaninga5005 5 ปีที่แล้ว +2

    upo sahihi brother somo Nzur Kabixa heshima kwako watu hao wapo Kabixa na tunaishi nao

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana, hawa watu wako na usishangilie yeyote na umpe moyo wako kama rafiki. Napenda nyimbo ya Goodluck gozbert " KUMBE NI HAO HAO". Never mind about them💁‍♀️

  • @happymokoye4251
    @happymokoye4251 5 ปีที่แล้ว

    kwel kbsaaaaaaaa

  • @Its_Tokyootz
    @Its_Tokyootz ปีที่แล้ว

    We jamaa mungu anakutumia

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu . . . umeamsha hisia zangu na kuiona Kesho yangu ikiwa Bora zaidi, nimekumbana na watu wote hao kwa kweli.

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaa mm wananisifia niache kazi nisirudi tena lkn niligundua sababu.shukran kaka

  • @mosesmkune569
    @mosesmkune569 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kunifanya nakua makini

  • @ayubumwampamba750
    @ayubumwampamba750 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi ameruhusu yasionekane mengine;vinginevyo tungekimbiana ila ashukuliwe kwa kuruhusu manabii kuona kila hatua njema na ovu,Kibali cha Mungu kikisimama na anayependwa na Mungu hakuna awezaye pinga,kinacho subiriwa ni mda ufike,good news

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Kaka Joel nimejifunza

  • @eddahhawa7471
    @eddahhawa7471 ปีที่แล้ว

    Hii Ni hatari sana😢'Ki Ukweli Hata Mimi ninasifa sana watu lakin sio wote ninawasifia Kwa dhati'😢.Ee Mungu ponya nafasi yangu🤲🙏

  • @ellizabethndumburu8306
    @ellizabethndumburu8306 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kaka

  • @olaismosses9167
    @olaismosses9167 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupata brothe daah kama zotee zipoo

  • @sandejohn4513
    @sandejohn4513 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks God bless you

  • @EmmanuelSimukonda-n6o
    @EmmanuelSimukonda-n6o ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kaka

  • @sophiambunda1507
    @sophiambunda1507 5 ปีที่แล้ว

    Asante bro kwa mafundisho yako mungu akupganie ili utufungue tulio fungwa me kwa upande wangu n iyo ya 5 na ya 10

  • @rajabuibrahimu4338
    @rajabuibrahimu4338 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallah hii imenigusa kuliko zoote
    Sikomi kukusikilza bro..
    Kaz nzuri Mungu akulinde..
    Wewe ulitakiwa kupewa kaz maalum ya kusaidia watanzani..
    Maana %kubwa ni wagonjwa Wa fikra

  • @dullasalehe2652
    @dullasalehe2652 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Mr Joel Kadri cku zinavyozdi nabdlika kimawazo kutkna Na Elimu yko

  • @wycliffephinus4237
    @wycliffephinus4237 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kaka

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 ปีที่แล้ว

    Kaka joeli yani uku ninapo fanya kazi ao wqtu wapooo Wazungu yani wanakulipa wao mshaharaa alafu wanaumia wakikuona unapendeza, wanapenda sanaaa kusifia mara nimependa kiatu chako mara umenunua shingapiii, mara ukiwa off uwaunafanya nn nyumbani yani wana matabia mabaya mnoo tukiwa kazini wanaingia kwenye vyumba vyetuu na kuangali tunaela kiasia gani, Nachukia mnoooo mtu kunipekua chumba changuuu

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana mi Nimejionea watu wa hivyo wabaya sana

  • @lorryrurangwa5277
    @lorryrurangwa5277 5 ปีที่แล้ว

    Naiga vyingi kutokeya kwako, Mungu akubariki.

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Swadaktaaa

  • @cleopatraadolf6492
    @cleopatraadolf6492 3 ปีที่แล้ว

    Kaka watu kama hao nimekutananao sana

  • @tumainisemakuba3520
    @tumainisemakuba3520 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka Joel

  • @GoleEmpire
    @GoleEmpire 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah Kwangu n Aina zote. Mm hulewa sifa na Kibwatuka my strategiez. Kama unanisema hivi. Am Very Thankful Mr Jn

  • @dnassehtz
    @dnassehtz 5 ปีที่แล้ว

    Daaah mle mle kila kitu ambacho umeongea nikweli hapa nimejifunza kitu juu ya watu

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimeona zote ,,, dah mwalimu ! Umeamua kusema ukweli kabisa .. Yaani natamani kila mtu angeona hili somo . watanzania wengi hawapo kwenye social networks ...
    Yaani hii nitampa jamaa mmoja ananisifiaga sana lakini akienda kwa watu yeye ndo mbaya wangu ..
    Tena nilipanga kumdunda ngumi kabisa ..

    • @rajabuibrahimu4338
      @rajabuibrahimu4338 5 ปีที่แล้ว

      Laizer Koipapi Peter watanzania wapo kwenye social network... Lkn wakat we unaangalia motivated speech... Wenzako wanaangalia Baikoko

    • @geofreypeter4290
      @geofreypeter4290 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante brother

  • @rahemahrahemah2719
    @rahemahrahemah2719 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan teacher Joel, hiyo no 8 nishawai kukutana nayo! Baada yakuona hawajafanikiwa na mawasiliano waka kata .

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 5 ปีที่แล้ว

    Kaka unazungumza mambo ya msingi sanaaa... Mungu akubarikiii mnoo

  • @piusgiringa409
    @piusgiringa409 5 ปีที่แล้ว

    kaka nanauka hakika nimekutana nao wengi sana

  • @charleschacha6257
    @charleschacha6257 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee ni kweli me nimekutana na huyo wa 2alikuwa ananisifia hadi mwenyewe nachukia kumbe akitoka kwangu ananisema vibaya mno,namshukuru Mungu nikamjua mapema nilimfukuzia mbali sana

  • @DRICK-vn3oj
    @DRICK-vn3oj 5 ปีที่แล้ว +1

    SHIKAMOO BRO.

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 5 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi kabisa

  • @leilamohamed7445
    @leilamohamed7445 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikwelikabisa sisi watu Siyo wote wenye mpendeteya mwezako mazuri tuombepe mungu atuongoze

    • @leilamohamed7445
      @leilamohamed7445 5 ปีที่แล้ว

      Asante ana8. Ili nipata lakini nashuku mungu walishindwa umakini muhimu

  • @motivationperson3334
    @motivationperson3334 5 ปีที่แล้ว

    Brother joel , Asant sana kunavitu nimejifunza, GOD bless you

  • @piddyadolph4062
    @piddyadolph4062 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro, tunazidi kuchukua point za msingi za kimaisha

  • @zainilkanji9141
    @zainilkanji9141 ปีที่แล้ว

    Bomba

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +4

    Shukraan sana brother yaani hiyo ya 5, 7 na 8 ni shida

  • @lovenessminja2460
    @lovenessminja2460 5 ปีที่แล้ว

    Dah kaka nimejifunza Sana barikiwa
    Swali langu NI hili ukishawajua ufanye Nini mfano Mimi huwa wanaonisifia wanatamani Sana wafanye vitu navyofanya yaani wawe Kama mimi

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว

    BARIKIWA KAKA JOEL.

  • @beastmc6663
    @beastmc6663 5 ปีที่แล้ว

    Shukurani sana kaka ao watu kila cku na kukutana nao karibia sifa zote Apo

  • @judithmbwilo1194
    @judithmbwilo1194 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka Joel, yani mimi karibia wote nimeshakutana nao, asante kwa elimu nzuri, nitakuwa makini sana na watu hao!

  • @yussufmbuko9564
    @yussufmbuko9564 5 ปีที่แล้ว

    Dah! Somo zri sna limenigusa haswaaa.

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka no 7 na 8

  • @msafirimbeya3329
    @msafirimbeya3329 ปีที่แล้ว

    Namba Saba ninao wengi sana

  • @owlbig
    @owlbig 5 ปีที่แล้ว

    Asante buda

  • @jayma1537
    @jayma1537 5 ปีที่แล้ว

    Asante..nitawatambuaje hao watu

  • @joshuacharles4313
    @joshuacharles4313 5 ปีที่แล้ว

    uko vizur kaka ila nahitaji kujifunza zaidi katika mahusiano ya kimapenzi

  • @venfatv3208
    @venfatv3208 5 ปีที่แล้ว

    nakuelewaga sana.

  • @richardvalson9868
    @richardvalson9868 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaah ßrother asante sana kwa Topic yako nzuri na hawa watu huwa tunakutana nao mara kwa mara na wengine tunaishi noa kabisaa,#Joel_Nanauka hawa watu tunaepukana nao vip!!?maana naona kila kona wapo Asey,

    • @tatu3tatu549
      @tatu3tatu549 3 ปีที่แล้ว

      Asant sana mimi nilijua kawaid tu nilikuanaigwa hadi nguo za kuvaa

    • @tatu3tatu549
      @tatu3tatu549 3 ปีที่แล้ว

      Utakuta mtu anakua karib na mimi ananiiuliza nguo fulan ulinunua wapi au ulishona wapi nikawa nawaambia naona swal la kawaida kapenda nae kuwa kama mimi

  • @maishabernard2079
    @maishabernard2079 5 ปีที่แล้ว +1

    Shida ipo kwenye kuwatambua hawa watu!

    • @maishabernard2079
      @maishabernard2079 5 ปีที่แล้ว

      Hivi unajua wabongo wanavyojua ku act! Wanaishi kama wanarecord muvi,tena aweza kua ndugu kabisa!

    • @mohamedothumanhussein2792
      @mohamedothumanhussein2792 5 ปีที่แล้ว

      Good education bro

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 5 ปีที่แล้ว

    Uko vzr sana Jnanauka, unaezafundisha na nimepata mambo mazr bro!

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +1

    watu wanakusifia ili kuficha maovu yao. i have vivid example happened to me. thank you for sharing

  • @elinaitambu9875
    @elinaitambu9875 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @emmanuelmalele1439
    @emmanuelmalele1439 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice inspiration speach, thx bro

  • @mwanaheriomary7333
    @mwanaheriomary7333 5 ปีที่แล้ว

    Daah asante,barikiwa

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Joel.... GOD bless

  • @athanaserazaro6517
    @athanaserazaro6517 3 ปีที่แล้ว

    Umenena kwel yameshawai kunikuta nawaogopa wanadam

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 5 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizur Sana

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kikulacho ki nguoni mwako.!

  • @jeromemunisi3003
    @jeromemunisi3003 5 ปีที่แล้ว

    Kwel

  • @fidelismukandara932
    @fidelismukandara932 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweliii nimekuwa mtu wakusifiwa Sana'a na kujikuta nikitoa baadhi ya Plani zanguuu, kumbe ni hilaa dhidhi yanguuu? Duuuuuu

  • @amosgidion1260
    @amosgidion1260 5 ปีที่แล้ว

    9 ni mbaya zaidi

  • @elneswanga8603
    @elneswanga8603 5 ปีที่แล้ว

    Honest mm binafsi sipendi kusifiwa kwasababu hizo

  • @edwinmbakile358
    @edwinmbakile358 5 ปีที่แล้ว

    Thx bro

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 5 ปีที่แล้ว

    Assent san najifunza vitu vingi kupitia wew

  • @vanillacarpet1695
    @vanillacarpet1695 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli kaka mambo yote uliyo sema yapo

  • @masigobenedict3059
    @masigobenedict3059 5 ปีที่แล้ว +2

    I get you brother but the problem starts how to know such kind of people

  • @joshuakwelimoto6494
    @joshuakwelimoto6494 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuna dogo alivyojua nina nyumba baadae alinigeka mpaka Leo ninauadui nae alivyoiona alinisifia sana

  • @hassansimba3680
    @hassansimba3680 3 ปีที่แล้ว

    Ndio blz

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna1400 5 ปีที่แล้ว

    Naitwa Hemed muna naishi tandale kwa mtogole nimekuelewa vizuli sana broo..kwaupande wangu nimeshakutana na watu wenye tabia yakunisifia kila ninapo fanya jambo baya hawa watu nipo nao kila siku.

  • @Jouniorkids_
    @Jouniorkids_ 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa yote naona Yamenigusa watu ss tupo wahajapo sana

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 2 ปีที่แล้ว

    Ndio hiyo nimesha kutananayo .

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Thank you so much.. and bless you!!!

  • @jesseprosper932
    @jesseprosper932 5 ปีที่แล้ว

    Hakika kabisa kaka umesema ukweli

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 5 ปีที่แล้ว

    Sasa Joel nafanyaje mtu wa Mungu

  • @paulduta3016
    @paulduta3016 5 ปีที่แล้ว +4

    Masomo yako yanajenga balaa lkn nilitamani nipate kitabu chako.

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka

  • @fatumakweka5950
    @fatumakweka5950 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa,nishakutana nao sana ujakosea bro

  • @noelmwikeve6255
    @noelmwikeve6255 5 ปีที่แล้ว

    Kwelii kakaa