TUKI - Kuza Akili Yako
TUKI - Kuza Akili Yako
  • 18
  • 86 760
Mbinu Sahihi Nilizotumia Kusoma na Kufaulu Vizuri Katika Masomo Yangu
Mbinu za Kusoma na Kufaulu Masomo Yako
Mwanafunzi Kufanikiwa katika masomo yako unatakiwa kufuatilia mbinu sahihi za kusoma na kuzifanyia kazi.
Katika video hii nimefundisha mbinu ambazo nimezitumia mimi mwenyewe katika masomo yangu na kunisaidia kufaulu vizuri katika masomo Yangu.
#akili #mafanikio #masomo #mwanafunzi #necta
มุมมอง: 215

วีดีโอ

Mbinu za Kusoma na Kufaulu Vizuri katika Masomo Yako
มุมมอง 4195 หลายเดือนก่อน
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Mbinu hizi zimethibitishwa kisayansi katika kukusaidia kusoma masomo kwa wepesi na katika kujifunza ujuzi mbali mbali Kujifunza kanuni tatu za kusoma bonyeza hapa th-cam.com/video/mt3cwRaJ258/w-d-xo.htmlsi=tUDYsi46Q-l_Ncbg Katika video hii nimetumia neno FORDI a...
Mbinu za kuondoa changamoto ya kulala kila mara unaposoma masomo/Tips to avoid sleep while studying
มุมมอง 6445 หลายเดือนก่อน
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Mbinu hizi zitakusaidia kuweza kusoma muda mrefu bila ya kulala au kusinzia wakati wa masomo. Mbinu hizi imethibitishwa kisayansi katika kukusaidia uweze kuondokana na changamoto ya kulala mara kwa mara unaposoma ili kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali B...
Mbinu ya kukuza uwezo wa akili kwa haraka sana\\Increase brain power fast
มุมมอง 3.3K5 หลายเดือนก่อน
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Ipo mbinu moja bora sana ambayo itakusaidia kuboresha UWEZO wako wa akili ndani ya siku kumi na nne. Mbinu hii imethibitishwa kisayansi katika kuimarisha uwezo wako wa akili ili uweze kufanikiwa katika masomo na katika kujifunza ujuzi mbali mbali Mbinu hii inaitwa Gyana Mudra Inat...
Huwezi kufanikiwa katika masomo yako bila ya kufahamu matatu haya.
มุมมอง 1576 หลายเดือนก่อน
Ikiwa unatama kufaulu vizuri katika masomo yako basi unatakiwa kufahamu mambo matatu ambayo nimefundisha katika video hii mwanzo hadi mwisho. Kufahamu mbinu za kuongeza uwezo wako wa akili bonyeza hapa th-cam.com/video/Hb5Bd3VztCA/w-d-xo.htmlsi=6sXwPNRMPk2ZtLeb kuangalia video hiyo ambayo pia inaeleza mbinu ya conscious breathing kama nilivyoeleza katika video. Mbinu hizi zitakusaidia kusoma kw...
Vyako bora kwa ajili ya kuimarisha ubongo, kuongeza akili na kumbukumbu
มุมมอง 13K6 หลายเดือนก่อน
Leo utajifunza aina za vyakula ambavyo vinasaidia kuongeza uwezo wa ubongo na akili ili uweze kufanikiwa katika masomo, biashara na katika kukuza ujuzi wako Kujifunza kanunua kuu tatu za kusoma bonyeza hapa th-cam.com/video/mt3cwRaJ258/w-d-xo.htmlsi=tUDYsi46Q-l_Ncbg Kujifunza hatua kuu nne na kukuza uwezo wa ubongo na kuongeza kumbukumbu bonyeza hapa th-cam.com/video/vGAXOMK35rk/w-d-xo.htmlsi=G...
Sifa sita za wanafunzi wanaofanikiwa masomoni/Habits of successful students
มุมมอง 3946 หลายเดือนก่อน
Mafanikio yako katika masomo yanatokana na kuwa na sifa sahihi na tabia sahihi. Ukiwa na sifa sahihi utaweza kufuata mbinu sahihi za kusoma na kufaulu mitihani yako Kufahamu kanuni kuu tatu za kusoma bonyeza link hii th-cam.com/video/mt3cwRaJ258/w-d-xo.htmlsi=rWL9MsS_g15W_Xbn Mwanafunzi mwenye mafanikio anatakiwa kuwa na sifa sita kama zinavyoelezewa hapa 1. Mtamzamo sahihi 2. ⁠kupenda changamo...
Mbinu za kusoma na kufaulu mitihani ya chuo kikuu/strategies to succeed in universities
มุมมอง 3816 หลายเดือนก่อน
Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu na unatamani kufahamu mbinu za kusoma na kufaulu mitihani YAKO Bila ya stress(mawazo) Basi fuatilia vizuri hili somo. Kufahamu Kanuni kuu tatu za kusoma Angalia video hii hapa th-cam.com/video/mt3cwRaJ258/w-d-xo.htmlsi=rWL9MsS_g15W_Xbn Kufahamu Hatua nne za kukuza uwezo wako wa akili bonyeza link hii hapa th-cam.com/video/vGAXOMK35rk/w-d-xo.htmlsi=G78i5QxX...
MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS
มุมมอง 3.9K7 หลายเดือนก่อน
Ikiwa unataka kufanikiwa katika masomo na katika biashara unaweza kutumia ujuzi ambao nimekupatia katika video hii. Zipo mbinu tano ambazo zitakusaidia kuboresha UWEZO wa akili ambazo nimezieleza hapa kupitia sentensi ambayo inasema. #masomo #mafanikio #moneymindset KAKA FRANK DADA CHAUSIKU NI MGONJWA Sentensi hii imebeba mbinu tano hizo. Angelia hapa KAKA - kuza UMAKINI FRANK - Fahamu kuhusu u...
TUKI Tumia Mbinu hii kukariri masomo yako kwa haraka/how to remember what you learn
มุมมอง 3.7K7 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi Wengi wanatamani kufahamu mbinu bora za kutumia ili waweze kukariri haraka masomo yao Leo utajifunza mbinu bora zaidi ya kutumia ili uweze kukariri masomo na kufaulu Masomo yako. Mbinu hii inaitwa Questioning skills. Mbinu ambayo inamhitaji mwanafunzi kutengeneza masuala kutokana na somo ambalo alikuwa anasoma Baada ya hapo utatumia masuala uliyotengenza kujiuliza kila unapotaka kufan...
MBINU ZA KUONGEZA UFAULU WA MASOMO KWA HARAKA ZAIDI
มุมมอง 8087 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi wengi wanatamani Kuongeza ufaulu katika masomo yako lakini wanashindwa kujua MBINU za kufuata ili kuondoa changamoto hiyo. Mbinu hizo TANO ni pamoja na: 1. Growth mindset 2. ⁠spaced repetition 3. ⁠interleave the studies 4. ⁠Elaboration 5. ⁠Generations Growth mindset Ina maana ya Ubongo wako Unamini kuwa unaweza Kuongeza ufaulu wako Spaced repetition Maana yake ni kutumia ratiba Maalum...
SABABU ZINAZOPELEKEA WANAFUNZI KUFELI MITIHANI BILA YA KUJIJUA
มุมมอง 2157 หลายเดือนก่อน
SABABU ZINAZOPELEKEA WANAFUNZI WENGI KUFELI MASOMO YAO BILA YA KUJUA Ubongo unakawaida ya kudanganya na ndio maana unafeli MASOMO YAKO Jinsi ya Kuondoa udanganyifu huo unatakiwa kufanya kitu hichi. Kila baada ya NUSU saa au Lisaa limoja FANYA HIVI Andika KATIKA karatasi Kile Ulicho soma Soma kwa maneno kile ambacho umekisoma #necta #Mwanafunzi #Masomo Tumia mbinu hiyo hapo juu kuimarisha kumbuk...
FAIDA ZA USINGIZI BORA KWA MWANAFUNZI
มุมมอง 1697 หลายเดือนก่อน
Mwanafunzi yeyote ambae Anataka kufanikiwa KATIKA MASOMO yake anatakiwa kuzingatia muda wa Kilala. Kulala kunasaidia kuboresha AFYA ya ubongo na Kuongeza kumbukumbua kwa mwanafunzi.
Hatua 4 za kukuza uwezo wako wa ubongo na kusoma kwa wepesi zaidi/Increase your brain power
มุมมอง 20K3 ปีที่แล้ว
Leo utajifunza Hatua nne za kukuza uwezo wako wa ubongo na kusoma masomo yako kwa wepesi zaidi. Hatua zenyewe ni kama zifuatazo. KUSOMA KITAMADUNI Hatua hii ni Ile ambayo wanafunzi wengi wanasoma bila ya mafanikio yeyote. Wanasoma kutokana na namna walivyoona wazee wao wakisoma. KUAMKA Hatua hii ni Ile ambayo wanafunzi wanajiuliza ni mbinu gani a atumie ili kusoma kwa wepesi. Hapa mwanafunzi am...
Saikolojia ya kusoma na kukumbuka ulichosoma kwa haraka
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
saikolojia ya kukuza kumbukumbu ni msingi mkubwa wa kukuwezesha kujifunza na kufauli masomo yako.
Mbinu za kufaulu mitihani necta/#necta#nectaonline#barazalamitihaninecta/mazowezi/ubongo/formsix
มุมมอง 1.5K3 ปีที่แล้ว
Mbinu za kufaulu mitihani necta/#necta#nectaonline#barazalamitihaninecta/mazowezi/ubongo/formsix
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
มุมมอง 15K3 ปีที่แล้ว
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir
มุมมอง 22K3 ปีที่แล้ว
Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir