Mimi nilikuwa namusubilia wimbo huu wa BAHATI BUKUKU Ingawa nacherewa lakini musinichukiye sana kabsa nipeni likes hapa ingawa niko,wamarekani 💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo unanikumbusha mbali...wakati safari yangu ilikuwa ready ya kwenda canada ...gafla n kaibiwa passport 😭😭😭 nina imani nitafika...ndio corona ilitokelezea border zikafungwa ndio nilijua Mungu ana sababu ya Kila kitu maisha n mwangu
Omg 😱 I’m really sorry 😢 to hear that you know that is the work of devil 👿 because when the good things happened to you he can’t stay like that he will need to get people in problems but as we have Jesus and he is everything to us so we are a winner
I'm going through hard 😪😔life here in gulf,bt this song gives me hopes that all will be well en it will come to an end,I no I will go bck to my country 🙏when I'm safe in Jesus Name 🙏
Huu wimbo inanikumbusha the day my baby daddy told me ninunue ata nguo nibadilishe maana hiyo moja nimevaa sana na ilipata nyumba yangu pia ilichomeka😢😢Leo I can testify jibu ni kufika Tu🙏
Tumaini langu iko mwaka kesho nitafaniwa tu Mungu Asante kwa kunifikisha mahali nilipo you made a way for me thanks for everything I really do appreciate it Your Blessings and mercies upon my life jibu la Maisha yangu iko
Ameeeeen in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏 nitafika japo majaribu ni mengi lakini naamini kwamba Bwana utanifusha na utanishindia na kuniwesesha vyema Kwa yote katika Jina La YESU KRISTO ameeeeen Hallelujah 🙌 ameeeeen 🙏🙏 Mwenyezi Mungu aendelee kuwapikania kuwa dia nguvu vyema na kuwashindia na kuwawesesha vyema kwa yote na kuwainua katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏
No temptation has overtaken you that is not common to God. God is faithful and he will not let you be tempted beyond your ability bt with the temptation he will also provide the way to escape that you may be able to endure it#1corintians 10:13#
Bahati and Maggie God bless you, ladies of God. I don't care what people are saying, Everything with God is possible doesn't matter what the problem is bigger I will be there in the power of Jesus Christ Amen Amen and Amen
Mungu atukuzwe na Yesu kristo awasaidie ba dada zetu, mumeimba vizuri saana mwimbo huyu umenisaidia kuomba, Aksante sana Bahati na Maggie Mungu awabaliki tena, you are very beautiful ladies, be blessed
My best song for the year- consoles me from the hard ship I have gone through in two years and the road ahead ! Thanks for this masterpiece. Bravo and glory to God. DPM
@@maggiemulirimuliri7397 Napenda sana nyimbo, hasa ule wa ARATAMBAGIRA Japo sielewi maeneo lakini umekuwa my favorite song kila mara nausikiliza. Yule mmeimba kafanya vizuri sana, video is so amazing. MUNGU AKUBARIKI SANA
These ladies have got amazing voices...woow! Angels of our time. B blessed sisters as you continue to sing n praise our Lord. Pls msirudi nyuma n don't ever look back. Mlianza vizuri, muendelee vzr na mmalize vzr in Jesus name
Huu wimbo umeniongezea Imani ..mana kila wakati naona nimefika mwisho ..kukata tamaa na machozi kwangu hayaishi ..Mungu nisaidie ..hatakama nimechoka kiasi gani nisaidie nisikate tamaa🙏🏻
Nani ako nami apa 2024❤❤
Nani ako hapa 2024 gonga like unipitie nifike 1k😊
Hata kama unaona huu mwaka wa 2023 malengo yako hayajatimia,,,jua jibu la maisha yako utafika kwa Jina la Yesu Kristo Amen
Kweli inabidi kujipa moyo pia kuomba Mungu anajibu .pia malengo yatatimia kwa jina la yesu.
Kama unaamini UTAFIKA kama mimi gonga like.
God bless you mumy
Nitafika kwa imani
nitafika tuu
Kama unakubali nyimbo hii gonga like twende sawa.
Barikiwa mama
Vaileth Petter nakubali Sana ngoma hii kwakweli imenibarki
Unanibariki Sana huuwimbo hasante sanaaa
😢😊
@@williamndele8460 😂
Mlobarikiwa na huu wimbo zaidi yangu pia mko humu kwani??####nitafika katika jina la yesuu
Kapendeza halafu kama inye edo wa nsijeria kidogo
Kumbe Bahati yumo ndio nilishangaa wamemtaja halafu mwanzo sikumuona
Ninayo Kama waitaka Andika hapa no yako..
Amen nitafika tu
Amen
Any Muslim here ambao tunaupenda huu wimbo gonga like,Tutafika tu,jibu nikufika
😂😂 i like it
Kenyans in the room.......like hapa
Nice music
Nko kwa mpigo
Present coz of Bukuku's voice and her knowledgeable lyrics 😍😍😍
L
Sijapata like hata moja ngonga hapa🙏🏽
Amen wapedwa
Mimi nilikuwa namusubilia wimbo huu wa BAHATI BUKUKU Ingawa nacherewa lakini musinichukiye sana kabsa nipeni likes hapa ingawa niko,wamarekani 💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤
💕💕💕💕
Huu wimbo unanikumbusha mbali...wakati safari yangu ilikuwa ready ya kwenda canada ...gafla n kaibiwa passport 😭😭😭 nina imani nitafika...ndio corona ilitokelezea border zikafungwa ndio nilijua Mungu ana sababu ya Kila kitu maisha n mwangu
Aki mungu ana kusudi Kwa Kila jambo 🙏🙏
Omg 😱 I’m really sorry 😢 to hear that you know that is the work of devil 👿 because when the good things happened to you he can’t stay like that he will need to get people in problems but as we have Jesus and he is everything to us so we are a winner
Jibu la Maisha yangu ni kufika naomba nishike mkono baba
pole sana
Hpe ulikua sababu
Great song
Thank you for taking care of chibalonza's daughter ' wonder' magy muliri.......we are happy to see her growing well ......🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yani nikiona jina la Bahati bukuku hata kama sija sikia wimbo Nina juwa tu nita faridjiwa tu nakupenda bure my dada ❤️❤️🥰🥰
Namimi pia, minapataka faraja tosha kupitiya bahati bukuku the servant of our living God. Mungu azidi kukutumiya dada hilikwinuwa mwoyo hiliyo pondeka
Waaah nampenda saana bahati
Bahati Bukuku kiboko yao... Nampenda Sana pia
hajawahi kukosea kabisa
Jeannette keza wewe kama mimi tu
Congratulation wimbo mzuri umenitia moyo
Nahitaji msaada wako bwana nifike niendapo, ni kufika nikufikaweeee, ntafika kwa jina la yesu. Kenyan nabarikiwa nikiwa apa iraq mungu ni mwema
amen zidi kubarikiwa dear
Nitafika tu .my tomorrow is greater in Jesus Name
Nitafika tu. Amen. Felix,Kenya
@@felixodhiambo8204 Amen
*Jibu langu lipo Mungu yu pamoja nami 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 In God we trust* Niko hapa baada ya kumzika MAGUFULI nafarijika kwa nyimbo 😢😢😢😢😢😭😢😢😢
R.I.P our Hero
nina imani nitafika jibu nikufika 🙏🙏🙏🙏listening in saudi arabia
My baby was going through a surgery I was weak and crying everytime this song encouraged me and glory be to God the surgery was a success.
Mimi wimbo uyu umenifuraisha na Kuni USA kabisa ,na Amini ni tafika kwa safari ya uduma yangu
Delay is not denial,kucheleweshwa sio kunyimwa ,Niko na Imani nitafikaa❤️
Amen
Yaan dada bahati nakupenda had nakupenda tena ,❤
Najua nitafika hata mm kwa jina la Yesu🙏
Jibu ni kufika ,Hadi mimi jamani nionjeshe likes
Bahati bukuku has a blessed voice. The voice can make satan vanish like passing wind. Kudos the daugher of Kabarage Nyerere.
Ameen powerful song 🙏🙏
I'm going through hard 😪😔life here in gulf,bt this song gives me hopes that all will be well en it will come to an end,I no I will go bck to my country 🙏when I'm safe in Jesus Name 🙏
Kesho yangu itafika tu... nimebarikiwa sana na huu wimbo 🙏🏾🙏🏾❤️
Amin tutafikatu
Amen tutafika tuendako dadangu
God is good kwa imami tu tafika tu
Amen.. Hakika hata safari iwe ndefu.. Tutafika katika Jina la yesu christo
Nitafika tu Eeh mungu wangu nisaidie, nitangulie baba, fungua njia, ondoa vikwazo vyote, fungua milango baba😭😭🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Nitafika tuu....jibu langu lipo... I'm blessed Women of God
Amazing voice
Nitafika tuuu haki wimbo naupenda sna mungu awabariki sna
Huu wimbo inanikumbusha the day my baby daddy told me ninunue ata nguo nibadilishe maana hiyo moja nimevaa sana na ilipata nyumba yangu pia ilichomeka😢😢Leo I can testify jibu ni kufika Tu🙏
Hakika tutafika saf sana mabest
😔😔😔😔😔😔😔 mwenye kusema bahati alikufa si aje asikie hii. Be blessed ladies 🙏🙏
Yule anatakia afungiwe chanal yake ya TH-cam
Kabisa
Hao hawana kazi ni kujunguza maisha ya wengine
Mungu atamzidishia miaka yakuishi bahati
Bonjour
Why would some one give thumb down to such a beautiful song.
Tumaini langu iko mwaka kesho nitafaniwa tu Mungu Asante kwa kunifikisha mahali nilipo you made a way for me thanks for everything I really do appreciate it Your Blessings and mercies upon my life jibu la Maisha yangu iko
Hata na mimi nitafika tyy kwenye kwenye uzima wa afya eee mungu angu nmechoka na magonjwa nifkishe na mimi kwenye uzimaa 😭😭😭
Ameeeeen in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏 nitafika japo majaribu ni mengi lakini naamini kwamba Bwana utanifusha na utanishindia na kuniwesesha vyema Kwa yote katika Jina La YESU KRISTO ameeeeen Hallelujah 🙌 ameeeeen 🙏🙏 Mwenyezi Mungu aendelee kuwapikania kuwa dia nguvu vyema na kuwashindia na kuwawesesha vyema kwa yote na kuwainua katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏
Nyimbo hii Ina nikumbusha kipindi nilicho kua Nina maisha magumu sana da mungu Asante sante sana mokozi wangu
No temptation has overtaken you that is not common to God. God is faithful and he will not let you be tempted beyond your ability bt with the temptation he will also provide the way to escape that you may be able to endure it#1corintians 10:13#
Aisee nikisiliza natafakaliii aiseee nitafika tuuu sister bahati mungu akubalik mnoo namungu andelee kukuinua sana nakila maadui walopanga njamaa yakukukwangamiza wasikuone wewe wawewanaona moto haloo mbalikiwe watumish hakika nitafika tuu
Ingelikuwa nyimbo yakumutkana mungu ningepata likes 100000,twende,wakombolewa
Barikiwen jamani nimebarikiwa sana
Mungu awabariki yani nyimbo zenu nzuri uluma ya MUNGU nitafika tuuu❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Bahati Bukuku umebarikiwa na umepata kibali machoni pa wanadamu na Mungu
Bahati bukuku you are one in millonea God bless you more than today
L
Massage nzuri sana, thanks may almighty God uplift you sanaaa,, haijalishi hali ninayo pitia.Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mpoooo???
"Ata giza liwe kubwa nuru nayo iko" ... Amen 🙏
KUUUMBEEEH TUMBONI MWAKE AMEMBEBA SAMWELIIII,,Mungu awatunze MAGGIE NA BAHATI.
Bahati and Maggie God bless you, ladies of God. I don't care what people are saying, Everything with God is possible doesn't matter what the problem is bigger I will be there in the power of Jesus Christ Amen Amen and Amen
Amen
Nitafika
@@Jr.TheOG. kk$lzzzz
@@Jr.TheOG. k$zkzkzosa
It happen only when best woman of God sings from internal organ's.. Walahi this is international level.. PRAISE FOR LIFE well done sister's #NITAFIKA
Nitafika tu barikiwa dada nakuoenda bure
Wow!!! An encouraging song...may our Kenyan so called Gospel musicians learn how TRUE GOSPEL songs should be!!!
Search LUCY AMSUGUT ,KENYA
Tutafika tu maana binadamu si chochote kwetu
Mungu atukuzwe na Yesu kristo awasaidie ba dada zetu, mumeimba vizuri saana mwimbo huyu umenisaidia kuomba, Aksante sana Bahati na Maggie Mungu awabaliki tena, you are very beautiful ladies, be blessed
Waooooo nice voiceeeeee madam weee😍😍😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongeraaaaa sanaaaaaaa
Nitafika tuu,nimebarikiwa sana na wimbo huuu.
If your name is Maggy, you are a great lady, hard working so blsd problem is if married husbands dont help them they live to eat their sweat
My best song for the year- consoles me from the hard ship I have gone through in two years and the road ahead ! Thanks for this masterpiece. Bravo and glory to God. DPM
Nitafika! Kutapambazuka katika Jina la Yesu
Woooo hongera mamy tuta fikatu
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kazi Nzuri Sana...
Gonga like yako ww ulioko safarini kama mm na ukisikiliza wimbo huu unakupa moyo
It's so prophetic. Ni wimbo wa kinabii na kutia moyo. Mbarikiwe sana watumishi
Amen
@@maggiemulirimuliri7397 Napenda sana nyimbo, hasa ule wa ARATAMBAGIRA Japo sielewi maeneo lakini umekuwa my favorite song kila mara nausikiliza. Yule mmeimba kafanya vizuri sana, video is so amazing. MUNGU AKUBARIKI SANA
@@luthermajoji7300 amen asante
My role model,,, soon will be together in christ🙏Am blessed
Amen mbarikiwe sana nitafika tuu kwa jina la YESU
At a maji yawe marefu, yana ukingo wake # Tutafika Tuu. Huruma ya Mungu imekuja Leo!!!
Mubarikiwe sana tumebarikiwa Mungu awachie nguvu mumekuta kwa sauti naBukuku Mungu awafunulie mtowe zingine nyimbo nyingi yani mumewazidi wote.
Naamini nitafikatu sikat tamaa
Nimebarikiwa na huu wimbo,afu waimbaji wanafanana kwa sura na jins walivyo kama mtu na dadaake
Wow blessing song 🙏 🙏👍
My sister asante Asante sana aaa maana umenitiamoyo nikiwanashida huu wimbo unanitiamoyo 👋👋👋👋👋
uhafifu wa mbaramwezi haufanyi usiku kukwama___________YESU NDIYE MUNGU pia nimwaminifu sana
Mungu nikumbuke vile ulikumbuka Sarah jameni
God has really revived music again in Elisha's generation.....
Now am waiting for Chibalonzas junior's song
Alex Idalia
Umebarikiwa Dada songa mbele YESU yu nawe
amen
Au Canada 🇨🇦 dans le métro 🚈, nabirudika. Yes Lord malgré milima na mabonde nitafika tuuuu baba❤️❤️❤️❤️. Que Dieu vous bénisse abondamment 🙏🙏
Asante kwa nyimbo hii yenye kutia moyo,
Nitafika tu.
Nikufika..huruma za mungu Bado zinanitafuta..💖💖💖💖
Yaani huwa nikiusikiliza huu wimbo napata faraja mungu awatunze na kipawa kiongezeke kwa viwango vya juu kwa jina la YESU
Neema ya Mungu bado iko na miye 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen
wimbo ninaouenzi sana. nakumbuka nikipitia hali ngumu yapata miaka 2 iliyopita. hakika huu wimbo ulikuwa nguzo. mama mungu aibariki kazi yako
Haijalishi vikwazo ni gani lakini nitafika tu,I know God is on my side..... Abudant blessings to you sisters
Mbarikiwe katika utumishi wenu. Tunawaombea mtengeneze wimbo mwingine pamoja.
Apa Tena 😊nina Imani nitafika 🙏🏻
These ladies have got amazing voices...woow! Angels of our time. B blessed sisters as you continue to sing n praise our Lord. Pls msirudi nyuma n don't ever look back. Mlianza vizuri, muendelee vzr na mmalize vzr in Jesus name
Nimeucheki ili nimuone bahati bukuku
Jibu la moyo wangu ni kufika tu
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Wako wapi USA Wagonge likes kama wanabarikiwa
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Nitafika never giving up I love this Blessed Week Ahead
Hakika ni wimbo wenye jumbe nyingi nyingi👏👏
Nina Imani.... Nitafika tu kwa uwezo wa MUNGU🙏
Watumish balikiwen xan naposikiliza wimbo huu nafarijika sana mung aendelee kuwatia nguvu
Amen nitafika kwa Neema Yangu
Bahati and Maggie I love you soo much, nice song.
Nimesikiliza huu wimbo zaidi ya mara kumi na tano
Nina Imani ntafika ninako enda, Amen asanteni sana
Wimbo huu hunifariji na kunitia moyo
Sikati tamaa ipo sababu ya mimi kua hai leo naimani #Nitafika_Tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ameen nitafik tu
Huu wimbo umeniongezea Imani ..mana kila wakati naona nimefika mwisho ..kukata tamaa na machozi kwangu hayaishi ..Mungu nisaidie ..hatakama nimechoka kiasi gani nisaidie nisikate tamaa🙏🏻
6 months ago I had lost my job. God ministered to me through this song na leo hii Niko na kazi and am trusting God for greater job. Glory to God.
Amen
Kila ninachopanga Cha mafanikio kinaharibikia mwishoni.ila Nina Imani nitafikia tu.mmenibariki sana n'a nyimbo mzuri
What a good song bahati and your friend may God bleas you